MADUDU! ASKARI UHAMIAJI ASIMAMA KUMCHANA UKWELI MAKONDA - ''WANAPIGA HELA ALAFU WANAMPA KESI''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante afisa uhamiaji

  • @joetemu8127
    @joetemu8127 3 หลายเดือนก่อน +3

    Uko Sawa kabisa 👏🏽

  • @ezekielsaidtembo2287
    @ezekielsaidtembo2287 3 หลายเดือนก่อน +7

    My next President❤

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 3 หลายเดือนก่อน +9

    nikiangalia clip zako bro..nahic namuangalia mzee magufuli barikiwa sana

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu police ni police haswa
    Ni shuja na sio muoga❤❤❤

  • @davisjohn6838
    @davisjohn6838 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimependa sana namna unavyo shugurikia changamoto

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Afisa uhamiaji nimekuelewa sanaa,

  • @louxonmedia
    @louxonmedia 3 หลายเดือนก่อน

    Hii Lugha ya KUMCHANA maitumia vibaya, bora mngesema KUMSANUA

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so 3 หลายเดือนก่อน

    Good approach RC

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda utakua raips wa nchi hii siku si nyingi trust maneno yangu allah akuweke akulinde akupe nguvu zaidi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 หลายเดือนก่อน

    Ndomana wageni wengi wana ogopa ku invest tanzania 😢

  • @amiimussq4833
    @amiimussq4833 3 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali sana kwa kutupa habari Ila hicho kichwa cha habari hakikupaswa kuwekwa hivyo huyo nI afisa uhamiaji na sio askari wa uhamiaji

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dah bongo shida sana

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 3 หลายเดือนก่อน

    Hatari

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 3 หลายเดือนก่อน

    Jambo jingine ndugu makonda
    Kuna watu weusi wengi kutoka
    Sehemu mbalimbali duniani
    Wapo walioamua kurudi afrika
    Kama kwao asilia watu hawa tusiwachukulie
    Kama wageni wengi wao wanajiona wanyonge
    Kama wanabaguliwa naomba serikali iwaraisishie
    Mambo yao

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 3 หลายเดือนก่อน

    Haja mchana anampatia taarifa zenye mantiki kiufuatiliajji

  • @ce-08
    @ce-08 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanasheria aliyeingia mkataba usio sawa hana wa kumuwajibisha? Tunalalamika kwa Nini?

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 3 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Rais hapa hajakosea kumpa nafasi hii makonda, ila mimi nilipenda angebaki kuwa mwenezi Taifa.

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 3 หลายเดือนก่อน

    Arusha itengwe tu iwe Nchi ya kujitegemea. Tuhamie huko wote. Coz hii Nchi Kila mtu angekua ni tajiri ila shida wengi wanakandamizw na kukosa haki

    • @HellenSulle-m7t
      @HellenSulle-m7t 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@GabrielSky64 ni hiviii viongozi wengi hawafanyi kazi kwa wito kama mkuu wetu wa mkoa tokea akiwa dar alifanya vizuri lakini haohao wakubwa wakamfanya hakuna

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 3 หลายเดือนก่อน

    HILI LA KULA RUSHWA HATUWEZI KUILAMU SERIKALI PEKEE,WAPIGA JI WAPO KILA SEHEMU km vile:SERIKALINI,WANASHERIA,MAFUNDI UJENZI,BARA×2,UHAMIAJI,VYAMA VYOTE VYA SIASA,NGO'S n.k,KOTE HUKO KUMEJAA WEZI NA WAPIGAJI,TUJITATHMINI UPYA

  • @rehemakimungu6494
    @rehemakimungu6494 3 หลายเดือนก่อน

    Jitahid kuongea kwa nidham na ya point ili uendelee kuwa mkombozi wentu wa wanyonge na mwisho uwe Rais wa Tanzania

  • @mohamedally4496
    @mohamedally4496 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamba akibaki arusha miaka 10 . Itakuwa imenyooka na itapiga hatua kweli

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 3 หลายเดือนก่อน

    Msiache kumpa sifa yake alipeleka Mkoa Arusha ndio mwenye jicho kali lakuona aende Arusha na amempa madaraka wala hamuingilii katika utendaji wake hivyo Rais Samia ndio Kiongozi bora anajuwa namna yakupanga safu yake musisifie tu bila kumtanguliza Mh.Rais.

  • @amosantony9546
    @amosantony9546 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jiulizeni kwa nini upinzani hawapendi na hapongezi viongozi walioko ccm wanaoshughurikia kero za wananchi na haswa wanaowajibisha matajiri na mabeberu!!?

    • @HellenSulle-m7t
      @HellenSulle-m7t 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani hao wapinzani haswa chadema cku wakipata Madara Tanzania imekwesha maana tutakuwa tunaongozwa na wasanii wa bongo fleva

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 3 หลายเดือนก่อน

      Chadema ndo kabisaa watajikusanyia ela kwanza​@@HellenSulle-m7t

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 3 หลายเดือนก่อน

      @@HellenSulle-m7t kweli tuna majuha wengi sana

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 3 หลายเดือนก่อน

      Kumbe na wewe ulishaona hii kitu?