RADD KWA HIZB BACHU MAJIBU YA SHUBHA ZA MUHAMMAD BACHU [ MAJLISI NO6]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 53

  • @swalehkhatibu5451
    @swalehkhatibu5451 5 หลายเดือนก่อน

    بارك الله فيك وجزاك الله خيرا

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 5 หลายเดือนก่อน

    Laana izo Mawahabi mwakahuyu mtajulikana

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 5 หลายเดือนก่อน +4

    Namuomba Allah kwa nema zake na ukarimu wake Amuongoze muhamad bachu aifate haqqi au Allah subhanahu wa ta'ala Amuangamize Allahumma amiin

    • @Menino938
      @Menino938 5 หลายเดือนก่อน

      Mwenye kumuombea nduguye kheri hakika itaanza kwake na kadhalika mwenye kumuombea shari itaanza kwake tafakari ndugu kabla ya kutoa maneno kinywani mwako.

    • @saidabdallah5448
      @saidabdallah5448 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo nyee hamumsikii mohamed bachu
      Ukimsikia kila ushabiki utajua mohamed bachu anahoja zanguvu kuliko huyu sheikh anaeongea

    • @Cherehanitanzania
      @Cherehanitanzania 5 หลายเดือนก่อน

      @@saidabdallah5448𝗛𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 𝗛𝘂𝘄𝗮 𝗛𝗮𝘄𝗮𝗺𝘀𝗶𝗸𝗶𝗹𝗶𝘇𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗙𝗮𝗶𝗱𝗮 𝗟𝗮𝗮𝗸𝗶𝗻 𝗪𝗮𝗸𝗶𝗼𝗻𝗱𝗼𝗮 𝗞𝗶𝘁𝘂 𝗞𝗶𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝘄𝗮𝘀𝘂𝗺𝗯𝘂𝗮 𝗞𝘁𝗸 𝗠𝗶𝗼𝘆𝗼 𝗬𝗮𝗼 𝗕𝗮𝘀𝗶 𝗪𝗮𝘁𝗮𝗯𝗮𝗶𝗻𝗶 𝗬𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗕𝗮𝗰𝗵𝘂 𝗔𝗻𝗮𝘇𝗼 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗡𝘇𝗶𝘁𝗼 𝗡𝗮 𝗛𝘂𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗮 𝗡𝘆𝗶𝗻𝗴𝗶 𝗕𝗮𝗰𝗵𝘂 𝗔𝗻𝗮𝘀𝗼𝗺𝗮 𝗩𝗶𝘁𝗮𝗯𝘂 𝗦𝗼 𝗦𝗶𝗱𝗵𝗮𝗻𝗶 𝗞𝗮𝗺𝗮 𝗨𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗨𝗸𝗼 𝗨𝗽𝗮𝗻𝗱𝗲 𝗪𝗮𝗸𝘂𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗞𝘂𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺 𝗨𝘁𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗕𝗮𝗰𝗵𝘂 𝗛𝗮𝗻𝗮 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗔𝘂 𝗛𝗮𝗲𝗹𝗲𝘄𝗲𝗸𝗶 𝗔𝘂 𝗛𝗮𝗷𝘂𝗶 𝗔𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝗸𝗶𝘀𝗲𝗺𝗮

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 หลายเดือนก่อน

      ​​@@saidabdallah5448 Akhy tambua utakuja wekwa mbele ya Allah uulizwe!!!
      Yani hadi katika hili la kumtwaani shekh rabii unamtetea bachu????!!!! Sub hanallah.... Ittaqillah yaa ibadillah!!
      Yani hadi katika hili unasema Bachu ana hoja za nguvu...!!! Duh!!!
      Wanachuoni wote hao wa kisalafy wanamtetea na kumtakasa shekh rabii... halafu mje nyie mseme shekh rabii ndo mwazilishi wa hizbu salafy (Salafiya Jadeedah)...... Ni haqqi hii kweli ndgu yangu???????????????????

