MCHUNGAJI SIMBAULANGA AMALIZA UTATA JE? YESU NDIYE ISSA WA KISLAMU BIBLIA NA QURANI VYATOA MAJIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 951

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 2 หลายเดือนก่อน +7

    MTUMISHI huyu ni HAZINA ya nyumba ya MUNGU ktk nchi yetu Tanzania!!
    Ee Bwana YESU naomba umpe umri mrefu zaidi kwa ajili ya kanisa Tanzania;
    Naomba haya ktk Jina lenye nguvu la Yesu Kristo, Amen!!

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi wa Mungu nimebalikiwa sana nakuelewa kati ya Yesu na issa binimariamu kumbe ni watu tofauti

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 3 หลายเดือนก่อน +3

    Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana kwa mafundisho yako mwenye kuelewa ameelewa asiyeamini atuhukumiwa umefanya kazi vema ubarikiwe sana.

  • @annamasumbuko-h6f
    @annamasumbuko-h6f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen. ISSA na Yesu Kristo ni tofauti kabisa barikiwa Kwa mafundisho na Mungu wa Wakristo ni tofauti na Mungu wa dini nyingine

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 หลายเดือนก่อน

      @@annamasumbuko-h6f There’s only one Jesus Christ.One who was born of Virgin Mary .whether you Moslem or Christian

    • @BurhaanMohamed-vp8xu
      @BurhaanMohamed-vp8xu หลายเดือนก่อน

      Hhhhh na mungu tena inamana kuna miungu mingi

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 หลายเดือนก่อน

      @@BurhaanMohamed-vp8xu usiabudu miungu mingine, Mungu mmoja Yahweh, wengine miungu

  • @MSUYA-n1t
    @MSUYA-n1t 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ukweli ndio huo mchungaji . Ubarikiwe na Mungu mwenye kutupa nafsi na uhai atukumbuke na kutupa maarifa tusiangamie,kwani amwaminiye hatapotea bali atakuwa salama Amina.🙏

    • @MuddyAlli
      @MuddyAlli หลายเดือนก่อน

      Kwanza hakuna kitabu cha mungu kinaitwa bibria hakuna

  • @SimonKalikumbe
    @SimonKalikumbe 2 หลายเดือนก่อน

    Asante ubarikiwe mtumishi wa mungu tunkuombe maisha marefu

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 หลายเดือนก่อน +3

    1 Yoh. 4:1-3. Inasema roho isiyomkiri Yesu Kristo haitokani na Mungu, ndiyo roho ya mpinga Kristo. Kwa andiko hili na mengine, ni dhahiri Uislam ni roho ya mpinga Kristo

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 หลายเดือนก่อน

    roho ya mpinga kristo Hawezi kumkili Yesu kristo kuwa Mungu, Mkuu mmoja Alie kamilika katika utatu Baba Mwana na Roho

  • @setelitemba3944
    @setelitemba3944 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mtumishi unachambua vizuri sana wao wawe na issa wao nasi tuwe na yesu wetu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 หลายเดือนก่อน

      Nyie huyo Yesu mlipewa na wazungu baada ya bibi zenu kuswagwa utumwani, mkapewa mafundisho toka ulaya.

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni aishie milele aliponye kanisa lake ambalo ni wakristo wa kweli wanaomuabudu Mungu ktk roho na kweli Duniani kote ktk jina la yesu Amin

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu ( yehoshua) uinuliwe juu juu sana,,,, barikiwa family yangu na tupe neema ya kuendana sawasawa na Neno lako

  • @romathosimfukwe4240
    @romathosimfukwe4240 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooo that's great lesson be blessed Pastor.

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nakuelewa sana mwalimu ndio maana unawamudu sana mashekhe.....
    Mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri , barikiwa sana

    • @amourhassan7075
      @amourhassan7075 2 หลายเดือนก่อน

      Jifunze ndugu yangu. Mzee kapotea njia huyo

  • @albertmkangya8195
    @albertmkangya8195 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe na Bwana Yesu mchungaji.

  • @didasmajor9288
    @didasmajor9288 3 หลายเดือนก่อน +5

    Barikiwa sana mtumishi, Mungu akubariki sana, Wakristo kuweni makini

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk 3 หลายเดือนก่อน

      @@didasmajor9288 hapotei mtu hapa YESU KRISTO Ndiye Anayeokoa

    • @veronicatresphory
      @veronicatresphory 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo akubariki sana

  • @PaulRichard-vq9xz
    @PaulRichard-vq9xz หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji Mungu ambariki sana nmeelewa haswaaaaaaaaaaaaaaa

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jina Yesu ni atakayewaokoa watu wake na dhambi zao, lakini sio Issa maana Yesu si mtu bali Yesu ni Neno lililotumwa likafanyika mwili. Hivyo Yesu SIO ISSA. NI UONGO WAZI WAZI.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 หลายเดือนก่อน

      @@MjumbeAgano Unachozungumza unajichanganya tu. Yesu sio mtu wakati mwenyewe alikua akisema yeye ni binadamu.tena ni Imanuel.Yesu ni neno ina maana neno lilisulubiwa msalabani? Hua mnazungumza vitu visivyo na maana kabisa. Neno ndio lilisulubiwa? Neno ndio lilikufa?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@hashimchaoga9566Alikuwa mtu alipokuwa duniani lakini yeye ni mwana wa Mungu

  • @AimeBirusha-j6u
    @AimeBirusha-j6u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki na akulinde mbele za Magahidi Asante sana.

