Gladness Kifaluka: Zamani nilikuwa napenda kuwa na mahusiano na wanaume wazee, sipendi 'boys'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Sehemu ya pili ya mahojiano na Getrude Mwita pamoja na Gladness Kifaluka. Hapa, Getrude anazungumzia tetesi za kwamba aliolewa na Idris Sultan na Gladness anaeleza kwanini alipenda kuwa na mahusiano na watu wazima (wazee)

ความคิดเห็น • 165

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni sana urafiki wenu uko positive sana mfike mbali wengi wa marafiki siku iz wanaoneana choyo na wivu bila kuwa na wivu wa maendeleo salut kwenu

  • @eddonyihande6365
    @eddonyihande6365 3 ปีที่แล้ว +13

    Kupitia hawa wadada, I learned something, thanks for inspiring na I will apply to my friends

  • @liliancharles476
    @liliancharles476 3 ปีที่แล้ว +13

    Nimecheka....amazing friendship.

  • @salomemkufya4519
    @salomemkufya4519 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice sana mbarikiwe mungu alie mbinguni anamijua vema

  • @firdausyalhaji5569
    @firdausyalhaji5569 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awasaidie saana aaamiin🤲🤲

  • @chelseadiva1072
    @chelseadiva1072 3 ปีที่แล้ว +14

    What a lovely friendship 😍they’re total badass I wish I could have someone to share my feelings and support me in every milestone just like these two beautiful n smart ladies 🥰❤️ dadas you’re loved you’re appreciated 🥂

  • @lajoieinnocent7781
    @lajoieinnocent7781 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimeenjoy sanaaa.... amazing friendship

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 ปีที่แล้ว +6

    I love you all,nmependa sana urafiki wenu😘😘😘

  • @MohammedAli-vq2dk
    @MohammedAli-vq2dk 3 ปีที่แล้ว +14

    Nimefurahia interview hii sisikilizagi mpk mwisho lkn hii nimesikiliza mpk mwisho

  • @shanaharuna217
    @shanaharuna217 3 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda bure* Mi Sina rafiki Coz wanawake wengi urafiki wao c wa kueleweshana Maisha* naona Bora nichill alone.

  • @adelinadeogratias1841
    @adelinadeogratias1841 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah!kiukwel huwa sina rafiki wa kike kabisaa,ila hawa wadada wamenitamanisha niwe na rafiki wa kike ila awe anajielewa aisee,hongeren sana wadada aisee😍😍😍😍😍

    • @separatebetres5315
      @separatebetres5315 3 ปีที่แล้ว

      Yaani hata mie rafiki closed mh Sina
      Ila Hawa naona wako vizuri

  • @hawasuleiman3159
    @hawasuleiman3159 3 ปีที่แล้ว +3

    Glady you really made my day haki ya mungu.!

  • @madievan1821
    @madievan1821 3 ปีที่แล้ว +6

    I want to have a best friend like your friendship in 2021

  • @sekelakessy2234
    @sekelakessy2234 2 ปีที่แล้ว +1

    So marvellous friendship nimependa mnoo I wish to have a friendship like yours dadaz🤗♥️

  • @shammyngude5060
    @shammyngude5060 3 ปีที่แล้ว +5

    This is bond relationship. Very amazing. Allah awalinde

  • @anethlema6074
    @anethlema6074 3 ปีที่แล้ว +4

    One of the best interview ever♥️

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 3 ปีที่แล้ว +1

    Inaonekana wanapendana sana nimependa urafiki wao,,, I wish namim nipate rafiki wakwer na wakupendana ukwer kama huu,,

  • @estermosha1985
    @estermosha1985 3 ปีที่แล้ว +3

    I just love their friendship

  • @rebecasanya8910
    @rebecasanya8910 3 ปีที่แล้ว +4

    kawaida ya wachaga stori zao huwanga ni za kuchakarika na pesa tu kwa hilo nawapendaga

  • @gracemfangavo4824
    @gracemfangavo4824 3 ปีที่แล้ว +2

    U guyz nawapendaa tu kila mtu kwa nafas yake...... Pendanen sanaaaaaa na mm nawapenda

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +7

    Yaani nimecheka sana jamn mpk mbavu zauma mashallah nawapenda

  • @aminaadam9914
    @aminaadam9914 3 ปีที่แล้ว +1

    Very inspiring ma shaa Allah.

