OFFICIAL VIDEO UKICHUKULIWA NA MASHAKA BY DAVID IMANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2020
- ABONNEZ VOUS SVP, PLEASE SUBSCRIBE, KAMA UMEBARIKIWA TAFADHALI SUBSCRIBE NA UGAWE KWA WENGI MNO #tenzi za rohoni 140, #nyimbo #za #wokovu, #david #imani #gospel #east africa #ukichukuliwa na #mashaka yako.
PLEASE SPONSOR MY MINISTRY BY DONATING THROUGH PATREON, CLICK ON COPY THIS LINK TO BECOME A SPONSOR: www.patreon.com/user?u=25344244
WIMBO WA KWANZA WA NYIMBZO ZA WOKOVU VOL 2 UMETOKA NAO PIA, NI No 150 NATAKA KUPOKEA BARAKA YAKE MUNGU, UTABARIKIWA SANA KABISA, BASI ALIKA WENGINE NAO WAPATE BARAKA HIZO. - เพลง
Wau wanderful song
1. Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hofu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake.
Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Ukumbuke mambo yote pia, na utashangaa kwa rehema yake!
2. Na ukiudhiwa na huzuni nyingi, ukiona msalaba ni mzito, uhesabu mibaraka kuchwa pia, na kwa moyo wote utasifu Mungu.
3. Wengi watamani mali ya dunia; utajiri wako ni Mwenyezi Mungu. Uhesabu mibaraka na kumbuka: Mali haiwezi kufungua mbingu.
4. Na katika mambo yote huku chini ukumbuke pendo kubwa la Mwokozi! Na ujumlishe mibaraka yote, tena mwisho atakuchukua kwake! Mungu awabariki wapendwa 🙏
Number ngapi dada
Number 140
Merci ma sœur
,😢😢😢nashangaa kwa rehema zako Yesu
Ee Mungu wangu, Unikowe.😢
Amen Eeeeh Yesu wangu👩👦👩👦👩👦🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️niko hapa baba niguse Mungu wangu bariki kazi zangu watoto wangu Mme wangu
Keep anointing
nabarikiwa sana
Amen barikiwa ndugu
2023 this song still blesses me ❤❤ nikikumbuka nilipotoka na hapa nilipo😢😢 Asante Mungu kwa Neema na Baraka zako kwangu🙏🙏🇹🇿
Be blessed dear🙏
Asante saana kwa nyimbo hiyi, inakuwa baraka saana kwangu. Utukufu umurudi Mungu
Ukivuuta saana utamu unapotea
Powerful bro keep it up
Barikiwa frère David😘🥰🥰🥰
Nikisikiatu ewimbo machozi yanitiririka
Ni kweli
Asante sana Yesu❤❤❤❤❤
From tiktok to TH-cam it's a blessing
Mayisha marefu baba
Amen Amen
Cool
🎉🎉👏👏🙏🙏Amen Asante yesu
Amen utajiri wetu ni mungu,😭
Nabarikiwa sana na huu wimbo, mungu akubariki kwa wimbo mzuri
I'm here 2022 😭😭😭na bado song is still have a strong message 😢😢
Ubarikiwe Sana Mtumishi nyimbo zako zinanibariki sana
Iam heartbreaken today but God amenikumbuka leo😭😭😭😭😭
Mali haziwezi kufungua Mbingu.....
wengi watamani mali ya dunia
Utajiri wetu ni mwenyezi Mungu
This song 🎵 makes me cry when I listen thank you am blessed
thi is nice may God bless you brother Imani david
Napenda nyimbo zako be Blessed my brother.
Amen
Too many blessings
Ameeeeeena ❤❤❤ my favorite song 😭😭😭😭😭😭
English Please🙏
Amen amen 😭😭😭
May thé son of God Jesus bless you , ilove this song, utajiri wetu nimwezi mungu
Pppp
Lc:a1î
Am really bless by this song
Ilove this song,imenifanya nikapiga magoti kumsujudu mungu,
Me too. I just knelt down and went back to the word of God.
