Mungu wetu aliye juu mbinguni, akubaliki sanaa Mutumishi wa mungu, Iyo nyimbo inatushitaki sana, Kwa Sisi tunaishi katika Duniya hiii, Inatugusa Ku roho Yesu Kristo wanazareth aliye juu mbinguni, Atuombeye musamahani, Amen
J'ai vu les anges entrain de chanter cette chanson et je l ai cherché sur TH-cam j avais juste retenu allé alléluia alléluia Amina minachukuru mungu saana que le très haut te bénisse abondamment pour cette chanson céleste qui béni ses enfants
Jamani kwanini tusi ungane na ndugu David Imani kwaku sifu Mungu na nyimbo za okovu Mungu azidi kupa nguvu yaku mutumikiya
Mungu wetu aliye juu mbinguni, akubaliki sanaa
Mutumishi wa mungu,
Iyo nyimbo inatushitaki sana,
Kwa Sisi tunaishi katika Duniya hiii,
Inatugusa Ku roho
Yesu Kristo wanazareth aliye juu mbinguni,
Atuombeye musamahani,
Amen
David ubarikiwe kwanyimbo hizi zawokovu zinatusayidiya sana Mungu akowongezeye mafuta ya roho mtakatifu
2024 still listening to this song 🎵🇹🇿
Mungu wetu apewe sifa kubwa sana,
Yesu Kristo wanazareth aliye hayi,
Atuhulumiye sana,
Akupatiye mwisho mwema,
Jina la bwana libarikiwe milele kwa wimbo huu mzuri yamkini hata malaika wanapo sikia sifa hizi kwa mungu wanashangilia.
O
😂
Abaheburayo 13 :8.fulaha Yesu itabakiya hata vyote bimetoweka.tuko na Yesu na habadiliki yeye kamwe tunamuamini Yesu atatusaidiya tena🙌🙌😭😭😭09.10.2022
J'ai vu les anges entrain de chanter cette chanson et je l ai cherché sur TH-cam j avais juste retenu allé alléluia alléluia Amina minachukuru mungu saana que le très haut te bénisse abondamment pour cette chanson céleste qui béni ses enfants
Mungu Akubariki Sana mtumishi wa Mungu,tunakupenda kutoka Tanzania
Nyimbo za wokovu nzuri sana mno, ameeeen, Yesu abariki sana waimbaji wote.
Amen nabarilikiwa sana.
Nivema kumpenda Mungu alie tukomboa 🙏🙏🙏 be blessed 🙏
Neema haitakwusha kamwe ni neno kubwa sana
Barikiwa sana
Tutaiona furaha tele na utukufu hautaisha hallelujah Amen🙏🙏🙏
Wimbo wako nimzuli ubalikiwe sana kwawimbo
Mungu anakutumia sawa ndg angu huu wimbo unanigusa sana
Depuis la RDC. Que Dieu vous bénisse richement
Barikiwa sana ndugu
Very beautiful song from Tanzania 🇹🇿
barikiwaaa sanaaa
Bwana Yesu awe pamoja nawe sikuzote zamayisha yako
Mungu.kurinde❤❤🎉🎉🎉
Tazama iko pamoja nasi Neema haita isha
Hakika mungu nimwema
Pour nous les chretien c'est vraiment profond j'aime😍 ça me fait voir comnt Dieu est pour nous🤗
Bwana ni mwema.
Ubarikiwe sana amina
Amen ubarikiwe
Nakupenda sana baba Mungu 😢 🙏 Sita choka kukuabudu na kukunyenyekea.
Nabarikiwa na uimbajiwako mnooo
Mungu akubariki
Ubarikiwe zaidi na zaidi amen 🙏
Très bon
Kwa Mungu kuna kila kitu bya dunia nivya muda tu barikia zaidi baba🙇🙇🙇
Yes God bless you
Amen Amen Mtumishi wa Mungu asante sana Barikiwa sana
Wahuuu upewe sifa Baba
Amen, il m'a pris à sa charge dès mon origine jusqu'à ma vieillesse ,il reste le même 🙌. Donc mon avenir est assuré par Dieu 💃💃💃
Ubarikiwe sana
Mungu akubariki kwa kazi yake
ma chanson préférée
Nyimbo zako ninajisikia Mungu nikweli mbinguni nipazuri
Amen Amen Mungu akubariki sana mutumishi Bwana 🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana Amena amena 😀😀🤗🙂☺
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
God is good sure how confort I feel when listening 👂 to this song
Ubarikiwe sana 🥰
wow nimebarikiwa kweli kweli
Que la main de Dieu des Apôtres soit avec vs mutama, kongwa kunyimbo zawe kbs
Nyimbo zako zinanibariki Sana pastor imani 🙏 ubarikiwe Sana
Hareluya Amen ubarikiwe sana na MUNGU
Our GOD be blessed ever and ever!!!
Blessings to you and yours
BE BLESSED DAVID 😭😭😭😭😭😭
Aminaa audio jaman Google siupat.
Ameen
Blessing my brother.. you reminded me of home and great experience in God's presence
I pray for more Grace upon your life
Mungu muumbadji hakubariki Sana
Nice God we protect the world
ubarikiwe ndugu
This song has been blessing me, and give me hop again whenever I want to give up, I can't stop listening to it, may God bless you sir
Amen
Amina mubarikiwe 😭🙏🙏🙏
UTUKUFU WAKE HAUTAISHA
YANABAKI MILELE NA MILELE
Mungu asifiwe alleluia alleluia thank you Jesus 🙌🙌🙌🙏🙏
Depuis l'Italie gloire soit rendue à notre seigneur jésus christ, que le seigneur te bénisse
Beautiful song,be blessed brother Dav.
Wimbo Missouri Sana
Amina Mungu akubariki
Hallelujah Amen, mungu akubariki mchungaji Iman
tazama yuko pamoja nasi nehema hayitayisha kamwe haleluuu📖🙏🙏11.05.2023
May the Lord bless you in the name Jesus Chris
🥺🥺🥺🥺🥺🥺 yesu weeeeeee. Full of your Spirit lord
God is control
Amina🇨🇩🙏🏻
Great song. You have ministered to my soul. God bless you.
My dad loves you
michelange lve
Mungu alu barikiye sana 😭😭😭 un don du Ciel
Hey June 2022, here Is my song 🎵 ❤
Amina kubwa
Ameni
Ubarikiwe baba
Ubarikiwe ndugu
Que l'Éternel Tout Puissant vous bénisse
Ameeeeen👌👏🙌🙌🙌
Tutaiona furaha tele na utukufu
Great! Keep up the good Job Sir!
Mapinduzi pamoja
Haleluyah ,sitambukia kamwe
Asante sana,mungu akubariki sana kaka
Courage mutumishi wa Mungu
Tazama yuko pmj nas neema haitaisha kamwee
Que Dieu vous bénisse mon frère
Haleluya !!!
Nyimbo zako zinanipa nguvu saaan
❤❤
Amen thanks God for your blessings on me.
Be bless my brother
Dieu vous bénise richement
🙏🙏🙏
Be blessed
Am really blessed with this song
2k24❤🎉