Na hii kesi ni ya mda mrefu duu, asa anamtu anaweka kanisa kwa ardhi ya dhuluma watu hawaogopi Mungu kweli nimeamini makanisa mengi ni biashara ya kujipatia kipato.
@@PrinceHendry-hp8vvTumia akili vizuri ,Kama hakumshirikisha msimamizi wa mirathi,alinunuaje sasa?.unawezaje kununua mali bila kumshirikisha msimamizi wa mali?
Alitumia eneo hiyo kwa mda mrefu kwahiyo malipo yake ni nyingi nafuu awache kila kitu hapo au amlipe huyo bwana kiasi alikuwa akitumiya eneo la watu kwa mabavu.
Hili ni somo. Watz tujifunze. Ni kosa kumrubuni/ kuelewana na mmoja wa watoto wa Marehemu ukuuzie Eneo la familia yao. Mahakama italirudisha hilo Eneo kwa familia husika. Ukiwa na hela na umetamani mali zao ongea nao wote na ufuate utaratibu wa kisheria utakuwa huru na mali hiyo.
Ukifuatilia unakuta Kila Mtu ana hati milikiki halali, shida Iko serikalini, Hii migogoro ni Mingi nchini, mfano Kuna wasioweza kuendesha kesi inakuwaje zaidi ya kudhurumiwa😢
Usipo ijua Sheria usicomment utakavyo. Warning ⚠️. 1: eneo likitumika miaka zaidi ya 5 Mwenye eneo akitokea baadae itabidi atoe fain maana alifanya uzembe japo atapewa eneo lake. 2: ikijulikana eneo lilikuwa sio halali kwako, mahakama huamua Vitu vitolewe ila eneo lisiharibiwe, hutoa order ya siku kadhaa. Haki kisheria hapo. Huyo Ask atoe vitu vyote na kumkabidhi eneo.
Safisana dalali msomi nimekupenda sana wewe ndiyo dalali unae itajika katika nchi hii siyo wale wanao jifanya ubabe hata kusoma hawajui japo eneo la mwenye haki apewe so warudishieni hao vijana wa Taitas eneo lao
MIMI NAANGALIA UPANDE WAPILI SHETANI BAADA TU YA MONABAN KUWA MTUMISHI MKUU ASKOFU AMETANGAZA VITA NA SHETANI NASHETANI ANATAKA KUMUAIBISHA SASA MZEE MONABANA RELAX MUNGU ATAKUPA MARA ELFU ZAIDI ondoa shaka it's a devil agenda to prove you wrong on your agenda achana nayo kwaamani naachilia moyoni vipo vingi kwa Kristo songa mbele historia utaiandika
Asante sana makonda wewe ni jembe watakuelewa tu hao watendaji wa hovyo, ndo kwanza umeongea mara moja lakini tunaanza kuona viongozi wakipambania nafasi zao 😅😂
😂😂😂😂 ss makonda kafanyaje kwenye hilo embu tumia akili bas hilo swala la mahakama sio makonda Sheria imefatwa bas wala sio huyo unayemsema jinga kweli ww. Tupishe kwanza na akili zako mgando hizi😂😂😂😂
Basi wenye ardhi watakuwa wakorofi,haya ni maisha,mwache mtu achukue mali yake kila mtu abaki kwenye salama,haya mambo ya dhuluma huwa yanaishia pabaya sana
HAWA MAWAKILI NI AMNA KITU,APA DAR TULIONA GOROFA LINABOMOKEWA NA AMR YA SERKAL, KWA KUWA ARDHI PEKEE NDIO ILIVAMIWA, NINYI WATU WA ARUSHA MSIIHARIBU SIFA YA SERKAL, NAOMBA RAIS SAMIA MAMA ETU AANGALIE
MAMA amemleta makonda, atawashukieni tu NINYI mawakili huwenda mmeziea NDO MAANA mmenenepa mashavu na vingereza vyenu VYA kuungaunga ,tutaona kama SHERIA inasemaje, kama HUWA hamvisomi vibao vilivoandikwa indoa ,serkal unaandika imondoa NINYI mnaandika nynganya ,ok itajulijana tu kuwa kama hiyo mahajana ni shamba la Bibi ama vipi
Tafsiri ya kihuni. Alipokuwa anajenga huyo mmiliki alikuwa wapi? Alipokuwa anajenga hapo hakiharibu muonekano anaharibu anapotaka kuondoa? Wanasheria wavimbweta, lecture notes, vitini, na kukariri. Utapeli ni black suits.