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 3 หลายเดือนก่อน +32

    Issa sio Yesu.Wakristo haealazimishi Yesu kuwa Issa,bali waislamu wanalazimisha Issa kuwa Yesu

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 3 หลายเดือนก่อน +8

      Lazima wahalalishe dini yao kwa uongo kila wakati!!

    • @sulleysidey2844
      @sulleysidey2844 3 หลายเดือนก่อน

      basi itahalalishwa dini ya paulo

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 หลายเดือนก่อน +2

      Uislamu umejaribu kukopi maandiko ya wakristo na wayahudi na matokeo yake baadhi ya mambo umechanganya sana mfano
      Yesu sio issa na wala aliyetolewa sadaka ni Issaka na sio Ismaili

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AGM19697eeee!! hahaha yan anaongea kma vle amesoma,

    • @sulleysidey2844
      @sulleysidey2844 3 หลายเดือนก่อน

      @@MeddyMasuddy mm sijasoma

  • @jerrymussa2585
    @jerrymussa2585 23 วันที่ผ่านมา

    Yesu siyo mwanadamu

  • @AnnaLwanda-oj4jn
    @AnnaLwanda-oj4jn 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ameen I mchungaji Mungu akubariki sana tunaelewa sana kumbe wametudangunya tumeujua ukweli sasa

    • @Saidishokakiburuji
      @Saidishokakiburuji 3 หลายเดือนก่อน +1

      MCHUNGAJI USIBABAISHE ENDELEA KUPOTOSHA TU

    • @petermwaibofu7580
      @petermwaibofu7580 3 หลายเดือนก่อน

      Imekula kwalo​@@Saidishokakiburuji

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndo wababaika na wahadhiri wako wa mchongo wakina mazinge

  • @AloyceMrema-i6u
    @AloyceMrema-i6u 2 หลายเดือนก่อน

    Good thanks!!!

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe ndiye Mwalimu na Mchungaji mkweli na Msomi!
    Be blessed in richly!

  • @joanithagidion9796
    @joanithagidion9796 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeni barikiwa na Mungu akutunze

  • @alimaulid9543
    @alimaulid9543 3 หลายเดือนก่อน +3

    Qur an imemwita yesu ka masihi
    Sura ya pili aya 45
    إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ
    Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).

    • @bitsanjE
      @bitsanjE 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hayo ni maneno ya shetani,, hakuna malaika hapo

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex 3 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana mchungaji hata isaya benson aliwahi kufundisha hivohivo ba bilifuatilia saba nikajua kweli wachngaji bandh yenu mmekuwa vizuri na wengine mungu ataendelea kuwa fungua siku hadi siku mbarikiwe sana wachungaj wote dunian

  • @salimdiabyonlinetv4873
    @salimdiabyonlinetv4873 หลายเดือนก่อน +3

    YESU NA ISSA NI MWANADAMU MMOJA NANI MZALIWA NA MARYAMU, HAMNA TOFAUTI YOYOTE, KWA NINI MUTOE ANGALIZO KWA KANISA! YESU AMBAE NI ISSA YUPO HAI NA HAKUFA, NA NI MTUME WA ALLAH (S.W), TUPE HOJA ZAKO KWENYE AGANO LA KALE SI HIZO MPYA MULOFUTA FUTA NA KUPOTOSHA, DINI NI MOJA TU NANI YA UISLAMU.❤

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Dini haiwezi kuwa moja hata wahindu, wabudha,wana dini yao

    • @pascalmgassa8441
      @pascalmgassa8441 หลายเดือนก่อน

      Uislam unalazimisha sana uongo uwe kweli...sababu za kurudi Issa ni nyepesi sana na sababu za kurudi Yesu ni nzito sana na zina makusudi ya Mungu 100% kwa mwanadamu

    • @denisnjaila2182
      @denisnjaila2182 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo, wamekusanya na kuunda hadithi zao kulazimisha Yesu hana uhusiano na Issa

    • @denisnjaila2182
      @denisnjaila2182 หลายเดือนก่อน

      Ni Mungu tofauti nimekupata yaani mbingu na ardhi wana stori za kuunga unga na kubatilisha maandishi

    • @denisnjaila2182
      @denisnjaila2182 หลายเดือนก่อน

      Kuna andiko lina sema Allah na Malaika wake wanamsalia Muhamad, sasa nikajiuliza wanamsalia kwa nani?😅😅

  • @ModestMwakikoti
    @ModestMwakikoti 2 หลายเดือนก่อน

    Umeeleza vizur sana wewe kweli ni mtumishi wa mungu aliye hai

  • @officialbrothacley4777
    @officialbrothacley4777 3 หลายเดือนก่อน +3

    Isa ( Kiarabu : عِيسَى , romanized : ʿĪsā ) ni jina la kale la Kiarabu na tafsiri ya Yesu . Jina Isa ni jina linalotumika kwa Yesu katika Quran . Hata hivyo, si tafsiri pekee; inahusishwa zaidi na Yesu kama inavyoonyeshwa katika Uislamu , na kwa hivyo, hutumiwa sana na Waislamu . Wakristo Waarabu kwa kawaida humrejelea kwa jina Yeshua ( Kiarabu : يَسُوع , romanized : Yasūʿa ), aina mbadala ya jina Yoshua.

