ALIYEFANYA HARUSI BILA BIBI HARUSI ASIMULIA MAZITO “MKWE ALINIPIGA KOFI, KUKU 9, MBUZI WAMENIPONZA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @wanscal
    @wanscal หลายเดือนก่อน +56

    The honesty and godliness in this man is amazing. A man after God's heart with a very calm demeanour. I note from this video the following:
    1. The lady has lost a wonderful husband because of being misled by a bitter sister. Marriage is between a man and a woman. Their parents and siblings only come to complement it.
    2. Solemnizing a marriage is about putting God first as the man had intended. It is not about goats and material things. When God is happy he blesses you with more.
    3. God speaks in mysterious ways. I don't know what message God is sending the man but from a human perspective that intended marriage has ended. God has better plans for both the man and the lady. Most importantly they should take care of their child.

    • @ahz6907
      @ahz6907 หลายเดือนก่อน +1

      Sure no more marriage there even if the woman come back...these event are a big RED FLAG! RUNNN

    • @user-yv7hs1wy3o
      @user-yv7hs1wy3o หลายเดือนก่อน

      Utapata anaye kupenda bro

    • @faridaomary9185
      @faridaomary9185 หลายเดือนก่อน +2

      I like kiswahili

    • @nyoe1394
      @nyoe1394 29 วันที่ผ่านมา

      Na ndio kinachomsaidia hapa hapakosi ushirikina naona. Hawataki hyu dada aolewe.

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota หลายเดือนก่อน +299

    Naomba ukimpata mke mwingine utuambie tukuchangie Iwe bonge. Lasherehe

    • @lizzynkifu4179
      @lizzynkifu4179 หลายเดือนก่อน +15

      Kabisa kapitia jambo zito sana

    • @edithamboya5016
      @edithamboya5016 หลายเดือนก่อน +15

      Nakuunga mkono tum support

    • @MariamSekwao
      @MariamSekwao หลายเดือนก่อน +8

      Hakika

    • @JaneyChigga
      @JaneyChigga หลายเดือนก่อน +4

      @MohamedMkota upo serious au??

    • @MohamedMkota
      @MohamedMkota หลายเดือนก่อน +5

      @@JaneyChigga ndy akimpata aniambie mchango lazima

  • @kinasaba
    @kinasaba หลายเดือนก่อน +105

    Wewe ni kijana supaavu, mwenye msimamo thabiti wa kweli na kumtumaini Mungu. Tunakuombea uendelee kupata utulivu, usitetereke na hakika Mungu atakupa njia katika jambo hili. Umetupa funzo kubwa mno na sasa umejiongezea ndugu na marafiki wa kweli ambao ndiyo sisi.

  • @DayanaPeter-pd9yf
    @DayanaPeter-pd9yf 28 วันที่ผ่านมา +10

    Yule alieimba Mwamba Huyu hapa ndioo huyu Yeye Sasa baba la baba bonge la bwana anatumia akili Kubwa kujibu Swali bila kuumiza Upande wowote libarikiwe TUMBO lilitoa huyu Jasiri so Mungu ni mwaminifu aiseee utatoboa na Mungu ATAFANYA jambo usjali kabisa❤❤❤🎉🎉I love this Guy

    • @bahatishabani1392
      @bahatishabani1392 26 วันที่ผ่านมา +1

      Yani ukiskia mwanaumeeee,,ndo huyu sasa

  • @user-bi9zi1ex7t
    @user-bi9zi1ex7t หลายเดือนก่อน +89

    Kaka Mcha Mungu jamn Mungu Akupe Wa Kufanana Nae Kaka
    Usikate tamaaa kabisaaa

  • @WitnessAlex
    @WitnessAlex หลายเดือนก่อน +53

    Huyu kaka ni msitarabu sana MUNGU akupe hekima na busara siku sote za maisha yako...

    • @MarthaLungwa-sr4er
      @MarthaLungwa-sr4er หลายเดือนก่อน

      Si busara tu ampe mke wa ukweli chaguo lake naona hyo Mungu hajampangia kuwa nae .lakini hyo kaka anaweza akampokea tena akija mna anajisifu najuwa kuchaguwa😂😂 pole yake

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +167

    Uyu kaka mstaarabu Sana..mpole sana anaupendo sana..na uyu kaka ni bonge la bwana...mungu akubaliki tena

    • @jamilanasir6833
      @jamilanasir6833 หลายเดือนก่อน +5

      Ogopa sana watu wa haina hiyo niulize mm

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x หลายเดือนก่อน

      ​@@jamilanasir6833wakojee mom

    • @tedyjoseph1394
      @tedyjoseph1394 หลายเดือนก่อน

      😂😂 ni hatarii😢​@@jamilanasir6833

    • @neemamwakasape1630
      @neemamwakasape1630 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@jamilanasir6833

    • @hellenwilliamwilliam8256
      @hellenwilliamwilliam8256 หลายเดือนก่อน +6

      Ila Duniani kuna mambo mengi jamani ukiwa unakaribia kufanya sherehe ya ndoa funga na kusali sanaa mnooo shetani anakuaga kazini sana

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali หลายเดือนก่อน +48

    Wanaume kama huyu, sio wengi hapa duniani! Ni mkweli, na mwenye hofu ya Mungu. Nampa pole sana Bibi harusi kwa kukosa Mume bora na mwema.

