UKIOTA NDOTO NYOKA KAINGIA KATIKA CHUMBA AU OFSINI........ || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 84

  • @emmanuelhumph
    @emmanuelhumph 8 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Baba unanikuza sana Mungu akutunze wewe na mama Diana na huduma ya mana

  • @ericmellau3783
    @ericmellau3783 8 หลายเดือนก่อน +7

    Ila uyu mzee ni wamoto sana, yaani i tafsir imenibamba sana ❤❤❤

  • @KolestaMkamati
    @KolestaMkamati หลายเดือนก่อน

    mwezi mungu aendelee kuku jalia afya njema uzid kutufundisha na kutuonesha makuu ya bwana wet yes kristo

  • @rabekahadson1401
    @rabekahadson1401 8 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani tunaomba video nzima ya hili kongamano 😢 naihitaji sana 🙏

  • @esthermchiwa7896
    @esthermchiwa7896 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu wa mbinguni aukumbuke utumishi wako baba huwa unanibariki sana.Natamani siku moja nikuelezee ndoto zangu unisaidie

  • @ElinuruMbise-w6s
    @ElinuruMbise-w6s หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi me nimekuwaa naota nakimbizwa na ng'ombe mara kwa mara,na pia naota sana Niko primary na Sina utulivu darasani,nilipo soma kitabu chako Cha ndoton kilinisaidia sana na naomba ila nilipo OTA nimeanza kutulia darasani nikawa nakimbizwa kwa mawe na msichana niliyesoma nae sekondari ananifukuza darasani,naomba msaada mana ndoton hizi ujirudia sana,Mungu akubariki sana

  • @sofiamtali761
    @sofiamtali761 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe. Mimi nimeota nyoka anagonga mlango anataka kuingia ndani, nikajitahidi mpaka nikamzuia asiingie kisha nikamuua.

  • @emanuelnyab9872
    @emanuelnyab9872 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ohoo my Lord ahsante kww mafunuo haya

  • @MarrynesMwakasege
    @MarrynesMwakasege หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @christopherjoyce1903
    @christopherjoyce1903 5 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi najifunza!ni jana tu nimeota nyoka kaingia kwenye nyumba yetu

  • @rebeccabayo2988
    @rebeccabayo2988 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mwalimu naomba nami unikumbuke, niombee kwa mungu shamba langu lizae maana mwaka jana nilipata hasar mungu anisaidie na kuniinua.

  • @meudakayuni2346
    @meudakayuni2346 8 หลายเดือนก่อน

    ❤ nawapenda katika Kristo mbarkiwe saana mtumishi

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 หลายเดือนก่อน

    I receive I receive I receive

  • @DianaElisha-v5r
    @DianaElisha-v5r 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Baba Mungu akutuze

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jehovah nifundishe kuomba jinsi ipasavyo

  • @rebeccabayo2988
    @rebeccabayo2988 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mwalimu ili uzidi kutufundisha

  • @edwardpeter701
    @edwardpeter701 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi

  • @LevaniaPhilimon
    @LevaniaPhilimon หลายเดือนก่อน

    Amina ❤

  • @NeemaVegula
    @NeemaVegula 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @esthermbugulu3404
    @esthermbugulu3404 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @AminaCharles-e5q
    @AminaCharles-e5q 3 หลายเดือนก่อน

    Tusaidie mtumishi wa Mungu.

  • @Westerneagle039
    @Westerneagle039 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubalik

  • @EfronMayoba
    @EfronMayoba 8 หลายเดือนก่อน

    Amen sana mtumishi

  • @rechosagumo8971
    @rechosagumo8971 8 หลายเดือนก่อน

    Amen baba

  • @angelahnduku1076
    @angelahnduku1076 3 หลายเดือนก่อน

    amen

  • @RozyGenes
    @RozyGenes 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba no za mchungaji jaman

  • @neemakhamissy
    @neemakhamissy 8 หลายเดือนก่อน

    Ameni 🙏

  • @SelemanMakunda
    @SelemanMakunda หลายเดือนก่อน

    Naitwa jacky na habari za ndoto hizo naota sana nisaidie nina miaka 27 kila nikitaka kuolewa juhudi hizo zinaishia njiani kama mala yamwisho nimempata mwanaume tumeishi nae mwaka mmoja tu natukapata mtoto wakiume mmoja huyo mwanaume naye kaishia kupata ajali nakufa

