Kweli kabisa, yaan wanajifanya wajuaji kila kitu, ni sawa na kina Siza wa clouds, yaan wanamhoji mtu lkn KABLA hajamaliza kujibu wao wanadakia kujifanya wanajua kumbe ni hovyoo tu, badala wamuache msikilizaji ndio apate somo
🤔Ubaguzi, upo, utakuwepo na hautoweza kuondoka mpaka nchi za Afrika tujitambue kisawasawa sisi ni nani, tunataka nini na jee uwezo tunao au tukope kutoka kwa Wazungu? Kila mtu na hali yake, msimamo na shabaha yake. Simlaumu lakini inaonekana ametokana na diplomatic family kiasi fulani influence yake tafauti na wengi. Asanteni kwa mchango wenu wa mawazo na mada hii nzuri. Sote ipo siku tutarudi nyumbani 🤝👍
The only way kumshinda mzungu ni kujifanya mjinga,yaaani umechoka huna unachojua,tena na kukusaidia watataka maana pia wapo wenye utu na huruma,ila ukijifanya unacho au unaelewa mambo.....😂 you have activated suffering mode
@section8ight174 Kwakweli ungenielewa usingeuliza,ni hivi kwenye maisha unahitaji mikakati kufikia malengo ,kumshinda adui na mojawapo ni acting dumb. Sikusema kila siku,ila nimemaanisha ukiwa na target zako,kama huniamini mimi basi sikiliza wahenga wako "Ukila na kipofu,usimshike mkono"
WATAKAOIPONDA ZAIDI HII INTERVIEW NI WABONGO WACHACHE WANAOISHI UINGEREZA AMBAO UKWELI UNAWAUMA❗️Anyway, maisha popote, ubaguzi na ugumu upo kila sehemu japo hali zinatofautiana, tuombeane kheri.
SKY safi sana bro mambo yako ni yale ya muhimu ktk jamii siyo mambo ya kipuuzi vipindi vyako kama GPS aisee safi sana ulibuni vzr maana wengine akina sisi ni warusi weusi i respect you and Ali masubi,DJ sma and Henly
Kama Mwafrika mwenye itikadi ya Umajumui Pan-Africanism nasikia fahari kuona mwenye itikadi hii tunazidi kuongezeka siku baada ya siku,Fikra za Marcus Mosiah Garvey na harakati zake Black Nationalism Pan-Africanism bado zinaishi mpaka leo, Biblia imetabiri Afrika itainuka tu,Kushi inaiuna ghafla tukiamini na tukiwa na Umoja wa kweli. Big up yourself my Brother One day Yes Africa will Rise up!!....Kunta...Kinte.
Ila huyu ni kiazi kama anafikiri mwafrika ana akili kuliko mzungu na hicho ndio kinatufanya bado tuko nyuma 😮😮😮 wachina wanaenda ulaya kuiba technology weusi wanarudi na story za kusadikika
Nenda kalime bwege wewe! Fursa za kumwagililo nchi hii lakini wazushi wote wanadhani bongo ndio penye Hela!! Fungua akili hiyoooo hela za kumwagililo nchi hii, VUTA JANI UONGEZE UPEO DOGO!!!
Ubaguzi ni dunia mzima cc watu weusi tunaubaguzi wazungu wanasubiri mtu unakwenda ofisi ya serikali unataka ki2 awakujali anaekupenda atakuomba rushwa.na katika haki wazungu ni bora x 100.special Waingereza
Sasa huyu jamaa mbona hajahamia Russia anaishi Uingereza yeye na ndugu zake wote na familia zao miaka 25+. Kutoka Uingereza kwenda Russia ni rahisi sana, upanda SGR mpaka unafika. MBONA HAJAAMIA RUSSIA? Na akitoka Dar anarudi tena kwa familia yake Uingereza?
@@Urembomileleofficialkwanini afanye chochote bure? All Tanzanians need to be taught “Military Science” quick fix to counter “Inferiority complex” that’s rampant in Afrika & Asia as a whole!
Ni Muongo huyu jamaa, ubaguzi upo kila pahali inategemea na baadhi ya watu. Tanzania hakuna ubaguzi? Mbona kuna mtoto wa Muheshimiwa mmoja alipata kusema kua " watu wa kaskazini hawawezi kupewa Uraisi? Mimi nipo Uingereza miaka 29 sasa.
