Allaah amrhem sheikh abuu muawiyah, Allaah kanijaalia nimeujua usalafi kupitia yeye ktk masjid yetu pendwa masjid faarouq. Tokea faarouq ileee ya sheikh abuu muawiyah. Allaah atupe mbadala wake alie bora zaidi yake. Wallaah nampenda sheikh abuu mus-ab filllaah. Bila ya kuyazungumza haya mas'ala watu hawatoyajua.
Mimi namuomba Abuu mus'ab afanye suluhu na sh kassim mafuta juu ya yote yalio tokea yatupiliwe mbali ili walinganie dini tena sh alifanye haraka kabla hatujarud kwa Allah na wazingatie aya hii Al-Hujurat 49:9 وَإِن طَآئِفَتَانِ مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ ٱقْتَتَلُوا۟ فَأَصْلِحُوا۟ بَيْنَهُمَاۖ فَإِنۢ بَغَتْ إِحْدَىٰهُمَا عَلَى ٱلْأُخْرَىٰ فَقَٰتِلُوا۟ ٱلَّتِى تَبْغِى حَتَّىٰ تَفِىٓءَ إِلَىٰٓ أَمْرِ ٱللَّهِۚ فَإِن فَآءَتْ فَأَصْلِحُوا۟ بَيْنَهُمَا بِٱلْعَدْلِ وَأَقْسِطُوٓا۟ۖ إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلْمُقْسِطِينَ Nakuomba mrikodiji mfikishie ujumbe huu Abuu mus'ab mm namshuhudiza Allah ujumbe nimeufikisha huo kazi kwako والله اعلم وب الله توفق
Inatosheleza mja kuwa muisilamu na ukaufuata uisilamu wako kwa ufahamu wa wema waliotangulia bila kujiita wala kuitwa salafy na wala bila kujinasibisha na hao wajiitao salafi.. na ukaipata pepo Allah atuhifadhi
Kama kawaida hamuwezi kuongea mambo yenu bila kumsema Shekh Yahya Al hajuur. Mmetahiniwa sana katika hili yani unapinga hichi na bado unarudi kule kule.
Kumbuka kuwa kashfa nyingi au zote wanazomtuhumu Shekh Hajuur ni mambo ya uongo na mengine ni uelewa wao mbovu. Na huyo shekh anajua kabisa kuwa katika hizo tuhuma za kikasuku yani kumezeshana kama anavyosema huyo shekh. Na pia suala hilohilo la kumbidaisha Shekh Hajuur ni suala la khilafu kama hilohilo la kumbidaisha shekh Muhammad imam lakin angalia huyu shekh jinsi alivoamua kushika kundi na wakati huohuo analalamikia umakundi
Muhimu kufanya vyema na kupata SHAHADA. Zogo jingii na KUFA KIBUDU Nini FAIDA ya hio elimu ya kufagia UCHAFU wakati kibudu Ni KUFA na UCHAFU. SUFI wamekufa Shahidi na shahada kamili, na wanaosemwa wanaleta Sunna tunaona wanaletea watu KUFA VIBUDU.
@@DhuicTz Mimi katika Moyo wangu naamini wale wenye mwisho mwema kabisa inawezekana Sana manhaj Yao ipo Sawa pengine Sisi hatujui. Hao Sufi wanaosemwa USIKU na mchana mashekh zao mbona wanakufa kwa shahada?!. La ajabu Zaidi niliopata kusikia, wapo wanaoaga haswaa sku 3 kabla au wiki kabla au pale wanashahadia wanasema haya natoa shahada ya mwisho Mie ndio naondoka, akimaliza shahada tu hayupo KWELI. MBONA MISHEKH WA KISALAFY MPAKA WANAAMBIWA HASWA TAMKA SHAHADA INAWASHINDA HATA KUITAMKA ?!!!. 🤔 Abuu MUAWIYA KIBUDU. subiri nikuhesabie kwa dalili haswa niliosikia kamili, SHEKH Abdallah Farsi AMEKUFA chooni Oman. SHEKH nasour BACHU kafa kwa kurogwa bubwini na shahada kaikosa na mwisho wake akitolewa usiku kugagwa, shekh Saidi njugu ambae Ni SHEKH WA shekh nasour bachu nae baada ya mjadala mwingi Na SHEKH habibu Haji kombo Sufi waliomba DUA kwa pamoja Hao wawili KUWA mnafiki Afe ndani ya wiki, basi alikufa shekh said njugu salafy kwa kugongwa kwa beskeli Bahati mbaya ubongo ukavuja damu kafa bila shahada wakati SHEKH habibu Sufi kwa miaka mingi akafariki kwa shahada, SASA hata tukijificha, vigezo vyetu wanakufa vyooni JE Sisi WAFUASI. Tujichunguze, hili dhehebu letu kaanzisha imamu gani naona kizungu zungu
Acha Uongo wewe! Muogope Allah Na Usipo Tubia kwa Maneno yako Haya Juwa kuwa Utakuja kusimamishwa Nayo Mbele ya Allah. Mbona hatukumsikia Akimkufurisha Abuu Eid, Barahiani, Dr. Islaam N.k. kuwa Muadilifu ktk Maneno Yako
Kwanza NYIE mashekh wa kisalafy jisafisheni wenyewe kwanza alau muipate shahada mkifa. Maana hao Sufi mnaowasema tunaona wanakufa wasafii na shahada kamili. SASA MSAFI NANI HAPO?. ANAEPIGA ZOGO AKAFA KIBUDU AU MTU WA DHIKRI NA MAULID NA KHITMA AKAFA MSAFI NA SHAHADA KAMILI?!!!. majibu kwa wenye akili sio kwa wenye ukurutu wa Akili.