  • @ZawadBartholomew
    @ZawadBartholomew หลายเดือนก่อน +77

    Anaumia maskini ila anajikaza mwee mungu akutie nguvu😢😢

  • @MaryamRashid-zd6gl
    @MaryamRashid-zd6gl หลายเดือนก่อน +34

    Namuonea huruma anaumia sana ila anajikaza kwa sbb kamshiba mungu ,Pole sana

    • @adelinaomani9012
      @adelinaomani9012 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa akiwa mwingine tu ndo utasikia wanaanza kuloga waachane kwani hajaowa mtoto wetu nawakati shida niwao

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 หลายเดือนก่อน +392

    MWAMBA KABISA YAN SMART SANA ANAZUNGUMZA KAMA HAKIJA TOKEA KITU TUMPE MAUA YAKE🎉🎉

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 หลายเดือนก่อน +19

      Kabisa, huyu jamaa ni mwanamume halisi,,

    • @EvangelistJsolomonMkwata
      @EvangelistJsolomonMkwata หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/05737KHo7CE/w-d-xo.htmlsi=WAybZU8YGbyhUfau

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 หลายเดือนก่อน +6

      Akibaki pekeake sasa mnnn mnnn mtu uliemzoea mnalala wote miaka 3 sio rahisi

    • @kwilasajunior5367
      @kwilasajunior5367 หลายเดือนก่อน

      @@gloriaaugustino8031 ANATAKIWA akaze tu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 หลายเดือนก่อน

      ​@@gloriaaugustino8031hee walishalala wote kumbe??

  • @HopeNassary-s5w
    @HopeNassary-s5w หลายเดือนก่อน +27

    Kweliiiii kabisaaaaaaa huyu kaka ni mwanaume wakuigwa kwanzaa anamweshimu Mungu daaaaah Mungu akupe aja ya moyo wako amezungumza vizuriiiiii saaaaan adi nimempenda kwakweli

  • @AgnessHabilo
    @AgnessHabilo หลายเดือนก่อน +193

    Mshukuru Mungu kaka huwenda kakuepusha na balaa zito

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 หลายเดือนก่อน +44

    USIMRUDIE UYO MWANAMKE TENA KAKA

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op หลายเดือนก่อน

      Uyu mtangazaji hanaulizia supu inaelekea hanapenda sana supu

    • @PendoMacha-ib6oc
      @PendoMacha-ib6oc หลายเดือนก่อน +1

      ​@WilsonEmmanuel-bs6op 😂😂😂

  • @adelinatate9704
    @adelinatate9704 หลายเดือนก่อน +50

    Very honest guy, Mungu akufanyie wepesi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน +1

      Fursa hiyo adelina

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      Utabaki na stori zile zama zimekwisha mtateseka sana

  • @user-ex7if1wq4t
    @user-ex7if1wq4t หลายเดือนก่อน +23

    MWAMBA HUYU HAPA, MWANAUME NA NUSU❤

    • @Drjane-cs8jo
      @Drjane-cs8jo หลายเดือนก่อน

      Move on kaka Tena usiangalie nyuma,,mungu atakusaidia

  • @MaximillianNgoiya
    @MaximillianNgoiya หลายเดือนก่อน +89

    Huyu jamaa anafaa sana yaani anaongea vizuri sana.

    • @DM.2200
      @DM.2200 หลายเดือนก่อน +7

      Eti anaambiwa kachangamka mno 😂😂😂 Kuna watu ni wajinga mno

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน +1


      HHHH NDIOOO_🤦🏿‍♀️

  • @edithamboya5016
    @edithamboya5016 หลายเดือนก่อน +14

    Nimemuonea huruma sana Mungu amtie Nguvu

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n หลายเดือนก่อน +66

    Sio kila unachokipoteza ni hasara vingine ni faida kuna kitu mungu kakuepusha kaka yupo wa kwako ikifika muda atakuja ktk maisha yako

    • @FatmaF-ob8fc
      @FatmaF-ob8fc หลายเดือนก่อน +1

      Point

    • @ashleymohamed6935
      @ashleymohamed6935 หลายเดือนก่อน

      Dasalamu jamnn mwenyeye anatabasabu❤

  • @SaniaIdrisa
    @SaniaIdrisa หลายเดือนก่อน +32

    Kwenye haya maisha iwe mwanaume au mwanamke ukiwaskiliza sana wazazi imekula kwako niamini mimi aslimia kubwa wazazi au ndg wanaua mahusiano ukiwaskiliza lazma ufeli kwa wakati huo unaweza kuona ni sawa ila baadae unajuta kiukweli ushauri wa ndg unaua mahisiano watu mnaweza kuwa mnapendana sana na mmeridhia kila kitu chenu ila ukiwaskiliza unaingia shimoni

    • @abdulllyhussein3224
      @abdulllyhussein3224 หลายเดือนก่อน +2

      Yan umenena sana

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 หลายเดือนก่อน +4

      😂😂nayakumbuka mafundisho niliyopewa kuwa ndugu wa mke ni hatari kwa uhai wa ndoa,ingawa pande zote wanaweza tu msiposhikamana ninyi wenye ndoa yenu,😂😂mh,maisha yanamapito mengi

    • @SaniaIdrisa
      @SaniaIdrisa หลายเดือนก่อน

      @@avelinabaluhya2804 ndg yangu pande zote ni majanga kikubwa kuwa na akili ya kuishi nao ukiwapa nafasi ndg ohoooo huna ndoa Mimi bila mume wangu kusimama imara tungekua tumeparaganyika ndg zake baada ya kuona tumepata maendeleo kidogo weeee nashuhudia Kila aina ya vituko halafu cha kushangaza na Mimi ni mfanyakazi tena mshahara wangu ni makubwa kuliko wa mume wangu ni Siri yetu wawili ila ndg zake Kila siku wanamwambia Mimi namfuja mara hawaskilizi siku akipata tatizo asiwahusishe ila wakiwa na shida maskini anawasaidia bila kinyongo