  • @MagangaMasunga
    @MagangaMasunga 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @lightnesskweka4774
    @lightnesskweka4774 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shallom mm nimewah kuota nyoka ameingia sehem zangu za siri na hakutoka tena mara 2 kabisaa😢😢😢nn maana yke 😢

    • @joycestivini677
      @joycestivini677 8 หลายเดือนก่อน

      Maana yake unaishi na adui,,hasa eneo la mahusiano

  • @Mak_health
    @Mak_health 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @LevinaLupenza
    @LevinaLupenza 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @PriscaDaniel-vu5bl
    @PriscaDaniel-vu5bl 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu mm nikiota nyoka mkubwa sana kavunja duka langu na aliyemtuma ni jirani yangu ,baada ya hapo uchumi wangu umevurugika sana ,leo nimeota nimengatwa na nyoka meno mawili

    • @CharlesNdoshi-xk7hd
      @CharlesNdoshi-xk7hd 4 หลายเดือนก่อน

      Omba tena kwa maombi ya mnyororo wa kufunga usipo angalia uko pabaya sana

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Babà 🥰

  • @SelemanMakunda
    @SelemanMakunda หลายเดือนก่อน

    Nisaidie mtumishi

  • @JacklineJoseph-ld1gi
    @JacklineJoseph-ld1gi 5 หลายเดือนก่อน

    Mwl naomba uniombee niliamka usiku. Nikaenda choooni. Mara narudi nikashutuka nyoka. Kumwamgalia sikumwona. Kweli sikuomba.nimekaaa wiki Moja . Mungu kanikushusha Ile nyoka ndo nikaomba. Nikangoa na kuaribu.

    • @finnastive165
      @finnastive165 2 หลายเดือนก่อน

      Mm nimemuona kabisa ndn mwangu wakijan tena chooni

  • @ChristinMsanganzila-te4pf
    @ChristinMsanganzila-te4pf 5 หลายเดือนก่อน

    jesus❤

  • @florasimba3784
    @florasimba3784 7 หลายเดือนก่อน

    Namb namb ya mtumish mwakaseg jmn

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @EliaMahona
    @EliaMahona 18 วันที่ผ่านมา

    Mimi naota kila siku nifanye nini kujua tafsiri au niwe muombaji nitaambiwa maana yake? Ni ndoto za kila aina nisaidiwe mtumishi.

  • @emmaforrealtz1
    @emmaforrealtz1 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @DorineRaiwely
    @DorineRaiwely 27 วันที่ผ่านมา

    Mchungj tupe namba zako tafazali

  • @aidanongole9341
    @aidanongole9341 8 หลายเดือนก่อน

    amen

  • @MariamHoya
    @MariamHoya หลายเดือนก่อน

    Mie mara kwa mara mtumishi naota mahali ambapo nilihama muda mrefu naota nimerudi kule kila.wakati nifanyaje ili nisiite maana nikiota mambo yanaanza kuwa hovyo tu

  • @samwelimadaraka4358
    @samwelimadaraka4358 8 หลายเดือนก่อน

    Nina shida sana nahitaji mawasiliano ya Mwali mwakasege

  • @CathyJoseph-l5y
    @CathyJoseph-l5y 8 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba maombi

  • @tumainiswai3540
    @tumainiswai3540 8 หลายเดือนก่อน

    Nimepata kitu nukikuamwajiriwa miaka 8 imepita sasa lakini naota nikiwa na yule boss. Tunahesabu ela hii inamanisha boss ananipiga ela nini

  • @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
    @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Baba unanilea japo sijawahi hata kukaa karibu na wewe zaidi ya kukuona madhabahuni

  • @MariahMnjeja
    @MariahMnjeja 8 หลายเดือนก่อน

    Niliota nyoka anaishia kutoka ndani paka wawili waksmla sikufuatilia😅😊

  • @christinamwakitalima4267
    @christinamwakitalima4267 8 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba somo lote huduma ya mana

  • @amosmdullah7301
    @amosmdullah7301 6 หลายเดือนก่อน

    Imenikita ili jambo😢

  • @FrancoPeter-b6l
    @FrancoPeter-b6l 8 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba semina nzima baba

