Pongezi Alhamdulillahi. Ndacha ni Muongo mzushi. Allah ameeleza wazi jina la Mtume anayeitwa na akina Ndacha eti Yesu ni Isa bin Mariam. Lakini ndacha ajua akitumia jina Isa bin Mariam Ukristo utaporomoka. Kwa hivyo, ili Ukristo upate uhai ni muhimu sana kwao kuzua hilo jina Yesu na kudai eti lilitamkwa na Malaika aliyetumwa kwa Bikra Mariam kumpasha habari ya kumzaa mtoto. Kwani Malaika alikuwa akiongea Kiswahili? Je ni Malaaika ndiye aliyesema, mtoto wa Bikra Mariam ataitwa Yesu?
@prochesernest5439 Acha kuongea uwongo. Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine. Kuna wema na wabaya. Na wameumbwa ila hawaonekani. Hata Malaika hawaonekani na watu.
@@mutomubaya kazi mnayo waislamu kuwatetea majini mashetani ndungu zenu mnayatete kwasababu ni viumbe mbona shetani ni kiumbe hamtetei mnawatetea wadogo zake shetani majini hayo hayana tofauti na huyo shetani mmedanganywa na Muhammad heti wameslimu wamekuwa waislamu nyie yakumbatieni Cha moto mtakipata sis wakristo hatuna ushirika nayo hayo majini mashetani ndiomaana tunayafukuza Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo nakupa Aya quruan 6:128 hona yanavyojivuna njinsi yanavyonufaishana na nyie waislamu wewe hakuna majini mashetani wazuri Toka huko
Shukran sana jazakallah heri inshalla ndacha ataslimu tu polepole unampeleka bila fujo sheikh ramadhn Allah awajaze heri na umri mrefu muweze kuwaelimisha kina askofu na ndacha ❤❤❤❤❤❤❤
Mashaalah Ramadhani mwenyezi mungu akuhifhadi una mfahamu ndacha vyema na kumkaba vyema kwa maana yeye ana hepa hepa maswali na kuileta qauli mpya juu yake, sasa suali Rahisi ni kwamba wapi kwa vitabu vyao yesu mwenyewe kasema mimi ni mtoto wa mungu aw mimi mungu bila ya kusemewa na kina paulo aw wengine. ndacha atoe kwa bibilia wapi yesu kwa kinywa chake kasema yeye ni mwana wa mungu.hii ni ukafiri thahiri.
Kazi nzuri Ustadh Ramadhan kwa kuleta waalimu tofauti tuskie kauli zao.. Naomba Allah akujalie uzidi na hii show 😊. Thanks for hosting Ndacha coz yeye ndio Baba Yao wakikristo lakina baado hawana kauli
Shekhe asnt Sana kwa arimu yako ss nime erewa kwa utalatibu mzuli. Mno alla ukupe arimu zaidi na mwisho mwema lakn naomba alla anifishe Hali yakua ni musilim 🎉❤❤❤❤❤❤❤
Kumbe ndacha ni mwepesi kiasi hiki, anakubali yesu ni mtume, lakini pia anakubali si mungu, anakubali Mungu wa pekee ni baba nadhan haya si majibu mazuri sana kwa wakiristo wenzake wakisikia - Kazi nzuri Sheikh Ramadhan
MASHAALLAH ALLAH S.W.T akuongoze akupe afya na maisha marefu ili uwalete hao wanaoshirikisha ALLAH S.W.T katika njia ilio nyoka (street path )watoke ngiza waje nuruu na dacha ALLAH S.W.T amuongoze amulete nuruu. Dacha anajua ukweli lakini sababu ya pesa hawezi
Kila ilinichekesha ni aliposema huyo pasta yesu ni nabii na bado anaita Mungu.. anajipinga yeye mwenyewe .. Mungu amwongozo wakiristo walio na moyo ya kuona ukweli .. si macho inaona ukweli bali ni mioyo❤
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh nimependa hiki kipindi ,ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh kwa kuzidi kuipambaniya dini Ya ALLAH ,ila ningependa tu kugusiya pastor ndacha nimewahi kufatiliya mdahalo wako ukihakikishiya Watu kuwa yesu Ni MUNGU ila Leo umeeleza tena kuwa yesu sii MUNGU ni Vizuri Sana kwa kijikosowa kwenye kauli zako
InshaAllah step by step nuru ya Hidaya itakuja kuenea ulimwengu mzima ,kwa hivyo Ndacha pia ni maalumat yameongezeka na kupata kujua kuwa Yesu siyo Mungu,binadamu wote siku zetu zote haziwi sawa ,tuzidi kupanda marhala za juu siku baada ya siku...na Ndacha pia twamuombea Hidaya na wengine wengi kama yeye..
