ANTII NO:14 | TAMTHILIA YENYE MAADILI | HD VIDEO | OFFICIAL | MASH TV {MADRASA SHOP TV ONLINE}
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2023
- UNAPOKUA KATIKA NDOA BAI UJUE UTAPITIA VIKWAZO VINGI LA MUHIMU NI KUCHUKULIA KAMA CHANGAMOTO KTK MAISHA YAKO NA UWE MAKINI UENDELEE NA MAISHA ILI KUILINDA NDOA YAKO.
Endelea kufatilia chanel yetu hii pia usisahau
SUBSCRIBE LIKE COMMENTS SHARE
mash tv
+255773 950 250
+255717 513 191
MASH TV
MKONO KWA MKONO MPAKA TUSHIKAMANE - บันเทิง
MASHAALLAH TULIO IFATILIA ANTII 1_ 14 TUJUWANE KWA LIKE
upo toka mwnzo au unasema t
@@FakihBakary-rs1sg kwan me kipofu ,?
aiyamanishi kama wewe nikipofu
Yaan tupo pamoj Kwa sana TU kipenz❤
Wagapi tunapenda hii move 😢😢😢goga like tukisonga
Gonga like tusonge samahan nmerekebish kdog😂😂😂
@@nahlahassan-fd6le jamanii ata mwalimu darasani ukusoea 😄 🤣 ahsante bhana
tulipenda mwanzo sasa kivuruge
bora ungekuwa umekwisha tokea sehemu ya 12
Kumotoooo...MashaAllah munajithd kutupa elimu❤🙏 fitna ni mby snaaa😥
WANGAP TULIKUA TUKISUBILIA KWA HAMU 🥰🔥MNACHELEWESHA SANA
Iyo ndio shda wanachelewesha sana
Ehe wanachelewesha saaan saan😢😢😢
Mtt wa saidi
hatuusubiri tena sasa haueleweki
Weee kimewaka,mvujaji w ndoa z wtu kmbe atafaulu lkn atashindwa bi idhini Allah ❤❤❤❤
Wakwanza leo like zangu wadau 🥰🥰🥰
Ila Samrin unacheza scene yako vzr MashaAllah❤
A'alykum ww, wanawake tujifunze kitu hapa,shost amemvuruga kasepa, anakuacha kichwa kimejaa bila kufanya uchunguzi unabadilika, tubadilike wanawake mashosti si wakuamin!!! Allah awalipe kila la kheri kwa msg nzuri yenye mafunzo, MASHAALLAH!
kabisa yan
Mashaallah kazi nzuri tujifunze jaman kupitia antii
Mashaallah tunajifunza mengi mazur kupitia hii tamthilia yenu. Allah awabarik
🎉
Hongereni kwa kutuletea tamthilia hii nzr na yenye maadili mazuri
MASHA ALLAHU TABARKA .ALLAH AEAJAZE KHERI
Asanteni kwa muendelezo mzuri Allah awanyanyuwe Amiin
Nilisubili kwa hamu❤❤❤❤
Hii film siielewi kabisa Mara antii kaolewa Mara mfanyakazi tafrani tuu
Naona wanatufanya hatuna kazi tena
Ooh ni ndoto ya Salma alikuwa amelala ndo kuota anty ameolewa na mume wake
Salma alkua akiota jamani
Hatimae mmetuletea muendelezo shukrani🙏🙏🙏
mashallh mbarikiwe aki mtulitehe nying na nying
Masha Allah mnawatoa watu katika mashimo kwa kweli
Nilisaau jmn ila miss you ❤
Duuu mnajua kuichelewesha mwaka mzima
😂😂muhimu imefika
Kwa kweli hasid Hana sababu, shukran wa wapenzi kwa mafunzo
Yaani Mama mjengo umetisha duh! Mpaka Moyo wanienda mbio maneno makali kwa mumeo Huuchi! !!
Maa Shaa ALLAH ❤
M❤mashallh ❤
Hii siku hiz sielewi kabisa
😂😂😂😂 najimuili hilo mwenzangu aunty mwepesi
Mimi hapa
Mbn huu mchezo ushakua mnauvuruga tena mara kaolewa na fahadi mara ni mfanya kazi mbn hatuelewi
shida tu wenye mchezo wafafanue apo
Toka movie hii imechezwa 😂😂😂😂 apo kwenye kapuku mmeniacha hoi mpaka naparudia rudia😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
MashaAllah 🌹
Wakwanza mm🙏🙏🙏
𝐌𝐚𝐚𝐬𝐡𝐚𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡
Hadi nilisahau jmn 😊❤
Nilisahau jmn ila Ina mafunzo sana❤
Maashaallah naipenda sana move hii
Next
Mashallah move nzuri sana
Mashaallah hongeren
Mashaallah nawapenda vipenzi vetu
Mashaallah nzuri sana nataman ingekuwa inatoka kila cku ila munatucheleweshea sana mpaka tunasahau ,.😀
Niliisubiria sana jaamaaan jazakum llahu khayra
Mwanmke anaroho mbaya jmn akaaa hatamume anashindwa kumuheshim
Maashaallah
Maa shaa Allah
Naifatilia sana hii movie ila ukweli hamna mafundisho yoyote zaidi ya kufundisha ufisadi 😢😢
True. Ukiitazama kwa ukaribu zaidi, utaelewa.