Akhii.. baarakallah fiyka.. Allah subhanahu wata'alla aturuzuku elimu yenye manufaa, ulichokiandika kinaashiria kutokujua hakika katika hilo ulilolisema. Fuatilia kujua, Allah atuongoze! Baarakallah fiyka!
Acha kutafuta fitna sheikh hayo yanahusiana nn hapa!? Unaweza kuleta ushahidi wa kisheria dhidi ya madai yako!? Ww huna aibu zako kwa nn usihesabu aibu zako. Acheni fitna ktk umma huu
Kabla yakuihesabu kuisubiri siku ya kasim mafuta kwanza ungeli ihesabu kuisubiri siku yko kwanza Na nataka nylijue hili yakwamba abl faadhil kasim mafuta ni neema katka neema za الله تعالى kwetu ikifika muda itaandoka bila ya wewe kutamani hilo
Abuu Mus'ab Allah akuhifadhi hizbu ssalafi linaharibu
Abuu mus'ab Allah akuhifadh tunakudhania unaweza kukawiya sehemu ya abuu mua'awiya Allah amrahamu
Shekh Abuu Mus'ab Allah akuhifadhi shekh wang Kwa kweli unafanya kazi kubwa
Allah akutie nguvu
Na subra kwani daawa inahitaji subra kubwa
Asante akhy
Dawa Gani wafuasi wa Mohammad imam
Allah amrehemu abuu Muawiyah
Mashallah
Allaah amrhem sheikh abuu muawiyah, Allaah kanijaalia nimeujua usalafi kupitia yeye ktk masjid yetu pendwa masjid faarouq.
Tokea faarouq ileee ya sheikh abuu muawiyah.
Allaah atupe mbadala wake alie bora zaidi yake.
Wallaah nampenda sheikh abuu mus-ab filllaah.
Bila ya kuyazungumza haya mas'ala watu hawatoyajua.
Baarakallah fiyka!
Allah awahifadhi masheikh zetu awaongoze waliohai na awarehemu waliotangulia!
@@DhuicTzAaamiyn
Allah awaongoze nyinyi na sisi ktk haki na atukusanye pamoja wote watu wa sunna ktk njia ya salafi wetu wa mwanzo kwa hakika huo ndio ushindi wetu
Mimi namuomba Abuu mus'ab afanye suluhu na sh kassim mafuta juu ya yote yalio tokea yatupiliwe mbali ili walinganie dini tena sh alifanye haraka kabla hatujarud kwa Allah na wazingatie aya hii Al-Hujurat 49:9
وَإِن طَآئِفَتَانِ مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ ٱقْتَتَلُوا۟ فَأَصْلِحُوا۟ بَيْنَهُمَاۖ فَإِنۢ بَغَتْ إِحْدَىٰهُمَا عَلَى ٱلْأُخْرَىٰ فَقَٰتِلُوا۟ ٱلَّتِى تَبْغِى حَتَّىٰ تَفِىٓءَ إِلَىٰٓ أَمْرِ ٱللَّهِۚ فَإِن فَآءَتْ فَأَصْلِحُوا۟ بَيْنَهُمَا بِٱلْعَدْلِ وَأَقْسِطُوٓا۟ۖ إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلْمُقْسِطِينَ
Nakuomba mrikodiji mfikishie ujumbe huu Abuu mus'ab mm namshuhudiza Allah ujumbe nimeufikisha huo kazi kwako
والله اعلم وب الله توفق
Kweli kabisa
Watu mnatafuta upepo wa kutembea nao kama wasanii na alhamdulillah DAAWAH SALAFIYAH inaeleweka
@@AbrahamanSaidi-uf1dw ya kufa VIBUDU
@@hilalkhalfan1452
Sijakufahamu unamaanisha?...