    • @abrahmanhamad3253
      @abrahmanhamad3253 5 หลายเดือนก่อน

      Hao wanaambiwa wasimsikilize Mohd Bach sbabu washaonekana hawana akil ya kupika haki kwahyo wamekuwa km misukule

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 5 หลายเดือนก่อน

    Majajida niwajinga ktk kifahamu ibara za maulamaa mh hapa hamna wallah

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 4 หลายเดือนก่อน

      Shida yako huna majibu ya hizo hoja ila ushabiki tu hata hilo neno JADIDA hujui maana yake na uhakika wake acha ushabiki Habib

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 หลายเดือนก่อน

      @@AbuuBakar1 Mkuu hata mutuambiye nini ujadida sinjiya tumeshaelewa km niushabiki basi naniwe shabiki ila haqqi tumeshaifaham ya habib

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 4 หลายเดือนก่อน

      @@mfalmenajjash2128 haqq waijua ila baatwil huijui sijui wewe salafy wa aina gani
      Wajua uislamu ila ukafiri na ushirikina hujui sasa utajiepushaje na shari usio ijua

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 5 หลายเดือนก่อน

    أنت طبقه ndio kiarabu gani??

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 5 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaykum naomba kuuliza
    Wengine watoa nashid kamahiyo kwenu inakua haram ila mkitoa nyinyi inakua mashaili?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 หลายเดือนก่อน +1

      hiyo sio nasheed unazozijua wewe..... hayo ni mashairi na yamethibiti....
      Tatizo lenu hamtaki kusoma:

  • @abdillahsuleiman2278
    @abdillahsuleiman2278 5 หลายเดือนก่อน

    mumeshindwa kujibu hoja za bachu mnaanz kuhama mada 😂😂😂

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 หลายเดือนก่อน

      Mada haijahamwa kijana, Mada ni ileile ya kujibu shub ha za bachu...
      hujaona kwenye darsa za Bachu kuna clip aliweka tuhuma kwa Shekh Rabii??? Hadi akasema kwa nyie msiojua kiarabu atawawekea tarjama... umesahau???
      Kwo hakuna aliyehama mada! tuko palepale kweny kumradd shekh wako bachu

  • @tayt4086
    @tayt4086 4 หลายเดือนก่อน

    Saiv lazaa ya salafi ishakua haipo naona pia tu nao wajanja wajanja flani mnaotumia akil kuwaenda na sio dalili

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani munagombania nini

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 5 หลายเดือนก่อน

    mkajibu hoja

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 หลายเดือนก่อน +1

      Zishajibiwa na zitaendelea kujibiwa... Mpaka uhizbi ufee

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 5 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x hakuna hata moja iliojibiwa wote wanakwepa na wanakuja na polojo za kumshambulia personally, na kutunga maswali yao na kujibu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 หลายเดือนก่อน

      @@mobilespecialschool4216 wewe ndo unaona hajajibiwa ila sisi tunaona ashajibiwa na tushafaidika!!!

    • @mohamedsaid1804
      @mohamedsaid1804 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaowafahamu kina Bachu makhurafi na mahizbi. Anaefahamu daawa salafiyya japo kidogo haachi kazi zake kumsikiliza mpuuzi.

    • @ahmedseif-cu4ex
      @ahmedseif-cu4ex 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohamedsaid1804HILO NDIO TATIZO LENU HUPIMA MAMBO YA DINI KWA USHABIKI YANI KUSKIZA JAMBO UPANDE MOJA 2 LKN UKIMSIKILIZA BACHU NA ABU NUAYM NA ABUU ZAGAR UTAJUA KUA HILI JAMBO NI TOFAUTI IPO TENA KWA HUYU ABUL ABAS UFAHAMU WAKE NI MDOGO MNOO

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 5 หลายเดือนก่อน +1

    Inaonekana nyieniwatu wabatwir kwasababu unapomuomeamtu Allah amuangamize hatawwe unakuasiomtu mzuri na allah anatwambia mbaawako muombee duanzur nakwaduazenu Mbaa inadhibitisha nyieniwatu wabatwiri na munayoyasema yooote niyabatwir nandomana mungekaakimia hamungefahamika jee hatasikumoja mulishawahi kusikia shekhebahero anawaombea duambaa? au nasoro bachu mrishawahi kusikia anawaombea allah awaangamize ndomana kunyamaakwenu inawezakua luhombo sana nahoro ndomnazidi kueleweka

    • @babatchi9169
      @babatchi9169 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mjin9a kiasi 9ani? Wewe na bahe7o lako waombeeni pepo ABU LAHAB NA ABU JAHAL sio wa7u? Mjin9a Sana wewe

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 5 หลายเดือนก่อน

    Hili jamaa ata halifahamiki ata ufasaha wa kuongea Hana.. mpuuzi tu

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mpuuzi kwasababu hoja yako katika dini ni ufasaha wa kuongea

  • @imperfektservantt-e8b
    @imperfektservantt-e8b 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Rabi' analingania umoja, umoja unapatikana vipi ikiwa kila uchao watu wanabidooshwa kwa hoja sizizojitosheleza? Kwa nini kuna kulazimishana kufuata hoja ambazo zina khitilafu?? ili mtu awe salafi afuate hoja pendwa kwenu akifuata maulamaa wanaoona tofauti YE HAYUMO, manhaj imekuwa ya watu fulani ili uingie mpaka wa kupitishe wao kwanza..