    • @rachaelkanje1562
      @rachaelkanje1562 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa kabisaa

    • @leonardanney7580
      @leonardanney7580 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabisa. Mm imenitokea hii.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 หลายเดือนก่อน +14

    Pole haiku family nzurikwako,nawe nimtù WA Mungu, kilakinachokuepuka nikherikwako using'ang'anie

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 หลายเดือนก่อน +15

    Pole sana my brother wangu. Huyo mwanamke hafai usirudiane naye 😭😭 usije ukasubutu 😢😢

  • @user-ih9xy5vd5d
    @user-ih9xy5vd5d หลายเดือนก่อน +29

    Jamaa mungu atakupa Chuma kingine, wewe ni binaadam safi kabisa, achana na usifikirie hata akirudi, mungu amekuonyesha kitu

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 หลายเดือนก่อน +24

    Kuna jambo kubwa ambalo Mungu amekuepushia kaka hata usiwe na kinyongo endelea na maisha Yako tu

  • @newchemchem5251
    @newchemchem5251 หลายเดือนก่อน +60

    Jamani Yesu akiwa ndani Yako ni mzuriiiiiiiiiiiiii 💕 nimekupenda sana mtumishi shetani ameaibika ila Yesu wako Kuna kitu ameweka mbele Yako Kuna history inaiandika mtu wa Mungu,

    • @betsebaedwinmwenda
      @betsebaedwinmwenda หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa huyo kaka anaelekea utukufu hadi utukufu Mungu mwenyewe akupiganie. Shalom huyo shemeji yake ana wivu na inawezekana hajaolewa

    • @KabulaKebby
      @KabulaKebby หลายเดือนก่อน

      Kuna Kaka huku Isha mtokea

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 หลายเดือนก่อน

      Likuepukalo, una heri nalo kaka.

  • @edgarelikana7204
    @edgarelikana7204 หลายเดือนก่อน +10

    He’s very bright kwenye mazungumzo kupitia Hoja Zake, watz tumeelewa shida ipo wapi na hapa lipo la kujifunza 📌

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 หลายเดือนก่อน +22

    Huyo sio mke, kwa nn akubali process zote at last aamue hivi, liko jambo Mungu ameona hakufai

    • @dennisnjonanje62
      @dennisnjonanje62 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna mke hapo 😂😂

  • @coolmom7329
    @coolmom7329 หลายเดือนก่อน +4

    Nimekupenda bure Mungu akupe haja ya moyo wako i truly like you may God bless you!

  • @jameslaiser6276
    @jameslaiser6276 หลายเดือนก่อน +15

    Mkuu ikitokea unaowa mke mwingine niambie na Mm nikuchangie....Nadhani ukitangaza tu tutapata taarifa

  • @EsterAnthony
    @EsterAnthony หลายเดือนก่อน +11

    Bila D mbili apa uwezi kuelewa brooo umetisha sana mungu akupe ujasiri utapata atakayekupenda

  • @YuyuMp-d8y
    @YuyuMp-d8y หลายเดือนก่อน +75

    Uyo dada akikufata usikubali kuishi nae ninyoka huyo mda wowote anakugonga😢😢

    • @alexmwalingo5020
      @alexmwalingo5020 หลายเดือนก่อน +8

      Yawezekana shida sio dada wazazi wanaweza wakawa shida

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 หลายเดือนก่อน +4

      kabisa dada na wazaz hawajielewi

    • @beatricejoseph2784
      @beatricejoseph2784 หลายเดือนก่อน +11

      @@alexmwalingo5020mwanamke kama anakupenda hawezi fanya hivyo ataona wazazi wanamakosa atafanya kilicho sahihi atajua

    • @beatricejoseph2784
      @beatricejoseph2784 หลายเดือนก่อน +5

      Pia familia yao inanjaaa sana

    • @AnnaSanga-bs7pl
      @AnnaSanga-bs7pl หลายเดือนก่อน

      ​@@beatricejoseph2784yvvvv

  • @lulugama1547
    @lulugama1547 หลายเดือนก่อน +82

    ukae nyumba moja na mwanamme,mmezaa,mkaamua kufunga ndoa unataka ku act kama mwanamwali! likuepukalo lina shari, omba Mungu endelea na maisha

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 หลายเดือนก่อน +4

      Yaan imemkata

    • @missackley4792
      @missackley4792 หลายเดือนก่อน +7

      Shangaa na wew yaan watu wameshaish na Wana mtoto halaf amekataa kuolewa wakati walishaoana bila ndoa

    • @TRUEHUBBY
      @TRUEHUBBY หลายเดือนก่อน

      ​@@missackley4792Inachekesha sana , eti chumvi kilo 2, kuku 9, Mafuta Lita 5, Mbuzi 2 na Laki mbili ilobaki.NARUDIA TENA WAZAZI TUACHE KUENDEKEZA UMASIKINI, MTOTO HAUZWI? KIJANA WA WATU ALISHATOA MAHARI 1,500,000/. INAUMIZA SANAAA😢

    • @marykennedymarwa1641
      @marykennedymarwa1641 หลายเดือนก่อน +5

      Achana na hiyo familia , tafuta mke mwingine hiyo ni ishara mbaya. Inabidi usikilize roho wa mungu Wacha kulazimisha mambo. Funga , uombe. Mungu akuhakiikishie kama huyo ndio mke , sema Kwa maono tayari huyo sio mke mungu ameshaonyesha. Kibali kuanza upya. Wacha uoga.