Ila Tz tunachuma kinaitwa MAKONDA🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Aloo huyu jamaa sio tu anabalaa ila ni anamiujiza 😅😅
Achieni eneo la watu mnadhulumu watu kwa sababu ya pesa zenu sasa imegoma, Mungu naye anawafuta machozi walioonewa
ukimuona askofu au kiongozi wa kidini anajiweka karibu sana na CCM ujue ni mtu mwenye maovu na anatumia dini kama ngozi ya kondoo kuficha maovu yake
Yani arusha Kwa kesi za viwanja ni noma sana,very serious ikikupata huna maokoto utaambulia Tu kilio ata aliepambana na mona ban lazima yuko vizuri
Na hii kesi ni ya mda mrefu duu, asa anamtu anaweka kanisa kwa ardhi ya dhuluma watu hawaogopi Mungu kweli nimeamini makanisa mengi ni biashara ya kujipatia kipato.
@@nassercurtis9579 Makanisa mengi ni miradi ya watu.
Mwenye haki apewe haki yake. Mwenye mali atoe mali zake.
Yes
kweeeli kweeli hapa umenena kama kama mwanasheria🤝👏👏
Aondoke haraka dhuluma mbaya sana
Hakudhulumu aliuziwa na kaka mkubwa ambae ni marehemu tatizo hakumshirikisha msimamizi wa mirathi so waliobaki hai wamemgeuka kwa kosa hilo
@@PrinceHendry-hp8vvTumia akili vizuri ,Kama hakumshirikisha msimamizi wa mirathi,alinunuaje sasa?.unawezaje kununua mali bila kumshirikisha msimamizi wa mali?
@@PrinceHendry-hp8vvsote tujifunze hilo ni somo
Umeonaeee!
Eneo chukua but vitu vyake na mali zake mpeni. Otherwise ni Wizi
Alitumia aridhi ya watu kujizalishia kinyume na sheria Kwahiyo muda alioutimia kushikilia aridhi isiyo yake alitakiwa kulipa fidia, Kwahiyo awe mpole
Actually
Hakuna uwizi, mvamizi ni mwizi.
Actually alitumia ardhi ya watu kwa wizi, ki sheria aondoe vitu vya kuhamishika tu sio kuharibu ardhi
Kuchimbua matank ataharibu hapo pia uwekezaji huo akipata faida inamtosha ,
Haya bhana ngoja tuone hiyo rufaa itawasaidiaje? Maana tayari mwenye kiwanja chake amesharudishiwa kisheria. Dhuluma mbaya sana.
Makonda is inside 🙌🙌
Umeona tena ana bahati mbaya sana
Kwani makonda ndio mahakama usiongee kishabiki cha msingi ni mwenye mali apate haki yake basi hayo ya kwako Baki nayo tupishe kwanza ndg yng.
Imechangia
Mungu kasimama na mwenye hakim kess ya sikunyingi jaman
Alitumia eneo hiyo kwa mda mrefu kwahiyo malipo yake ni nyingi nafuu awache kila kitu hapo au amlipe huyo bwana kiasi alikuwa akitumiya eneo la watu kwa mabavu.
Ndani Ya Mkoa Yuko Makonda Unazani Kutatokea Nini Kwa Watenda Zuruma Wao Na Mali Zao Auti Kwakua Awajui Kama Yuko Simba Kwenye Mkoa Wao
Ata Makonda kuna mengi hata weza kutimiza... Yeye Ni mteule wa kisiasa!