Sky this is the WEAKEST INTERVIEW ambayo umewahi kutuletea. Wengine tumezoea SnS tunapata VERIFIED news, huyu jamaa anajiongelea anavyoona yeye and too much conspiracy. Yaani ni kichekesho...hata Sky mwenyewe unabidi um correct, eti Belaire ni ya Rick Ross....shaking my head🙃😅. PAINFUL TO WATCH😞
Yeah bro ni muongo kama kabaguliwa yeye sio watu wrote ,,,bruh unapita na vitu vya thamani airport na hela nyingi ni lazina utaulizwa sio lwa sbabu ya kua wrwe ni mweusi ''''Ukipita Tz airport pia na wanaweza kukwambia uwqpe rushwa so ubaguzi kila pahali bruh
@@abdallaabdalla998hilo ndio tatzo la waafrica mkiambiwa ukwl mnaona kila ktu ni uongo ndio maana ni ngumu kuendelea na weng wenu mjawaifika nje ya bara la Africa, ukwl n kwamba wazungu wabaguz awatak watu weus nchini kwao
Binafsi watu weusi asilimia kubwa ambao wapo huko ulaya ndio wabaya kuliko hao wazungu. Halafu hata huyu anayehojiwa alienda ulaya kufuata maslahi same as mzungu akija Africa anafata maslahi.
Mtu mweusi ndo binaadam aliekamilika 100 % na ndio maan kila anachogusa ninkama kaanzisha yeye na kuna gunduz nying tumegundua wazngu wanzfich lkn ukwl unaguv sna wamtuketea dini ndo intuuwa san kifkra vby mnooo wafrcaaa tuamke mda wa kulala umeisha
Huyu ndugu yake kiboko ya wachawi anaongea pumba tu, wangekua wabaguzi kwa kiwango unachokisema wakati unaishi nao mtaani hapa Uk wangekua washakuondoa hata kwa sumu... just shut. Tatizo ni kwamba waafrica tunauzwa na viongozi wetu wabinafsi Uingereza kuna amani sana tu na kulipa kodi ni wajibu hata wenyewe wanalipa.
Kuna watu ni mazombie yani wanaongea tu kwa sababu hawakua na malengo wala hawakua wanajua wanakuja kufanya nini ulaya mkija huku somenii muwazidi wao ili wawaheshimu sio mkae na ku kupata benefits za bure
Nauliza huyu jamaa anaishi uk ya wapi?mm niko huku takribani miaka 15 naishi na natembea time yoyote ninyotaka hakuna mjinga hata moja ananiuliza kitu. Halafu swala la ubaguzi hata nyumbani tunabaguwana tena sana tu many time Tanzania watu wanauwana kila ikifika time ya uchaguzi.huyu jamaa mshamba sana lkn sioni ajabu ni mkongo huyu majisifu sn huku uk hata hajulikani I'm telling you
Massplay, tafuta pesa upunguze makasiriko yan hupo uk juz tu, jamaa anachoongea n kwl na kuna sehemu uk kwa hali ya sasa mtu mweus kuna maeneo ukipta n hatarrr kwako kama Manchester labda ww unaish uk vijijin tafuta pesa acha makasiriko na watu waliofanikiwa
Your problem is that you are a TINY FISH abroad hence no one has the time to BOTHER with you as you are deemed HARMLESS! Now go and start making MAJOR MOVES, financially then you’ll OVERSTAND what this intelligent gentleman is saying! Stay in your lane and learn ..
Duh UK ipi iyo anaishi huyu jamaa. Mtu anaishi UK, yeye na ndugu zake miaka zaidi ya 25 KWA HIARI YAKE, HAJALAZIMISHWA alafu anaongea anachoongea. Kama Africa ni bora si arudi basi, yeye na ndugu zake na familia zao? Eti UK hakuna usalama tena!🤣Sns mmboa sana na hii interview!