  • @ericamlelwa6049
    @ericamlelwa6049 3 ปีที่แล้ว

    It is so impressive,inspiring and motivating. Your friend ship should exist forever. Love you so so so soooooo much

  • @naigeorge7765
    @naigeorge7765 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni wadada. Mpo open sana.Mmetu inspire sana. Tunawapenda

  • @pamelaemmy8180
    @pamelaemmy8180 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimewapenda sana kwakweli mungu awape maisha marefu na urafiki wenu uwe wakufa na kuzikana❤❤❤❤🥰🥰

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Aubariki Urafiki wenu!!!!!!

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 ปีที่แล้ว +6

    sky glass zinaleta mwangwi kwenye mike masikio yanauma..next time wawekee vitaamba apo chini maybe itatusaidia wasikilizaji bila kuwa na barriers katika usikilizani.

  • @rehemaabdallah3712
    @rehemaabdallah3712 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu awatie nguvu kwenye urafiki wao

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 3 ปีที่แล้ว +1

    They are very classy 😊...no fake show off

  • @firdausyalhaji5569
    @firdausyalhaji5569 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Saana jamanii nimeinjoy saana💞💞💞💞🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️

  • @juliusfelister894
    @juliusfelister894 3 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️you guys mpo vzr mbaki hvyo hvyo

  • @khadijanajath7417
    @khadijanajath7417 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamni nmecheka mpaka nalia Ila chazaidi nmependa sanaaaaa ufaki wenu mmh nawapenda nyooooote double G

  • @khadijaahmeid8269
    @khadijaahmeid8269 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaaan jamani nilipokuaa nakuona na dulivani nilijuaa mwehuu flani kumbee unamadinii hatar hongeraaa

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 3 ปีที่แล้ว +6

    Gladness ni comedian by nature ako interview bt ni vituko tu🤣🤣🤣

  • @peacekypa9512
    @peacekypa9512 2 ปีที่แล้ว

    I love this interview

  • @estherfrancis7789
    @estherfrancis7789 3 ปีที่แล้ว +3

    Pili pili pili ww mungu anakuona nimecheka sana

  • @dianaatieno5462
    @dianaatieno5462 3 ปีที่แล้ว

    I love you guys be he
    happy
    👌👍

  • @evittahmwita1120
    @evittahmwita1120 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunz mengi jamaniii. All in all I love you guys.you have insiper me

  • @marymaige6466
    @marymaige6466 3 ปีที่แล้ว +2

    Love you girls

  • @teulynally8740
    @teulynally8740 3 ปีที่แล้ว +2

    i like it jaman😘

  • @apolinemalungano433
    @apolinemalungano433 3 ปีที่แล้ว +3

    Nime wapenda sana

  • @lindalaizzer9897
    @lindalaizzer9897 2 ปีที่แล้ว

    2022 niko hapa kiukwel haichoshii

  • @rehemavincent5034
    @rehemavincent5034 3 ปีที่แล้ว +3

    Such a truly friendship❣️😍🥰😘

  • @florahelias4812
    @florahelias4812 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimewapenda

  • @raibaabdallasaid5987
    @raibaabdallasaid5987 3 ปีที่แล้ว

    I felt it.....note taken

  • @mimahndingwi2436
    @mimahndingwi2436 3 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂daaah mbaka laaa jamani