Ni kweli n kupoteza MDA na gharama hiyo Mali n ya Titoz ebu muulizen kanunuaje na makaratas ya sahin ya watt wake Iko wapi
Liyeopewa hilo eneo aliuze akajiwekeze sehemu nyingine
Askofu monabani kwisha kazi yake
Kazi kweli kweli
Duh, naona mtu akifilisiwa apo kimya kimya Mungu amsimamie mwenye haki aipate Mungu amsaidie😢😢😢 pastor
Shida hapo ni kuhozi Mali ni uchu wa Mali kama kweri ni Wacha mungu muachiani atoe vitu vyake
Katumia eneo la watu miaka yote bila kulipa kodi, asitoe hata kitu kama fidia
Ndiyo
Kazi iendelee nakuamini saaaana
William hongera kupambania Mali ya baba na Andrew hongera Sana kwa kazi nzuri ww Ni wakili msomi
Hapo mmepigaje?hongereni Sana kwa kutetea haki za wanyonge
Huyo mzee mrushi hana ata haya , utafkr mvuta bng
Hili ni somo. Watz tujifunze. Ni kosa kumrubuni/ kuelewana na mmoja wa watoto wa Marehemu ukuuzie Eneo la familia yao. Mahakama italirudisha hilo Eneo kwa familia husika. Ukiwa na hela na umetamani mali zao ongea nao wote na ufuate utaratibu wa kisheria utakuwa huru na mali hiyo.
Kaeni mezani mtafute suluisho maana ninyi ni ndugu. Angalieni kanisa la Mungu wetu.
Ya Mungu mpeni Mungu na ya Kasari mpeni Kaisari.
kwa vile makonda amefika Arusha ndo haki imeanza kutendeka lkn ingekuwa amn kitu piga kazi MH makonda mungu ata kulinda
HAKI wkt kavamia eneo SIO lake HAKI anapata Wapi hv nyie mawakili hamna hofu ya mungu maana mnatetea vitu wkt mnaona Kabisa kuwa kuna dhuluma
Mwenye haki apewe haki yake 🎉
Mnakera anadhuluma nyingi sana amenirusha Hela yangu
Ukifuatilia unakuta Kila Mtu ana hati milikiki halali, shida Iko serikalini, Hii migogoro ni Mingi nchini, mfano Kuna wasioweza kuendesha kesi inakuwaje zaidi ya kudhurumiwa😢
Kwann asiondoe nyie mnataka kiwanja au sheli kiwanja ni chenu na mmesema kavamia basi mwacheni atoe vitu vyake
Kwanini aliviweka?
@@Ndu-wa.uroony2 uliza maswali ya ufahamu
Unazani wenye ardhi wangepata sh ngapi miaka yote hiyo aliyoshikilia ardhi?
@@shabanponera2895 unapochangia mada usiende kichwa kichwa km hujui kitu sisi tuko arusha na karibu na hao wote tunajua nn kilifanyika
@@shabanponera2895 na ndio sababu unaona mahakama bado inamsikiliza ikimanisha aliuziwa eneo kwa utapeli
Mbona wakati anavamia hakusubr
Usipo ijua Sheria usicomment utakavyo.
Warning ⚠️.
1: eneo likitumika miaka zaidi ya 5 Mwenye eneo akitokea baadae itabidi atoe fain maana alifanya uzembe japo atapewa eneo lake.
2: ikijulikana eneo lilikuwa sio halali kwako, mahakama huamua Vitu vitolewe ila eneo lisiharibiwe, hutoa order ya siku kadhaa.
Haki kisheria hapo.
Huyo Ask atoe vitu vyote na kumkabidhi eneo.
Haki pande zote inaitajika
Kwanza wewe mdai uliacha mke namtoto umalaya ulikuzidi na ndio maana uludhuluiwa ulikuwa wapi?
Wamasai wanaongoza kwa kujimilikisha mali za ndugu zao
Safisana dalali msomi nimekupenda sana wewe ndiyo dalali unae itajika katika nchi hii siyo wale wanao jifanya ubabe hata kusoma hawajui japo eneo la mwenye haki apewe so warudishieni hao vijana wa Taitas eneo lao
1:14
DHULUMA NI MBAYA SANA, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO
Me tangu ninakua namsikia monabani na anavyosemwa na jamii huwezi jua kama anazurumu wengine
Karibu wote wanajina la Mollel
Wamasai wote
Dalali wa mahakama gonga like😂😂
MIMI NAANGALIA UPANDE WAPILI SHETANI BAADA TU YA MONABAN KUWA MTUMISHI MKUU ASKOFU AMETANGAZA VITA NA SHETANI NASHETANI ANATAKA KUMUAIBISHA SASA MZEE MONABANA RELAX MUNGU ATAKUPA MARA ELFU ZAIDI ondoa shaka it's a devil agenda to prove you wrong on your agenda achana nayo kwaamani naachilia moyoni vipo vingi kwa Kristo songa mbele historia utaiandika
Relax unavingi vyakujivunia kwanzautumishi ulioitiwa niwakiMungu tena ulisubiri kwa muda sana
Jina linguine ni court beilif
Namtakoma matapeli wa Arusha kwaicho chuma kilicho tuwa uko makonda akiipata ihi mmeisha achieni eneo lawatu kwani kwenu apo.