    • @KhadijaMushi
      @KhadijaMushi หลายเดือนก่อน +1

      Du? Sijaona! Pole sana, hongera kwaujasili - Kila likuepkalo unahe Malo. Usimrejee hiyo mwenza wako, Bora kajionyesha mapema ungali Bado unanguvu yakutafuta. Usijekosea ukamrudia
      .

  • @rozzymossesshayo6844
    @rozzymossesshayo6844 หลายเดือนก่อน +34

    Unaenda kushinda kishindo cha ajabu yni MUNGU atakupambania😢🙏

    • @faidamuhamed3011
      @faidamuhamed3011 หลายเดือนก่อน

      I proud to be muslim kwenye dinni yetu hayo tumeepukana nayo kwakweli

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 หลายเดือนก่อน +37

    Mwamba ametisha sana hana hata shido ukisikia ubaharia ndio huo😅😅😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 หลายเดือนก่อน +1

      Cuba candidate 😂

    • @vincentauxerbius7554
      @vincentauxerbius7554 หลายเดือนก่อน

      @@ahz6907 halafu anakomaa kiburiburi😅😅😅🤣🤣

  • @irenenyaulingo1319
    @irenenyaulingo1319 หลายเดือนก่อน +30

    Mungu akufanyie wepes polee saaan

  • @HalimaNdune-h3b
    @HalimaNdune-h3b หลายเดือนก่อน +1

    Praise God brother, you really appreciate yourself that's great, may God continue showering his Mercy on you!.Mungu atakupa mwingne zidi kumuogopa yy,na yy mke hakuwa na kheri na ww ndo sababu Mungu amekuepushia mapema. Be strong Allah is sufficient for you dear.

  • @CharlesMbunda-og5tn
    @CharlesMbunda-og5tn หลายเดือนก่อน +7

    SHUJAA LA IMANI HILO. SAFI SANA... HILO LIDADA LIKIONA SERIKALI IMEKUINUA, AU SISI WADAU KUKUCHANGIA, LITAJIFANYA KUTUBU KIUNAFIKI. NDIO MIDADA YA KIBONGO ILIVYO. NASIKIA HASIRA!

    • @studio..07
      @studio..07 หลายเดือนก่อน

      Tajiri MKUBWA KABISA @charles Mbunda upooooo

  • @jombilozoo
    @jombilozoo หลายเดือนก่อน +5

    Jamaa anafurahisha sana the way anaongea, Bro utafika mbali , iyo ni blessings

  • @MamaLio475
    @MamaLio475 หลายเดือนก่อน +27

    Kaka mtafute Yesu Kristo akusaidie,fanya maamuzi sahihi simama na Yesu ndugu yangu hao wanaweza kwenda kukuloga ucpo kaasawa watakufanya chizi nibora ukae upande wa Mungu akutetee,uchawi na uchawi haifai kitu

    • @geofreyj.1986
      @geofreyj.1986 หลายเดือนก่อน

      Nan amekwambia Hana Yesu??

    • @MamaLio475
      @MamaLio475 หลายเดือนก่อน +2

      @@geofreyj.1986 Kama ambavyo wewe haumjui mimi pia cmjui nimetoa ushauri tu

  • @angelinnamkingi2219
    @angelinnamkingi2219 หลายเดือนก่อน +3

    Duu!Inaumiza sana lakini katika wanaume wewe ni mwanamme na una roho ya kiume sna,Mungu akupe kila jema kwenye maisha yako.🎉🎉🎉

  • @gracemugozi8436
    @gracemugozi8436 หลายเดือนก่อน +8

    Huyo Sio mke MUNGU amekuepusha mengine jipange upya brooo hongera sana kwa hekima ambayo MUNGU amekujalia.Mapungufu yke mumeyaona baada ya kupokea mahali mtajioa nyie

  • @Calebtz
    @Calebtz หลายเดือนก่อน +2

    Mkoa ambao unasifika kwa watu wastaarabu ni mkia wa katavi kaka umetuthibitishia hili pia ni jasari huteteleki bigap sana naupenda mkoa wangu wa katavi 🎉❤

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 หลายเดือนก่อน +28

    Wengine ndoa tunazitaka tena kwa maombi haswa afu mwingine anachezea hiyo bahati khaa 😢 dada ukifika miaka 30 bila kuolewa Kama kina sisi hapo atakuwa anatembea akiwaza MUNGU hayupo 😢

    • @TBCLINICKYELA
      @TBCLINICKYELA หลายเดือนก่อน

      Nipo hapa dada🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 nacheka kama mazuri janatu nimepewa block nasema Asanteee MUNGU huwenda sio wangu nilopangiwa na miaka Sasa🤦‍♀️🤣 MUNGU TU atuletee watu sahihi

    • @VERONICA-o7n
      @VERONICA-o7n หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mariamkibindo1741😂pole

    • @christinawazael6303
      @christinawazael6303 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi upande wa mke wanamwamini mungu kweli maana mila na mungu haviendani. Kaa! Pole sana.

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 หลายเดือนก่อน +2

      @@VERONICA-o7n asanteee my acha TU yaani.