  • @franklinisaya4796
    @franklinisaya4796 8 หลายเดือนก่อน

    Kwanza nimecheka kweny kukimbia

  • @RoseMrio
    @RoseMrio 8 หลายเดือนก่อน

    mtt wng mm anakimbia mpk ktandan uyo nyoka anamfuata na anamkimbiza

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 8 หลายเดือนก่อน

    Niliota baba nimengatwa na nyoka

  • @HappynesSamuel
    @HappynesSamuel 8 หลายเดือนก่อน

    Baba namie niliota ndoto nyoka kalala tumboni kwangu nyoka wa blauni

    • @beniviva5014
      @beniviva5014 8 หลายเดือนก่อน

      Duuuuh!! Omba toba Kwaajili ya chochote kilichofungua Mlango huyo nyoka akakaa hapo tumbn, Afu anzaa kuachilia Damu ya Yesu kumuondoa, jitahd kuombea sana hiyo ndoto, Maan baaada ya MUDA UTAAANZA KUSUMBULIWA NA MATATIZO YA TUMBO, ukishindwa kuomba mwenyew Mtafut mtumish mweny Nguv za Mungu akusaidie kuomb usiipotezee hiyo ndt

    • @HappynesSamuel
      @HappynesSamuel 8 หลายเดือนก่อน

      Ni miaka 4 iliyopita na kweli nasumbuliwa sana na tumbo kila nikienda hospital wanasema ni UTI na Taifod na kila mwez naenda hospital nameza dawa zikiisha linaanza kuuma tena

    • @HappynesSamuel
      @HappynesSamuel 8 หลายเดือนก่อน

      Kuna Mtumishi wa Huduma ya Mana Mwanza huwa naenda

    • @beniviva5014
      @beniviva5014 8 หลายเดือนก่อน +1

      Duuh! Pole aisee Mtumish, Hilo tumbo sio La ugonjwa wa kawaida Kam wanavyosema Uti, Mi nikushaur kam unaweza kufunga na kuomba, Na maombi yako yakilenga Toba Na Damu ya Yesu, Na kuamuru kila rojo iliyo kaa kweny Tumbo lako ikuachie, Basi baada ya Muda Utafunguliwa na utakua mzima kabisa

    • @RoseMrio
      @RoseMrio 8 หลายเดือนก่อน

      mwanang anaota anakimbizwa na nyoka

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 8 หลายเดือนก่อน

    Mie niliota nyoka kaniuma lakini nikamlalia kifuani na yeye huyo nyoka akafa

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera sana hapo ulikuwa adui.Mimi nilitoka kwa rafiki jioni,kagixa kanaingia,nkawa Nakimbia wamama wawili wakanistopisha ucje cha2,yule mama mmoja akarudi dukani kwake kuchukua panga,mimi nkachukua jiwe kubwa km kichwa changu,nkamlenga Nyoka cha2 kichwani paa akaviviringisha,nkachukua jingine paa,aka2lia ana hacra,mama wa duka akalikata kichwa likafa,hii ni life,Unene wake unakaribia nguxo ya umeme,urefu nusu nguxo,mkichwa wa nyoka 2kausokomexa kwenye shimo la mchwa pana sn.Kila alopita hakuna aloamini km cc wamama 3 ndo 2meuwa lile joka,ucku nikiwa ucngixini ktk ndoto,akanijia akanijia joka lile lile,likaniulixa kwa nn umeniua?? Sasa nakuuwa wewe,nami nkaliambia joka hutaniuwa,ntakuuwa mimi ktk jina la Yesu,nkachukua gongo nkalipiga kichwani nkaliuwa.Nkastuka ucngixini moyo ukawa unadunda sn,Nkafunga safari kwenda Arusha kumwelexea Mch.Mch akaniambia lile likitoka kuximu,kwa nguvu ya Mungu nkalishinda.Ukiwa karibu na Mungu utaepuka mengi ya ibilic.

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 8 หลายเดือนก่อน

      @@yukundapeter8200 duuuu hongera Sana ulishinda hiyo Vita

  • @bluebirdlogisticsco.limite3415
    @bluebirdlogisticsco.limite3415 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @FrolahWillison
    @FrolahWillison 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rahelchilale1075
    @rahelchilale1075 8 หลายเดือนก่อน

    AMEN 🙏.

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 8 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @JacklineJoseph-ld1gi
    @JacklineJoseph-ld1gi 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JonhMassawe
    @JonhMassawe 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rosedohho8971
    @rosedohho8971 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @RehemaImamu
    @RehemaImamu 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @RehemaImamu
    @RehemaImamu 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @mathewpeter9504
    @mathewpeter9504 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @amanmponji219
    @amanmponji219 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

    • @HappynesSamuel
      @HappynesSamuel 8 หลายเดือนก่อน

      Amina Mtumishi nikumbuke ktk Maombi wakati mwingine nashindwa kuomba

    • @HappynesSamuel
      @HappynesSamuel 8 หลายเดือนก่อน

      Pole Mungu Akutetee