1.Nataka kupokea baraka yake Mungu, nataka kubatizwa kwa Roho ‘takatifu. Ju’ ya ahadi yake napumzika sana, aliahidi mimi kupata Roho yake. Sawa na bahari, sawa na bahari ni neema yake anileteayo. Anayenijaliza, anayeniponyesha, ni Mwokozi wangu. Asifiwe sana! 2.Kanisa lake Mungu linaipata mvua, vijito vya baraka vinamiminwa sasa. Furaha ya uzima ni kubwa kati yetu. Tuimbe haleluya! Tumshukuru Yesu! 3.Mawimbi ya wokovu yanatujia sasa. E’ Mungu, tunaomba: Ujaze sisi sote! Watakatifu wako watakasike sana! Tuimbe haleluya! Tumshukuru Yesu! 4.Mawimbi ya wokovu yaliyofika kwetu, E’ Mungu, uyatume ulimwenguni mwote, maelfu kati watu wapate kuokoka, waimbe haleluya, wamshukuru Yesu!
Psalms 66:18-20 If I had cherished sin in my heart, the Lord would not have listened. But God has surely heard and answered my prayer. Praise be to God who has not rejected my prayer or withheld his love for me!
1.Nataka kupokea baraka yake Mungu, nataka kubatizwa kwa Roho ‘takatifu. Ju’ ya ahadi yake napumzika sana, aliahidi mimi kupata Roho yake.
Sawa na bahari, sawa na bahari ni neema yake anileteayo. Anayenijaliza, anayeniponyesha, ni Mwokozi wangu. Asifiwe sana!
2.Kanisa lake Mungu linaipata mvua, vijito vya baraka vinamiminwa sasa. Furaha ya uzima ni kubwa kati yetu. Tuimbe haleluya! Tumshukuru Yesu!
3.Mawimbi ya wokovu yanatujia sasa. E’ Mungu, tunaomba: Ujaze sisi sote! Watakatifu wako watakasike sana! Tuimbe haleluya! Tumshukuru Yesu!
4.Mawimbi ya wokovu yaliyofika kwetu, E’ Mungu, uyatume ulimwenguni mwote, maelfu kati watu wapate kuokoka, waimbe haleluya, wamshukuru Yesu!
Amen mawimbi ya wokovu uyatume ulimwenguni mwote maelfu waokoke hallelujah
Here in 2024 and replaying till I get the lyrics.
Amina Amina.... Kwa hakika ni Neema yake anileteeaye... Hallelujah... Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Psalms 66:18-20
If I had cherished sin in my heart, the Lord would not have listened. But God has surely heard and answered my prayer. Praise be to God who has not rejected my prayer or withheld his love for me!
An uplifting song❤...it has really been ministering to me of late...
I love you David. GOD bless you!!
Me too nataka kukupokeya mungu wangu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾be blessed David ❤️❤️
Ameena San 🙏🙏🙏😭😭😭
amen
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
Na barikiwaka sana Kila mara nasikiyaka Mwimbo za Wokovu, ina inaimbiwa na weye.
Mungu akubariki piya vile sana
Halelujah Halelujah🙏🏾
🙏🏾🙏🏾❤
Mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU BABA ALIYEHAI....
Nawaombea Baraka ZAKE Bwana! Upako wa Bwana na Uwezo wake Roho Mtakatifu viwe kwenye maisha yenu
God bless you dear David Imani !
Machozi yangu hayawi mbali nikisikiliza nyimbo za rohoni zikiimbwa na mtu wa rohoni
Glory,glory,gloooooory to
Mightly God,halleluuuujah.
Oh woow hallelujah this is powerful. Glory to you Lord Jesus
Mungu akupe balaka
Amen amen kaka yangu mungu atujaze zote🙏🙏🙏🙏🙏
Nakumbuka ningali mtoto iyo ndio nilikuwa na penda imbisha nyumbani wakati wa mahombi nyumbani. Nime barikiwa tena sana
God bless you
NI wimbo mzuri sana wa kumwabudu MUNGU
Mungu awe nawe daima
Hallelujah Amen Amen
God bless you my brother Mtama kweli ume nibariki
AMEN
Amena hallelujah hallelujah
Amina❤
The song is powerful the holy ghost at work ,,,,,napokea sasa
What a wonderful swahili song!
Good
Mungu akubariki saaaana baba
Halleluyah
Asante sana nimebarikiwa sana Mungu akukumbuke
VERY POWERFUL SONG!!!! GOD BE WITH YOU.
Glory to God... Powerful
Amina ndugu katika Kristo...Barikiwa.
Amen
Amen men
Please where is your church located..am in Mombasa,Mtwapa. Be blessed.
Ameeeeeeeeeeeeen🤝🤝🤝🤝🤝💪
Amen, you blessed me kbsa neema ya Bwana
Amen Amen Amen ubarikiwe Kaka yangu
Ubarikiwe kaka yangu David
🙏🙏
Amen baba ubarikiwe sana
Amina
Asante David ubarikiwe asante
Amen papa
Amen amen
Amen !!
Mbona was
🤲🏽♥️💐
Hallelujah
Amen, buana Yesu assifiwe
Hallelujah. This song has blessed my soul.
Amen Hallelujah
👋👋👋
Amen
Amen 🙏🙌😇
Amen 🙌
Mungu amen San 🙏🙏🙏🙌😭🥰🥰😷😷😷😷