  • @qurlie
    @qurlie 24 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyez MUNGU aendelee kumtia nguvu na awe jasili hvohvo

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 หลายเดือนก่อน +39

    Huyo mwanamke alikua hakupendi...kwel mwanamke anashindwa kumtetea mumewe 😂😂

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari หลายเดือนก่อน +15

      Alimpenda ila kasikiliza maneno ya ndugu siku za mwisho kabisa lakini atajuta

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 หลายเดือนก่อน +7

      Kuna wanawake wanaendeshwa na maneno ya ndugu zake

    • @MussaJabiri-w9j
      @MussaJabiri-w9j หลายเดือนก่อน +1

      Au 2000

    • @paulhema5713
      @paulhema5713 หลายเดือนก่อน +2

      @@MussaJabiri-w9j huyo ni 2000 kwel😂😂

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 หลายเดือนก่อน +1

      ndugu zetu hao ndugu wana mdanganya wamemjaza maneno.

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 หลายเดือนก่อน +3

    Daaah aiseeh pole sana pia hongera sana Kwa ujasiri ila mungu atakufanyia wepesi atarudi tu

  • @ballackmasungura6753
    @ballackmasungura6753 หลายเดือนก่อน +25

    Baba nimeskia yule dada clouds midia broo kama unaakili timamu kadai maari na garama zako kweli vyokuwa amepigiwa cm anamdomo sana achana nae yule nibom lanyukili anaongea sna

  • @IreneAlois-ds9ew
    @IreneAlois-ds9ew หลายเดือนก่อน +5

    All in all familia na marafiki za huyu kaka wanahitaji kuwa naye Karibu sana ndani yake siyo rahis kama anavyo zungumza

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 หลายเดือนก่อน +6

    Achana naye huyo mwanamke. Mungu ameshakuonyesha tayari . We endelea na maisha yako mengine mbona ni kijana mzuri sana

  • @victoriarichard8761
    @victoriarichard8761 25 วันที่ผ่านมา +1

    Moyo wa huyu mwamba unefanana na wangu..Mkaka mzuri hb mtulivu dah huyu dada huyu mh 🙌, usilazimishe kaka Mungu anakupenda ndomana amekuepusha ndugu yangu, hiyo familia hadi huyo mke siyo sahihi kwako. Yani familia imekula tayari hadi maali bado wanamtenda mtu namna hii kaaah ‼️ kaka Mshukuru Mungu songa mbele umeepushwa na jambo najua inauma lakin ukiepushwa na jambo huna haja ya kuumia tena shukuru furahi tu songa mbele. Kesho yako njema inakuja,

  • @ZekaniS
    @ZekaniS หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana kaka ❤❤❤wewe ni mume bora Allah atakujaria mke mwema❤❤❤🎉uyo mwanamke achananae kabisaa

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs หลายเดือนก่อน +3

    Polee Kaka wala ucjali,,, Mungu amekuepusha ,,, huyu alikuwa co mpango WA mungu

  • @felisteryunde-rm9pl
    @felisteryunde-rm9pl หลายเดือนก่อน +11

    Hy familia haifai Achan nayo Mungu kakuepusha bro

    • @user-fo1ko4sd5z
      @user-fo1ko4sd5z 8 วันที่ผ่านมา

      Achana nahiyo familia na huyo dada atajuta

  • @MaryMtui-fr9bw
    @MaryMtui-fr9bw 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu akusimamie usibadilike kamwee... Ishi katika misimamo uliyonayo... Na Mungu ampe MKE MWEMA ATAKAE KUHESHIMU NA MCHA MUNGU KAMA WEWE

  • @SuhaylaSinda
    @SuhaylaSinda หลายเดือนก่อน +16

    Mwamba anaumia ndani kwa ndani machozi yanalengalenga ila anayapotezea 😅

    • @madamharrieth9453
      @madamharrieth9453 หลายเดือนก่อน +2

      Ana uchungu Sana hii sio rahisi kuipokea anajikaza japo anataka kulia

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu ni mtot wa kiume sana ili ni jembe jembe

    • @user-bo3nt4ji2c
      @user-bo3nt4ji2c หลายเดือนก่อน

      Inauma sana kapoteza gharama nyingi

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 27 วันที่ผ่านมา

      Jamaa ni chuma huyo
      Watu wana jinyonga kwenye uchumba tu,
      Hongera sana mwanaume

  • @ritharwekaza521
    @ritharwekaza521 28 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana Yesu atakuinulia mwingine Wa kufanana nawe,Mungu anakupenda Sana,mshukuru yeye Kwa kila jambo

  • @Njeriii536
    @Njeriii536 หลายเดือนก่อน +49

    Hii familia ya huyo mwanamke lazima watakua wachawi mama mkwe mchawi anataka akae na bint zake awabebeshe uchawi.

  • @simphrosaclavery4719
    @simphrosaclavery4719 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana.kwa ujasori huo sasa mimi kwa ushauri.wangu achana na kazi unayoifanya kamtumikie Mungu kwani.utaponya.watu wengi sana Damu ya yesu ukufunike uamkapo na utokapo kwamwe hata akitokea mtu kukujarbu hatakuweza kuanzia sasa jitambue ya kwamba wewe sio kijana wa kawaida tambua nafasi yako ya kumtumikia Mungu iko siku.utaniitafuta na sasa chukka hatua Mungu Kuongoze

  • @fetty_sarah__
    @fetty_sarah__ หลายเดือนก่อน +47

    Huyu kaka nataman hata ningempata mimi jmn yaan ana imani kubwa sana....MUNGU atakupa mke mwema kaka angu❤❤❤ wadada wengi tumekupenda bure

  • @dianazambi2447
    @dianazambi2447 หลายเดือนก่อน +7

    Jaman ila wakwe wana roho mbay kumwambia mwenzao ajapendez kweli??😅😅loo wabaya sana

  • @RehemaMsengi-rp5wg
    @RehemaMsengi-rp5wg หลายเดือนก่อน +6

    Kama mwanamke Hana maamuzi ya kuheshimu mahusiano yake,je ndugu wataheshimuje,ndoa husimamiwa na wawili na vinginevyo mshukuru Mungu hiyo siyo family utachoshwa sana.

