INJINIA HERSI ATOA OMBI ZITO KWA RAIS SAMIA "TUNATAKA KUJENGA UWANJA JANGWANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • INJINIA HERSI ATOA OMBI ZITO KWA RAIS SAMIA "TUNATAKA KUJENGA UWANJA JANGWANI"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 103

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 ปีที่แล้ว +11

    Mm sio yanga lakini kwa hili nakupongeza sana mama haijawahi tokea umetuhishimisha sasa sio tena kichwa pchap mwandawazimu

  • @makulileboniface7962
    @makulileboniface7962 ปีที่แล้ว +2

    Rais wa yanga ni mnyenyekevu jamen sijuwi fei kile anacho kionge Kama ni kweli mungu atamlipa Kama anamsingzia mtu wa watu

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 ปีที่แล้ว +4

    Niliwambia kuwen makini na huyo Morison.atafanya vioja na kweli kafanya vioja mmejionea wenyewe.

  • @rosemerrymasalakulangwa4456
    @rosemerrymasalakulangwa4456 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri. Asante sana Mheshimiwa Rais. Hongera sana Yanga.

  • @HusseinKoja-nw2vq
    @HusseinKoja-nw2vq ปีที่แล้ว +1

    Duh halafu kuna neno limesikika rais wa club aondoke ili mchezaji arudi

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni Simba, lakini huyu jamaa namkubali sana, maana hata speech zake zimetulia sana, hatumii written documents lakini speech imenyooka mno! Lakini pia namkubali sana kwenye mipango na mikakati ya kimaendeleo hasa kwenye soka, tunahitaji viongozi wa aina hii kwenye Klabu zetu ili Tanzania ifike mbali sana kisoka 👏👏👏

  • @sylivestermwasile4203
    @sylivestermwasile4203 ปีที่แล้ว +3

    Brother benard..... Namkubali sana hapendi unyongee

  • @baranyikwamohammed628
    @baranyikwamohammed628 ปีที่แล้ว +9

    Speech hadi nasisimuka congrats President Heri!

  • @sportsextra4795
    @sportsextra4795 ปีที่แล้ว +1

    huyu anafaa kuwa raisi wa shirikisho la mpira Tff naamini tutafika mbali

  • @Mr.SampaElias-fw3rb
    @Mr.SampaElias-fw3rb ปีที่แล้ว

    Morison ni mvuta bangi sema hamjui tu, yey ndo mzinze?😀😀

  • @imantz
    @imantz ปีที่แล้ว +19

    This man has a huge IQ can't imagine his speech it's like written on a paper

  • @nyambinyambi2250
    @nyambinyambi2250 ปีที่แล้ว +11

    Piga kazi jamaa unapiga kazi safi sana

  • @kabulapaul56
    @kabulapaul56 ปีที่แล้ว +2

    Diara ,mayere hongera sana

  • @JerinaNguto-vv1gt
    @JerinaNguto-vv1gt 9 หลายเดือนก่อน

    Ongera,injinia,ariss,raise,wetu,yanga🙏🧡💚💛🧡💚💛

  • @halimamnavi3208
    @halimamnavi3208 ปีที่แล้ว +2

    Kazi iendelee mama yetu tunakutegemea Kwa Kila hatua na Mungu akutangulie kwa kila jambo 🙏🙏

  • @ImaniKabome
    @ImaniKabome ปีที่แล้ว +6

    Pamoja rais

  • @maxezeaguttu7821
    @maxezeaguttu7821 ปีที่แล้ว +6

    Hii Ndio Maana Ya Elimu💚🖤💛

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 ปีที่แล้ว +1

    Siasa kwenye mpira tunaua soka letu ifike mahali wanasiasa wawe wanafanya hivyo Kwa team ndogo kama Namungo na zinginezo

    • @jemaarsen6996
      @jemaarsen6996 ปีที่แล้ว

      Hujaeleweka Kwan namungo ni kituo Cha yatima? Maana yake hio siasa ambayo huihitaji ndio unataka isapoti namungo ambayo pia ni team ya mpira

  • @ashrafsibandekeye-ft5ks
    @ashrafsibandekeye-ft5ks ปีที่แล้ว +3

    Halafu anatokea msenge mumoja anasema eti raisi atoke clubuni sasa helis said hatoki

  • @noelkaale5952
    @noelkaale5952 ปีที่แล้ว +3

    Acha ushamba wewe siyo klabu kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza Simba ndio ya kwanza nyie utopolo ni wapili

  • @Kiddomafiaso
    @Kiddomafiaso ปีที่แล้ว +1

    Clement mzize saa mbovu ikasimama 😂😂

  • @Geofrey-we1tv
    @Geofrey-we1tv ปีที่แล้ว +1

    Ila Bernard shikamoo😂😂😂

  • @abdallahsaleh5194
    @abdallahsaleh5194 ปีที่แล้ว +1

    Ni jambo jema lakini rais kuingilia mambo kama hayo wenye MICHUANO ya fifa wanaweza wakatufungia tusishiriki MICHUANO yeyote ya kimataifa

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      Hata wasiposhiriki hakuna timu ya kuleta kombe hapa.