Mimi ni mzaliwa wa mozambique wilaya ya mwidumbe kabila la kimakonde 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Pastor na kukubali sana mana una jua kwongea kwa kufafanua jisi ya bwana wetu yesu klisto 🇲🇿
Mungu wa kweli na wapekee na awape mafunuo zaidi ya uchambuzi na mafundisho ya kweli ili kila.aaminie na kuifuta njia ya kweli ya uzima apate kuyapokea na kuifuta kweli yake
Pastor ndacha unaelezea yesu mwenye umjui waislamu assalamu Alaikum warahmatulahi wabarakatuh sii tushukuru Mungu kwa kutujulisha mengi kuhusu mitume wote allihamudulila (tujitahidi kitafuta pepo Isa -bin Mariam karibu anarudi na vile munavyio juwa yeye ndie atakuwa swalisha )hiyo siku 😢 jee Imani mtakuwa Bado nayo ? Allah atusaidie tusipotoshwe 😢🤲🤲🙏
@@anwarambar6141 a Bible ilikuja kabla Quran haijadika... bible Niya 600Bc bt Quran ni ya 7 century... Waislamu mlicook vitu kutoka kwa bible... Enda kwa historia uone gani ndio ilitanguliq ndio uanze kupingana ...
@@anwarambar6141 bible ilikuja mbele ya Quran na mambo iko kwa bible ndio imefogged to Quran... Mkibwdilisha majina ety yesu khisa.... My friend go back to the root
You are blasphemy you ought to repent your sins because there is no words of good in bible juses was right to say his father is god coz every creature his father is god juses he did not guilty but his disciples they were fool to write life of Jesus and add their unknown things they mislead people and God decided to sent Mohammed as light path to all people who going astray
Kama jini anaweza kujibadilisha awe mnyama, ndege, binadamu n.k. Mungu muumba wa viumbe vyote yeye hawezi! Sisi tunajua ni Shetani hawezi kubadilika kwa hivyo kama Allah hawezi kubadilika basi yeye si yuko sawa na Shetani. Enyewe hata sifa zake kama Al-Makir, Al-Muzil ni sawa na sifa za Shetani
Mwalimu Ndacha barikiwa sana kwa kujitolea kuwaelezea ukweli ili na hao waamini Yesu kristo ni mwana wa MUNGU aliyetukufia msalabani ili tukombolewa sisi wenye dhambi ili tumtambue yeye ndo njia ,ukweli na uzima wa milele.
Yesu yuh Mwana wa Mungu. Hiio ndio hata mwisho wa dahari, Shetani alijuwa kuja kwa Mwana wa Mungu ila hakiwa na uhakika hata alpokuwa yupo duniani alifanya udadisi, naye uishi na kusema Mungu hana mwana, Luka 4: 1-9 angalia swali lake kwa Yesu. hakula cho chote , kwa hiyo baada ya muda huo aliona njaa. 3 Shetani akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.”
Yesu baba ake Mungu 😅😅 kweli Mungu azae nasisi viumbe wake tuzae 😢 msiba huu kwa hawa wagalatia. Allah awasamehe wote mnao jiita wakristo kwasababu Wallah nawahurumia.
Hongereni walimu,nyie mmetulia kila mtu anampa mwenzie kujieleza,Sio kina Mazinge makele tu kama walevi,nyie ni big up kila mtu ameelewa kwa iman yake,Ndacha nakuelewa
Mimi maranyingi hua na sema ndacha hoja za kikiristo haziendi isipokua ujisahaulishe maandiko mengine 18:32 hapa ndacha kajisahaulisha andiko la yohana 20:17...naenda kwa baba yangu naye ni baba yenu,kwa mungu wangu nae ni mungu wenu,na andiko la matayo 27:46 mungu wangu mungu wangu mbona unaniacha.Na mengine mengi. HUU NI UPOTOSHAJI Eti yesu kwenye bibilia ajasema mungu angu bali anasema baba yangu,mwalimu mzima anaongopa mchana kweupeeeeeee😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣✍️
Kazi nzuri watu waache kuichanganya na kumshirikisha Allah,au kumwekea Allah MSHRIKA,NA YOTE HAYO AMESHAYAKATAZA HADI KATIKA VITABU VYAO ,KWA HIVYO LENGO NI KUJIFUNZA NA KUJUA IMANI YAKO IKO SWAHIH AU LA....ALLAH AWALIPE KILA LA KHERI KWA KAZI YENU NZURI YA USHIRIKIANO KWA nia ya kuwaamsha wengi...