    • @estonsaimon6671
      @estonsaimon6671 หลายเดือนก่อน

      Kabisa aisee,,hapo hamna mwanamke

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 28 วันที่ผ่านมา +2

    Mnaweza mkamlaumu bibi harusi kumbe ni nguvu za giza zilitumika dunia ina husda sana hiii sikuhizi😢😢

    • @KulwaMwabuda
      @KulwaMwabuda 27 วันที่ผ่านมา

      Kweli inawezekan jmn

  • @debbykasitu6990
    @debbykasitu6990 หลายเดือนก่อน +16

    Achana nae huyo sio ridhiki yako Mungu ameshakuoneshea alama sio familia nzuri kwako.

  • @samwelmosh-fu7vu
    @samwelmosh-fu7vu 29 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka wewe umeumbiwa moyo wa msamaha
    Hongera Sana
    Mimi nasikia kutetemeka.
    Naomba kukushauri kaka
    Mungu akikuepusha na jambo usijaribu kulikimbilia.
    Kaa tulia tafakari songa mbele

  • @AsteriaMontgomery
    @AsteriaMontgomery หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Kaka mungu atamuongezea namshauri asimuoe kbsa amuombe mungu ampatie mke mwema asifosi kupa itamgarimu mbeleni

  • @martha20474
    @martha20474 20 วันที่ผ่านมา

    Pole kaka na hongera kwa ujasiri huo. Mwachie Mungu kama ni wa kwako atarudi lakini kama sio basi. Mungu atakupa wa kufanana na wewe.

  • @JacklinDavid
    @JacklinDavid หลายเดือนก่อน +3

    Dah 😢😢 ila huyu jamaa anaimani mnoo Mungu akawe faraja ya moyo wako Broo 🙏🏽🙏🏽

  • @kabisakingnokingifrank573
    @kabisakingnokingifrank573 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana. Naamini unacheka machoni moyo unaumia mungu aendelee kukutunza

  • @florangido202
    @florangido202 หลายเดือนก่อน +21

    Ungemchukuwa Mwanamke yeyote Ukafunga naye Ndoa.
    Mahari yake Ingefata.
    Mahari huwa haimalizwagwi
    Kwani Ulimnunua.
    Mshukuru MUNGU Huyo hakuwa Ubavu Wako (Mkeo)

    • @HinohiatHidoCo
      @HinohiatHidoCo หลายเดือนก่อน +1

      Ndoa sio jambo la ki-lelemama. Wala halitakiwi kufanya ki- mzahamzaha. Wala ki- maigizo.
      Kama yupo mkewe "rasmi" tusubiri, siku si nyingi atatokea.

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 หลายเดือนก่อน +2

      Yaan achukue mwanamke yoyote aiseeee uko serious kweli???? Kaka yupo smart sana sio zoazoa

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga หลายเดือนก่อน

      a​@@HinohiatHidoCo.Bora aliamua kuacha ndoa sio harusi (sherehe) ndoa ni wito au utumishi kuwa Kila Moja yoko tayari kumtumikia mwingine kwa namna yoyote na Hali yoyote bila kuangalia wengine wanasemaje.

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 หลายเดือนก่อน +1

      Alivyovaa ilo shera nimeamini huyu jamaa chenga😅😅😅😅 bibi harus pia hongera Mungu kakuepushia, wakat wanaume mnamuona mwanaume mwamba na sisi wanawake tunasema bi harusi aloingia mitini mwamba kwelikweli bwana harus gan anavaa veri😅😅😅😅

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@kazkaz1943unaonekana huna uelewa wa Mambo kabisa!!

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 หลายเดือนก่อน +1

    Daah aisee, huyu mtu anamoyo sana., kwanza masela hatuoi. Mtu mshakaa wote mshazaa na mtoto halafu wazazi wanaweka kikwazo.. huo ndiyo umasikini wa kiroho tunaousikia. FAMILIA YA HOVYO SANA. Pole sana Kaka.

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu pekee ndio anajua nafsi zetu zimeficha Nini pole thanaa kaka Wacha maisha ya endelee

  • @EdinaChimbwi
    @EdinaChimbwi หลายเดือนก่อน +1

    Honera sana kwa ujasili huu, Mungu akutunze pamoja na hayo yote mimi nashauri kwanza watu tuliokaribu na huyu kaka ukimuona usimtanie kuhusiana na aliyopitia badala yake mtie moyo na kumfariji ili asonge mbele pia kama inawezekana apatiwe mtu alieiva kwenye cancelling akae nae azungumze yaani apatiwe huduma ya cancelling tusimuache hivi hivi na sisi jamii tukalizika the way anavoongea na tunavomuona pole sana kijana,hongera sana kijana

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 หลายเดือนก่อน +10

    Huyo mke mtu atafutwe nae aeleze kilichomsibu, mnaweza mkafunika mdomo😅

    • @user-tu6mm2bq4j
      @user-tu6mm2bq4j หลายเดือนก่อน +3

      Shida ya sisi wakristo tunatozana mahari kubwa tunalajifunza kwawenzetu waislam

    • @omarkhelaifi5888
      @omarkhelaifi5888 หลายเดือนก่อน +3

      Alipigiwa sim clouds akaanza kufokafoka mwisho wa siku akakata sim ilinionyesha kua upande wake ndo wenye makosa

