TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 2): Ukweli kumukhusu Sayyida Khoula (Bihole wa Bungi)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ค. 2020
  • Sayyida Khoula ni maarufu kama Bihole miongoni mwa wenyeji wa kisiwa cha Unguja, na hadithi ya maisha yake ni ya kusisimuwa sana. Leo kwenye #Gumzo, Sheikh Riadh Al Busaidi anaeleza undani wa maisha ya mwanamke huyu shujaa, jasiri na mkarimu.

ความคิดเห็น • 31

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 ปีที่แล้ว +12

    Sisi tulikua tunadanganywa sana kuhusu historia za Zanzibar tunapewa historia ya uongo

  • @ahmed14284
    @ahmed14284 4 ปีที่แล้ว +6

    Historia nzuri mashallah

  • @sabrakhamis8070
    @sabrakhamis8070 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah nice part of zanzibar history which very peculear

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 4 ปีที่แล้ว +8

    Shukran MG

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni kwa kaz kubwa ya kuziweka akili zetu huru

  • @dulabori9922
    @dulabori9922 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani kaka yangu ghasani kwa ukweli mtupu siku tufanye nini ili jamii irudi kwenye ukwe

  • @hajisalum17
    @hajisalum17 4 ปีที่แล้ว +4

    Shukran akhy

  • @kishkinurdin7178
    @kishkinurdin7178 3 ปีที่แล้ว +2

    Omar Hassan ( Umeya) ahsante maalim kwa kuendelea kutunza historia

  • @suleimanpandu8955
    @suleimanpandu8955 3 ปีที่แล้ว +3

    Duh! Hatari sana historia imepotoshwa vibaya sana kuhusu Bi Khaula yote ndio sababu ya Waingereza hayo na yale mavamizi ya 1964

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 2 ปีที่แล้ว

      Ilikua tarehe ngapi na mwezi gani? mapinduzi ya mwaka64?

  • @abdallahamad3099
    @abdallahamad3099 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka vipind vyako navifuatilia kwakarib sana kwakweli jambo zuri unalolifanya hasa kwa sisi watoto tulio zaliwa kwenye miaka ya 2000

  • @hamzarijal9093
    @hamzarijal9093 2 ปีที่แล้ว +2

    Tarekh ni matokeo mwalimu wangu alinambia matokeo yanapotokea lazima yaelezewe yalivyotokea ikiwa yanakufurahisha au yanakuudhi kwasababu tunaizungumza tarekhe.
    Walimwengu siku hizi huikwepa tarekhe kutokana hayakuwa yanayoelezwa kuwa yanawafurahisha.
    Katika uandikaji wa tarekh khasa ya huku kwetu Afrika Mashariki, kuna atahari za Ukoloni na wao katika walioandika mengi juu ya tarekhe na katika baadhi ya maandishi yao kuna kila aina ya upotoshwaji.
    Muhimu wana historia kuja na hoja zilizo wazi kisha ni khiyari yake mtu kubakia na misimamo yake.

  • @alibadru4536
    @alibadru4536 4 ปีที่แล้ว +7

    Shekh mo tunaomba cku moja tupate ya PUJINI na MTAMBWE MKUU

  • @vuaihaji3275
    @vuaihaji3275 3 ปีที่แล้ว +2

    Asant sna hawa ma ccm yanatudanganya tu

  • @nassorhamad5957
    @nassorhamad5957 3 ปีที่แล้ว +1

    Usichoke kaka Ghasani. kazi yako ni awesome mashallah.

  • @w4058
    @w4058 2 ปีที่แล้ว

    Hilo jumba lingetengenezwa likawa katika vituo vya utalii

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid7887 3 ปีที่แล้ว +3

    Mm nashauri tunapodasiya history yahawa watu Mohd tuuliziye maswali kwamujibu ya upotoshwaji ili watu walowingi waujue ukweli mfano huyu bikhoule tunaambiwa eti alikuwa anazini na wanaume akishamaliza mamboyake anamuuwa yule alofanyanae mapenzi sasa maswali kama haya yanahitaji majibu

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 3 ปีที่แล้ว +3

    History Zote tulokuwa tukipewa zilikuwa za uwongo

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH, JAZZAKALLAH KHERI KWA KUTUPA FAIDA KWETU SS TUNAKUOMBEA KWA ALLAH AKUPE MAISHA YENYE KHERI NA WEWE NA AKHERI AKUPE PEPO YENYE DARAJA

  • @suleimanmakame3028
    @suleimanmakame3028 ปีที่แล้ว

    Leo nmejifunza mengi tulikua tunadanywa sana

  • @saeedqaseem7423
    @saeedqaseem7423 3 ปีที่แล้ว +1

    Shida ya historia ya Zanzibar imebebwa na siasa zakupandikiza....
    Ndio mana hawawatafuti wahusika ila hutafuta watu wakasema uongo kwa maslahi yao kisiasa na kutia watu chuki....
    Panapo semwa ukweli utaona tu umeona sheikh alivyooka na facts zake mwisho mie ndio kanimaliza kusema kuwa hakua mtu mwema angetoje maliyake wakfu kwa watu alioishi nao?
    Allah subhanah amrehemu mama huyu...amiin

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimekuona live changinkuchangizana..

    • @GumzolaGhassani
      @GumzolaGhassani  3 ปีที่แล้ว

      Ahsante Dashuu

    • @hafidhyakoub8369
      @hafidhyakoub8369 2 ปีที่แล้ว

      @@GumzolaGhassani asalam alaikum yani kitu kimoja mm kina nichangya kuhusu haya magofu mana zanzibar yako mengi km bububu lipo lile la salhia maruhubi

    • @hafidhyakoub8369
      @hafidhyakoub8369 2 ปีที่แล้ว

      @@GumzolaGhassani na omba kitu kimoja cku mmoja muzingumze kuhusu watu km wa kizimkazi au donge au watu hawa weusi mana hebu tu wekeni wazi mana naona mnazungumzia warabu tuu vp kuhusu hawa wa zanzibar weusi na ndio kila s7bisha hata mapinduzi Kwa mana weusi nao wakataka waongoze nchi ilikua aje ndio mpaka tukawa htuja elewana

    • @hafidhyakoub8369
      @hafidhyakoub8369 2 ปีที่แล้ว

      @@GumzolaGhassani halafu ulikua utupatie history ya kanisa la mkunazini mana zamani nilitembea na nilikua mdogo sna nahisi kimo chumba ambacho kilikua kinafichiwa watumwa apo ndio tutajua ukwel kweli zanzibar watu weusi walikua wa kifanywa watumwa au kulikua tuu na bishara ya utmwa na Kwa nn watumwa wafichwe kwenye ma handaki km kweli utawala wa zanzibar ulikua unaruhusu bishara ya utmwa

  • @salehsaleh5806
    @salehsaleh5806 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nataka kujua na pia kwa faida ya wote WANAOTAKA kujuwa UKWELI, jee BI KHOLE amekufa gani ?.

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 3 ปีที่แล้ว +2

    Hio ni sababu ya chuki kweli waliofanyaabaya hawatajwi

  • @allykhamis3378
    @allykhamis3378 3 ปีที่แล้ว

    Hii ñdio history ya kweli kabisa ya bikhole ni tafauti kabsa zimulizi za ya wajinga wanamzulia uwongo kwamba alikuwa mzinifuu ni porojo la baadhi ya watu wajinga