Watanzania ni vizuri kuachana na hawa watu kutoka Congo na hata wa Burundi wanatutia ujinga sana tujaribu kupata Elimu za kutokq kwa WaRwanda...huyu anaongea uingereza hakuna Amani wakati kwao juzi congo kumetokea mauwaji makubwa ya wafungwa ...anaongea Pumba sana miaka 25 yupo uingereza yeye na familia zake ...Ebu tuachane na hawa wacongo tuwakaribishe wakenya na wa Rwanda
Kwani huyu mmemuelewa vipi yeye anaongea ukweli eti huyu ni muuwaji wapi na wapi huo ni ubaguzi bado upo Kati yetu waafrica binadamu anatakiwa kuelewa vitu vingi view vizuri au lakini kutoelewa ni mzigo WA mawazo
Sheila, tatzo watu weng mnaongea against hyu jamaa coz amjawai toka nje ya Africa hla kwa ss tuliokaa bara ya ulaya na Asia ndio tunajua jamaa anachoongea ni nn , akuna mzungu wala mchina anaempenda mtu mweusi, wadada weng wa Tanzania tunawaona huku walioolewa na wazungu wanavyoteseka na kunyang’anywa watoto tunawasaidia mpka pesa ya kula, tatzo wafrica atubadiliki tunaona wazungu n miungu
@@DeogratiusSamwelmkuu mimi nipo uingereza miaka 24 sasa na kila siku tunapata habari waafrica wanakufa kwenye jangwa la Sahara na Mediterranean Sea kuja uingereza Huyu jamaa atakuwa amekuja huku kama mkimbizi wa kutoka Congo au Burundi amepata uraia amesoma huku Wazazi wake walikuwa wanapewa child benefits kwa kumlea huyu hizi ni pesa serikali inatoa kwa wazazi wote wenye watoto hapa uingereza kasoma bure kapata huduma za hospital bure Anaongea pumba wakati kwao Congo hali ni mbaya sana kila siku kuna mauwaji ya watu
@@RaphaelJickson-t7ukaka mimi nipo uingereza miaka 24 nafanya kazi kwenye shirika la afya la uingereza NHS ...huyu jamaa anaongea pumba tupu amekuja huku kama mkimbizi kasoma bure kapata huduma za afya bure wazazi wake walikuwa wanapewa pesa kila mwezi child benefits na child tax credits na serikali ya uingereza Leo anaongea pumba
Hii ni moja ktk mahojiano muhimu sana, huyu jamaa anaongea kweli na mengi tunashuhudia
Sky msikivu sn mashallah anampa mtu muda wa kuelezea . Wale watanfazaji wa kipindi cha chombo haris na mwezie wangejifunza apa wanamakelele sn
Kweli kabisa, yaan wanajifanya wajuaji kila kitu, ni sawa na kina Siza wa clouds, yaan wanamhoji mtu lkn KABLA hajamaliza kujibu wao wanadakia kujifanya wanajua kumbe ni hovyoo tu, badala wamuache msikilizaji ndio apate somo
Jamaa anaongea point tuuuuuuuuu
Wazungu hawajawahi tupenda hata siku moja! Welcome to reality.
Ukweli kwamba walikufundisheni kuwa wao wazuri wana demokrasia na Waarabu ndio wabaya wanakufanyeni watumwa... poleni sana
🤔Ubaguzi, upo, utakuwepo na hautoweza kuondoka mpaka nchi za Afrika tujitambue kisawasawa sisi ni nani, tunataka nini na jee uwezo tunao au tukope kutoka kwa Wazungu? Kila mtu na hali yake, msimamo na shabaha yake. Simlaumu lakini inaonekana ametokana na diplomatic family kiasi fulani influence yake tafauti na wengi. Asanteni kwa mchango wenu wa mawazo na mada hii nzuri. Sote ipo siku tutarudi nyumbani 🤝👍
UKIWEZA KUISHI ULAYA NDIO UTAJUA THAMANI YA NYUMBANI KWETU AFRICA 😢 AFRICA NI DHAHABU ITAKAYODUMU MILELE NA MILELE😊
Tatizo tu uonevu wa vigogo kwa sie tusio na familia za vigogo
Ukiwa mataifa ya nje ya Africa chakwanza kitakachokutafuna ni upweke huku hakuna cha kwenda kupiga swaga kijiweni au kwenda kumsalimia ndugu
