NGOME KONGWE YAFUKULIWA MAKABURI YAKIWA NA MAITI NDANI ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
    #Muuminina​ #Dida​ #Juhuditz​ #Al​-Muuminin #Adila​
    #Mwanacha​ #Afnania​ #Stumai​ #Zuchu​
    #muminina​ #Qadiria​ #zanzibarqaswida​ #AFNAANIA​ #DIRECTORONE​.T #Future​ Tz #Wasafi​ Media #Z​MASTORY #Juhuditz​ #JUMA​FAKIH #Zanzibar​Qaswida #AQAZ​Studio #Al​-muuminin #Yas​mediaTv #stumai​ #zbc #tbc #futuretz #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #youtube #youtuber #youtubechannel #revolutionreal #blacksmokeyeye #smokeyeye #glow #glowingskin #discoverunder5k #discoverunder10k

ความคิดเห็น • 19

  • @GodbetterIbrahimu
    @GodbetterIbrahimu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbna wabongo tumebaki kushangaa ila wazung ndo wanahangaika kuchimba huo ukuta ase fungukaa hivo wanavopata vina umuhim ujue

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 ปีที่แล้ว

    Na hiyo imeitwa ngome kongwe kwa sababu ndio jengo kongwe zaidi hilo ambalo walipewa wareno hapo wajenge kanisa kwa sababu walikuta watu tayari ni waislamu na wao wakihubiri ukristo

  • @AlawiyaMSaleh
    @AlawiyaMSaleh ปีที่แล้ว

    Tuwe na ukweli

  • @fakifaki5246
    @fakifaki5246 ปีที่แล้ว

    Ni jambo jema lkn ni lazima tukubali ukweli na ndio tutaenzi hiyo Historia!

  • @mohammedhamad5297
    @mohammedhamad5297 ปีที่แล้ว

    Wapelekwe na studio raha leo maiti kibao zipo

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 ปีที่แล้ว

    Hao walishaapewa kila kitu huko kwao

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 ปีที่แล้ว

    Hilo jina lake huo mji unaitwa mji mkongwe kwa hiyo hakuitwa tu

  • @allironjo2698
    @allironjo2698 ปีที่แล้ว

    Jiangalieni wazungu hao fitna wakubwa hao ee

  • @issahamad2179
    @issahamad2179 ปีที่แล้ว

    Mtihani mpevu

    • @mohammedhamad5297
      @mohammedhamad5297 ปีที่แล้ว

      Na waende wakafukuwe na makaburi ya pamoja

    • @salimismaily9843
      @salimismaily9843 ปีที่แล้ว

      Sasa mwanzo ni waislam au wakristo zanzibar

    • @salimismaily9843
      @salimismaily9843 ปีที่แล้ว

      Walokuja zanzibar

    • @rafaelmarquez9396
      @rafaelmarquez9396 ปีที่แล้ว

      Uislam ndio ulio ingiya mwanzo kabla ya wa Portuguese wao walikuja na ukristu na ndio wakaanza kuwaritadisha watu kwa nguvu na ndipo watu wakaamua kupigana nao walikwenda kuomba msaada kwa waarabu na ndio wakaweza kumuondosha m Portuguese wa Portuguese wameka zanzibar kwa miaka mia mbili ndio wakafukuzwa na waswahili na waarab baada ya waarab kuwafuka oman ndio waswahili walito jahazi na nahodha alikua kijana wa kitumbatu kwenda oman

    • @nassourkhalifa2074
      @nassourkhalifa2074 ปีที่แล้ว

      Mhhhh hy mungu atusalimu salama

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 หลายเดือนก่อน

    NA WEWE MWENYEWE MTANGAZAJI UMETIYA MARANGI YA MIDOMO KWA KUTAKA KUJIUZA KWA WANAUME WENGINE UZURI WAKO AU NDIO HUNA MUME🇹🇿😈😈😈😈😈😇😇😇😇❌❌🛑