@@brianmekere325 Achana na uyo mchawi Mambo yao ya siri siri wao kwenye table ni wangu mambo ya siri kwani apo wanatongozana , Guardiola , arteta tunawaona kila siku kwenye dressing room anawapa somo vijana na watu hawaongei ila so kosa lake ye kwenye football anajua simba na yanga ndo tatizo ilo!
hakika wewe ni kiongozi unajua kuwajenga WACHEZAJI kisaiklojia. big up
Hersi vizur sana ability kubwa sana
Very good leader our président 👌👍🙏
Wanaomkubali the big bos walike hapo twende sawa
Boss kama Bosss
Mrundisheye mayere
The president
huyu jamaa anafaa kuwa raisi
Et Siri 🤣🤣🤣ukitaka kumfunzi jirani asie jishughulisha pika wali Kaa nje ajifunze kutafuta
Bonge la kiongozi
Pamoja Sana hels ananikumbusha nilipokua nasoma secondary nilikua
kiongozi ninaefanana nae by Ally burula pande za muskat Oman
Le presidant
Nyiye nao sio kila kitu mitandaoni. Kwani hamna mipango yenu ya siri?
Ulaya huoni mambo hadharani tu tena hiyo msimu uliopita
@@brianmekere325 Achana na uyo mchawi Mambo yao ya siri siri wao kwenye table ni wangu mambo ya siri kwani apo wanatongozana , Guardiola , arteta tunawaona kila siku kwenye dressing room anawapa somo vijana na watu hawaongei ila so kosa lake ye kwenye football anajua simba na yanga ndo tatizo ilo!
@@azizymachadeson3577 kweli aisee unaficha kitu gani kama timu yako ni nzuri basi itafanya vizuri tu ila kama ni mbovu basi mbovu tu