    • @DinaKyahe
      @DinaKyahe หลายเดือนก่อน +1

      Mtu wazaa mtoto anamiaka mitatu kwa maana wanajuana, sasa akitafutwa anazungumza nini

    • @JanethJoseph-sj8ep
      @JanethJoseph-sj8ep หลายเดือนก่อน

      mtoto yupi huyu kaka nimuongo hana mtoto nae nauchumba nimwaka Jana ndo wamevalishana Pete sijui lengo lake ni kutrend au stress zinamuongoza kusema uongo​@@DinaKyahe

  • @faridaaloyce4330
    @faridaaloyce4330 24 วันที่ผ่านมา +1

    Eee mungu naomba unijibu nipate mume najua unajua hili amen

  • @credonolasco4981
    @credonolasco4981 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa dada mtu ajaolewa unazani atapendezwa na harusi ya mdogo wake

  • @RahimaHussein-vm5ux
    @RahimaHussein-vm5ux หลายเดือนก่อน +1

    Pole kaka mungu akutie nguvu usiwape muda hiy familia siy rizk yako hiy familia awakutaki ata ukioa uyo dada utateseka nayo hautakuwa na amani nao

  • @rozzymossesshayo6844
    @rozzymossesshayo6844 หลายเดือนก่อน +6

    Daah kaka una busara ila Kwa hili Mungu atakulipia😢

  • @juliabwana2519
    @juliabwana2519 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka big up mshukuru mungu kwa kila sababu na mungu anamakusudi na wewe na anakupenda pia

  • @claudia1500
    @claudia1500 หลายเดือนก่อน +23

    Kheee kumbe yule tuliemchamba sio bibi harusi mtarajiwa ni dada yake? 😂😂huyo dada atakuwa mchawi hataki mdogo wake aolewe 😂

  • @EsterMhema
    @EsterMhema หลายเดือนก่อน +2

    Mungu amekuepusha na mengi tayari umemjua huyo dada alivyo achanae mpe mungu utukufu.

  • @user-cd8ge8mx7p
    @user-cd8ge8mx7p หลายเดือนก่อน +73

    Duuuuuu hapa kuna kitu, niko nimekaaaa paleeeeeeeeeee, huyu mwanamke cjuiiii ataishia wap mwisho wake. Ogopa mtu anayecheka na kusema amesameheeee.

    • @judithkisavanga7244
      @judithkisavanga7244 หลายเดือนก่อน +3

      Yani ata kuolewa na mwinginee hapoo mtihan 😮😮

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 หลายเดือนก่อน +4

      tatizo la mwanamke lipo kwao, huyo dada asahau kuolewa, ndugu zake wanataka angaike na dunia.

    • @scolasticamayanda9048
      @scolasticamayanda9048 หลายเดือนก่อน +6

      Inauma mimi nilijua kigoli tena bikila kumbe mnamtoto moja sasa mtoto wanamuweka ktk wakati gani familia ya mwanamke wanatamaa alafu mwanamke nae mshamba ningekuwa mimi ningeolewaaaa ningeenda kanisani pumbafu

    • @AmaniOmari-ev2gu
      @AmaniOmari-ev2gu หลายเดือนก่อน

      ​@scolasticahaaaaaaaahaaaamayanda9048

    • @RoseManyata
      @RoseManyata หลายเดือนก่อน

      ​@@scolasticamayanda9048kweli kabisa hata mimi familia yangu ikiwa na kipingamizi naolewa hata wawo wasije

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana brother MUNGU atakusaidia

  • @sunherybabie1472
    @sunherybabie1472 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu ambariki huyu kaka,ampe nguvu na ujasiri uzidi ndani yake,kamwe asiwe mnyonge. Mungu atazidi kumpigania na kumkuza katika matakwa yake yeye. Ila mimi naona Edward hana haja ya yeye kubaki na hizo picha za huyo msichana,achome moto hizo picha. Nguo na vitu alivyonunua kwaaajili ya huyo msichana kuvaa siku hiyo ambayo walipanga,aviuze hivyo vitu ajipatie pesa. Kuliko kukaa na vitu ambavyo akiviangalia vita mkumbusha kuwa siku fulani angefunga ndoa.
    Edward nyie mlipanga lakini inawezekana Mungu hakupanga mfunge ndoa,na kuishi kama mke na mume.
    Laki mbili,mbuzi wawili, kuku 9, chumvi kilo mbili sio sababu ya wao kuzuia wasifunge ndoa. Ila nahisi kuna sababu nyingine, maana tayari waliishi wote na mtoto pia wanae. Kuna sababu nyingine ambayo wao wanaijua na binti yao.
    Lakini Edward yote kheri tushukuru Mungu kwa yote, huyo hakuwa wako,endelea kusali bila kukata tamaa, Mungu atakuletea alie wa kwako na ndoa takatifu mtafunga. Furaha ya Edward siku ya send-off ni furaha ambayo alikuwa nayo kuona sasa huyu binti anaagwa na siku si nyingi atakuwa wake rasmi.Kupendeza siku ya send-off sio kitu,kama walitaka apendeze kama walivyotaka basi, wange mwandalia nguo.Hiyo familia na mtoto wao wanayao tu,mtu kuchangamka na kufurahi,haimaanishi kanywa. Labda walikuwa hawamtaki kijana wa watu,sasa wametafuta sababu ambazo ni unnecessary wala sio za maana. Huyo msichana aachane nae kabisa, hata wakimtafuta asipokee simu zao. Wadelete kabisa,wakatili sana hao. Inaumiza sana basi tu kaka watu anajikaza sana,ana kidondo kikali moyoni, maumivu hayo hayatoki leo wala kesho. Mungu azidi kumbariki Edward na amlete kilicho chema na Mungu ataendelea kukunyanyua utafanikiwa maisha yako yapo mikononi mwa Mungu, na Mungu atayabadirisha🙏. Samee,Mungu atakusaidia taratibu utasahau.