Kwakweli Bora ulaya@@sonnyr1899
Mwamba kaongeo ukweli kabisa. Ameishi uko yeye anajua vizur sana. Sisi tunaongelea huku na hatuishi uko. Sasa yeye anatoka uko
Asante sana bro Mungu awape maisha marefu uzi kutufamisha❤
Ni kweli mimi nipo ulaya kwa kweli maisha ni magumu sana kama una kazi yako bongo bora ubaki huko
@@jacksonmsendo3478 umekatazwa kurudi Afrika? Au uko jela?😅
Tunakuja huko huko ubaya ubwela
@@BARAKA-ns3jvnjoo tuteseke pamoja
@@Urembomileleofficial upo wapi wewe
😂😂😂njoo tuteseke wote@@BARAKA-ns3jv
Sky ww mtu sana mwanangu wanapokuja watu kama hawa ww ndio uwe mtu wakuenda nao on air,it will be good ithink
The only way kumshinda mzungu ni kujifanya mjinga,yaaani umechoka huna unachojua,tena na kukusaidia watataka maana pia wapo wenye utu na huruma,ila ukijifanya unacho au unaelewa mambo.....😂 you have activated suffering mode
Ndo maisha gani hayo we bwege? Wewe kila siku uko magotini tu? 😂
@section8ight174 Kwakweli ungenielewa usingeuliza,ni hivi kwenye maisha unahitaji mikakati kufikia malengo ,kumshinda adui na mojawapo ni acting dumb. Sikusema kila siku,ila nimemaanisha ukiwa na target zako,kama huniamini mimi basi sikiliza wahenga wako "Ukila na kipofu,usimshike mkono"
@@neemayatosha1618 Naielewa hiyo lakini mie nishawachoka mida hii, sijikunji tena ili wajisikie vizuri. Nimechoka sana tu!!
@@section8ight174 Asa kumbe umechoka 🤣🤣,basi mwanangu kumbe hoja umeielewa ila unataka ligi tu. Basi kila la heri katika Ubaya ,Ubwela 😅
@@neemayatosha1618 Umeona eeh, KUNA NJIA NYINGI ZA KUMCHUNA PAKA!!
WATAKAOIPONDA ZAIDI HII INTERVIEW NI WABONGO WACHACHE WANAOISHI UINGEREZA AMBAO UKWELI UNAWAUMA❗️Anyway, maisha popote, ubaguzi na ugumu upo kila sehemu japo hali zinatofautiana, tuombeane kheri.
Africa tatizo viongozi kutengeneza mazingira mazur
SKY safi sana bro mambo yako ni yale ya muhimu ktk jamii siyo mambo ya kipuuzi vipindi vyako kama GPS aisee safi sana ulibuni vzr maana wengine akina sisi ni warusi weusi i respect you and Ali masubi,DJ sma and Henly
Mhhh hatari aiseeeh karibu nyumbani boss
Big up broo unaogea relyyy Ivo ndo inatakiwa usiwe mtu wa sifa sana
Kwakweli hapa Uingereza kunachosha saana namuomba saana Mungu nimalize masomo nirudi zangu home
Hacheni uongo
@@FrolenceRogath-fv6ku simulia wewe
Ni kweri maisha uingereza magumu sana kodi za nyumba na ma tax kukatwa kibao
Kama Mwafrika mwenye itikadi ya Umajumui Pan-Africanism nasikia fahari kuona mwenye itikadi hii tunazidi kuongezeka siku baada ya siku,Fikra za Marcus Mosiah Garvey na harakati zake Black Nationalism Pan-Africanism bado zinaishi mpaka leo, Biblia imetabiri Afrika itainuka tu,Kushi inaiuna ghafla tukiamini na tukiwa na Umoja wa kweli. Big up yourself my Brother One day Yes Africa will Rise up!!....Kunta...Kinte.
Afrika is already RISING, TF you on about dude 😂
interview nzuri sana
Nawahakikishia Africa is the TOP
Na sisi wa Ujerumani ndio usiseme🤕tena saizi tuna balaa zito nchi hii wanataka maforeigner wote waondoke 😐
Pole Sana mama
@@jabalimikechi7750
Hio ipo ulaya nzima ni swala la muda jipu karibu litatumbuka.
Pole mama
Alafu Ruto keshatangaza eti wakenya robo milioni wanatakwa kule ujerumani 😂 Ndoto za mchana!!
