SHEIKH OTHMAN MAALIM - TUNAIPA MGONGO AKHERA NA KUIKUMBATIA DUNIA || DUNIA SI KITU CHA KUDUMU || HD
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Mawaidha adimu ya Sheikh Othman Maalim katika kutukumbusha ndugu zake juu ya kuikumbatia kwetu Dunia na kuipuuza Akhera kana kwamba Dunia ni ya kudumu. Ilhali Dunia si kitu na Akhera ndiyo kila kitu. Tupo hapa Duniani kujijengea makazi mema Akhera na si vinginevyo.
Enhanced quality to High Definition Video (HD) by AQ ONLINE TV
Follow Us On:
FACEBOOK:
/ aqonlinetv
INSTAGRAM:
/ aqonlinetv
TWITTER:
/ aqonlinetv
WHATSAPP:
chat.whatsapp....
TIKTOK:
vm.tiktok.com/...
TELEGRAM:
t.me/aqonlinetv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2023 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
Nahitaji mtu atakae nisomesha elim ya din sins baba Wala mama naomba msaada kwa waisilam walio jaliwa na allh anisaidie Allah naitwa suleyman Yusuf
Allah atuswamah madhambi tuyatendayo kwakuyakua na tusoyajua🤲🤲
Jamani waislamu tusiipapie dunia kwani makusudio ni kuijenga akhera tutakayokwenda kuishi milele
Asalaam aleikum sasa naona nimuombe MUFT Sheikh. Mkuu Aboubakar. Ibn zuber. Huyu sheikh othman Maalim mpe. Nafasi awe anazungumza ktk vipindi vya kiislam ktk TBC
Allah Kareem
Allah may protect lovely sheykh
Masha Allah tabarakallah
Allah may protect lovely shk
Sub haana Llah
Iyo ndio chakula cha nafsi thanks mahali bless u Allah
Good teaching be blessed
Shukran kwa ukumbush shekhe wet
Mashaallah Allah akujaalie umri mrefu Maalim
Masha Allah
Naaam
Kweli
Hii kauli ya kuwa akhera ndo kilakitu imewafanya waislamu kutokutafuta pesa kwa kasi na kuishi kwe lindi la umasikini kushindwa kutoa mahitaji bora ya familia zao
Maisha bora hayaletwi na pesa
Pesa sio maisha bora
Wala maisha bora sio pesa
jazakallahu
Shukran kwa darasaa lenye mazingatio makubwa