Amri kumi alizopewa Nabii Musa amri ya kwanza ilisema usimshirikishe M.Mungu na kitu kingine ,Mungu watatu anatoka wapi? Tuwafuwafuate vipi wakati nyinyi mnaenda kijume na maandiko yaliyoko ndani ya Bibilia na ,hamuwelewi maana ya mwana kabisaaaaa ,
@passerbyMan-ju8ky Tatizo ni swala la utambuzi tu. Jiulize swali moja. Kwanini Yesu hakusema naenda kwa Baba yetu au Naenda kwa Mungu wetu? Bali alisema kwamba, Naenda kwa Baba yangu ambae ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambae ni Mungu wenu - jiulieze na uelewe huo utofauti. Vile vile, Ni kweli yesu alisema Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha. Lakini kwa kauli hiyo Yesu alikua anakamlisha ufunuo katika kitabu cha Zaburi 22:1 Zaburi 22:1 inasema kama yesu alichokisema - Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha?
@@brightzone.Ndivyo mnavyo ongopewa?hapo unataka kumfundusha yesu Cha kusema,maneno Yapo mengi mtuhuchagua neno Gani aseme, Sasa ulitaka aseme naenda kwa baba yetu nae ni baba yenu?😂 Mtu kusema huyu ni baba yangu na ni baba yako wewe,hii ni kauli ya kuonyesha msisitizo ,ama kusema huyu ni baba yetu hii nikauli ya kawaida,kibibilia mungu kuitwa baba amanishi amezaa ni baba kiulezi wa Imani Na mzaliwa wa kwana ni mzaliwa wa kwanza kiimani, Na mwana ni mwana kiimani Na mwana wapekee Ni mwana wa pekee kiimani.hapo ndipo mlipo feli wakristo,na ndio mana kibibilia ukimwamini mungu unafanyika kuwa mwanae yohan 1:12 hivi munasoma bibilia au munasomewa?poleni😊
@@PasserbyMan-ju8ky umesema vyema. Mungu kuitwa baba kibiblia. Jinsi tulivyo sisi na alivyo Yesu kwa Mungu Baba ni tofauti. Sisi ni wana wa Mungu kiimani. Yesu ni mwana wa Mungu wa kuzaa. Na ndio maana Yesu akasema naenda kwa Baba yangu ambaye ni baba yenu, Mungu wangu ambae ni Mungu wenu. Na hiki ndio kitu tofauti na Uislamu. Allah hawezi kuwa baba kwa namna yoyote ile. Kila muislamu anajua kwamba ni kufuru kumuita Allah Baba. Niko hapa tujifunze. Njoo tena tujadiliane ndugu.
Kwa mujibu wa biblia wanaadamu wengine sio wana wa Mungu? Kama na wao ni wana wa Mungu, sasa kuna tofauti gani kati ya yeye na sisi katika suala la kuitwa mwana wa Mungu.
mchungaji ndacha , mungu akulinde na akupe maisha marefu ili utangaze habari njema duniani kwote na mataifa yote wajuwe ya kwamba yesu nibwana , na mokozi wa dunia
Mch. Ndacha, .Kwa sababu Naona waeslam Awahelewi. kama mnahamini Mungu anaweza kila kitu kwanini mnahamini Awezi kuzaha, kwamahana kwamungu yote yanawezekana, Na mkikataha kwamba Mungu Awezi yahani mnamfananisha na mwanadamu kumbuka kwamba mungu sio mwanadamu, Naam nakuhambia Mungu ni mungu Akuna linalo shishindikana kwake.. Kama unahamini mungu Anaweza kwani ukataye awezi kuzahh. KWASABABU NAONA MCH. NDACHA AMEKUHELEWESHA AUHELEWI UFANYWE NINI SASA.😊
MUNGU NI MUUMBAJI SIO MZAZI ANAUMBA ATAKACHO KWA UWEZA WAKE UKISEMA MUNGU ANA ZAA HAYO NI MATUSI MAKUBWA MUNGU HANA JINSIA YA KIKE WALA YA KIUME.MUNGU HABEBI MIMBA. TAFAKARI
Ndacha Mungu akuzidishie uvumilivu na hekima
Ma sha Allah shk ramadhan Allah akupe afva na maisha marefu.pst ndacha naye mwenyezi mungu amwongoze kwa njia ilinyooka.