Mfano ni kwa VICTOR OSMEN wa Nigeria venye amebaguliwa lakini lukaku alikata kuvaa jezi yake number 9,,, bigup to lukaku
Ila huyu ni kiazi kama anafikiri mwafrika ana akili kuliko mzungu na hicho ndio kinatufanya bado tuko nyuma 😮😮😮 wachina wanaenda ulaya kuiba technology weusi wanarudi na story za kusadikika
Big up saana
Afrika viongozi wetu pia ni matatizo jamani tusilaumu wazungu tu tutizame pande zote
Nikweli brother umeongea ukweli
Umeongea ukweli
Wala usiwalaumu viongozi ukiingia madarakani ndo utajua kilichomo ki uhalisia wazungu hawatufai kbs coz mzungu hapendi tujitawale angalia kinachotokea bukinafaso raisi wanamuita gaidi kisa kutetea Mali zake.
Wazungu wanawivu sana ukiishi nao wanataka Wale wazuri wao wenye akili wao wakati wanazeeka haraka 😂😂😂
Africa kuzuri lkn ukiwa kwenye system,au una wazazi vigogo ,wakishua
Nje ya hapo unahangaika tu ndo unaona usepe
Kweli
Very true
Kweli kabisa
Nenda kalime bwege wewe! Fursa za kumwagililo nchi hii lakini wazushi wote wanadhani bongo ndio penye Hela!! Fungua akili hiyoooo hela za kumwagililo nchi hii, VUTA JANI UONGEZE UPEO DOGO!!!
@@section8ight174 Nadhani wewe ndo unatakiwa kuongeza upeo, maana unamtukana mtu pasipo sababu
Jamaa anaakili sana,
We brother makini sana
❤
Mashallah
Ubaguzi ni dunia mzima cc watu weusi tunaubaguzi wazungu wanasubiri mtu unakwenda ofisi ya serikali unataka ki2 awakujali anaekupenda atakuomba rushwa.na katika haki wazungu ni bora x 100.special Waingereza
Hujielewi
Ndiyo nawapata vema niliwai drc baraka fizi nawapenda sana
Salut brother
Alaf unamkuta mbongo anamnyenyekea mnzungu pumbavuuu
Mim nipo dubai hapa mchere coca tu😂😂😂
Hili swala la ulaya ukweli hakuna cha bure wengi wanasema mbona hurudi wanatamani kurudi anaona ataanzia wapi kapoteza muda huko ndo sababu hawarudi
Kiukweli wazungu sisi hawatupendi, ni sisi kujilazimisha kwao
Natamani ile mijitu inamsema vibaya #PUTIN na Russia wasikilize hii interview
Sasa huyu jamaa mbona hajahamia Russia anaishi Uingereza yeye na ndugu zake wote na familia zao miaka 25+. Kutoka Uingereza kwenda Russia ni rahisi sana, upanda SGR mpaka unafika. MBONA HAJAAMIA RUSSIA? Na akitoka Dar anarudi tena kwa familia yake Uingereza?
Njooni tuijenge afrika yetu. Lakn viongozi wetu wa afrika ni mafisadi wakubwa wataki maendeleo ya nchi zao
Anaishi na akili yake na kusoma mazingira ya sehemu
Kupitia huyu jama viongozi wa africa wanajifunza nini
Wao wakijaza matumbo yao inatosha, wewe na mm ndo wakujifunza. 😜😜
@@maryamtan682 kabisa
Na hawata tupendaga kaziyao nikuleta vita africa
Sky mpe tena muda huyo jamaa muongee tena anavitu vingi sanaaa
Brother shukur mungu England una uhuru wakijieleza kunazingine inci za africa ukiomgea hoa maneno ulio ungea unaenda jela
Dah anachokisema ni kweli kabisa,mimi nimeleta wanangu kuja kupata elimu tu ila ndio cha maana,anachokisema ni kweli mtupu
Ofcouse wazungu sometimes wanazuga tu hawatupendi hata asilimia moja ni waongo na wanafiki saana
Nikweli kbs bro
100%huyu jamaa anaongea kitu ambacho nakiona Kwa wazungu daily
Wazungu niwezi tuu
Wajanja pia ndo maana hawapatani na wanaijeria!