@@AbrahamanSaidi-uf1dw kukosa shahada ukifa
Inatosheleza mja kuwa muisilamu na ukaufuata uisilamu wako kwa ufahamu wa wema waliotangulia bila kujiita wala kuitwa salafy na wala bila kujinasibisha na hao wajiitao salafi.. na ukaipata pepo
Allah atuhifadhi
Kama kawaida hamuwezi kuongea mambo yenu bila kumsema Shekh Yahya Al hajuur.
Mmetahiniwa sana katika hili yani unapinga hichi na bado unarudi kule kule.
Sheikh Yahya Al hajuur anatajwa kwa sifa ipi? Na kule kule unapopasemea ni wapi akhuy!
Tupe faida!
Baarakallah fiyka
Kumbuka kuwa kashfa nyingi au zote wanazomtuhumu Shekh Hajuur ni mambo ya uongo na mengine ni uelewa wao mbovu.
Na huyo shekh anajua kabisa kuwa katika hizo tuhuma za kikasuku yani kumezeshana kama anavyosema huyo shekh.
Na pia suala hilohilo la kumbidaisha Shekh Hajuur ni suala la khilafu kama hilohilo la kumbidaisha shekh Muhammad imam lakin angalia huyu shekh jinsi alivoamua kushika kundi na wakati huohuo analalamikia umakundi
Baarakallah Sheikh abuu mus ab,
siwapendi watu wanaojifakharisha fakharisha
Wewe uko kama mimi, siwapendi watu wanokataa ukweli!
Allah atuhifadhi!
Ukiwaona kama wanamaana vile kumbe ni watu wa faraka
NYIE MNAOSEMA WATU WAMEKUFA VIBUDU MNAKUSUDIA NINI ?MSIJE MKAWA MNAKUFURISHA WAISLAM!!
Nilicho elewa vijana wengi wanajiita masalafi, lakin wanapinda ndani ya mfumo sahihi
Mnatafuta huruma sasa
Kwa nani?
Ww mpumbavu huzingatiwi
Wacha ujinga Akhui, huruma kwa nani boss wako?
Muhimu kufanya vyema na kupata SHAHADA. Zogo jingii na KUFA KIBUDU Nini FAIDA ya hio elimu ya kufagia UCHAFU wakati kibudu Ni KUFA na UCHAFU. SUFI wamekufa Shahidi na shahada kamili, na wanaosemwa wanaleta Sunna tunaona wanaletea watu KUFA VIBUDU.
Swali: Kufanya sawa katika manhaj isiyokuwa ya sawa unadhani inawezekana akhy?
@@DhuicTz Mimi katika Moyo wangu naamini wale wenye mwisho mwema kabisa inawezekana Sana manhaj Yao ipo Sawa pengine Sisi hatujui. Hao Sufi wanaosemwa USIKU na mchana mashekh zao mbona wanakufa kwa shahada?!. La ajabu Zaidi niliopata kusikia, wapo wanaoaga haswaa sku 3 kabla au wiki kabla au pale wanashahadia wanasema haya natoa shahada ya mwisho Mie ndio naondoka, akimaliza shahada tu hayupo KWELI. MBONA MISHEKH WA KISALAFY MPAKA WANAAMBIWA HASWA TAMKA SHAHADA INAWASHINDA HATA KUITAMKA ?!!!. 🤔 Abuu MUAWIYA KIBUDU. subiri nikuhesabie kwa dalili haswa niliosikia kamili, SHEKH Abdallah Farsi AMEKUFA chooni Oman. SHEKH nasour BACHU kafa kwa kurogwa bubwini na shahada kaikosa na mwisho wake akitolewa usiku kugagwa, shekh Saidi njugu ambae Ni SHEKH WA shekh nasour bachu nae baada ya mjadala mwingi Na SHEKH habibu Haji kombo Sufi waliomba DUA kwa pamoja Hao wawili KUWA mnafiki Afe ndani ya wiki, basi alikufa shekh said njugu salafy kwa kugongwa kwa beskeli Bahati mbaya ubongo ukavuja damu kafa bila shahada wakati SHEKH habibu Sufi kwa miaka mingi akafariki kwa shahada, SASA hata tukijificha, vigezo vyetu wanakufa vyooni JE Sisi WAFUASI. Tujichunguze, hili dhehebu letu kaanzisha imamu gani naona kizungu zungu
@@DhuicTz Hivi Ni vipi manhaji Safi ikose shahada Na manhaji chafu ifaulu ahadi ya Mtume saw?
