Lazima tu set boundaries la sivyo kila mtu aataingilia maisha na kufanya maamuzi kwangu huji bila taarifa na nikubali kama kwa kipindi hicho anaweza kuja , ni bora aniseme vibaya kuliko aje alale na njaa ataniita mchoyo kumbe hali ngumu
ALAFU FRIDA HAPO KWENYE KUPIKA ALIKUWA ANAFANYA VIZURI KUJIPIKIA CHA KWAKE TU KWASABABU MLIKUWA WATU WAWILI NA HAJUI UTARUDI SAA NGAPI NA KAMA UTAKULA HICHO CHAKULA. SO KULIKO KUHARIBU NI BORA APIKE CHA KWAKE TU. ILA NI VIZURI ANGEKUWA ANAKUULIZA.

Ila vidox 😂😂😂 et kupasha kiporo😂😂
Ukweli lazima mgeni atoe taarifa haijalishi ni ndugu ama rafiki.
Kiherehere na ustaarabu muhimu cwezi kuvumilia.
Millard ukakiuka ukaondoka na uliyoyaona😂😂😂
Mimi hata ukinipa taarifa kwakwel cpend2....napenda sana kukaa mwenyew tu.....alaf me mwenyew cpend kwend kwa wa2..
Kwa maisha ya dar na kwa kipato changu hapana ndugu mnisamehe tu siwataki kwa wakati huu😂
MIMI KWAKWELI LAZIMA UNI TAARIFU UNAKUJA LINI NA UNAKAA SIKU NGAPI. KWASABABU MIMI NAPENDA MY SPACE KUWA MWENYEWE.
Millard ni mtu na nusu very wise. Hao wngine ni selfish
Nawapenda bureeee❤
Frida uko sahihi😅😅
mgreni anayeniulizia ulizia zaidi mamabo yangu ya binafsi,mbona umefanya hivi,nanai kafanya kile,kwa nini imekuwa hivi,n.k.........
Frida hiyo ya kupika chakula chake naelewa kuna wengine hajiamini sana katika mapishi wake hivyo anaona ni bora ujipikie Mwenyewe tu.