Huu wimbo naweza nikaurudia siku nzima bila kuchoka zaidi huwa unanipa kuabudu nakulia sana nikimsifu MUNGU. ASANTE Baba wa mbinguni kwa mtumishi huyu Roho mimina mafuta mabichi tena ndani yake..2022 still a blessing song
Huu wimbo huwa unanitia simanzi sana na unikumbusha msiba wa mpendwa wangu fulani. Kwa mara ya kwanza nausikia ilikuwa kwenye basi natoka Tukuyu nakwenda msibani Ilembula. Kila napousikiliza hunikumbusha siku hiyo. Be blessed Alex
Tafadhari kaka usibadirike ukaanza kuweka wacheza shoo ukaleta aibu kwa jina la Yesu .Naomba tukutane mbinguni jamani lkn waimbaji wengi mbingu yao labda watengeneze ya mabox lkn ya Mungu so rahisi kabisa .........Mungu awabariki hata wanakwaya hao Mungu awabariki hata kwa mwonekano wa heshima ..
Mungu. Nimwema nabalikiwa sana kwel kabisa kwangunihakiba hakika. Mungu yupo ktk shida yoyote ukimwita hachelewi wala hakawii kukujibu jaman sina lakusema mungu yupo jaman
Kwakweli huu wimbo unanibariki mno yaani siwezi kupitisha Siku kata mmoja bila kuusikiliza ubarikuwe sana ndugu pia naomba kama hutojari utupie na nyimbo zako zingine tuzidi kubarikiwa .....Niombi tu kma inawezekana Ubarikiwe
Ubarikiwe kwa uimbaji mzuri.Yesu aendelee kukupaka mafuta ili uendelee kumtumikia kwa njia ya uimbaji kwa viwango vilivyolatibiwa na mbingu, Uso wa BWANA uende pamoja na wewe ktk uimbaji wako ili Mungu aendelee kutukuzwa
Aisee nyimbo kama hii kiukweli sijawai kusikia apa tz hongera kk mahenge na timu yako nzima mmeimba kwa drja la juu kbisa mungu awe na nyinyi waimbaji wote mpo vema
i was learning swahili in duolingo and learned the phrase "Jina lake tamu" which meant "his name is". Out of boredom i just typed this in the search bar of youtube and discovered this beautiful joyful video from africa. Here in the west we only hear bad news from there thanks to media, but this video shows the other face i would've never seen without knowing the language. "One does not inhabit a country; one inhabits a language." said Emil Cioran very wisely. Greeting from Chile!
Nani mwingine anaesikiliza 2024 gonga like twende pamoja tumuinue yesu❤
Tupo apa
👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
Mungu yupo nasi
Nani anasilikiliza huu wimbo 2024 kama mimi
Roho mtakatifu aliuhusika kwa asilimia Mia katka wimbo huuuuuu ooooo my God nice songs I like it
Yes this songs is so very blessed to me
Nasikiliza nikiwa Oman hapa 2024 aise acha mungu aitwe mungu
Huu wimbo naweza nikaurudia siku nzima bila kuchoka zaidi huwa unanipa kuabudu nakulia sana nikimsifu MUNGU. ASANTE Baba wa mbinguni kwa mtumishi huyu Roho mimina mafuta mabichi tena ndani yake..2022 still a blessing song
Kwa kweli
L@@AgnesKilingo
Aminaaa Aminaaa Aminaaa
Huu wimbo ni roho mtakatifu aliusika asilimia 💯 utaishi miaka mingi
Ni 2024 lakin bado wimbo huu umekua faraja kubwa sana kama umetoka jana kumbe ni zaid ya miaka nane iliopita.
jina la yesu nitamu barikiwa sana kakaAlex
Kila niusikilizapo wimbo huu, huwa nabarikiwa sana, umejaa upako!
Plplppl
2024 tupo na hu wimbo bado hauchuji na unazidi kua mpya
Najisikia kubarikiwa sana kila nikisikiliza wimbo huu Mungu akubariki sana Alex mahenge
Hongera sana sana kwani huu wimbo umeutendea haki, Mungu akupe haja ya moyo wako mtumishi!
Ubarikiwe sana mtumishi
Jina hili ni Msingi Ngao Ngome Mwamba..
Naupenda sana huu wimbo Mungu akubaliki sana Mtu wa Mungu.