Me too. I just knelt down and went back to the word of God.
Alleluyiah
Nina tulizwa moyoni mwangu n'apo sikiya nyimbo aksante 🙏 sana n'a mwenyezi Mungu aendelee kuku Linda🥰💪🔥😘
Oh my God I feel blessed
Nabarikiwa
Please translate lyrics to English 🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@silviarose1122❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
J aime ça
Beautiful song beautiful video
Mungu akubariki Mtumishi wa bwana endelea na huduma tuko hapa ku support
May God bless you
Unanifikisha mbiguni baba .urumuhanga cyane. Mungu akuzidishiye
Amen sana 🙏🙏🙏🙏😇😇😇😢😢😢😢
Amen 🙏
Barikiwa napenda io wimbo sana
Thanks so much dear David. My God bless you forever
Amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤷
Love this song
Amen ubarikiwe bro wimbo mzuri sana wenye kutia moyo na kusimama kiimani
🙌🙌🙌
Amen ubarika sana ❤️❤️❤️
Nyimbo nzuri sana ubarikiwe
I feel blessed by your ministry my brother. This is a sign of a man who seeks the depths of Christ's dimensions. More annointing man of God
Safi sana
Nimefarijika sanaaa aiseee nimesioia Tik tok Ubarikiwe 🙏
Amene 🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️ ubarikiwe mutumishi wamungu 😭😭🙌
Que L'Eternel se souvient de vous qu'il vous bénisse richement
Ubarikiwe ndugu ndani ya yesu
These are the few unknown songs in the world that worth more than the mere grammys
Huu wimbo hunibariki sana
Barikiwaaaaa ,ndugu katika christu
AMEN 😭😭😭
Asante Mungu wangu kwa kazi ya msalaba. Nina ishi na ku pona kwa damu yako. Neema yako ya tosha.
Wimbo mzur sana
Amen ilove this one so much it always make my day ever
God bless you Sir
😢😢😢😢God have mercy
🎉
Am so blessed with this song from tiktok more Grace Man of God
Asante sana, niko naesabu mibaraka Mungu arinibariki! Mubarakiwe namwe piya!
May God bless you .
Woow nice song nimetafuta hii so g for so pong bt ckuwa najua jina ya artist... Usiku wa jana tune imeimba kwa my mind nd nkaamka nikaingia youtube thn nkatype ukichikuliwa na mashaka yako thn i got it ...praise be to God
I do like this song ❤️🥰 may God bless you brother and go deeper kabisa 🙏
Unanibariki sana kaka yangu, bado nakukumbuka ukimusifumMungu na mupendwa shabani
Amen blessings upon you
Let count our blessings and see what the Lord has done.Free oxygen am greatful my Lord
This voice is out of this world
Nimebarikiwa sn Mungu aidi kuwabariki
Nice song hallelujah hallelujah hallelujah Amen 🙌🙌🙏🙏
Wonderful glory to God 🙏
Ubarikiwe daima sana
Barikiwa ndugu!
I heard this song from tiktok ❤️❤️
Haleluya mibaraka yake mungu kwangu yapita fahamu zangu Amina yesu .nimebarikiwa
Amen and Amen. Indeed baraka zake ni tele
Great vocals 💕
Thanks you Jesus 👏👏👏👏
Siwezi sikiliza na nkose kuongea pia nko kwa situation fulani and when i hear this i cry silently
Glory glory
Nyimbo. Zenu. Zinanijenga
This song contains alot of glory be blessed man of God
Amen amen
So blessed
Amen God bless you brother
Amen this song touching be blessed bro David may God open way forward ⏩⏩⏩
Amen Amen Amen
this song's shall never get old to me😢
Ameeeen' God bless you brother
You have cool bro
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️