  • @annajosee9606
    @annajosee9606 3 ปีที่แล้ว +4

    Pili jmn ukiyatufta ya mtandaon ucniulize😁😁😁😁😁

  • @magrethkisamo594
    @magrethkisamo594 3 ปีที่แล้ว +1

    Good interview 😘

  • @farukunassibu9938
    @farukunassibu9938 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana toka mwanzo nimefatilia urafiki mzur Sana

  • @elizabethsakina9987
    @elizabethsakina9987 3 ปีที่แล้ว +7

    Niwacheshi🤣😂😂😂 nimempenda pili kitimtitim

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 ปีที่แล้ว +1

    Yule mvulana anayeua watu ndo amekuoa😂😂😂😂😂

  • @navinainad7233
    @navinainad7233 3 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️

  • @beatricebenjamin4026
    @beatricebenjamin4026 2 ปีที่แล้ว

    Nimewapenda sana

  • @aminakazogolo2229
    @aminakazogolo2229 3 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda❤️

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda jamani

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 3 ปีที่แล้ว

    Warembo wazuri mm nataman niwaone wote pls nambien mabint sayun maana nimewapenda sana!P

  • @marymemuruth2965
    @marymemuruth2965 3 ปีที่แล้ว +11

    Yaaan nmempend glady najion mm kabs mitabia yake😂😂😂😂😂😂

  • @niyongabiranoibrahim7794
    @niyongabiranoibrahim7794 3 ปีที่แล้ว +2

    That is really friendship

  • @rosemofuga6313
    @rosemofuga6313 3 ปีที่แล้ว +1

    I love you girls mwaaaaa

  • @mwasitykisambo1393
    @mwasitykisambo1393 3 ปีที่แล้ว

    Double G mko vzr sana nimewapenda

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake Bhana.. Akili zao wanajijua wenyewe..

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimecheka kweli. Eti Nadet na vizee 😀😀😀😀

  • @ridhwanramadhan1988
    @ridhwanramadhan1988 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice 👌

    • @joycekachawi9957
      @joycekachawi9957 3 ปีที่แล้ว

      Hii kka nahitaj urafiki wao,,,mmi joyce

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa capo yao

  • @mwajumakabesha5662
    @mwajumakabesha5662 3 ปีที่แล้ว +1

    Mniunge nami urafiki wenu, jameni

  • @merinajuma1236
    @merinajuma1236 3 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣pili pili nakuita jmn uwiiiiiii 🙌

  • @Mrdigital.
    @Mrdigital. 3 ปีที่แล้ว +3

    Tabia yao hao inaondoa wivu

  • @zaigold6897
    @zaigold6897 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana urafiki wao

  • @hawajuma1661
    @hawajuma1661 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana nataman lafiki kama nyinyi

  • @lucyshirima9143
    @lucyshirima9143 2 ปีที่แล้ว

    Pili kibibi nawapenda sana jmn

  • @erminagasper6685
    @erminagasper6685 3 ปีที่แล้ว

    Mm nimependa zaid ya sky boy

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 3 ปีที่แล้ว

    Mnapendezaa

  • @alonsobrazzel3011
    @alonsobrazzel3011 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿 - These 2 GETRUDE & GLADNESS are what you Call "REAL FRIENDS". You Can tell by the Way Both are Looking at Each Other.
    I Laughed So hard tears were rolling down my Eyes when Kifaluka Said how Kibibi greeted her Grandfather Boyfriend -"Shikamoo" - Dating Boyfriends of 50 years to 102 years.😅😆😆
    (A True SERVANT is the One who tells the KING is "NAKED" when the KING doesn't Know he is Naked). KUDOS. 🇨🇦☻🇰🇪

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +2

    Vipi munaweza mipigo au ndio siwezi. Kukaa hivo . Bongo hakuna mamis hebu njoo zanzibar

  • @rakbeenrakbeen4961
    @rakbeenrakbeen4961 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mi nawapenda nyie wadada 😊😊😊