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 หลายเดือนก่อน

      Kwanini hawajayataja hayo maulamaa???
      Tulitarajia maulamaa ndo waseme kuwa Shekh Rabii anabidiisha watu hovyo na sio ninyi vifaranga!
      Sisi masalafy tunafuata maulamaa halafu nyie mahizbi mnafuata viongozi wenu (Barahiyani, Bachu etc)

    • @ahmedseif-cu4ex
      @ahmedseif-cu4ex 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xACHA UJINGA WW SOMA ALO KWAMBIA WATU WAMFATA BACHU NA BARAHIYAN NANI SHIDA NYNY HUTIWA CHANGA LA MACHO YA KWAMBA MUSIWASIKILIZE KINA BACHU BACHU UKIMSIKILIZA KWA KUTAKA KUJUA HAQI BAS UTAGUNDUA ANA HOJA TENA ZENYE NGUVU HAONGIE YY NA MANENO YAKE TU NI MANENO WA WANAZUONI LKN NYNY MWANAZUONI NI SHEIKH RABII TU WENGINE SIO WANAZUONI PIMA MAMBO KWA KUSIKILIZA PANDE 2 NA SIO KUSIKIZA PANDE MOJA 2 ILO NDO TATIZO LENU HILO AKISEMA SHEIKH ABUL FADHIL QASIM MAFUTA BASI HILO KWENU NDIO UKOMO HIYO SIO SAWA

  • @JumaRashidRamadhan
    @JumaRashidRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nilizani unamjibu Bachu ,kumbe bado munauliza masuali na hata ukijibiwa bado utauliza tena ,nyie Majadida unajitowa fahamu ndio tatizo lenu (JIBUNI MASUALA AU NYAMAZENI BACHU AZIDI KUTUFUNUWA MACHO KUHUSU UVUNDO WENU)

  • @abdillahsuleiman2278
    @abdillahsuleiman2278 5 หลายเดือนก่อน

    sisi tunatak mujibu hoja za bachu alaf mkimaliz ndio tuendelee na hili hamna kukimbia hoja apa😂

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 4 หลายเดือนก่อน

      Wee ungekua umesoma ungeona majibu lakini elimu huna manhaj huijui na ushabiki unkujaa kichwani
      Vipi utaelewa hayo yanayo zungumza kwa hali hiyo?!

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie maslafijadida mmechokoza mawahabi katikamiyaka Ijao mutajutia kwasabab kubain aya mnashidwa hata ufasaha wamazungumzo yakawaida hamna nahawa mnaochokoza niwafasaha kwamzungumzo nawakibaini aya wanaeleweka haraka haraka Allah kawajalia kuelezakitu naueleweka papohapo nandomana mungetafuta njianyingin yakukosoa bilahivo Miaka inayokuja mtajikutapabaa shekhebahero akieleza hadiraha

    • @babatchi9169
      @babatchi9169 5 หลายเดือนก่อน

      ??? nini?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 5 หลายเดือนก่อน

      huo ujadida utauthibitisha siku ya Qiyama na utaeleza ni kwann umewatwaani maulamaa

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 4 หลายเดือนก่อน

      Tangu mwaka 2007 mpaka leo waanzilishi wa hilo jina JADIDA mpaka leo washindwa kuthibitisha kuhusu UJADIDA nani kaanzisha ushahidi uko wapi
      Bora nyamaza maana ni dhambi kuongea bila elimu

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 5 หลายเดือนก่อน

    Naina unazunguuuuuka tu hufahamiki
    Toa Dalili za kumtoa Sheikh Hassan Awadhi. Katika Duara la sunna ? Mbona wazunguka tuuu
    Je Hassan Awadhi ametoka katika usalafiy
    Mnaulizwa maswaki kisha mnajitia kizunguzungu
    Jubu maswali uliyoulizwa
    Wacha ujanja ujanja

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe majibu gani unayoyataka? na ukipewa utaridhika?
      Sisi tushapewa majibu na tumeridhika,, wewe kama unaona hujajibiwa endeleeni kuwa hukohuko unakokutaka!