    • @thetanzaniaanimalchanel1564
      @thetanzaniaanimalchanel1564 ปีที่แล้ว

      SENEGAL UNDER 17 WAMEPELEKA KOMBE IKULU HATA MWEZI HAUJAISHA😂

    • @EngLex-vo7te
      @EngLex-vo7te ปีที่แล้ว

      Kaingilia? Kaingilia nini?

    • @elizabethjustine9915
      @elizabethjustine9915 ปีที่แล้ว

      Morocco walivyotok kombe la dunia wachezaji wote walialikwa na mama zao ikulu mbon awajafungiwa mpk Leo.

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว +10

    Speechless
    You are the MAN OF PEOPLE🎉

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 ปีที่แล้ว +4

    unapendez kweny hicho kiti cha urais

  • @bakarhaj9214
    @bakarhaj9214 ปีที่แล้ว

    Ndio lile kombe la looser eee.
    Musimalize maneno vyura nyie.

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 ปีที่แล้ว +2

    Niliipenda yanga tangu mwaka 1974. Hongereni sana

  • @sportsextra4795
    @sportsextra4795 ปีที่แล้ว

    nilianza kuipenda yanga tangu 1722 sasa najivunia kuwa mwana yanga

  • @mohammedomary9476
    @mohammedomary9476 ปีที่แล้ว +2

    Genius and very smart he is our leaders 💚💛,nioneshe kiongozi wako smart na genius kama huyu😅😅😅

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 ปีที่แล้ว

    Pesa inaenda Kwa wachezaji izo sura mbn Kama Kuna ujanja ujanja😂

  • @fundiwelding146
    @fundiwelding146 ปีที่แล้ว +1

    ANADANGANYA *HAPA TUMEPATA MAGOLI*

  • @HisaniMsigwa-lc6zk
    @HisaniMsigwa-lc6zk ปีที่แล้ว

    Upo vzr kaka ,ww ni pure kiongozi

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 ปีที่แล้ว

    Aendele kuwahudumia Watanganyika

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว

    Morrisson kichaa😂😂😂😂

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 ปีที่แล้ว +7

    What an Orator 👍👍👍

  • @kabakuliibrah-jl8fe
    @kabakuliibrah-jl8fe ปีที่แล้ว +2

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 ปีที่แล้ว +2

    Yanga woyoooooooooo

  • @konceptualagency4837
    @konceptualagency4837 ปีที่แล้ว +2

    Super confidence yani hapo mimi ningetetemeka mpaka na faint 😂😂😂 not easy as it looks

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 ปีที่แล้ว

      Many of engineers are intelligent and capable in many angles

  • @kabulapaul56
    @kabulapaul56 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😁😁 benard bwaaana

  • @shukurulazaro8688
    @shukurulazaro8688 ปีที่แล้ว +1

    Wew utafika mbali Sana hata uongozi wa serikali utapewa

    • @fredmbossa-kc3qn
      @fredmbossa-kc3qn ปีที่แล้ว

      huyu jamaa ana akili sana,,uwanja ukiisha tu utasikia serikali wamemchagua na kumpa nyadhfa za kiserikali hapo usishangae 😂

  • @kiumanursingtv1647
    @kiumanursingtv1647 ปีที่แล้ว +1

    Morrison hahahaaaa

  • @shukurulazaro8688
    @shukurulazaro8688 ปีที่แล้ว

    Jangwan hanuna maji mzee

  • @francoisesakina
    @francoisesakina ปีที่แล้ว +1

    Ila Morrison 😂😂😂😂

  • @juliussanga9313
    @juliussanga9313 ปีที่แล้ว

    Presidents requesting each other

  • @Allyamanzi-jt8us
    @Allyamanzi-jt8us ปีที่แล้ว +3

    Hapo makolo miyon mwao

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +1

      UNA WASHWA WEWE

    • @jacobsanday9085
      @jacobsanday9085 ปีที่แล้ว

      Kwan mako ni Nani @salimmalaka256 mbn umepaniki

  • @bbsahl1242
    @bbsahl1242 ปีที่แล้ว

    Iyo yanga uko congo s c

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 ปีที่แล้ว +2

    Amemsahau Andrei mtine

  • @FesodiCharles
    @FesodiCharles ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤🎉😂

  • @yusuph-yf4lb
    @yusuph-yf4lb ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @athumanihassani7208
    @athumanihassani7208 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