  • @Hezekia-ke6cy
    @Hezekia-ke6cy 2 หลายเดือนก่อน

    Asanteee mwalimu wale hicho chuma cha Yesu.watulie wakitaka wabishane na vitabu vyao ukweli umewapa

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna baba Alie mbinguni mungu Hana mtoto hajazaa wela hajazaliwa sisi binadam ni viumbe wake ametuumba kuanzia adaam

    • @lupaprince1229
      @lupaprince1229 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lenu, mnataka kusema ili MUNGU awe na mwana lazima awe na Mke, MUNGU amejulikana kuwa ni BABA wa roho zetu, baba wa duniani anajulikana ni baba aliyetuzaa kimwili.... hata zamani wayahudi bado wanamwita MUNGU baba, ila Mpinga Kristo alipokuja duniani mwaka wa 600 akaja kupinga kuwa MUNGU siyo BABA wala hana wana, lengo kubwa ni kupinga Wokovu wa MUNGU kwa wanadamu, kwa sababu Mpinga Kristo ni yule anayesema Yesu si Mwana wa MUNGU, hivyo ameudanganya ulimwengu na wanakana Wokovu wa kweli, atakaporudi YESU, ndipo watajua kuwa YESU siyo ISSA, watakapoona Alama za Misumali mikononi mwake, ndipo watakapoelewa kuwa Yesu alisulubiwa na kufa, na kufufuka....sasa maamuzi ni juu yako, Umwamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana waliomuona Yesu au umwamini Mtume wa uongo aliyekuja miaka 600 asiyewahi kumuona wala kusikia mafundisho ya Yesu.
      KUMBUKA, Ukweli unatangulia, kisha uongo unafuata ili kupotosha Ukweli....utaamua mwenyewe kumfuata YESU wa Biblia ambaye Alikufa na Kufufuka au kumfuata Mohammad aliyedanganya kuwa Yesu hakufa wala si Mwana wa Mungu

    • @EsterMtalo
      @EsterMtalo 3 หลายเดือนก่อน

      Waislam ni watu wamwili zaidi kuliko wa rohoni wao wanafikiri kuzaliwa kimwili tu. Hapo ndo mmefeli. Ndo maana mnaishia kutawadha mwili. "Tawadha roho" yaani kuacha dhambi. Vyakula na matendo ya mwili yanawapoteza mwili na matendo yake yanaishia udongoni.

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 2 หลายเดือนก่อน

      @@lupaprince1229 nimekupenda Bure ndugu yangu Kwa ufafanuzi mzur hongera

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 2 หลายเดือนก่อน

      Muhammad uko aliko anajuta Kwa kuwapoteza wanadam na ndo maana kila siku wanamtakia rehema na amani viwe juu yake, Hana amani Muhammad jaman uko aliko

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@lupaprince1229Unaonekana una maarifa kidogo. ulitakiwa ukisome kitabu chake kisha ujiulize; huyu Muhammad ambaye watu wanasema hakujua kusoma wala kuandika,alieishi mbali sana na khabari za jerusalem, watu wake ni waabudu masanam, ujasiri wa kuandika haya ameutoa wapi? kwanini kwanini mara awasifu wana wa israel na kuwatia peponi, na mara awaponde na kuwatia motoni?kwanini kama anatafuta umaarufu asiwasifu baba zake, babu zake na hata maqurashi wenzake? kwani kitu gani hasa alichokuwa akitafuta? Ukijiuliza mswali haya akili yako utiweka huru, kisha utaanza kuisoma bibilia kwa utafiti na kuisoma qurani kwa uchungazi.
      Wakristo wameshindwa kuitetea dini yao ndipo wakaja na hoja mbili za kutaka kumaliza mjadala kiujanja:-
      1-- YESU SIO ISA
      2--MUNGU NI BABA WA KIROHO.
      Wangekuwa na hoja hizi tangu mwanzo kusingekuwa na mihadhara. kwa sababu vinavyo zungumziwa ni vitu viwili tofauti kabbisa. Lkn mihadhara imeendelea kwa miaka mingi kwa msingi kuwa watu wanazungumzia kitu kimoja ktk uwelewa tafauti, na kila mmoja anajiona yeye ndio yuko sahihi na anajitahidi kumuelewesha mwenzake usahihi.

  • @SolomonMwankuga
    @SolomonMwankuga 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mchungaji kwa somo zuri sana.

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mzee Allah amuongoze na afanye jitihada ya kuongoka tatizo la kuwapotosha watu bwana nafsi ikitoka akija mwenye amana kuichukua amana hakuna muda tena utajuta majuto ambayo hayatokusaidia

    • @patrickmunishi2277
      @patrickmunishi2277 2 หลายเดือนก่อน

      ALICHO SEMA NI KWELI SIO KWELI?

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@patrickmunishi2277Alichosema sio kweli. Ni uongo mtupu.

    • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
      @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 2 หลายเดือนก่อน

      Allah sio mungu majini ni waslam ndomana mafundisho yenu ya ajabu ajabu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Yaani wewe mwenyewe una mashaka na dini yako, Ndiyo maana koran inakwambia kama unamashaka nenda kaulize kwa watu wa kitabu

  • @AndrewMabagala
    @AndrewMabagala 2 หลายเดือนก่อน

    Leo umenisaidia jambo mchungaji wangu. Barikiwa sana

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 3 หลายเดือนก่อน +4

    Duh, msikiti wa al aqsa uliopo Jerusalem, sio makkah.