Mmmh kwa hiyo hueelewi hata
Sielewi kitu man kabisa hii movie nilifatilia zamani sana ila ukiangalia kwa makini unakuta upotoshaji flani tulio soma Cuba tushaelewa
Heeeee 🙄 kumbe upotoshaji
Ufisadi gani uloapa ss?
Assalam Alykum,jamny mtuletee hii move yetu Y ANTII😢😢 15
Wauuuuuu.❤❤❤
Mashaallah💝🥰
ALLAH Awalape khery tupo toka 1 mpaka tuhakikishe tume maliza
Waah shetani
good movie
Roho inavyouma anavyotukanwa baba wa watu....ingekuwa ndio ule uhalisia wetu mtu keshatolewa meno kitambo sana na talaka juu...anakera sana salma
Kumbe watu kama hawa ndio huvunja ndoa za watu
Duh 😢shetan hapendelei kuona mtu na mkewe wako na amani
Tatizo huyu mwanamke hana nidham alikua amuulize kistaaabu mwanaume mpole maskin
Imekaa saana mpaka tumeisahau jitaidini itoke kwa wakati
Tusiwalaumu bure walishasema uchumi ndo unawayumbisha
Nilikuwa naisubiri sanaaaaa ❤️❤️❤️❤️
Me too
mashaalh mmetuweza tumejifuza mengi sana tunaomba muendeleze gemu ju ya gemu
Alafu Kuna mwengine asema aina mafunzo yyte niupotoshaji😢
Mwanaume hafokewi hivyo km kweli unapenda na kumuheshimu Huy dada adabu Hana Ila wapo wanawake WA hivyo wasiokuwa na nidhamu na baadae akiona mwanaume katafuta utulivu huwa mkali km mbogo
Mei niliisahau kabisa na nilijua kama antii kaolewa na boss wake
Ilikuwa ndoto tu ile kumbe bi mkubwa likuwa akiota.
haufatilii
😂😂😂😂😂
15 plzz😢❤❤❤
Jaman hiyo ndo dawa ya mwanamke jeur
Imekaaa sana
Kwanza mm mpaka nimesahau kama kuna hii tamthilia
Good job
Lkn Fahad ni Zaid y mume. Ingalikuwa yule mwarab ashaacha zaaaani ila ishaallh kheri
kwakweli inanipa wasaa mzuri japo sijaowa
Hata mimit nitakuibia kwatabia zako humjibu mumeo vizuri nahuo mdomo wako
Mashaallah
Ndo nimeungana Leo kufuatilia Antii
🎉❤
Kwan mwanzo ilikuwa ndotoeee maana mm nilijuwa antii kaolewa
😂😂😂😂😂 *Kumbe mwenzangu upooo😅😅😅*
Mnakaa sna hajmn😢
Nimechek kwa saut san leo 🤣🤣🤣🤣🤣
Duuh mama mwenye nyumba ww kboko
Nzur sana
Ndiyo shida ulijishaua kilakitu antii acha usaidiwe pumbavu zako unamtusi mume wako hujui cheo chamume
Mnaboa sana mwaka mpk mwaka ndio nn sasa
nimekuwa wakwanza
Mbeya hana likizo saa zote yuko kazini unataka watu waachane uwolewe weye au
Mwanaume kama huyu ningempata mm 😢
Atarii
Mubashara
Kiukweli. Sielew hii. Tamthilia Wallay, mshaharibu, Nyuma mbele. Mbele nyuma😢
Hata mimi siielewi kabisa
wewe tatz haufatilii
Mashallah lakn munachelewa kutoa
Pale ilikuwa ni ndoto akiota huyo mke wa Fahdi. Alipozinduka kutoka usingizini akabadirika akawa na tabia nzuri ndio mpaka hapa sasa anapo pewa stori ya uongo na huyo rafiki yake. Baada ya kupewa uongo ndipo ameanza kuwa mkali. Antii hakuolewa
Shukran
Nimekuelewa
Hapa umenielewesha make nlichanganywa kidogo baada ya kuona antii asharud kwa samrin wakat alikuwa ashaolewa kwa fahad
@@user-rv6vf9ph9g shukran pia kwa kuelewa
Naimis kweli jamani Antii mbona mnatucheleweshea sana hee had tunawasahau mashallah nawapenda wte from Omani 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Wanakera
hongera ALLAH akubarki
كيف هناك
@@FakihBakary-rs1sg kheri Alhamdullilah 🤲
@@KhaulahKigundula wanasema fedha za vitendea kaz ningum ndo mna wachelewa ila hii movie wangepata wazamin wangekua wako mbali mna inapndwa vibaya
Nzur
Waume watachukuliwa kila siku baas fanya jeuri sura iwepo ht yakutingishia kibiriti hovyo mfyuuuuuu
❤
Shoga waa antyy kazid kuvimba 😂😂😂
Mnachelewa kuleta arafu Kila. Siku Yale yale. Haisogei
Badiliken kidogo bas isonge mbele
Nadhani ni kwa sababu ya gharam pia za kuitengeneza
Sielewi kwa kweli
Ww km mm
Mbea hana rikizo kwakweli dooh
❤❤❤❤😊
Muendelezo plz❤❤
Jamani mnakera mmeiharibu
😊😊😊😊😊😊😊nimechelewa lkn so mbaya
Mbon hatuelew jaman mara kaolewa mara mfanyakaz
Huu mchezo bora kwanza angemuachaa alau kimchezo tu alau huyu mwanamke akae akili yake sawa