Naitwaga Producer PAZZAH kutoka MBEYA TZ.. Aisee me nnadukuduku.... Jaman eeeh Hili swala Me linaniboa saaana.. Yaan mtu hajui kuimba na anakuja kufanya utani na vituko tu na sisi majaji pamoja na wasimamizi wa bongo star search mnaangalia tuu... Hasa hao wanaoleta mizaa wanawapotea muda walio kuja kuonyesha vipaji vyao halisi... Plz liangaliwe hili kwa jicho la tatu... Et mungine oooh sina nauli naomba nauli daaaahhhhh inaboa saaana... Asa Mtu kama alijua hana nauli alikuja kufanya nn sasa jamaan.... Hii ishu ni very serious jamaan kama mtu anajijua kaja kufanya ujinga plz tangazeni asije aisyee... Sorry kama ntakuwa nmeongea vibaya..
This time mshindi kwa mara nyengine atatoka Mbeya naye ni ELISHA...Jamaa ana kipaji sana, msimu huu atawakimbiza sana hawa washiriki wenzake mana wengi top 50 uwezo zero.
Ommy mwenyezi mungu akufanyie wepesi afya yako izidi kuimalika bd mwili haujarudi vzr
Ommy dimpoz nakupendaga sana ujue🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ommy wwe ujaele tuu ni mapenzi ya mbwa mwitu😄😄
Najiuliza Ni yuleyule au mzimu maana alivonipita kwa Kasi ya 4G.. can't hold myself 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha
Hahaha its funny as hell
Ommy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏yani umwaka ndowafuraha kwasababu yako sijuiungekufa tungecheka nanani mungu akuweke😍😍😍🙏🙏🙏🤲🤲
I think judges wa this bss are the best musibadilishe majudge you 4 make the best combo and naona mnaelewana
BSS is an underrated stand show comedy🤣🤣🤣
But we won't talk about it today😂😂😂😂right
@@lauramay928 yeah
Mwanza pia kuna vituko duh golo golo stop🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Omy eti binadamu ni wabaya 😂
Ommy mashallah asante Mungu wangu kwa kumponya🙏🙏🙏twakupenda baba nkikuona wacheka raha kweli❤
Ommy mtu mbad xn eti watakw wamekuroga🤣🤣🤣🤣 Mungu azidi kukujalia afya njema ameen
🤣🤣🤣kweli wasukuma hawana akir japo ndugu zangu
Hahahahhahahahahh
Hahahahahaha mungu anakuona
Huna akili wewe kuma nini nyumbu wewe
Mi nilikua nimekuja tu kuwaona hahaahahahaha nani ameskia clistian bella alivyo guna
ommy una akili kwel😂😂😂
Nani yko hapa this time na ameboreka akaanza kucheka baada ya kuingia humu jamani🤣
Mm nipo natoa stress
Yaan
th-cam.com/video/WMbQVyl3WHc/w-d-xo.html..
Mi nimekuja tu kuwaona daahh haaahaaaa
Yaan ni vicheko tu
Idris anajua kuwatia watu ujinga😂😂😂kaz nzur
😂😂😂
Khaa! Kasema He's your parfect Madam Rita😅
Ommy we ni jaji mzur
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂sijawah mpenda omy...sijui kwann nimeanza kumkubal
Kwani we mungu
Anhaaa
Ommy ni mtu pouwa sana alafu mchesh kupitiliza wewe mpende tu my dear
@@glorymboya6172 hahhahahaha et wempendetuu watu mnavituko apana asee
Bongo star mmetisha kumchua ommy anafurahisha san
Huwez amini Dimpoz na Bela baada ya bongo star search mkitoa ngoma itauza sana take note u will tell me brothers
True
I really like this......."wewe ni mzigo wa hawa wawili"......@master j
😂😂😂Let's be honest here is this a comedy, I have never laughed this hard 😀😀😀🙌🙌😂🤣🤣🤣🤣
Me too🤣🤣🤣🤣
Me too😂😂😂
😁😄😄
Acha tu 😂 bangi nyingi 😂
@@claratawete1568 💯😂😂🤣they win
Idris kumtaja nenga kama samaki😂😂😂😂kama umemsikia gonga like apo
😂😂
Naitwaga Producer PAZZAH kutoka MBEYA TZ.. Aisee me nnadukuduku....