✊✊✊ ❤❤❤❤
Africa shida inajulikana wala tusilaumu wazungu
Sbb hawawezi kuingia kufanya vitu bila permission
Tupo kwenye mikataba ya mamiaka Brother
Siku moja huwe raisi alafu tuone unahsi magu alikuwa mchovu
Niko SA niunganishe Na Na jamaa asee
🔥🔥🔥🔥🔥
huyu jamaa huyu nasikiliza mara mbili mbili
Ulaya sio mbinguni na hakuna anaeona mbinguni!
Km kuna shida si mrudi makwenu? Unaguzi, etc ila bado mpo huko?😅
Kabisa . Ukweli ni conspiratory story dunia ya west.
Umeleta mtu wa maana sana
Jamaa lipo conscious sana
Lazima ufunguke ukiwa ulaya!
Nimemuelewa sn huyu jamaa anamawazo na fikra pana sn
HIYO NI KWELI KABISA UBAGUZI UMEZIDI HAPA KWA SISI TUNAO ISHI MAREKANI NI HIVYO HIVYO , UBAGUZI UMEKISIRI MNO.! NI KUVUMILIA HALI ZOTE TU !!!
WAPAMBE WA MAMA SAMIA PLEASE WAMTAARIFU MAMA AFUATILIE HIKI KIPINDI OF COURSE ATAPATA KITU KIPYA PLEASE KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI YETU.
Hiyo mbona iko wazi, tunajua wanaopokuja huku ni kwa ajili ya maslahi yao, japokuwa siyo wote
Wote mzungu hafanyi kitu Bure
@@Urembomileleofficialkwanini afanye chochote bure? All Tanzanians need to be taught “Military Science” quick fix to counter “Inferiority complex” that’s rampant in Afrika & Asia as a whole!
Africa ni mbwa kikongwe asiyeng'ata. Porojo sana
Wacha kujichukia namna hiyo!
alafu huyu jamaa anajua mambo, mje mmkaribishe geopolitics tuskia madini yake
Alafu unasikia lidudu fulan likisema bora ningezaliwa mbwa ulaya.
Hajielewi huyo!
Yan umeish ulaya lkn umeongea kiswahil mwanzo mwisho ila ingekua kina mwafula ingekua kila akiongea yuno yuno km zote😂😂😂😂
Hayo you know, Ni Wahaya, Wakenya wengi hujiona ya Kuwa Ukiongea Kiingereza vizuri ndiyo Kipimo chao, Wewe Umeelimika, au Msomi.
Shida yingine viongozi wa Africa ni vibaraka wa wazungu hili nalo ni tatz tunaitaji watu kam Ibrahim traole watu kama magufuli
Akuna NCHI duniani ambayo Aina ubaguzi ata ukienda Kenya
You don’t understand the LEVELS of discrimination, rudi shuleni
Ni Muongo huyu jamaa, ubaguzi upo kila pahali inategemea na baadhi ya watu. Tanzania hakuna ubaguzi? Mbona kuna mtoto wa Muheshimiwa mmoja alipata kusema kua " watu wa kaskazini hawawezi kupewa Uraisi?
Mimi nipo Uingereza miaka 29 sasa.
Hata kama unaishi uingereza ni sawa acha jamaa atuambie ukweli na wewe pia omba chance kwa sky uje utuambie mazuri ya huko unakoishi.
Sky this is the WEAKEST INTERVIEW ambayo umewahi kutuletea. Wengine tumezoea SnS tunapata VERIFIED news, huyu jamaa anajiongelea anavyoona yeye and too much conspiracy. Yaani ni kichekesho...hata Sky mwenyewe unabidi um correct, eti Belaire ni ya Rick Ross....shaking my head🙃😅. PAINFUL TO WATCH😞
Kabisa,ubaguzi upo Kila sehemu
Yeah bro ni muongo kama kabaguliwa yeye sio watu wrote ,,,bruh unapita na vitu vya thamani airport na hela nyingi ni lazina utaulizwa sio lwa sbabu ya kua wrwe ni mweusi ''''Ukipita Tz airport pia na wanaweza kukwambia uwqpe rushwa so ubaguzi kila pahali bruh
@@abdallaabdalla998hilo ndio tatzo la waafrica mkiambiwa ukwl mnaona kila ktu ni uongo ndio maana ni ngumu kuendelea na weng wenu mjawaifika nje ya bara la Africa, ukwl n kwamba wazungu wabaguz awatak watu weus nchini kwao
Wanaompinga huyu jamaa ni wale tu waliochoma cndani ya covid
According to statistics eti almost half the country has received at least one dose of the 💉 not sure if I believe that ..
