Wanaimba yoyoyoyo kanisani! Yeye mtoka mbali hawezi ona kama kitu maana yeye anachotaka ni hela tu na wala hataki kujua nafsi za watu zaenda wapi? Wao wapo mwilini tu.... Mtumishi magembe pekee ndiye alikuwa wa kweli TAG na sasa ameondoka, wacha wapeleke watu ambao ni vipofu jehanamu vizuri.. lakini walio na macho watajua kweli na wataifuata. Ubarikiwe sana Mtumishi, endelea kupiga kelele Mtumishi wa Mungu. Nuru izidi kuangaza na kuondoa giza.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kweli ihubiriwe hata miisho ya dunia watu tumpendeze Mungu, nguo fupi kanisani suruali kwa wanawake, nyimbo za kidunia lazima vikemewe kwa nguvu sana visiendele watu wageuke kama ninawi mji ule uliotubu baada ya maneno ya Yona ili utakatifu udumu
Afashali mtumish uwaamvie tena hao wana TAG mkome kabisaaa kutusumbua huku kwenye makazi yetu na maombi yenu yakishetani. Saa sita usiku nyie "Takarabo, Singarabo' Komen kabisaaa
Mbona unaiandama sana TAG mlikosana wapi? Namna unavyoikosoa siyo hekima ya Mungu kbs. Unatafuta tu umaarufu kupitia TAG. Hiyo ya kusema Bwana amekuambia, aise! Si kweli.
Hekima ya kunyamazia dhambi na mapooza yaliyoingia kwenye kanisa la Mungu, hiyo haitoki kwa Mungu...Mungu huinua manabii wake, wengine hawapokelewi kwa heshima au kusikilizwa....lakini wanachopigia kelele ni cha kiMungu kuliamsha kanisa kurudi kwenye asili yake, liondoe namna ya dunia iliyoingia kanisani na wabaopaswa kutoa tamko na msimamo wa matengenezo wamenyamaza... 😢
Siyo kila anayeongelea mambo ya Mungu katoka/katumwa/kaagizwa na Mungu. Wengine ni tamaa zao tu, wameona fursa ya kupata umaarufu iko huko ndo wanaitumia. Mambo au jambo la Kimungu na hekima ya Mungu utaijua, siyo huo uropokaji uliopo mitandaoni siku hizi, mfano huyu tunayemsikiliza.
Mtumishi anasema kweli ya Mungu wewe ndio utubu kwa kutokuipokea injili ya kweli ya kristo mtumishi endelea mbele kazi yako ni njema kina stephano walipigwa paulo usijali sema kweli Mungu mkuu atakulipa kwa ujara mkuu siku ya mwisho
@@joshuanjiuka2870 vyovyote vile ila maandiko yanasema usipo ikemea dhambi angali unajua ni dhambi utadaiwa tu siku ya mwisho yeye amesha nawa mikono bado wewe na mimi kukemea uovu ili tusidaiwe siku ya mwisho
Wanaimba yoyoyoyo kanisani! Yeye mtoka mbali hawezi ona kama kitu maana yeye anachotaka ni hela tu na wala hataki kujua nafsi za watu zaenda wapi? Wao wapo mwilini tu.... Mtumishi magembe pekee ndiye alikuwa wa kweli TAG na sasa ameondoka, wacha wapeleke watu ambao ni vipofu jehanamu vizuri.. lakini walio na macho watajua kweli na wataifuata.
Ubarikiwe sana Mtumishi, endelea kupiga kelele Mtumishi wa Mungu. Nuru izidi kuangaza na kuondoa giza.
Amina mtumish tunakupata vema
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kweli ihubiriwe hata miisho ya dunia watu tumpendeze Mungu, nguo fupi kanisani suruali kwa wanawake, nyimbo za kidunia lazima vikemewe kwa nguvu sana visiendele watu wageuke kama ninawi mji ule uliotubu baada ya maneno ya Yona ili utakatifu udumu
Mweee Ubarikiwe sana Baba yangu
Magembe the best. Ndio maana hawataki ahubiri kwa kuwa anasema ukweli kuhusu mwenendo wao.
Dunia imeisha kabisaaa
HONGERA Sana Baba Mtumishi Magembe MUNGU Akujalie
Mtu aliaye nyikani tuko pamoja sana piga kelele hata mmoja akisikia basi Mungu atajitwalia utukufu.