Kazi nzuri ndacha hebu wachambulie biblia wajue Yesu ni mwana wa Mungu kiroho
Ndacha God bless you..Good work for God's kingdom
Well done Ndacha good work
kazi nzuri huyu huyu ndacha ndo alifanya nikasilimu nameombea Allah amuonyeshe pia njia ya haki
ALLAHU AKBAR
@@HamdiNuh umeslimu kujiunga na majini mapepo wachafu mashetani hapo vip ? Toka huko umepotea vibaya mno
Pongezi Alhamdulillahi. Ndacha ni Muongo mzushi. Allah ameeleza wazi jina la Mtume anayeitwa na akina Ndacha eti Yesu ni Isa bin Mariam. Lakini ndacha ajua akitumia jina Isa bin Mariam Ukristo utaporomoka. Kwa hivyo, ili Ukristo upate uhai ni muhimu sana kwao kuzua hilo jina Yesu na kudai eti lilitamkwa na Malaika aliyetumwa kwa Bikra Mariam kumpasha habari ya kumzaa mtoto. Kwani Malaika alikuwa akiongea Kiswahili? Je ni Malaaika ndiye aliyesema, mtoto wa Bikra Mariam ataitwa Yesu?
@prochesernest5439 Acha kuongea uwongo. Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine. Kuna wema na wabaya. Na wameumbwa ila hawaonekani. Hata Malaika hawaonekani na watu.
@@mutomubaya kazi mnayo waislamu kuwatetea majini mashetani ndungu zenu mnayatete kwasababu ni viumbe mbona shetani ni kiumbe hamtetei mnawatetea wadogo zake shetani majini hayo hayana tofauti na huyo shetani mmedanganywa na Muhammad heti wameslimu wamekuwa waislamu nyie yakumbatieni Cha moto mtakipata sis wakristo hatuna ushirika nayo hayo majini mashetani ndiomaana tunayafukuza Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo nakupa Aya quruan 6:128 hona yanavyojivuna njinsi yanavyonufaishana na nyie waislamu wewe hakuna majini mashetani wazuri Toka huko
Barakallah fique, mashallah Sheik Ramadhan mwenyezi mungu akudizishie na akupe maisha marefu uzidi kuwazindua ndugu zetu Hawa. Hakika wako katika kiza!!!
Shukran sana jazakallah heri inshalla ndacha ataslimu tu polepole unampeleka bila fujo sheikh ramadhn Allah awajaze heri na umri mrefu muweze kuwaelimisha kina askofu na ndacha ❤❤❤❤❤❤❤
Amiin amiin amiin
Kiukweli ndacha hatumuelewi akiulizwa swali anakutilia aah unajua unajua😄😄😄
Mashaalah Ramadhani mwenyezi mungu akuhifhadi una mfahamu ndacha vyema na kumkaba vyema kwa maana yeye ana hepa hepa maswali na kuileta qauli mpya juu yake, sasa suali Rahisi ni kwamba wapi kwa vitabu vyao yesu mwenyewe kasema mimi ni mtoto wa mungu aw mimi mungu bila ya kusemewa na kina paulo aw wengine. ndacha atoe kwa bibilia wapi yesu kwa kinywa chake kasema yeye ni mwana wa mungu.hii ni ukafiri thahiri.