Jaman eeeh Hili swala Me linaniboa saaana.. Yaan mtu hajui kuimba na anakuja kufanya utani na vituko tu na sisi majaji pamoja na wasimamizi wa bongo star search mnaangalia tuu... Hasa hao wanaoleta mizaa wanawapotea muda walio kuja kuonyesha vipaji vyao halisi... Plz liangaliwe hili kwa jicho la tatu... Et mungine oooh sina nauli naomba nauli daaaahhhhh inaboa saaana... Asa Mtu kama alijua hana nauli alikuja kufanya nn sasa jamaan.... Hii ishu ni very serious jamaan kama mtu anajijua kaja kufanya ujinga plz tangazeni asije aisyee... Sorry kama ntakuwa nmeongea vibaya..
Sisi tunaenjoy huo ujinga ni part ya show ulitaka userious kwan ni polisi au tuko jeshini banaa acha iwe comedy kdg baana watu tuenjoy
😒m nikajua n comedian
Nimekuja tu kuwasalimia😂😂
Tunapima ukakavu😂😂😂
Ommy dimpoz vitu vyeupe ndio vitu gani jamany🤣🤣🤣
Mwanza kuna vituko wanatakiwa wakaigize comed😂😂
Eti nina uhakika wamekuloga🤣🤣🤣🤣🤣
Nawashauri bss washiriki woote wa kl mkoa muwakusanye watoe singo ya kl washiriki wa kl mkoa yenye na hivyo vituko vituko ndani ya mzk viwemo
16:46 who else thinks this guy is a luo from Kenya😂
Exactly😂😂😂😂
Omy dimpoz unautu Sana, bigup bro
Yeah, you are right!!
Omy dimpozy bd my mwli wako ujalud tangubutok kweny kipind kigumu ulichopitia ila ishaalah allah mungu ni mwaem tuko na ww nakupend sana fromu oman
Aamin InshaaAllah from Saudi Arabia
Kweli kabisa
Amin inshallah,,, ila Sasa ivi ana kheri alkua anapepesuka mno
Master J kafundishwa na wajumbe kuwa mstaarabu🤣
Duh, not an offence ila mwanza hamna vipaji lol. i enjoyed mbeya alot.
Omy bwn eti nina uhakika wamekuroga 🤣🤣
Dimpiz mtaalam sanaah.......kumbe jamaa comedy sanah
😂😂😂hadi stress imeisha
Kama unamuelewa ommy gonga likeee
Wanaume wa mwanza shkamoo ni 😆😝Mana Kama mnaimba kiluga
Tupo fresh sie ngosha we wawapi
Jamani huo wimbo wa lingala dakika 26, jina lake ni upo??