    • @patrickmunishi2277
      @patrickmunishi2277 2 หลายเดือนก่อน

      ule utapigwa chini siku sio nyingi

    • @malifedhaanyasio811
      @malifedhaanyasio811 หลายเดือนก่อน

      ​@@patrickmunishi2277kaka kwataarifako ule msikiti mayaudi hatawanye nn hawawezi kuupora mpaka kiama kinasimama

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa BWANA,,,,nimeelewa

  • @rajabumwinyi8050
    @rajabumwinyi8050 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi mchungaji ulisoma Quriani gani iliyo sema Mariam alilelewa Makkah?

    • @omarikhalfan1079
      @omarikhalfan1079 2 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @omarikhalfan1079
      @omarikhalfan1079 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😊😊😊😊😊 😊

    • @AlkadoNkundwe-wb3of
      @AlkadoNkundwe-wb3of 2 หลายเดือนก่อน

      Anawapotosha makafiri wenzake,

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 2 หลายเดือนก่อน

      Iyo iyo ya kwenu

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 8 วันที่ผ่านมา

    Yesu n mungu

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mafundisho ya wakristo yanapatikana kwenye biblia.Mafundisho ya waislamu yanapatikana kwenye Quran.

    • @daudmtoba191
      @daudmtoba191 3 หลายเดือนก่อน

      @@justusngonyani165 soma ikra soma uku mbavu ziki Banwa alafu mnasema nabii wa MUNGU Muhammad sio na bii wa MUNGU AMBAE NI YEHOVA ABAN MSEMO WENU INALLILA WAHINALLILA RAJUN

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 หลายเดือนก่อน

      Na hadithi

  • @BarakaMwaikenda-ty1bt
    @BarakaMwaikenda-ty1bt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba umetufungua

  • @songabethel
    @songabethel 3 หลายเดือนก่อน +3

    Siku zote ukipokea jambo lolote kwa kubisha bila kutaka kuelewa kamwe huwezi kuelewa isipokuwa ukitaka kuelewa usitangulize ubishi jitahid tu kufanya research hata kimya kimya kwa faida yako kwani utajua ukweli

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalimu umejenga imani yangu kweli.ubarikiwe sana

    • @AlkadoNkundwe-wb3of
      @AlkadoNkundwe-wb3of 2 หลายเดือนก่อน

      Imani ya uongo

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@AlkadoNkundwe-wb3ofKama ilivyokua Shakahola kule Kenya ni mahodari wa kudanganya watu na kupindisha maandiko

  • @salumharuna5872
    @salumharuna5872 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe wachungaji waongo namna hii Duh, hakuna sehemu Qur'an imesema Malaika alimtokea Maryam akiwa Makkah, kwa nini usiseme ukweli kama wamuogopa Mungu. Na huyu ndio mchungaji tegemewa kwa wakristo. Malaika alimtokea Maryam katika msikiti wa Aqsa ambao upo Palestina mpaka leo cha ajabu mchungaji anadanganya kweupeee🤣

    • @SimonHaule-tp3ny
      @SimonHaule-tp3ny 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa akili ya kuvukia barabara tu,muhamad kazaliwa karne ya tano,Yesu yupo karne ya kwanza,kwa hiyo msikiti huo al aqsa upo palestina karne ya 1 ? wakati msikiti umejengwa na idris wa jordan baada ya mujahidina kuiteka jerusalem.

    • @salumharuna5872
      @salumharuna5872 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@SimonHaule-tp3ny Hoja ilikua uongo wa huyo mchungaji wenu kua Qur'an imesema malaika alimtokea Maryam huko Makkah, hoja sio lini msikiti umejengwa maana akili yako ya kuvukia barabara imeshindwa kutofautisha kati ya kujengwa na kufanyiwa maboresho.

    • @FrankBella-qe4tj
      @FrankBella-qe4tj 2 หลายเดือนก่อน

      Majini mnasali nayo msikitini

    • @RamadhaniAbuswai
      @RamadhaniAbuswai 2 หลายเดือนก่อน

      Jamani yesu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@salumharuna5872Ebu nawewe tuonyeshe mahali alipozaliwa YESU ktk koran yenu

  • @AyubuAnderson
    @AyubuAnderson 3 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa neno la mungu nmefalijika san hakika bwana yesu ndio mkombozi wa dunia na yeye Ndio njia uzima wa milele, anae mkataa yesu ajuwe ata baba wa mbingu na ardhi amemkataa

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli wakristo ni watu wa kuburuzwa

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk 3 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837 wakuburuzwa ni ww usiyejua maana ya mandiko unayekwenda kama kipofu maana hata kitabu chako mwenyewe hukijui kinakuelekeza nini kazi kupinga tu,hata kama hujui acha waliokwenda darasani wakufundishe usiyoyajua ww.

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk 3 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837 Mi nakukumbusha Mwamini YESU KRISTO usipomwamini hata ufie masjid au juu ya jiwe jeusi alkahaba huko Maka utakwenda jehanam kweupeeee.hii utaikumbuka siku moja we subili tu.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Rashid-vm1fkAkisha kumuamini huyo yesu wenu kristo ndio atapata nini?

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk 3 หลายเดือนก่อน

      @@Sheba4651 nitapata uzima wa milele

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 หลายเดือนก่อน

      @@Rashid-vm1fk Akupe nani nzima wa milele. Hiyo siku ikifika Yesu atasema hajui utokako.