Haleluya nimebalikiwa san nahis niko kwenye dunia nyingine kabis
Huu wimbo naupenda saaaana
Ubalkiwe mtumish nikiskia wimbo huu nalala kabsa
Anaimba kama Chidumule 👏🏻
yaani Mungu akuinue zaidi
Ameeeeeeni 🎉❤❤❤ nakupenda namsikiliza mpka machozi
Kaka mahenge huu wimbo unaniiingia moyon kuliko nyimbo yyte ya Hapa dunian. God be with u. Nice voice
Wimbo bora kwa wakati wote
Mungu azidi kukuinua mtumishi
Katika nyimbo zinazonibariki huu ni mmojawapo,unanibariki sana huu wimbo jamani
Yap kwel mungu mkuu sana kwel niwimbo ambao kwakwel unaupako sana tena sana
Nyimbo kama hizi daaa kaka ubarikiwe sana mpendwa napendaga saaanaaaa💪🙏❤ nitumie no hata nikusalimie kaka
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu maana wimbo mzuri mzuri sana ila sijaona kazi zako zingine za hivi karibuni jamani
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli Ila sifazangu hizii bwana zikubalii,
sitamani huu wimbo uishe kila nikiusikiliz napata falaja kubw mungu azidi kuwabaliki amina
Huu wimbo huwa unanitia simanzi sana na unikumbusha msiba wa mpendwa wangu fulani. Kwa mara ya kwanza nausikia ilikuwa kwenye basi natoka Tukuyu nakwenda msibani Ilembula. Kila napousikiliza hunikumbusha siku hiyo. Be blessed Alex
Nyimbo hii bhana imenikaa
2022 naendelea kubarikiwa na nyimbo hii. God bless you mahenge
wakati wote niusikiapo huu wimbo nabarikiwa sana....in wimbo wa nyakati zote
Tafadhari kaka usibadirike ukaanza kuweka wacheza shoo ukaleta aibu kwa jina la Yesu .Naomba tukutane mbinguni jamani lkn waimbaji wengi mbingu yao labda watengeneze ya mabox lkn ya Mungu so rahisi kabisa .........Mungu awabariki hata wanakwaya hao Mungu awabariki hata kwa mwonekano wa heshima ..
I love this song Everytime I like hearing it and it lifts my spirit high ,waw b blessed man of God 🙏 listening from Kenya
Wimbo huu unabaliki sana hongera sana kaka
hii nyimbo ni shida jmn mtaani mpaka wananiita jina la yesu tamu mungu akubariki alex mahenge
Jina lake yesu tamuuu jaman wokovu laha sana
At Saudi Arabia this song is my daily pill
Hakika nafarika Sana na wimbo huu
2023 nazidi barikiwa na hii injiri. Asante mtumishi wa Mungu
Mlee mtoto kwenye njia anayotakiwa ili akizeeheka asiiache
Hivi waimba rohoni katika roho na kweli! Kama hawa wameenda wapi?! Siku hizi!! Kabaki Boaz peke yake?!
Nawashukuru waimbaji huu wimbo unanigusa Sana,, nasikiliza siku nzima na huwa siuchoki
Roho iliyoumia kwalo hutibika, nabarikiwa sana na hii Tenzi Mungu azidi kukuinua kwenye viwango vya juu zaidi Mtumishi Alex
Amina
Actualy jesus is living God we shoul worship special thanks be to mahenge
Mungu. Nimwema nabalikiwa sana kwel kabisa kwangunihakiba hakika. Mungu yupo ktk shida yoyote ukimwita hachelewi wala hakawii kukujibu jaman sina lakusema mungu yupo jaman
naipenda sana hiyo truck.. barikiwa sana mtumishi mahenge
Twende tukipokezena tena wamama... Nipo 2020
2020 nani anabarikiwa na huu wimbo kama mm
Kwakweli huu wimbo unanibariki mno yaani siwezi kupitisha Siku kata mmoja bila kuusikiliza ubarikuwe sana ndugu pia naomba kama hutojari utupie na nyimbo zako zingine tuzidi kubarikiwa .....Niombi tu kma inawezekana Ubarikiwe
Wababa tuimbe wote kwa pamoja amen
Asante yesu wangu kwa kutupa uhai Leo hii abalikiwa na nyimbo hii mungu baba mzudishie mtumishi wako Alex maono ya kukuimbia
Huu wimbo ,,,,,unanipa nguvu sana,,,,Huwa cchok kuucklz
Mungu akubrk kaka Alex na timu Yako,,,,,,yesu awatunze jmn
Roho mtakatifu akiwa ndani ya mtumishi Alex akatunga huu wimbo. God bless you 🤲🙏.
