TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 11): Sayyid Ali bin Humoud, sultani aliyekimbilia Ufaransa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2020
- Alitayarishwa tangu utotoni kwake ili aje awe sultani wa Zanzibar lakini miaka michache tu baada ya kuwa madarakani, aliamuwa kuachia usultani na kuishi kama raia wa kawaida nchini Ufaransa. Yeye ni kitukuu cha Sayyid Said bin Sultan.
- บันเทิง
Ningependa sana kama mngetujulisha maisha yake baada ya kujiuzulu
Said Ali alicheza Kamari in Italy Nepel alidharauliwa sana na waingereza kwskuwa alikuwa na features za ki Africa na Kitumwa. Waingereza walikuwa hawakumrespect
shukran historia ni nzuri kujua
MASHAALLAH, JAZZAKALLAH KHERI TUMEJIFUNZA HISTORIA NZURI YA WAFALME WA ZANZIBAR
Ibu ghareeb? Au abughreib prison in Irak au we'd were Vipi??? Kula mishikaki na utoko weyeeee!!! Hahaa ETI Una kiwanja cha kujenfa Bumbwini? Au mfenesi mazizi?? Au kiembe samaki??? Au mchamba wima???? Au mfereji maringoooo??? Wee Vipi? Eti gharib daah wewe nenda kale madogi na mausultwani weyeeee!! Daah alghareeb??? Haaa nyau weye!!! Unatamani mke WA MTU??? Daah Hadi unamchekea ATI wamsaidia? Watamani matako yake!!! Hahhh!!! Watamani akinya mavi yake unuse? Wee ghareeb wee abughreib!!!!
Kweli maisha ni story tu basi iwache iwe nzuri kabla ya kufa, kwani dunia ni mpito tu.👈
Waingereza waliwadharau sana Wazabzibari na utawala wa kifalme wa zanzibar kwasababu ya uislamu. Na waingereza wana laumiwa sana kwamba hawakuweza kuijenga au kuboresha miundo mbinu Kwa macoloni yao. Nitofauti na Wafaransa. Wafaransa wameijenga sana Morocco, Tunisia ,Algeria nk. Muengereza nchi zote alizoxitawala aneziacha in rubles with poor building & road or infrastructure.
South of France ni Nice ama Marseille!
sheikh anasema 1996, naona anakosea. Nadhani sahihi itakua 1896.
Dr.Salim
Anasimulia Lakini Anaumwa
Hakupata msingi wakufuata culture za European.
Mbona hukutuambia baada ya kujiuzulu alirudi znz au alibakia hukohuko ulaya
Zanzibar ina good history
Kweli lkn hatufundishi historia yetu
Naomba tumpate Jemshidi katika Gumzo
@@nassoraly8070 wajua watu wakijua watadai haki zao ndio maana haielezwi
Inakuwaje historia ya zanzibar inahusu waarabu na wazungu tuu??? Iko wapi historia ya mwafrika???????. Na ndio maana zanzibar iko hivo.
Kwasababu wazungu hawakintaka native zanzibar wasiwe na elimu. Na ndio maana Ni Sawa na historia historia ya Tanzania haiwaingizi Wazabzibari kwanini?
Ali IBN humud alikuwa Mwafrika
Mwafrica khaaHhh!! What's that? Who is mwafrica anyway???