Kazi nzuri Ustadh Ramadhan kwa kuleta waalimu tofauti tuskie kauli zao.. Naomba Allah akujalie uzidi na hii show 😊. Thanks for hosting Ndacha coz yeye ndio Baba Yao wakikristo lakina baado hawana kauli
Walahi tushukuru Allah kwa kutupa Nuru waislamu 😢
ISAYA 44:24 NATAKA majibu yesu anasema yeye aliyekuwepo na Mungu wakati ISAYA Mungu anakataa alikuwa pekee yake
KITABU CHA MORMONI WANASEMA KILA MWANADAMU ALIKUWEPO KABLA YA KUZAKIWA
@@zahraabdul9652 nuru au giza!
@@zahraabdul9652 hebu nimulikie nuru iliyoko katika uislamu
Ndacha your a wonderful teacher!! Grorly to God!!
Shekhe asnt Sana kwa arimu yako ss nime erewa kwa utalatibu mzuli. Mno alla ukupe arimu zaidi na mwisho mwema lakn naomba alla anifishe Hali yakua ni musilim 🎉❤❤❤❤❤❤❤
Kumbe ndacha ni mwepesi kiasi hiki, anakubali yesu ni mtume, lakini pia anakubali si mungu, anakubali Mungu wa pekee ni baba nadhan haya si majibu mazuri sana kwa wakiristo wenzake wakisikia - Kazi nzuri Sheikh Ramadhan
asalam aleykum
ALLAH akuhifadhi sheikh ramadhan
nashauri ndacha awe anaheshimu QUR AN asiwekee simu na aishike kwa nidhamu mzingatie hilo
Kazi nzuri .mashallah sema ndacha anajua ukweli sema ndo ili abishe ndo awe mkristo.....ubishi kaumbiwa
Mungu akubariki sana mtumishi ndasha
MashaALLAH Ramadhan ALLAH akupe maisha marefu , ndacha mpaka asilimu asitoke hapa
Barakallahu fikum sheikh wetu,,Allah azidi kukupa hekma. Ndacha Allah amuongoze. Musabato
Ndacha 4 life and proud to be a Christian ❤❤
Mungu akubariki sana Ndacha kwakuelimisha hao waeslam
Ustadh naomba uichambue video hii vizuri umuanike ndacha amejichanganya sana na kusema kauli tofauti tofauti anapoulizwa swali kwa mara ya pili
Hii ni sehemu ya kwanza
Sheikh Ramadhani Bin Kuria ... Maashaa Allah 💖 ...
Mafunzo Mazuri .. Tunafahamu Alhamdulillaah
Jazaka Allah Kheir Sheikh Ramadhan
Masha’allaah Mashekhe wetu Allah azidi kuwapa tawfiq yaarabbal alamin.
Mungu akubariki mtumishi dacha katika safari ya kumsilimisha ramadhani kuria na waislamu wengine wazidi kuelewa uungu wa bwana wetu yesu kristo
Mekwenda vizuri ndani ya mjadala kongole wenyekujifunza wananafasi mungu awaongoe maelezo yenu mvuto kwa wenye hekima ya kielimu Allahu karim🙏
kazi nzuri sana jazakallahu kheir
Kazi nzuri huwenda wakaijuondoa matanga poli wakamjua Mungu wa kweli.
Meu pastor ndacha Deus te abensoe ❤❤
Mungu akuongezee Upako Mtumishi NDACHA.
MASHAALLAH ALLAH S.W.T akuongoze akupe afya na maisha marefu ili uwalete hao wanaoshirikisha ALLAH S.W.T katika njia ilio nyoka (street path )watoke ngiza waje nuruu na dacha ALLAH S.W.T amuongoze amulete nuruu. Dacha anajua ukweli lakini sababu ya pesa hawezi
💯% inasema MTOTO wa NYOKA n NYOKA, MTOTO wa Ng'ombe NI ndama Ila bado NI NG'OMBE .... 🎉
Yesu si Mungu.
Ustadh Ramadan mungu ndeye atakulipa jaza yako kwa mungu
Assalam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh mashallah sheikh ramadhan Allah akulinde sheikh wangu
Masha allah ramadhani kuria kwa kazi yakoo mungu akupea nguvuu
Allah awajalie mashekhe wetu uwislam tume utupa kwenye hi ibada
Kazi yenu ni nzuri sana watu wa Mungu. Naamini elimu hii inatufundisha wengi.