  • @siliviasimon7970
    @siliviasimon7970 ปีที่แล้ว +2

    😘💚🔰🇹🇿👑

  • @AdrienLumbweMutiti
    @AdrienLumbweMutiti ปีที่แล้ว +2

    congrat yanga

  • @sebamwita6026
    @sebamwita6026 ปีที่แล้ว +1

    I 💚yanga

  • @rayanjoseck4458
    @rayanjoseck4458 ปีที่แล้ว

    So sad Tanzania hawatawai enda mahali since chance yao ilikua na Hayati JPM

  • @AkondwaOlodarasero
    @AkondwaOlodarasero ปีที่แล้ว +1

    Morisoni mjinga sanaaaaaaa

  • @kabulapaul56
    @kabulapaul56 ปีที่แล้ว

    Kweri ilikua vita sana ila Poleni mungu Yu pamoja nasi wananchi

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 ปีที่แล้ว

    Tuwashitaki kwetu hatukuwafanyia hivi

  • @emanuelmiyonjo4484
    @emanuelmiyonjo4484 ปีที่แล้ว +1

    💚💚💚💛💛💛🔰🔰🔰🔰

  • @mwanaidathuman78
    @mwanaidathuman78 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @muhidiniwadhifa3600
    @muhidiniwadhifa3600 ปีที่แล้ว

    Kweli club ya wananchi

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 ปีที่แล้ว

    Spechi free style sio ywkuandikwa hahahaha

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 ปีที่แล้ว

    Manara Yuko wapi jamn

  • @salimuomari-h4s
    @salimuomari-h4s ปีที่แล้ว

    Civil engineer huyo

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 ปีที่แล้ว

    MH....hersi. ...hongera

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 ปีที่แล้ว

    💚👏🤳💪🙏

  • @Paul-k1g
    @Paul-k1g ปีที่แล้ว

    Njoo tule

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 ปีที่แล้ว

    Our man of people 🔰🔰🔰🔰

  • @zawadielisikay
    @zawadielisikay ปีที่แล้ว

    Big up mr president

  • @musakalikenya5245
    @musakalikenya5245 ปีที่แล้ว

    Naam

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 ปีที่แล้ว

    Hers genius

  • @wazirymussa2456
    @wazirymussa2456 ปีที่แล้ว

    Kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake,
    CHANZO chake ,DALILI na MADHARA yake
    Kutokuwa na uwiano sawa wa homoni kwa wanawake ni hali ambapo kuna mabadiliko katika viwango vya homoni zinazosimamia mzunguko wa hedhi na uzazi wa mwanamke kwa maana ya uzalishwaji wa mayai. Sababu za kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake ni pamoja na:
    Uzazi: Mabadiliko ya homoni yanaweza kutokea wakati wa hedhi, ujauzito, na kumalizika kwa hedhi (menopause).
    Matumizi ya Dawa: Matumizi ya dawa, kama vile dawa za uzazi wa mpango, dawa zenye kemikali za kurekebisha homoni , na dawa za kupunguza MAUMIVU zikitumika kwa muda mrefu,zinaweza kusababisha mabadiliko katika viwango vya homoni.
    Matatizo ya kiafya: Magonjwa kama vile , ugonjwa wa tezi ya pituitary, ugonjwa wa kisukari, na magonjwa mengine yanaweza kusababisha kutokuwa na uwiano wa homoni.
    Maisha ya kila siku: Mabadiliko katika maisha ya kila siku, kama vile lishe, mazoezi ya mwili, na usingizi, yanaweza kusababisha mabadiliko katika viwango vya homoni.
    Baadhi ya dalili za kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake ni pamoja na:
    Kutokwa na damu ya hedhi kwa wingi au kidogo sana.
    Maumivu makali wakati wa hedhi.
    Kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa (libido).
    Kupata hedhi kwa kiwango kisichoratibiwa.
    Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa,hii inasababushwa na kukosekana au kupungua kwa Ute unaozalishwa wakati wa tendo la ndoa kwenye uke,ambao hutumika Kama kilainishi.
    Kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku.
    Kupata hali ya wasiwasi au unyogovu.
    Madhara ya kutokuwa na uwiano wa homoni kwa wanawake ni pamoja na:
    Ugumu wa kupata ujauzito au kutokuwa na uwezo wa kuzaa.
    Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi ambayo inaweza kusababisha upungufu wa damu mwilini (anemia).
    Maumivu wakati wa tendo la ndoa (dyspareunia).
    Kuongezeka kwa hatari ya kusababisha saratani ya matiti, saratani ya kizazi, na magonjwa mengine.
    Kupata dalili za kuharibika kwa mfumo wa mifupa na osteoporosis.
    Ni muhimu kwa wanawake wanaoona dalili zinazohusiana na kutokuwa na uwiano wa homoni kutafuta ushauri wa daktari ili waweze kupata tiba sahihi.
    0620785623
    Au wasiliana nasi kwa USHAURI na tiba