JAMAA WA 'NIITE MBWA' AMKOROGA DEREVA BODABODA / TUSIPOPATA AJALI, NIITE MBWA - HIVI NI KWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ค. 2024
- JAMAA WA 'NIITE MBWA' AMKOROGA DEREVA BODABODA / TUSIPOPATA AJALI, NIITE MBWA - HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Msipolike mniite mbwa 😂 nimekaa pale 😄
manake hapo Kwanza nncheke msipo like niiteni mbwa nipo hapo juu wakwanza kukoment
Huyu jamaa ni comedian kweli
Creativity ni kubwa mno
Big up Sanyaa
Bonge moja ya show 💥
Mwanangu Motown unatisha
Jamaa wa niite mbwa katisha sana
Siku mkipigwa tuerewane😃😃
manake hapo kwanza nicheke😂
Nimecheka kifala sana 😃😃😃😃
Huyo jamaa nimemkubali 😂😂😂😂😂😂, MTATA me kufa na wewe ni kitu cha bure 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Mmetisha saaana
SANYA nakubali sana mwanangu pamoza Sana 🙌
HUYO NI BODABODA WA KIMARA TENBONI ANAITWA MUSHI!!
Ndy yeye namjua
Rangi nyekundu zinakolea sanaa
Iyo michezo yenu iko siku atakuta umeshazima ndo utelewa kama kuna watu hatujui kuigiza
Kweli kuna watu wngn wapo 🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣Simba chukueni CAF,,,,,Yanga ingieni hata makundi shirikisho..Zen tupigeni parade kwanzia congo
Lipeni wachezajii kwanza
Utopolo makundi hafiki
Siku zenu zinahesabika, siku mkija kurogwa mkikutana na mimi mtakiona cha moto 🔥
Akili za kichawi
Hizo hasira za kimaskini
Makasiliko
😅😅😅😅😅😅😅ona mnawanga had kwenye coment 😂😂😂😂uchaw sio mzur 😢
Hiv hiyo kofia ni Askari wa nchi gan?i😄😄😄
Tumeshaanzisha biashara lazima tumalize biashara😂😂😂😂😂😂
Nakubal show 🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa mwehu....atakuja kupigwa 😂😂😂
Mie hata sijacheka😂😂
😀😀
Mnatumalizia Bando Tu, wasanii Wanawachomolea Mnachukua Wehu Wenzenu
Sisi hatutaki kuwaona hao wasanii wako tumeshawachoka ndio maana tunataka watu wa kawaida na ndio ubunifu
Kwan umelazimishwa kuangalia mzee
Yatima wa Marehemu cloud utawajua tuu
Sanya mbona kama umeishiwa bana
Uyu mwamba akibadilisha nguo nipo pale nimekaa😂
😀😀😀
Kwani ukisema nimevaa viatu kutoka kwa Abdu kujamba itakuwa umekosea ?
😂😂Eti nmeanza kuongea kabla hajapokea cm
Ila Akili izi🤣
Naomba namba yako kaka tuongee nimuhim sana
MTI WENYE MAJAABU MENGI DUNIANI,UNAITWA ,( MTWALIGANA)
th-cam.com/video/7BnhoBpXgdw/w-d-xo.html
Sanya hivi unawekaga behind the scenes nataka kujua Kama ipo nichek
😄
Daah utani wa ngumi huu nikikulipa niite mbwa
Huyu jamaa ni good fara
Wabongo nae kwa kingereza ambacho hakina mazima kinaongoza
Sanya kuna vitu vinapungua kwenye pindi shida nini
Vitu gani
Vitu gani
Kipindi vinazidi mbona hukusema
Usipokuja kupigwa nipo.nimekaa hapa
Niitee MBWA HII KALI SANAA
Utanikuta APA nimekaa
😀😀😀😀😀😀
Ila mwanangu Sanya ipo siku mtakutana na kichapo tena haha 😄 😆 😢
Huyu dogo fundi
Cjawah pitwa na show kali
Duh
Seen by #Madsoft
😂 😂 😂
Da mwanangu nimecheka mpaka machoz yananitok
Matutaaa mawili Vs tuta moja 😂😂😂
Noma sana we mo town sanya unauwa kiku…..
Siku akikutana na mmi hatoludia teza kuigiza huo ujinga wake
Mtafinywa
Et nishaanza kuongea kabla ajapokea simu,,,, UOGA HUU 😂😂😂😂😂
Huyu bodaboda wa pili kichwa panzi kweli sasa anabishana kitu gani 🤣🤣🤣
Alafu anahasira zaharaka alishapata moto hahahaaaaa
🤣🤣🤣mniite mbwaaa
haaaa,,,,,sema boda mkalimu sanaa an
😃😃😃
ENJOY PINDI LA KIJANJA TOKA #WASAFITV #MoTownSanya #HiviNikweli
Ipo siku mtapigwa na kama hamjapigwa mniite mbwa nipo pale nimekaaa😂😂😂😂😂
Huyu akae na ndaro ndo wanaendana 😀😀
Halfu mara ya kwnza me nkajuaga ndaro
😅😅😊😊
duh uyu jamaa kauwaa
Oooy....baridiii mwambaaa
Ndo nini sasa😐
Hhhhhha uniite mbw utaua watu hhhhhhh na mo wako
Org aipingwi
niitd mbwa
Mikoan lini sasa jmani
😅😅😅😅
Jeshini utanipeleka na sikulipi nikikulipa niite mbwa😂😂😂😂😂😂😂😂we boya siku zako zinahesabika.
😂😂😂😂ipo siku mtapigwa nyie
yooooo 😂😂
Huyu jamaa umutumiage kilasiku anaua sana🤣 aliuakwenye tikitiki nyeupe nahumupia
Akakutana na mwenye anamu bana😂😂😂😂ati tikiti nyeupe ndani iyo imekatwa hajayipenda ati kata nyingine 😂😂😂😂
Watikiti ni ndaro uyu nimwingine
@@omarelhabibi4071 watikiti ndaro huyu ni j
Nyi mbwa mmemvamia mushi wa temboni jaman🤣🤣
Jamaa ametisha😂😂
😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🙌🏽my number one show
So pw 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Leo muna ni chekeshaaaa kabisaaa
Mecheka kabla ata sja angalia video😂 eti niite mbwa kama 2cpo pata ajali
Nikiacha kuangalia hiki kipindi nimekaa pale🤣🤣
Muite mbwa
Ipo cku mtadundw
🤣🤣🤣🤣🤣🤣✋
Pindi kali sana aseeh
Sanya
Mbona kama ndalo au bas
Hahahah miyeyusho😂😂😂
Cm yko ynguu😄
Kipindi kizuri sana
Msipo like hapa mniite mbwa nimekaa pale😂😂😂
Mbwa wewe
Mzeee wa niite mbwa hahahaha
Mtakuwa wap kipindi kijacho
Jamaa kauaaa watu wanavojaa mapemaa
Singeli hii Kali th-cam.com/video/NuyIw0_KqBs/w-d-xo.html
Nilichogundua boda boda wa Mjini wastaarabu sana.
Ni kwa kua hiyo ndio kazi yao wanayo
Ipenda
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅wallah nakufa mbavu zangu
Oya atagongwa mwanao uyo
Dah mamaeee
Hii ni baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼
th-cam.com/video/CTKEv7VUpRc/w-d-xo.html
🤣🤣
Unyama Sana jamaa ni fundi
Yaaa naua izo mm
Huna mpya
🤣🤣🤣🤣🤣😆😂