Golo golo golo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka Mimi ndonaimba hivo🤣🤣
Hahahahaha kaka me ndo naimba ivo
Jamaa 26:06 anajua sana nahis ndo atayekuw mshindi.( Ninajuta mpenzi wangu nmejua kosa langu maaaa!! Nmekuacha mpweke mpenzi wangu,) Ommy!!! Unisamehee ehee heeeee!! Anayejua jina la hili song
Plzzz jina la hii nyimbo huyu jamaa noma
0047 is so humble she deserves the Yesss
Bella haongei lake jicho tu hi😳😳😳jesuuu🙆♂️🙆♂️🙆♂️
AAA jmn nimemwelewa dipoz vibay jmn hii dipoz
😂😂😂😂😂waaa nmecheka yangu yote waaaa..kuna watu funny uku waaaa..staki kuharibu viatu vyangu
Yaani Idrisa Jinsi Anawahoji Hawa Washiriki Jamani Vichekeshoo😂😂😂😂
Yani anawa enjoy kishenzi🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅Ommy ety angewaimbia
Wasukuma jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chistianbera unakataza san my
the guy at 8:38 did he just say 1 winis (1 minute) 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😐😂😂😂😂but why tho.. aah
Sikuidaka hiyo🤣🤣🤣
Ommy anaroho nzur😘😘😘😘😘
Ila pongezi kwenu majaji mnafanya kazingumu sana poleni, Ila mbona kigoma amuendi
Na Kigoma Kuna Vipaji Sanaa Kulee
Sijui kwanini
Ndio najat hata mimi nawapongezaga wana kazi ngumu
Etu kaja kusalimia
Hawo waliimba mwisho wameimba vizur
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kufika seblen kawa mbwa mwitu
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Many of these Mwanza guys are not serious joking with opportunity given
😂😂😂😂 Rita you take my heart away
Mwanza vimeyoka vyuma 🔥🔥
Napenda na ingekuwa vyema Nika juwa mlipo niwafate uko naomba munipe maelekezo
Nakubali sanaa bongo ⭐️ search 🔦 like tuwe pamoja na subscribe on time
Nakufaaaa mie😀😀😀🙇🙇
😝😝 kweli mwanza Kuna vituko khaa
Mzigo wawawili 😂😂
Mimi nataka nione mshindi anapewa pesa live au zawadi other wise muingereza na wenzie yule mama shonza magufuri awafukuze kwani watakua wanazingua
Dakika 26 , hawa walioimba lingala ni motoo
Christian Bella yani hutaki at mazoea na hao binadam hta kma mt awez mpe moy mt asijisikie vibaya
kaka mi ndo naimba ivon🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻
Ommy love you sana bro
majaji wote mko vizuri nawatakia kazi njema
Ommy awekila mwaka kwa bss
Ommy Afya bado sio nzuri
ana wivu uyo kasaut kalikuw katam ap bn
Vip zanzibar hamuji mana vipaji vipo pya
🤣🤣🤣🤣nani kakwambia yes🤣🤣🤣
Jmn ommy eti wamekuroga haaa
Haahahahahahahahaahahahahahahahaahhahaah
yaani hi show bora msiwe mnaiandaaga make uni talent imekua nzuri na pia ina majaji wazuri kuzidi utoplo wenu huo
Binadamu kamongo ni mkorofi na anang'ata😂😂
Oi guys io intro song inaitwaje nmeisahau kdg?
This time mshindi kwa mara nyengine atatoka Mbeya naye ni ELISHA...Jamaa ana kipaji sana, msimu huu atawakimbiza sana hawa washiriki wenzake mana wengi top 50 uwezo zero.
ila Idris umemuandama nenga wa wa2🤣🤣
Ommy nakupnd me❣
Nyimbo yamapenzi au??
Dooh nyie majaji mnatabuu Sana
Tunapima ukakavuuuuu😂😂
Natamani atokee mtu aunganishe hizi videos vipande vipande iwe nyimbo moja 😂😂😂😂😂
Jamani nimependa hyo ommy alivyomsaidia huyo kaka hapo mwisho plzzz plzzz wekeni full plzzzz
Na kukubali jaji c. Belle
Hongeleni bss ila mbona kigoma hamuendi jamani?
Wanaenda rabda wew uko kwenu bong'ora nikusweke
Nimeon ni coment jaman master j ana damu yangio kila nguo anayo vaa anapendez pig up mzee brother
Hata sijuh kwann kanyoa jmn
@@marymamntine1909 Saluni gharama.
I will keep this video so that I can laugh more
Maskini cheche
❤️
Tunakimbiaza tz nzmaa bbs 20 nan yupo tu see thaty
hehehehe watching from Kenya
Don't mind this ppl ni wanakuaga kma wamevuta bangi 😂
Nice
Wow
Ommy keep it up.we love you
Itakua wamekuroga😂😂😂
Daaah ila majaji ban kwanza hongereni sanaa🍍
Ukiwa na stress unaangalia bss stress zinatoka