Kila ilinichekesha ni aliposema huyo pasta yesu ni nabii na bado anaita Mungu.. anajipinga yeye mwenyewe .. Mungu amwongozo wakiristo walio na moyo ya kuona ukweli .. si macho inaona ukweli bali ni mioyo❤
Bibilia inasema hivyo wewe ni nani
@@bitsanjE so mwalimu pia ni mwanafunzi 😂😂. Nyie mnajichanganya sana aisee. Yesu ni Nabii na tena Mungu how nah
@@bitsanjE IMEANDIKWA MINGU HANA MFANO NA HABADILIKI BADILIKI NA HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU SO YESU HAWEZI KUA MUNGU MUNGU HAONEKANIKI IPO WAZI HYO
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh nimependa hiki kipindi ,ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh kwa kuzidi kuipambaniya dini Ya ALLAH ,ila ningependa tu kugusiya pastor ndacha nimewahi kufatiliya mdahalo wako ukihakikishiya Watu kuwa yesu Ni MUNGU ila Leo umeeleza tena kuwa yesu sii MUNGU ni Vizuri Sana kwa kijikosowa kwenye kauli zako
alhamdulillah, maashaallah mwalim
Baarakallahu fiikum straight path daawah
Ndacha neno like ndani yako na umefundisha vizuri
Mshallah kazi nzuri mashkehi wetu na pasta in shaa Allah ata silimu tu
Aamiin Yaa Rabb
Allah akuzidishie hekma
She ramadhan mungu akubarik
Ustadh khalifa hogera umetulia kazi nzuri ma sha Allah
Jazakumullah khair InshaAllah...
maashallah umefanya vrz sana shekh
InshaAllah step by step nuru ya Hidaya itakuja kuenea ulimwengu mzima ,kwa hivyo Ndacha pia ni maalumat yameongezeka na kupata kujua kuwa Yesu siyo Mungu,binadamu wote siku zetu zote haziwi sawa ,tuzidi kupanda marhala za juu siku baada ya siku...na Ndacha pia twamuombea Hidaya na wengine wengi kama yeye..
Akili ndongo sana Mungu ana zaa kwa neno yani anatamka inakuwa, Au unafili anatanua miguu mtoto anatoka,ii niakili ya kislamu
"Mungu anatamka, inakuwa" .... Hii ndio imani ya Kiislamu.. Karibu kwenye dini ya kweli ❤
dah! ndacha leo kapata mwamba wke, shekh ramadhan MashALLAHu
Mwamba gani kujipa moyo tu😂
Ndacha Mungu akuzidishie
Mimi ni mzaliwa wa mozambique wilaya ya mwidumbe kabila la kimakonde 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Pastor na kukubali sana mana una jua kwongea kwa kufafanua jisi ya bwana wetu yesu klisto 🇲🇿
Nao estas entender Bem. Mungu akuonyesha njia ya ukweli
Mungu wa kweli na wapekee na awape mafunuo zaidi ya uchambuzi na mafundisho ya kweli ili kila.aaminie na kuifuta njia ya kweli ya uzima apate kuyapokea na kuifuta kweli yake
Yesu kristo kwani ni jina moja hapo ndipo jibu lilipo kwa maana ya kwamba hukaa ndani yangu nami ndani yake
mashallah sheikh Ramazani mwenye akiri timamo amesikiya
Aslam alykum cheikh wetu, Aksanti sana kwa kumupa darassa NDAca , Mungu musaidiye asikilize na alewe.
Darasa gani ww!, endeleeni kujidanganya, 😂😂😂😂
Pastor ndacha unaelezea yesu mwenye umjui waislamu assalamu Alaikum warahmatulahi wabarakatuh sii tushukuru Mungu kwa kutujulisha mengi kuhusu mitume wote allihamudulila (tujitahidi kitafuta pepo Isa -bin Mariam karibu anarudi na vile munavyio juwa yeye ndie atakuwa swalisha )hiyo siku 😢 jee Imani mtakuwa Bado nayo ? Allah atusaidie tusipotoshwe 😢🤲🤲🙏
Umepotea wewe...
Umekwishakupotea
@@SiriliNachan nyie mlie kwa ukweli mjuzi lolote Allah awasaidie
@@ronaldmatimbo9691 wewe ulie kwa njia nzuri nakwombea
@@zahraabdul9652 na yesu mwenywe ndo atakuja kutuchukua wafuasi wake😊
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora Allhamdhillah
May Allah guide him.