  • @jannffer
    @jannffer 2 หลายเดือนก่อน +1

    great teacher

  • @hamoodhhamoodalsharji7584
    @hamoodhhamoodalsharji7584 3 หลายเดือนก่อน +3

    Endelea kuwapoteza

    • @denisnjaila2182
      @denisnjaila2182 3 หลายเดือนก่อน

      Ww ndo umepotea

    • @peteryohana891
      @peteryohana891 3 หลายเดือนก่อน

      Acha ubishi ndugu wewe kubari uwokorewe na yesu,uwe mteule

    • @David-im8fw
      @David-im8fw 3 หลายเดือนก่อน

      Mmeshikwa pabaya mnahemea juu juu! nyambafu zenuwaislamu

  • @bethaniahemalautukufu-np3so
    @bethaniahemalautukufu-np3so 2 หลายเดือนก่อน

    Asante baba pasta Simba ulanga

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ukitafakari Quran na vitabu vungine vya kiislam unabaki unashangaa tu, unawaza labda walidhani vitasomwa na wao wenyewe tu, kwahiyo uongo wa vitabu vyao usingejulikana abadan.

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe umesoma kitabu gani cha kiislam au umekaririshwa porojo?

    • @WestonMbuba-ff4jk
      @WestonMbuba-ff4jk 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@MohamedMohamed-u3t1n
      Anzia na Qur'uan tu, ina taarifa nyingi zisizo sahihi

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 2 หลายเดือนก่อน

      Timetheo 4:4 wataacha kweli ya MUNGU na kufuata HADITHI ZA UONGO

    • @machajuma6565
      @machajuma6565 2 หลายเดือนก่อน

      Jitafakari ndugu yangu una unachokijua ktk bibilia wala Qur-an tukufu

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 2 หลายเดือนก่อน

    Teacher good

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 3 หลายเดือนก่อน +5

    "Muslim : Who is God?
    Christian : Jesus
    Muslim : Is Jesus the son of Mary?
    Christian : Yes
    Muslim : Who created Mary?
    Christian : God.
    Muslim : Who is God?
    Christian: Jesus
    Muslim : Jesus is the begotten son?
    Christian : Yes
    Muslim : Who is his father?
    Christian : God.
    Muslim : Who is God?
    Christian : Jesus.
    Muslim : Jesus is a servant of God?
    Christian : Yes
    Muslim : Jesus died on the cross?
    Christian : Yes
    Muslim : Who resurrected him?
    Christian : God.
    Muslim : Is Jesus a messenger?
    Christian : Yes
    Muslim : Who sent him?
    Christian : God.
    Muslim : Who is God?
    Christian : Jesus.
    Muslim: Did Jesus worship while on earth?
    Christian: Yes
    Muslim: Whom did he worship?
    Christian: God.
    Muslim : Who is God?
    Christian : Jesus.
    Muslim : Did God have a beginning?
    Christian : No
    Muslim: Then who was born on 25 DEC?
    Christian : Jesus.
    Muslim : Is Jesus God?
    Christian : Yes
    Muslim : Where's God?
    Christian : In Heaven.
    Muslim : How many Gods are there in heaven?
    Christian : Only one God.
    Muslim : Where's Jesus?
    Christian : He is seated on the right hand of his father.
    Muslim : Then how many are they in heaven?
    Christian : Only one God.
    Muslim : Then how many seats?
    Christian : One
    Muslim : Where's Jesus?
    Christian: Seated next to God.
    Muslim : How are they seated on one chair?
    This proved that Jesus is a messenger of Allah not god. And Alhamdulillah we also believe in Jesus.We respect him as our prophet.
    Only one god in the all worlds (ALLAH)

    • @rashidmohamed1949
      @rashidmohamed1949 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuwa mkristo ni mtihani .
      Namshukuru Muumba kunijalia kuwa katika dini moja ya kweli 'UISLAM'
      Sasa Mzee kama huyu kasoma usiku na mchana bado anamwabudu mtoto wa maryam.

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 28 วันที่ผ่านมา

      Mnajiondolea Afya Ya Akili, Eti Who Is The Son Of God, Jesus, Who Is His Father, God, Who Is God, Jesus. Hayo Majibu Ambayo Mkristo Anayajibu Je! Anayatoa Kichwani Au Yameandikwa Ndani Ya Biblia? Jibu Ni Kwamba Yameandikwa Ndani Ya Biblia. Ushahidi Soma Yohana 14 : 8 - 9 Yesu Kajiita Mungu.

  • @FainesNditu
    @FainesNditu 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa somo hii maana hata mimi nilidhani tuko sawa.

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 3 หลายเดือนก่อน +6

    Yesu sio isa,leo nimejua ukweli,kumbe ndio maana waaisilamu wanasema,isa hakufa na sisi tunasema yesu alikufa na amepaa mbinguni,mungu akubariki mchungaji simbaulang,

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy 3 หลายเดือนก่อน

      kwani yesu kwalugha yakiingereza inatamkwa vp na kwakiarabu inatamkwaje? Usijirizishe ktk mitandao ukasema asante mtumishi wakati hujaenda kusoma sasa bs mm nilwambie k2 kma utaenda kusoma kwl kwl kwajil yakmjua mungu ndugu yngu unaweza kuchanganyikiwa

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@MeddyMasuddyKwa kiarabu anaitwa yasuor siyo isa tafuta biblia ya kiarabu tafuta neno yesu

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@FredrickKagusa-wt9bw sawa kabisa hata mimi ninayo haisemi Issa bali Yasour