Asante sana makonda wewe ni jembe watakuelewa tu hao watendaji wa hovyo, ndo kwanza umeongea mara moja lakini tunaanza kuona viongozi wakipambania nafasi zao 😅😂
😂😂😂😂 ss makonda kafanyaje kwenye hilo embu tumia akili bas hilo swala la mahakama sio makonda Sheria imefatwa bas wala sio huyo unayemsema jinga kweli ww. Tupishe kwanza na akili zako mgando hizi😂😂😂😂
namuona olais mashavu yamevimba kanunaaa😂
😂😂
Waumini watampa eneo lingine😂
Basi wenye ardhi watakuwa wakorofi,haya ni maisha,mwache mtu achukue mali yake kila mtu abaki kwenye salama,haya mambo ya dhuluma huwa yanaishia pabaya sana
Askof kumbe nae mdhurumaji na aksjenga na Church hapo ilikujihakikishia life 😅😅😅
😂😂😂
Pia anatakiwa kulipa kwa mwenye eneo angepangisha angeingiza hela ngapi acheni ushabiki
Hela ni shida yako wewe na mimi na hilo litajadiliwa baadae kwa sasa wenye eneo wakabidhiwe eneo lao.
Huyo ni mfanya biashara,siyo askofu wa ukweli.Aibu
Hawa mawakili bhna yaani wao wanataka kuvuna tu na mtu ashapewa tuzo huko 😂😂😂
kumbe wachungaji hawan dini ni biashara kumbeeeeee
kujifanya kanisa kumbe wanafanya uwezaji kisirsir kea njia ya uchıngaji na kanisaaaa
3:19
Hawa wanaojiita, maaskofu, na ma pastor's, kwa nini hupenda kudhurumu,ardhi za watu?
Ameweka kanisa watu waogope ,,😂😂kanisa ni byashara 🥱🤗🤣
Bongo Aruna kazi. Cheki mijitu ilivyo jaaa nomaa sana
Alipokua anavamia ,,acheni uhuni aondoke Leo mbwa nyie ,,mnavamia sababu ya pesa zenu
Acha usenge mwache abomoe si mali yake
Tena mwenye mali akiamua kudai fidia ya kuendesha kesi na hasara ya kudhulumiwa eneo lake miaka yote hiyo itakua ngetwa
Kweli hii ndo arusha vunga baba hawajakosea
Mollel kavamia eneo la Mollel na kaondolewa kwa msaada wa wakili Mollel...xmas ijayo lazima wazichape kijijini lol
Mim na shangaag kama alivamia siku zote mkikuwa wap muqcheni aondowe malidhake msimzurm jaman 😢
Walikwenda mahakamani sasa mahakama ndiyo imetoa hukumu
Jeuri sana huyo ndo wanaotesa watu hao
Asilimia kubwa ya makanisa arusha wanakesi mahakama kwa zulma ya maeneo
Hilo ni eneo la mtu si kanisa
Mbona wengine tuliona mnaondoa vitu Kwa gred , vipi Sasa huyo asiondoe vitu vyake
Wanataka kuchukua Mali zake wamuache atoe kwanza dah 😅😅
Udalali siyo ubabe Bali ni usomi na sheria dalali yupo vema sana japo inatakiwa huyo mona bani arudishe eneo la vijana wa Taitas
Yaani mimi sielewi Mwizi anachukuwa Mali ya Wenyewe Korti inaamuwa hlf huyo huyo anarudi Korti Wanacheza na Sheria
Kazi imeanza
Mmmmmh makubwa,
Aondoe mali zake lkn alipe fidia yakutumia Ardhi miaka yote.
