SHABIKI AMGANDA MAVOKALI, ANATAKA WAPIGE PICHA, MAVOKALI AKASIRIKA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ค. 2023
- SHABIKI AMGANDA MAVOKALI, ANATAKA WAPIGE PICHA, MAVOKALI AKASIRIKA
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Jamaaa anajua kuigiza balaa
NASUBIRIA UKAMZENGUE BOSS WAKO DIAMOND
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilivo msoma mavokali ni mpole sana
Kabisa ni mstalab sana✌️
😅😅😅😅😅😅😅
From the Capital city of Africa NAIROBI we are locked here
Kama unamkubali huyo jamaa mfupi gonga like hapa anajua kinoma
Mniachie mavokali nimemuwahi 🥰
Jaman huyu kaka Nampend nimpole sana 🥰
10:29 Mo Town Sanya mwenyewe alishindwa kujizuia kabisaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂
Bado boss wako diamond na yeye umfnyie prank😂
Unanipinga kaka 😂😂😂😂😂
Sema mavikaliiiiii mpoleeee sanaaaaa 😂😂😂😂😂😂
Sio mavikali babuu
Yule mjanja sio rahisi
Mavokali mstaarabu sanaa aisee huyo jamaa mungu kamjalia ustaarabu
Unyama sana sanya sanya
Mavokali mpole sana 😂😂😂
Sanya ww niballa why usim vamie chief God love
Hii kaliiiiii sana ya mavokali
Ila uyu kaka anajuwa kanichekeshaaaa😂😂😂😂😂
Kijashoooooo😂😂😂😂😂😂
BUNI KINGINE SANYA.. LAKINI HYO YA MITEGO WASANII WASHAIGUNDUA..KILICHOBAKI NAWAO WANAIGIZA KAMA MNAVYOWAIGIZIA
Walifanya video nyingi kabla waanze kupost
ABUNI KINGINE.. ..
HAPANA BANA . SHOW HII TU NAHISI NDO ILI RECODIWA LAKINI NYINGINE NI DIRECT SHOW. KATAZAME SHOW YA MEJA NA ILE YA MASHALOVE.. NA ILE YA NAI NDO UTAANIMINI
HAPANA BANA . SHOW HII TU NAHISI NDO ILI RECODIWA LAKINI NYINGINE NI DIRECT SHOW. KATAZAME SHOW YA MEJA NA ILE YA MASHALOVE.. NA ILE YA NAI NDO UTAANIMINI
@@iscoohguminho7622 zote zlilekodiwa muda asaiv wanaztoa tu
Sema mwana jau sanaa
Balo master..😃😂🤣
Sema brother mavokali unajuwa
😂😂 huyu jamaa hapana 🔥🔥
Mo town sanyaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa kamaind sana Yan
Mavokali😅
Mavokali nakupenda sana
idea nzuri
Nilikuwa naisaka hii kwa hamu❤❤😂
Noma sanaaa
Jamaa ana subra sana..
Me ningeshamla Mabanzi😂😂😂
Nimependa mavocali ajakuwa namapepe kama wengine maana uyoo jamaa alivokuja kutaka pcha na mavocal
Nakubali mkubwa mo
Alivyo ambiwa kua uyu Jamaa tupo naye huo mwondoko nmerudia Zaid y mara saba😂
Ahahahahaha dah ata mm nmerudia Mara tatu na kicheko juu
Huyu kaka ni mpole sana
Mwishoniiiii akakiwashaaaaaaaaa😂😂😂😂😂
Huyuu jamaa ameambiwa afanye icho anachofanya.😂
😂😂😂 daaah uyu jamaa nmecheka snaaa
Jamaa anajuwa kinoma
Sema uyo jamaa anajua sana kuigiza sana
Jamaa Mpole sana
Mwana katisha sna
Mavokal mstarabu xana 😄
Ila balo master
Mavokali wewe ni mpole tena uko bien kaka courage
Wamevaa Nguo za Christmas 🎄 😅😅😅
Nimecheka sana leoo😂😂😂😂😂
Uyuu jamaa anajua kuigiza sana sema lamata mvivu
Wanataka Watu wanaojulikana wanaacha vipaji
Baba levo naye
Pole
Ila mavocal ana subra sana anaonekana mtu mzuri mtu poa
Kijacho sana 😂😂😂😂😂
Goma kila siku nalicheza🤣🤣
balo master
sanyaaa😅
😁😁hataree
Mwamba nakuelw nomaaa
Huyu jamaa anaweza
Mavo kimekurambaaaaaaa
Like zangu Fex Boe.
Huyu ndiye angeeda kwa onesmo Sasa mnampelekea watu wanyonge Kwanza haoni pa kuwapiga
Uyu msanii ako vizur
ila mashabiki wa wasafi vichwa boss 😂
KAMZINGUE BABA LEVO, LAVALAVA, ZUCHU NA BOSS
NoMa SaNa
Huyu kaka anajua kuzingua 😂😂😂
Jamaaa msanii mavokali kachukua gongoo😅😅
MIT MARATARI
Niliijua hii😂
Oy huy jamaa anajua kuigiz hatr
Nimecheka 😂😂
Niko na kijsho kidgo
Sanya iyo umewuwa
Wakwanzi nyiye weuuh msinipite
Mbona wana tolerate hio kitu wamepanga😂
Uyo kaka anafanana Oscar Oscar 😂😂
Nimpole afu nimstarab mavokal hivo ndoinavtakiw 😂😂😂ingekua meja ashamkanyaga😂😂
Mbona meja akumkanyaga sema alitukana sana sema huyo mpole
😂😂😂 jamaaa ametisha kinoumaa
Manager mkongo kanuna😅
Aisee kwa style hi kwel uwez just lmk unachezewa atakm ukiangalia kpindi Cha mwenzio mana ikifikia kwako wanakujia kivingine kias kwmba huwez elewa
hiiii imeend😂
Dogo anajua sana kukaza anajua saaana anabidi akaungane na Mngojani
Ipo xiku 😂 mtapigwa 😂
Ka jamaa Kanaweza sana😂😂😂😂😂😂
Wa kwanzaaaa@2 bad
Mo tunangoja umfate boss wako diamond nae tumuone
😅😅😅😅 baba yangu mjumbe
Duh
Nguo za chrisimasi
kaka mo town ni career sio carrier
Mavokli nimpole saana tena saana alafu hanadhalau wengine wasani wengine hapo
Hahahah uyu mwamba wambagala nn😂😂😂🤣
mama anaitaka io Sanya
Huyu kijana aki yuwajuwa kazi yke
tunaomba rifresh ya mondi bas tuone
😂😂😂😂
Sanya umevaa kitugan apo ,umezingua leo
Nembo ya mtaa umejipata kaka
Uyo actor wenu ni pro max 15 kbsa 😅😅😅😅 nimekubali
Ipo siku tutaimba parapanda km mnabisha haya maana hasira zinakuja ghafla