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy 3 หลายเดือนก่อน

      @@FredrickKagusa-wt9bw icho itakua ni kiarabu cha kimakonde

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy 3 หลายเดือนก่อน

      @@odilomwemeziernest646 kiarabu cha kizaramu icho

  • @AminimunguWilfried-fw2eh
    @AminimunguWilfried-fw2eh 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtu wa Mungu issa siyo Yesu

  • @YustoBashweka
    @YustoBashweka 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Mchungaji kwa somo ili make wakristo wengi wamepotoshwa na mafundisho potofu

  • @fmngombaela551
    @fmngombaela551 2 หลายเดือนก่อน

    bambo navela nkani izi ine mpwanu msumba Amen amen

  • @BENS-ok4vh
    @BENS-ok4vh 2 หลายเดือนก่อน

    Bravo pastor na fichua just ya wenye uhui wanne juu ya uso wa mwanadamu

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana Mtumishi wa Mungu Elimu Nzuri ili kupunguza malumbano,,wa kule wabaki wa kule na wa Huku Wabaki Wa huku

  • @revivalchurchofchristforth7676
    @revivalchurchofchristforth7676 หลายเดือนก่อน

    Bwana akubariki mtumishi huyo niufunuwa wa kweli, Issa siye Yesu

  • @WilliamWami
    @WilliamWami 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mwalomu wangu.

  • @andrewnyamwaro5174
    @andrewnyamwaro5174 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu si Issa. Tusilazimishane juu hilo. Tunayemeamini tunamjua. Si Issa.

  • @joelmusili1733
    @joelmusili1733 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mwl wangu,Kwa mafundisho yako niliuliza maswali kwenye mhadhara msikiti wa chihota tandika yalikosa majibu mhadhala ukavuligika ukiongozwa na mazinge mwaka 2000

    • @VitusMakala
      @VitusMakala 3 หลายเดือนก่อน

      Huna uwezo wa kumuuliza mazinge swali ashindwe kujibu

    • @zenahussein2242
      @zenahussein2242 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 Yani mazinge anakimbiwa wewe ndio umkimbize kweli. Acha futuhi zako 😂😂😂

  • @MwantumHaruna
    @MwantumHaruna 5 วันที่ผ่านมา

    SubuhanaAllah kwa nini unawadanganya wenzio pumzi zisikuhadae utakuja kujuta kwa kuwapotosha watu Innallilah wainna illaih rajioon

  • @MiltraudNyagali-fw3hu
    @MiltraudNyagali-fw3hu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli cc wakristo hatuabudu mungu mmoja na waislam wao hawamwamini kama Yesu ni Mungu na wao wana Mungu wao ambae ni Allah

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 หลายเดือนก่อน

      @@MiltraudNyagali-fw3hu Sasa naji alianza Bikira Maria kumzaa Yesu au Yesu kumuumba Bikira Maria kupitia kwa Adam. Ni sawa na historia ya kuku na yai nani kaanza lakini ni rahisi kwani Noah alichukua katika Chombo chake kuku wawili wa jinsia tofauti wakatengeneza mayai.Haya Yesu na mama yake Maria ilikuaje? Mungu na mama yake Maria ilikuaje?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@hashimchaoga9566YESU alikuwepo kabla hata ya ulimwengu kuwako,kuzaliwa na Mariam haimaanishi kwamba hakuwepo, maana ili mwanadamu atokee kwenye mwili huu lazima apitiye kwa mwanamke

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน

      @@FridayMwassa Hizo ni stori tu za Warumi na Wagiriki.Aliekiwepo na asie mwanzo na hafi ni Mungu Mwenyezi tu ambae hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mshirika wala mfanowe. Hizo komedi za kuwepo halafu azaliwe ndio atokee duniani tena Mungu hafanyi.Amini tu Yesu ni mtume mwaminifu wa Mungu na alitumwa Nazareti kuja kuwakomboa wana wa Israel waliopotea.Mungu alimtuma Malaika kwa Mariam kumjulisha kupata Mimba na kuzaa mtoto wa kiume basi.Mengind ni nyongeza tu za waandishi. Yesu alikuja kufundisha ikiwemo injili zake na za akina Mussa na wengineo waliomtangulia Asie mwanzo asie mwisho ni mmoja tu Mungu Mwenyezi. Yesu yuko katika mitume 25 wa mwenyezi Mungu wa kwanza ni Adam wa mwisho Muhammad

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน

      @@FridayMwassa Hizo ni stori tu za Warumi Wagiriki na kanisa. Aliekuwepo asie mwisho na hafi ni mmoja tu. Huyo hakuzaa hakuzaliwa hana mfanowe na hana mshirika. Wengine wote 25 ni mitume wake watiifu waliotumwa kueneza neno lake na Yesu alitumwa. Nazareti kuja kuwaokoa wana wa Israel

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน

      ​@@FridayMwassaYesu alikuwepo akitokea wapi? Inajulikana ni Mungu tu mmoja ndio alikuwepo yeye hana mwanzo hana mwisho hakuzaa hakuzaliwa na wala hafi na si Myahudi kama Yesu Mungu hana dini si mkristo.Hawa Warumi Wagiriki na Kanisa wameongeza mengi tu ambayo si ya kweli

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu na jizazi vip SI tofauti

    • @rafiurashid1021
      @rafiurashid1021 2 หลายเดือนก่อน

      Namsikitikia huyo mzee Simba ulanga kuona anazeeka na ujinga kichwani, anasema eti yesu alikuwa mkiristo! Niwapi yesu aliingia kanisani na kuendesha ibaada?