Ase 🙏🤸 Niko huru nilichoka Sana jamani kaka Asante nilikua skujui unaitwa Nani leo 13/6/2021 nkatembelewa na shemeji yangu ndo akaniambia
Ubalikiwe Sana mtumishi💪💪🔥🔥🙏
Hakuna jina linaloshinda jina lako yesu wangu
Hakika wimbo huu hunipeleka mahala flani pa pekee na nafsi Yangu huingia uchungu mwingiii na kurehea kwake aliye Mkuu wa Wakuu (Mungu)
Ubarikiwe kwa uimbaji mzuri.Yesu aendelee kukupaka mafuta ili uendelee kumtumikia kwa njia ya uimbaji kwa viwango vilivyolatibiwa na mbingu, Uso wa BWANA uende pamoja na wewe ktk uimbaji wako ili Mungu aendelee kutukuzwa
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli ila sifa zangu hizi nilizonazo yesu zikubali nitie nguvu nitende zaida mema
Amen ,nàbarikiwa sana na wimbo huu ,huwa nakusikiliza kila siku naurudia sanaa
barikiwa sana mtumishi wa mungu God bless u
Aisee nyimbo kama hii kiukweli sijawai kusikia apa tz hongera kk mahenge na timu yako nzima mmeimba kwa drja la juu kbisa mungu awe na nyinyi waimbaji wote mpo vema
nimefurahi sana kuusikia wimbo huu.Mungu ambari mtunzi na wote waliofanikisha wimbo huu kusikika hewani.
Daaah nyimbo ynikumbusha mbali hii cku ya mazishi ya baba mkwe ulipigwa Sana daa nikiskia nkumbuka mbali daa😭😭😭
i was learning swahili in duolingo and learned the phrase "Jina lake tamu" which meant "his name is". Out of boredom i just typed this in the search bar of youtube and discovered this beautiful joyful video from africa. Here in the west we only hear bad news from there thanks to media, but this video shows the other face i would've never seen without knowing the language.
"One does not inhabit a country; one inhabits a language." said Emil Cioran very wisely. Greeting from Chile!
Thats not true..jina lake yesu tamu means his name(Jesus) is sweet
Jina lake YESU tamu= the name of JESUS is sweet
Nice song congole Mtumishi wa Mungu,,,,Haitachuja 1000yrs
Nabarikiwa sana na hii nyimbo🙏barikiwa mtumishi.
Hallelujah hallelujah hallelujah powerful song Amen
raha tukichoka.....uzima kifoni...jina ni tamu....ubarikiwe.
Waoooo leo nimefurahi tumetembelewa na Mwimbaji huyo
wimbo mzur sanaaa Mungu akubariki sana
Moyo wangu auwezi kukusifu kweli, Bwana , Uzima kifoni Barikiwa sana watumishi wa MUNGU kwa nyimbo zuri
😭😭😭😭🙏🙏🙏 what a song be blessed
Anyone 2020??
Jina la yesu tamu roho iliyoumizwa bwana hutuliza wimbo unanitoa machozi
UZIMA KIFONI. MUNGU NAKUSHUKURU MNOO.
Wimbo safi sana ila badilisha video iwe ya kisasa zaidi
Nani mwingine anasikiriza huu wimbo 2023 na ukawe wimbo wa kufungia mwaka
2024
Jina la Yesu ni kuu kuliko majina yote, wimbo mzuri sana unabariki na kututia moyo.
ni nyimbo nzuri yenye kumfaji kila asikilizaye ubarikiwe
nyingine kama ii jaman mana mnaweza ad laha kuiskiliza msifun mungu alie hai
nabarikiwa sana na wimbo wenye upako mbarikiwe kwa ujumbe mzuri
Ooh yesu Asante wimbo mzuri Sana mungu wangu akubariki
Hakika jina la yesu hutuondolea ,barikiwa
Hongera kwa sauti kaka mungu akbariki
Mungu akubaliki Sana kwa wimbo mzuli huwa siishiwi kusikiliza
Nabalikiwa Sana nikisikiliza hii nyimbo barikiwa mtumishi wa mungu alex
nabarikiwa xana na wimbo huu mbarikiwe watumish mpaka mshangae
Nakupenda sana huu wimbo jaman sichoki kuusikiliza
Amina mtumish Wa Mungu azidi kukutangulia katika huduma yako ::: maana ninabarikiwa saana ña huo wimbo Wa (jina lake Yesu tamu ))
Ubalikiw sana mtumish wa mungu
Sjui niseme nn kwa hi nyimbo, inanibariki sana
Good song God bless u!!
jamani Jina lake Yesu tamu ,,😆 uskubali kuadisiwa njoo bado anakungoja
An anointed worshipper with a very powerful voice. I feel so blessed
Hakika kweli jina LA yesu ni tamu, kuna mdada kavaa sweta la pundamilia anaimba kwa hisia kweli Abarikiwe na BWANA
wanawake wa yesu tuimbe hapo
Unapapenda hapooooo
Nabarikiwa sana hapo!
Iko bomba sana
Pazuri sanaaaaa
Hallelujah any one December 2019??
Sio ww tu, wote yaani
Ni taamu ya kweri
kiukwel huu wimbo ni mzur zaid saut tu daaah