Mimi nalia hapa
Wazungu watarudi kwa colony zao na watakaribiswa na maraisi na wabunge
Ni Ukoloni mambo leo
Jamaa kaongea point 50 euro sio hela ss ujerumani,na maisha yamekua magumu ulaya kwa sababu Europe wanasaidia ukraine.
Binafsi watu weusi asilimia kubwa ambao wapo huko ulaya ndio wabaya kuliko hao wazungu. Halafu hata huyu anayehojiwa alienda ulaya kufuata maslahi same as mzungu akija Africa anafata maslahi.
Pumbavu kweli hili, Nyani anakushinda akili wewe hujijui kabisaaaa!!!
Anafaa kwenye fuse huyo
Kma mnajua hampendw mnaenda hko kfanya nn?? Tuachen ss tuende ambao tnaenda ktafta maisha tfanye kaz tulipwe
Kabisa
Hajakwambiaa ussiende kasema fact iliopo hukp
mhmmm
BWEGE 💯
Mtu mweusi ndo binaadam aliekamilika 100 % na ndio maan kila anachogusa ninkama kaanzisha yeye na kuna gunduz nying tumegundua wazngu wanzfich lkn ukwl unaguv sna wamtuketea dini ndo intuuwa san kifkra vby mnooo wafrcaaa tuamke mda wa kulala umeisha
kwamba watu walikua wanapewa pesa ili wapromot corani, dar dunia hii hatar sana
Uziti kutufamisha
Sisi wafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe bruh
Kabisa
Huyu ndugu yake kiboko ya wachawi anaongea pumba tu, wangekua wabaguzi kwa kiwango unachokisema wakati unaishi nao mtaani hapa Uk wangekua washakuondoa hata kwa sumu... just shut. Tatizo ni kwamba waafrica tunauzwa na viongozi wetu wabinafsi Uingereza kuna amani sana tu na kulipa kodi ni wajibu hata wenyewe wanalipa.
😂😂 hawataki wengine waende
Kabisa wazungu sio shida,shida ni baadhi ya viongozi
Kuna watu ni mazombie yani wanaongea tu kwa sababu hawakua na malengo wala hawakua wanajua wanakuja kufanya nini ulaya mkija huku somenii muwazidi wao ili wawaheshimu sio mkae na ku kupata benefits za bure
Ushapotea wewe hamna hata haja ya kukuelimisha! Mtu mzima huyo Kaishi miaka 25 kajionea mwenyewe alafu leo hii dogo ka wewe unampinga?
Nauliza huyu jamaa anaishi uk ya wapi?mm niko huku takribani miaka 15 naishi na natembea time yoyote ninyotaka hakuna mjinga hata moja ananiuliza kitu. Halafu swala la ubaguzi hata nyumbani tunabaguwana tena sana tu many time Tanzania watu wanauwana kila ikifika time ya uchaguzi.huyu jamaa mshamba sana lkn sioni ajabu ni mkongo huyu majisifu sn huku uk hata hajulikani I'm telling you
😂😂
Msikilize Tena maana ww unaweza kuwa huja muelewa Mani
Massplay, tafuta pesa upunguze makasiriko yan hupo uk juz tu, jamaa anachoongea n kwl na kuna sehemu uk kwa hali ya sasa mtu mweus kuna maeneo ukipta n hatarrr kwako kama Manchester labda ww unaish uk vijijin tafuta pesa acha makasiriko na watu waliofanikiwa
Yeye hakusema huwezi kutoka kasema kuna maeneo ukipiti ni hatarishi
Your problem is that you are a TINY FISH abroad hence no one has the time to BOTHER with you as you are deemed HARMLESS! Now go and start making MAJOR MOVES, financially then you’ll OVERSTAND what this intelligent gentleman is saying! Stay in your lane and learn ..