  • @jannffer
    @jannffer 2 หลายเดือนก่อน

    Great revelation

  • @jannffer
    @jannffer 2 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda vile unafudisha Mungu akubaliki

    • @amirmape6474
      @amirmape6474 2 หลายเดือนก่อน

      Unapenda kuongopewa hakuna sehemu kwenye Quran inayosema mariam mama yake issa aliishi maka analeta ujanja wa kijinga Quran haikusema mariam kwamba amelelewa kwenye msikiti wa maka

  • @williamissaya8091
    @williamissaya8091 3 หลายเดือนก่อน

    Habari hii ni very very special kwa wakristo wote waweze kujua siyo kwa waislamu ila wale watakao pata neema ya kuingia kwenye ukristo.

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kumbadilisha mwisrimu kwa mabishano ya mandiko isipkuwa utamfungua na kumbadilisha kuwa mwokovu kwa njia ya Maombi ya kufunga na kuomba ,Sana ,na kumuhubilia injili ya Yesu kristo ilio ya upendo hapo huyo mwisikiamu ,anaweza kuamini na kubatizwa kwa jina la Yesu na kupokea karama za Roho mtakatifu,

  • @kuulejoackiml8313
    @kuulejoackiml8313 หลายเดือนก่อน

    Glory be to God be blessed continue spraying gospel Muslims change know the truth Jesus Christ is the way to heaven not Muhammad please please

  • @bethaniahemalautukufu-np3so
    @bethaniahemalautukufu-np3so 2 หลายเดือนก่อน

    Baba safii vumbua uwongo wa waarabu na kitabuchao

  • @japhetmtafya5072
    @japhetmtafya5072 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kutungua ufahamu wakristo

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 3 หลายเดือนก่อน

      @@japhetmtafya5072 anawapoteza huyo amka soma usitegemee hawa wawasomee maandiko wanawapoteza

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 หลายเดือนก่อน

      Mmezowea kudanganyana tu kama yaloyotokea Shakahola. Ni dini ya kutunga tunga tu. Ni kweli kama Mungu ndio Yesu basi hajafa kwani Mungu hafi mnaona mnavyojichanganya. Mnaposema Yesu kafa halafu kafufuka basi mseme si Mungu kwani Mungu hafi

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna vitabu na hadithi nyingi za uongo Na ndio anasoma huyu mchungaji. Hata waandishi wa Biblia walireject mengi tu na hata biblia ya Wayahudi haina agano jipya yawezekana wameona kuna uongo uongo mwingi. Na biblia ziko za vitabu 66 na 78 ya Warumi. Hao waprostestant wameona kuna vitabu vya uongo hawakuvijumuisha katika biblia

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna hadithi za uongo kwamba ukitaja jina la Yesu Israel unakamatwa na kufunguliwa mashtaka.Ajabu Yesu katumwa Israel kuja kuwakomboa lakini walimkataa hadi kumuua kwa sababu tofauti na si za ukombozi huo unaohadithiwa.Lakini ajabu hakuna anaewalaumu wayahudi kwa waliomtendea Yesu. Taurati ilikataza nguruwe na yesu pia pamoja na masanamu msalaba na kilichomo ni sanamu lile kwani hakuna picha halisi ya Yesu wala Mariam . Yesu alikataza kuabudu masanamu kwa hivi akiyavunja ni sawa

  • @Yussuf255
    @Yussuf255 2 หลายเดือนก่อน

    Na nabii issa ni mjumbe wa mungu mmoja tu

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 8 วันที่ผ่านมา

    Yesu wtu sio Isa hyo Isa n pepo

  • @athmanidi7388
    @athmanidi7388 2 หลายเดือนก่อน +1

    😊 pasta Tafadhali Mkiristo anaamini Yesu NI Mungu .

  • @ernestmbasha6428
    @ernestmbasha6428 2 หลายเดือนก่อน

    Walsham waskalili dini kutoka kwa wazazi waliowaongoza , waisome vizuri Quruan

  • @DanielNdagala
    @DanielNdagala 13 วันที่ผ่านมา

    Mwamini yesu kristo na kazi ya msalaba uokolewe,kwani yeye ndiye njia ya uzima na ya kweli,tena ndiye njia ya pekee iendayo kwa baba

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu Wana mohadi wakristo hawana wakristo Wana yesu waislamu Wana isakuzaliwa tofauti historia yao tofauti
    Kwa mfano habubakali kwakizungu au kiswahili anaitwaje

  • @HusseinMussa-o4p
    @HusseinMussa-o4p หลายเดือนก่อน

    Issa: Jina zuri kama hilo la Kiafrika linalomaanisha “ Mungu ni wokovu ” kwa Kiswahili.

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna Yesu wawili.Yesu ndie Issa aliyezaliwa na Mariamu.Isipokuwa Sifa za Waisilamu tafauti sifa wanaoamini Wakristo.Jina lake halisi Yeshua.Issa

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Kama sifa ni tofauti huoni kwamba ni watu wawili tofauti,kipi kitabu kilianza kuandika habari za YESU Kati ya koran au injili,walio andika habari za YESU walikuwa wayahudi kama YESU lakini inakuja Koran ya Muhammad inapotosha kwa makusudi

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 หลายเดือนก่อน

      @@FridayMwassa In English there’s only one Jesus Christ whether you’re Moslem or Christian.