Hii n tofaut na sheli ile nyingine
HAWA MAWAKILI NI AMNA KITU,APA DAR TULIONA GOROFA LINABOMOKEWA NA AMR YA SERKAL, KWA KUWA ARDHI PEKEE NDIO ILIVAMIWA, NINYI WATU WA ARUSHA MSIIHARIBU SIFA YA SERKAL, NAOMBA RAIS SAMIA MAMA ETU AANGALIE
MAMA amemleta makonda, atawashukieni tu NINYI mawakili huwenda mmeziea NDO MAANA mmenenepa mashavu na vingereza vyenu VYA kuungaunga ,tutaona kama SHERIA inasemaje, kama HUWA hamvisomi vibao vilivoandikwa indoa ,serkal unaandika imondoa NINYI mnaandika nynganya ,ok itajulijana tu kuwa kama hiyo mahajana ni shamba la Bibi ama vipi
Hilo kabila wana Tabia ya kugombania ardhi ile mbaya.
Ila duniani tunagombania mahekari ila mwisho wa siku tunamiliki futi 6 na tani ya udongo😂😂😂 Anyway ukiwa hai pigania haki yako ila usijisahau
Hawa watu walisha zoea uonevu alaf mshenzi huyo eti ni mchungaji sjui askofu 😂😂
Hivyo vitu vyote ndo fidiwa ya wenye eneo hilo
Nani sasamkweli?.maaskofu km.ndyo hivi kondoo watakuwaje kweli Mungu atajua mwenyewe.unajenga.kanisa kwenye eneola dhuluma.?
Hivi Hadi amejenga kiasi hicho serikali haikuwepo? Walijua waliona kwann wasingemsaidia mapema Hadi amejengaaa , wanazidiana mchezo wakupeana pesa
Jamani apewe vitu vyake kihalali...aache eneo la watu...au wanataka sheli...???
Ardh ni uenu na vitu vyake pia mnaviitaka acheni uonevu
Alivo kuwa anavamia wamiliki mlikuwa wp ad mkaacha anajenga anatumia kwa mda wote huo kwamba hamkumuona au hamkuwepo
Hapo shida mawakili mim niombe kesi inaposhinda wachieni watu wapate Hali Yao mnapomshauri mtu akate rufaa wakati kashinda it's not better
Jamani si mngemwambia anunue eneo jingine la ukubwa huo ampe mlalamikaji kuliko kuvunja
Hawa mabosi huwa majeuri,,,yanaringia pesa,,,Sasa dawa ya jeuri ni kiburi.
Kama unaishi Arusha hilo eneo ni hot cake ukiamua kuuza ni billion labda
Sio nilion ni mabilion
Tafsiri ya kihuni. Alipokuwa anajenga huyo mmiliki alikuwa wapi? Alipokuwa anajenga hapo hakiharibu muonekano anaharibu anapotaka kuondoa? Wanasheria wavimbweta, lecture notes, vitini, na kukariri. Utapeli ni black suits.
Sawa haki hutendeke
Achia eneo la watu wewe, toka MWAKA Juzi unaling'ang'ania,kwanini unang'ang:Ania?
Au sijaelewa mbona wote Molel
Makondaaaaaa
Kwa hiyo mnatakasheli ya mwenzio umiliki wewe mwache ahukue vitu vyake unapenda mlima kitonga boma yenu umeiacha imekuwa pori unaenda kugombania kiwancha
Kama watachukua hizo mali zake haitakuwa sawa maana hata yeye hatujui aliemuingiza mkenge wa eneo
Hello
ukimuona askofu au kiongozi wa kidini anajiweka karibu sana na CCM ujue ni mtu mwenye maovu na anatumia dini kama ngozi ya kondoo kuficha maovu yake
Ondoa mapema acheni ujanja kutumia mahakama kudhurumu
wangeleta greda chap watengeneze uwanja wa mpira
Tanzania nchi yangu
Kaama alivamia alafu akajenga Kanisa hatahilo kanisa sio halala😂😂😂 jaza viroba humo pumbavu
Kama ameuziwa akadai mbele ila mwenye haki apewe watu hawaogopi
Achen makonda ndiyo mahakama sheria imechukua mkondo wake
Aibu ,aache Mali ya watu aondoke
Kumekucha tajiri MSUSU
Uyu jamaa siaje uku nimpe eneo serekali wanamsumbua mwekezaji mzawa
Ongera wakili
afu ni Askofu ?! 😢😢
Wakili Upande wa mlalamikiwa ni kanjanja
Mbona MOLELI MOLELI
Jina kubwa la maasai so nafkr n faml pia
Kuna koo mbl t, mollel na laiza
Duh