DUNIA NI PUMBAO LA MDA MFUPI. ITENGENEZE AKHERA YAKO. SHEYKH; HAMZA MANSOOR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2023
- TAFADHALI
+ USISAHAU KUSUBSCRIBE
+ LIKE
+NA USHARE
+PIA WAWEZA CHANGIA KUPITIA LIPA NAMBA AIRTEL `1297069` TIGO `7638500`
+ AMA PIGA NO. +255 710 627 824
+Email; alhidayahcenter22@gmail.com
Mwenyez MUNGU akujalie mwisho mwema pamojana family YEako❤
MaashaAllah Mola atujaalie tuipe mgongo dunia ili tukasalimike kesho kwa Allah Azza wa Jallah.Aamin Yarabbi.shukran kwa ukumbusho.
Na kupenda kwa jili ya Allah sheikh wangu
Hakika Dunia ni mapoto japo wengi tunajisahau sana,,,,ila Mwenyez Mungu ni mwingi wa rehema na atufanyie wepesi tumalize mwisho mwema🙏
Ya Allah tujaze Iimani thabiti ktk nyoyo zetu na utupe utiifu Wa nyoyo zetu ktk twaha Yako na utusahilishie ktk Mambo yetu na utujaalie mwisho mwema.Aamin
😢😢sheikh wangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah
mashaallha allah akupe umr ktk yy akupe mwisho mwema ktk yy uzidi kutupa daghawa Allah atuongoe
Shukran Sheikh, Mawaidha, ukumbusho safi kabisa... Allah atufahamishe, Atuongoze. Ameen.
Na kupenda kwa jili ya Allah sheikh wangu
Sukran sana kwa dawa mwenye zimungu akuzidishiye akupe kila la heri insha allah
swadakta sheikh jazakallaah kheyr Allah Akupe umri mrefu wenye baraka
Alla akujaalie fildaus nudhuraa
Allah akupe djanatul fridaus❤
Jazaakallah kk Khairan Sheikh!
Naam subhanallah 😢😭😭
❤❤❤❤❤ Mashallah ilove it shekh
زادك الله كثيرا يا فضيلة شيخ❤❤❤❤❤❤
MashaAllah sheikh Hamza Mansoor
Mashaallah napenda mawaidha yako sheikh yazidi kutoa MTU nguvu Allah akupe mwisho mwema Insha Allah
Mashallah allah anipe elimu zaidi yko