  • @danielchacha2973
    @danielchacha2973 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba, umenielewesha sana na kwa lugha nyepesi Ubarikiwe na Bwana Yesu. OMBI WEKA VYA WAISLAM VIELELEZO WAZI KTK MASOMO YAKO TUIMALIZIE KAZI NZURI UNAYOITENDA PAMOJA NA WENGINE. ONA PIA CHANNEL MOJA YA mtumiahi Christian Prince.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu anasoma vitabu na hadithi za uongo zilizokua rejected. Sio maandiko yote ni ya kweli. Waislam wanaamini Yesu huyo huyo bali wanapinga baadhi ya mambo mengine kuhusu Yesu huyo huyo. Mungu hafi kamwe nyinyi mnasema Mungu ndio Yesu halafu kafa. hivi ndio vitu ambavyo waislam wanapinga.Au Yesu ni Mungu inakuaje sasa Mungu azaliwe tena na Maria aliyemuumba na nani alianza Maria kumzaa Yesu au Yesu kumuumba Maria mambo yasiyowezekana kama haya ndio waislam wanapinga na si injili mpya. Msalaba ulikuwepo kabla ya Yesu na kazi yake ya kuulia Yesu haikufanyika kwa Yesu pekee. Yesu kama ni Mungu hawezi kuteswa wala kufa hizo ni dhihaka kwa mwenyezi Mungu. Mwokozi ni mtume yeyote wa Mwenyezi Mungu hata Mussa aliyeshushiwa amri kumi za Mungu ambazo ndizo mkombozi ukizifuata

    • @messiah-l4r
      @messiah-l4r 2 หลายเดือนก่อน

      Nioneshe amri 10 za MUSA kwenye Quran? ​@@hashimchaoga9566

  • @jeanclaudensabimana
    @jeanclaudensabimana 2 หลายเดือนก่อน

    Laa ilaah illa Allah.

  • @DicksonRwechungur
    @DicksonRwechungur 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa

  • @Yussuf255
    @Yussuf255 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mmoja tu hakuzaaa Wala hakuzaliwa Wala Hana mfano na kitu chochote kile

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 หลายเดือนก่อน

    Msilitaje bule jina la Bwana Mungu wenu bule maana kila mtu atamwesabia atia,

  • @Yussuf255
    @Yussuf255 2 หลายเดือนก่อน

    Muokozi ni mungu mmoja tu

  • @KHamisiJuma-wy6ky
    @KHamisiJuma-wy6ky 2 หลายเดือนก่อน

    Atundikae msalabani Amelaaniwa

  • @BenedctSangoda
    @BenedctSangoda 2 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe

  • @MuddyAlli
    @MuddyAlli 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu hajawahikua mkiristo

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 3 หลายเดือนก่อน

    Yes sio mungu mungu huwezi kumuona live .nabii Musa ilipotaka kumuona mungu live aliipata habari yake hakuna mwenye uwezo wa binadam kumuona mungu live kwenye maisha haya ya ulimwengu huu

  • @alfoncekasanyi6584
    @alfoncekasanyi6584 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji msomi na mbobevu .Barikiwa sana

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vzr sn,mashetani wanapotosha wanasema isa ndie yesu kumbe siyo,

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 3 หลายเดือนก่อน

    Amen. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @BarakaMwaikenda-ty1bt
    @BarakaMwaikenda-ty1bt 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyewe nlipotoshwa kwa miaka mingi ila saivi nmejifunza

  • @0badiaMwasongwe-rt1wr
    @0badiaMwasongwe-rt1wr 2 หลายเดือนก่อน

    Wataacha kweli ya MUNGU na kufuata HADITHI ZA UONGO. Timetheo 4:4

  • @emilyKassiano-oo5iy
    @emilyKassiano-oo5iy 2 หลายเดือนก่อน

    Simba ulanga anajua maandiko sanaaaa. Nakumbuka kalya nikiwa sekondari. MUNGU akulinde

  • @faridalharthi8621
    @faridalharthi8621 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani Yesu ametokana yuko Yonani ? , kweli Waarabu wanamwita bwana Yesu ( Yasua ) , lakini wamelipata wapi ? Na pia Waswahili wamelipata wapi jina hili (Yesu ) ? , hebu tazama tofauti baina ya majina haya mawili , licha ya hivyo Waingereza pia wanamwita ( Jusus ) , na wayahidi pia wanamwita (Emmanuel ) na nchi nyenginezo za Ulaya wanamwita (Isso ) , nchi mbalimbali za Ulimwengu wanamwita kwa majina tofauti tofauti ! ، sasa tujiulize ! Ni jina lake NANI HASA ? Kati ya majina yasiyo na idadi kwa tofauti zao ?
    Tazama jina Muhammad ! Ulimwengu mzima Waisilamu na wasio waisilamu wanamwita jina hilo hilo moja Muhammad , kwanini basi tofauti iwe kwa Bwana ISSA tu ??? , ebu zingatieni kwa hili tu basi

  • @ibrahimmussa7478
    @ibrahimmussa7478 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akuongoze uwe unaongea ukweli na ushahidi.

  • @amourhassan7075
    @amourhassan7075 2 หลายเดือนก่อน

    Wakristu mskilizeni huyo mkiwa na Akili timamu. Mungu atawaongo mkisoma Kwa Nia ya dhati ya kujua ukweli

  • @HassanMova
    @HassanMova 2 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji acha uongo muogope mungu usigeuze maandiko kwautamu wadunia

    • @MOSESIMCHUNGUZI
      @MOSESIMCHUNGUZI 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe,ndie muongo, acha upuuzi