AMINA.. tunategemea uzima ulimwenguni baada ya ujumbe wa Mungu.
Ubarkiwe sana
Pole Mtumwa Wake naweka sadaka
Amina mtumish
Tatizo mtu anaposema ukweli wanamchukia mtumishi mungu akutie nguvu kemea onya kwa ukali kalipia kwa utukufu wamungu mungu akuongezee ujasiri sana
MUNGU akuweke milele pascale kasine sema
MASKINIII Mweee Mbarikiwe
Nilimsikiza mtumishi Aminieli kuwa ukiona watumishi wa Mungu wanagombana shetani kaingia jati yao ili washindwe kuomba
Good
Viva magembe
AMEIN
AMEN
Ukweli usemwe watumishi tusiwe kimia NI aibu hili suala ..wako mwilini sanaa watu
Wasitu luhusu Wanawake tuwe Wachungaji
Ila watu wanavituko
Makubwa
AAAMINA
Waambieni watu mfalme wa mfalme yuko njiani anarejea
Embu muwage mnawafata hao watu direct sio kutangaza uku mitandaon mana hakuna faida yoyote kuchafuana tu asa si tukisikia tag imepotoka inatusaidia nn
Afashali mtumish uwaamvie tena hao wana TAG mkome kabisaaa kutusumbua huku kwenye makazi yetu na maombi yenu yakishetani. Saa sita usiku nyie "Takarabo, Singarabo' Komen kabisaaa
Mungu akusamehe sana
Mbona unaiandama sana TAG mlikosana wapi? Namna unavyoikosoa siyo hekima ya Mungu kbs. Unatafuta tu umaarufu kupitia TAG. Hiyo ya kusema Bwana amekuambia, aise! Si kweli.
Mungu anaowapenda huwarudi kwa maonyo au makemeo....
Hekima ya kunyamazia dhambi na mapooza yaliyoingia kwenye kanisa la Mungu, hiyo haitoki kwa Mungu...Mungu huinua manabii wake, wengine hawapokelewi kwa heshima au kusikilizwa....lakini wanachopigia kelele ni cha kiMungu kuliamsha kanisa kurudi kwenye asili yake, liondoe namna ya dunia iliyoingia kanisani na wabaopaswa kutoa tamko na msimamo wa matengenezo wamenyamaza... 😢
Siyo kila anayeongelea mambo ya Mungu katoka/katumwa/kaagizwa na Mungu. Wengine ni tamaa zao tu, wameona fursa ya kupata umaarufu iko huko ndo wanaitumia. Mambo au jambo la Kimungu na hekima ya Mungu utaijua, siyo huo uropokaji uliopo mitandaoni siku hizi, mfano huyu tunayemsikiliza.
Mtumishi anasema kweli ya Mungu wewe ndio utubu kwa kutokuipokea injili ya kweli ya kristo mtumishi endelea mbele kazi yako ni njema kina stephano walipigwa paulo usijali sema kweli Mungu mkuu atakulipa kwa ujara mkuu siku ya mwisho
@@joshuanjiuka2870 vyovyote vile ila maandiko yanasema usipo ikemea dhambi angali unajua ni dhambi utadaiwa tu siku ya mwisho yeye amesha nawa mikono bado wewe na mimi kukemea uovu ili tusidaiwe siku ya mwisho
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝑷. 𝒌𝒂𝒔𝒔𝒊𝒂𝒏
𝒉𝒂𝒚𝒂 𝒔𝒂𝒔𝒂 𝒘𝒂𝒍𝒊𝒐 𝒎𝒕𝒖𝒌𝒂𝒏𝒂 𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒎𝒕𝒖𝒎𝒊𝒔𝒉𝒊 𝒎𝒖𝒌𝒂𝒐𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒇𝒂𝒊
𝒔𝒉𝒖𝒅𝒖𝒅𝒊𝒆𝒏𝒊 𝒔𝒂𝒔𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒐𝒌𝒆𝒐 𝒚𝒂𝒌𝒆 𝒎𝒋𝒖𝒆
𝒌𝒖𝒕𝒐𝒇𝒂𝒖𝒕𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒌𝒊𝒛𝒂 𝒏𝒂 𝒏𝒖𝒍𝒖
❤❤❤❤❤