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 3 ปีที่แล้ว

    🤩 Nimewapenda bure hasa huyo G

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 3 ปีที่แล้ว

    Nimependaa

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว +7

    Sns nikija Bongo nataka interview na mimi

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว

      Unachekesha kajambe😂

    • @D-Man.B-Free
      @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaarusha894 Dogo hunifahamu,you don’t know who I am,where I am from 🤪🤪🤪

    • @D-Man.B-Free
      @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaarusha894 th-cam.com/video/7H4KQCo0ldw/w-d-xo.html

    • @D-Man.B-Free
      @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaarusha894 ndo Mimi nikiwa studio maandishi matatu kitambo saana ...

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว

      @@D-Man.B-Free awapi 🤣

  • @Mrdigital.
    @Mrdigital. 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ni kama mapacha

  • @GivenTobago
    @GivenTobago ปีที่แล้ว

    Gladness

  • @najma3268
    @najma3268 3 ปีที่แล้ว

    Hawa wadada nimewapenda sana

  • @rehemakitundu4984
    @rehemakitundu4984 3 ปีที่แล้ว

    Nimewapenda bure aiseee

  • @steylasilviamosi8496
    @steylasilviamosi8496 3 ปีที่แล้ว +1

    👌🏼👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @kimarohuba7441
    @kimarohuba7441 3 ปีที่แล้ว +1

    Naumwa kichwaaa😁😁😂😂 kwa kuchekaa dah pilii

  • @vickiemassawe9414
    @vickiemassawe9414 3 ปีที่แล้ว

    Raha sana kuwa na rafik mnayeendana

  • @felicekweka7314
    @felicekweka7314 2 ปีที่แล้ว

    Amaiziiiiing

  • @jumakasanda1699
    @jumakasanda1699 3 ปีที่แล้ว

    Sns for life

  • @edithalenard4915
    @edithalenard4915 3 ปีที่แล้ว

    Nimewapenda bure

  • @kkk-jp1tq
    @kkk-jp1tq ปีที่แล้ว

    Kwer

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว

    Atari lakin salama

  • @justerjulius7087
    @justerjulius7087 3 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰🥰

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejua kucheka leo yani pili kanicheksha hapo kwenye kudet na mibabu🤣🤣🤣

  • @anithasteve5780
    @anithasteve5780 3 ปีที่แล้ว

    Nimefurah jaman pia nimejifunza

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 3 ปีที่แล้ว +4

    Hao mabinti wana kiu balaa,wanamind maji kama wako jangwani(natania tuu jemeni)

    • @kimarohuba7441
      @kimarohuba7441 3 ปีที่แล้ว +1

      Hujui thaman ya maji mwilini 😁😂😂

    • @safiaimran712
      @safiaimran712 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna kitu kizuri km kunywa maji kwa wingi

    • @mtilibakari6114
      @mtilibakari6114 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna kinywaji kitamu Kama maji💦

  • @adyaalawy8764
    @adyaalawy8764 3 ปีที่แล้ว

    👍👍👍

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 ปีที่แล้ว

    SKY unangufu kweli kuzungumuza nauyo dada nikisha kitimitimu kimesha muharibu

  • @maryamhamad5158
    @maryamhamad5158 3 ปีที่แล้ว

    Yaani wakimbieni haswa ao marafiki mie mwenzenu nipo tu rafiki zangu ni wazee na babe

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 3 ปีที่แล้ว +2

    Pili wangu kitimtim nacheka mpaka nakufa

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 3 ปีที่แล้ว +2

    Kibibi wangu wa huba mwaaah

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 3 ปีที่แล้ว

      wako kwenye huba kumbe ??

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 3 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 kibibi pekee

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 3 ปีที่แล้ว

      Mrs Liverpool mbn km wamefnn..ni ndugu? na kibibi ni yupi hapo?

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 mwenye shati nyeupe tupu

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 3 ปีที่แล้ว

      Cathereen Exzavery huyu wadada wameolewa ?