Hiv wewe wajielewe wewe
@@BakariOmari-tr8cy ningekuuliza weye Hilo suala.
Kamsema brahiyan sana
Sasa dini kaifanya kuwa chama kila anaempinga yy kafiri si mtu wa sunna
Acha Uongo wewe! Muogope Allah Na Usipo Tubia kwa Maneno yako Haya Juwa kuwa Utakuja kusimamishwa Nayo Mbele ya Allah. Mbona hatukumsikia Akimkufurisha Abuu Eid, Barahiani, Dr. Islaam N.k. kuwa Muadilifu ktk Maneno Yako
Watu mnatafuta upepo wa kutembea nao kama wasanii
C maana yake abu mu'awiya kwa dhwaahr ya mambo kasumbua hzbsalfy,so wanapewa taarifa bado murud ktk jamaa
Et Dr islam 😂😂 nyie vip
Amefanyeje?
Eti ni salafy ?@@DhuicTz
@user-pi4mv4vd5k
Na'am.. Daktur Islam ni Salafy na hakuna shaka juu yake.
Kwanza NYIE mashekh wa kisalafy jisafisheni wenyewe kwanza alau muipate shahada mkifa. Maana hao Sufi mnaowasema tunaona wanakufa wasafii na shahada kamili. SASA MSAFI NANI HAPO?. ANAEPIGA ZOGO AKAFA KIBUDU AU MTU WA DHIKRI NA MAULID NA KHITMA AKAFA MSAFI NA SHAHADA KAMILI?!!!. majibu kwa wenye akili sio kwa wenye ukurutu wa Akili.
Akhii.. baarakallah fiyka..
Allah subhanahu wata'alla aturuzuku elimu yenye manufaa, ulichokiandika kinaashiria kutokujua hakika katika hilo ulilolisema.
Fuatilia kujua, Allah atuongoze!
Baarakallah fiyka!
@@DhuicTz aaamin 🤲
mtu alikufa kwenye Hajj au nae kafa kitandani? Soma dini uijue ndio uongee
@@ayubahmed9490 Hivi unauliza au unajua unachosema?!
Tuombe mwisho mwema na makazi mazuri
Sasa kama huyu abuu mus'abu kasha kufa katika maskio ya watu anataka ajifufue kumbe
Kafa sikioni kwako tuu al akhy, sisi tunamsikiliza Tunamuomba Allah amuhifadhi tuendelee kustafidi.
Alaf wewe ndo sheikh Benta? Hh
HUYU ABUU MUSW'AAB NDIE ALIEFUMANIWA NA MWANAFUNZI WA CHUO ???
Acha kutafuta fitna sheikh hayo yanahusiana nn hapa!? Unaweza kuleta ushahidi wa kisheria dhidi ya madai yako!? Ww huna aibu zako kwa nn usihesabu aibu zako. Acheni fitna ktk umma huu
Msitir muislam mwezio
Leta mashahidi wanne lasvyo bakora 80
@@alfaroukshabani6445 Ningesema kazini hapo ulikuwa na haqq ya kuniomba ushahidi, kingine Mimi nimeuliza au ukuona question mark????
@@mbjunior166 ULITAKIWA KUJIBU TU NDIE AU SIE , MIMI SIJAMTUHUMU BALI NIMEULIZA AU UKUONA QUESTION MARK???
Ifike wakati na huyu kasim mafua na yy mashekh wamtenge
Kwa sababu hayupo kidini
Yy kila siku anawatowa watu kwenye uislamu sahihi
Kabla yakuihesabu kuisubiri siku ya kasim mafuta kwanza ungeli ihesabu kuisubiri siku yko kwanza
Na nataka nylijue hili yakwamba abl faadhil kasim mafuta ni neema katka neema za الله تعالى kwetu ikifika muda itaandoka bila ya wewe kutamani hilo