  • @liqar270
    @liqar270 หลายเดือนก่อน

    Duh this literally got me into tears✊🏾 Mungu akuzdishie amani ya Moyo Kaka etu

  • @hassanmatola-ff1to
    @hassanmatola-ff1to หลายเดือนก่อน +9

    Duuuuu Mwamba ana utulivu wa Akili Sana watu wengi hua wanachukua maamuzi magumu kwa mambo kama haya Anastahili tuzo na mfano wa kuigwa thank you🙏

  • @user-fu2yh7wb9f
    @user-fu2yh7wb9f หลายเดือนก่อน +1

    Aisee mwamba pole sana ,mungu akupe faraja

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji หลายเดือนก่อน +16

    Wao ndio hawana maadili kaka wa watu anatia huruma hiyo famalia ni wahuni yaa kuku tisa dah😮

    • @joycemaregesi18
      @joycemaregesi18 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂ndo nashangaa ck hizi mahali adi na kuku 9😂

  • @annamussa185
    @annamussa185 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka ukitaka kuoa tujuze tukuchangie watanzania Ufanye bonge la harusi mpaka shetani ashangaye

  • @Carlos_furaha
    @Carlos_furaha หลายเดือนก่อน +7

    Pole chanaa ndugu yangu🖐

  • @evangelicalmiraclesfellowship
    @evangelicalmiraclesfellowship หลายเดือนก่อน

    Yaani,kaka yangu hiyo family kimbia ur humble, anoint man ,very handsome mshukuru mungu maana haujui umeepushwa na nini.utapata mwanamke anaempenda mungu na atakupendavwewe mungu Akubariki sana.

  • @winfridabalama3873
    @winfridabalama3873 หลายเดือนก่อน +10

    Watu wengine tunataka ndoa hata kesho. Wengine wanakataa. Wewe dada nakupa muda utaitafuta hiyo ndoa hitaipata. Pole sana kaka Mungu akutie nguvu mnoo

    • @shadrackdeogratius6760
      @shadrackdeogratius6760 หลายเดือนก่อน

      Nakusubiri hapa😊

    • @ahz6907
      @ahz6907 หลายเดือนก่อน

      Njoo buza kwa mparange hapa nipo husband materials.

    • @stephenlyimo5664
      @stephenlyimo5664 หลายเดือนก่อน

      God will make a way.

  • @zebedayobiswalo1924
    @zebedayobiswalo1924 หลายเดือนก่อน +2

    Mushukuru Mungu huwezi jua Mungu kakuepusha na nn Mungu ni mwema

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 หลายเดือนก่อน +45

    😢😢😢huyu dada baadae anakuja kusema wanaume wote mbwa kumbe mwenyewe umejitia nuksi

    • @lucasmollel4919
      @lucasmollel4919 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅

    • @LutfiaRashid
      @LutfiaRashid หลายเดือนก่อน +4

      Tena bonge la nuksi promax

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 หลายเดือนก่อน +1

      Nuski proooooooooomax

    • @malkiawanguvu3150
      @malkiawanguvu3150 หลายเดือนก่อน

      Ni mwendo wa kuchezewa tu

  • @Maryc2G
    @Maryc2G หลายเดือนก่อน

    Wewe kaka mwamini Mungu, Mungu anamakusudi na maisha yako. Wakati mwingine Mungu anawaondoa watu ktk maisha yako kwa sababu maalumu. Nakuombea mema

  • @ashurasagara6916
    @ashurasagara6916 หลายเดือนก่อน +14

    Huyu kaka anajikaza ila anaumia jamani...inakuwaje laki mbili ina gharimu vitu vyote ivi...kuna familia hazijali kabisa .just imagine sio mahari tu ila mwanaume anakuwa na vitu vingi vya kufanya,gharama upande wake ni nyingi na mtu anapambana apate...Mungu azidi kukusimamia zaid

  • @happynessmathiass6598
    @happynessmathiass6598 21 วันที่ผ่านมา

    demu msenge sana

  • @angelbarasayedi4716
    @angelbarasayedi4716 หลายเดือนก่อน +12

    YESU awe faraja yako

  • @kijandaki1831
    @kijandaki1831 หลายเดือนก่อน

    Mwanamume makini na shumara,hongera sana,Mungu akupe unachostahili.

  • @valeriamtenga3384
    @valeriamtenga3384 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka pole
    Kimbia mbali sana na iyo familia!
    Si salama hata kdg

  • @ninayamat8213
    @ninayamat8213 หลายเดือนก่อน +1

    Alichokifanya huyo dada sio kitu kizuri atajuta maisha yake yote. Hata kama jamaa alimkosea alipaswa kukaa nae na kuyamaliza na sio kumkacha kaka wa watu na gharama zote alizoingia😢😢😢😢😢. Pole sana kaka Mungu atakupa mke mwingine mzuri zaidi ya huyo