Huyu mtu nimemuelewa
Kwenye kuiba dhahabu kuleta magojwa na kuletewa dawa pamoja na chanjo.ukiishi ulaya ndio utajua vitu kama hivyo,coz huku kuna uhuru wa habari.
Hapo shida nani?
Mzungu au viongozi wetu wanapokea?
@@christinewomanoffaith5479viongozi wetu sio wazalendo wanajali matumbo yao.
@@christinewomanoffaith5479Wote!
Tatizo nyie mnaenda uko mnapiga ela arafu mnaanza kusema mbele uko sio kuzur uku ela mmepata. Watu wanapenda kuja uko kwasababu kazi ninyingi
Miaka 25 upo Uk sasa kama unabaguliwa si urudi kwenu congo ''halafu kama unabaguliwa ungepata mafanikio by the way mm sipo Uk.😂
Duh UK ipi iyo anaishi huyu jamaa. Mtu anaishi UK, yeye na ndugu zake miaka zaidi ya 25 KWA HIARI YAKE, HAJALAZIMISHWA alafu anaongea anachoongea. Kama Africa ni bora si arudi basi, yeye na ndugu zake na familia zao? Eti UK hakuna usalama tena!🤣Sns mmboa sana na hii interview!
Fikra yako bado anachoongelea kipo uk kweli maisha magum unabisha nin
😂😂ht mi Huwa nashangaa wanalalamika ila hawataki kurudi
@@FadhiliAlly-fy2tx UK wapi? Maisha lazima ufanye kazi, haijalishi uko wapi. Malipo unayopata UK kwenye kazi huwezi kufananisha na Africa.
@@massco99hacker alafu nini kitatokea ukisha dislike? We nawe😏
@@christinewomanoffaith5479 alafu tunasema wazungu wanafiki 😅
Watanzania ni vizuri kuachana na hawa watu kutoka Congo na hata wa Burundi wanatutia ujinga sana tujaribu kupata Elimu za kutokq kwa WaRwanda...huyu anaongea uingereza hakuna Amani wakati kwao juzi congo kumetokea mauwaji makubwa ya wafungwa ...anaongea Pumba sana miaka 25 yupo uingereza yeye na familia zake ...Ebu tuachane na hawa wacongo tuwakaribishe wakenya na wa Rwanda
Hujamuelewa
Kwani huyu mmemuelewa vipi yeye anaongea ukweli eti huyu ni muuwaji wapi na wapi huo ni ubaguzi bado upo Kati yetu waafrica binadamu anatakiwa kuelewa vitu vingi view vizuri au lakini kutoelewa ni mzigo WA mawazo
Sheila, tatzo watu weng mnaongea against hyu jamaa coz amjawai toka nje ya Africa hla kwa ss tuliokaa bara ya ulaya na Asia ndio tunajua jamaa anachoongea ni nn , akuna mzungu wala mchina anaempenda mtu mweusi, wadada weng wa Tanzania tunawaona huku walioolewa na wazungu wanavyoteseka na kunyang’anywa watoto tunawasaidia mpka pesa ya kula, tatzo wafrica atubadiliki tunaona wazungu n miungu
@@DeogratiusSamwelmkuu mimi nipo uingereza miaka 24 sasa na kila siku tunapata habari waafrica wanakufa kwenye jangwa la Sahara na Mediterranean Sea kuja uingereza
Huyu jamaa atakuwa amekuja huku kama mkimbizi wa kutoka Congo au Burundi amepata uraia amesoma huku
Wazazi wake walikuwa wanapewa child benefits kwa kumlea huyu hizi ni pesa serikali inatoa kwa wazazi wote wenye watoto hapa uingereza kasoma bure kapata huduma za hospital bure
Anaongea pumba wakati kwao Congo hali ni mbaya sana kila siku kuna mauwaji ya watu
@@RaphaelJickson-t7ukaka mimi nipo uingereza miaka 24 nafanya kazi kwenye shirika la afya la uingereza NHS ...huyu jamaa anaongea pumba tupu amekuja huku kama mkimbizi kasoma bure kapata huduma za afya bure wazazi wake walikuwa wanapewa pesa kila mwezi child benefits na child tax credits na serikali ya uingereza Leo anaongea pumba
❤
Wanaompinga huyu jamaa ni wale tu waliochoma cndani ya covid
😆 Alafu unenikosha sana hapo!!