Allah awajaliye afya njema na subra wahadhiri wetu
th-cam.com/video/L_iOjl7Pn0s/w-d-xo.htmlsi=UjcPhUHJbuHpNhdr
Ndacha is the man of God... He is my guy in one religion.... E truth in you is the light of the world
eti Ndacha ni A man of God usiwachekeshe walio nuna
@@anwarambar6141 a Bible ilikuja kabla Quran haijadika... bible Niya 600Bc bt Quran ni ya 7 century... Waislamu mlicook vitu kutoka kwa bible... Enda kwa historia uone gani ndio ilitanguliq ndio uanze kupingana ...
Look at what the old man is saying, let's come to Islam so that the infidels don't die
@@barutiabuu9492 I can't join dini ya waaasi na kuuwa watu ety mwende mbinguni direct... What is that.... Mjifunze kuwa wema kwa ata...
@@anwarambar6141 bible ilikuja mbele ya Quran na mambo iko kwa bible ndio imefogged to Quran... Mkibwdilisha majina ety yesu khisa.... My friend go back to the root
Waaleikum Salaam warahmatullah wabarakatuh
I love the maturity in this discussion.
You are blasphemy you ought to repent your sins because there is no words of good in bible juses was right to say his father is god coz every creature his father is god juses he did not guilty but his disciples they were fool to write life of Jesus and add their unknown things they mislead people and God decided to sent Mohammed as light path to all people who going astray
Ndachaaa❤❤
Ndacha akafanya niwe mchristo . Mungu akuzidishiyee
Ulikuwa wa dini gani before
Twende kazi
Eti Mungu amefanyika mwili. Msiba huu. Mungu haonekani please wala kivuli ya kubasilika ❤
Soma bibilia
Allah Sio Mungu WA kweli huyo ni kiumbe
@@prochesernest5439 na hawaamin ukiwauliza kwann wanasujudia kuelekea al kaaba wanakwambia n umoja
@@prochesernest5439 ongeza volume
Kama jini anaweza kujibadilisha awe mnyama, ndege, binadamu n.k. Mungu muumba wa viumbe vyote yeye hawezi! Sisi tunajua ni Shetani hawezi kubadilika kwa hivyo kama Allah hawezi kubadilika basi yeye si yuko sawa na Shetani. Enyewe hata sifa zake kama Al-Makir, Al-Muzil ni sawa na sifa za Shetani
Yesu ni mungu wacha .halikuja kama an expresion of Gods image akafanyika mwili
Mwalimu Ndacha barikiwa sana kwa kujitolea kuwaelezea ukweli ili na hao waamini Yesu kristo ni mwana wa MUNGU aliyetukufia msalabani ili tukombolewa sisi wenye dhambi ili tumtambue yeye ndo njia ,ukweli na uzima wa milele.
Tit 2:13 SUV
[13] tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Yesu yuh Mwana wa Mungu. Hiio ndio hata mwisho wa dahari, Shetani alijuwa kuja kwa Mwana wa Mungu ila hakiwa na uhakika hata alpokuwa yupo duniani alifanya udadisi, naye uishi na kusema Mungu hana mwana, Luka 4: 1-9 angalia swali lake kwa Yesu. hakula cho chote , kwa hiyo baada ya muda huo aliona njaa.
3 Shetani akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.”
Asalaam alykum.allah amuongoze ndacha ktk njia ilionyooka,maana amefunikwa nakitu kizito sana naanatia huruma sana.allah muongozee
Amen yesu ni muumbaji
sisi Wakristo tunamwabudu Yesu Mungu wetu
Yesu baba ake Mungu 😅😅 kweli Mungu azae nasisi viumbe wake tuzae 😢 msiba huu kwa hawa wagalatia. Allah awasamehe wote mnao jiita wakristo kwasababu Wallah nawahurumia.
Wenywe tunawahurumia😊😅😅
@@SiriliNachan hayakuhusu wewe endelea kunywa Divai.
@@nakundwamkubwe7823 sawa ila ndo ivo mungu mwenywe kamwita yesu mungu😂😂
@@SiriliNachanandiko MUNGU anamwita YESU MUNGU!???
Lahaulaa walaa kuwaataaa ilaaa billaaah
Nyinyi mta chomeka nani kawabia mungu anataka mizani....na mukome mungu mwenye tuna homba ni wetu zote hufai kujanji...na mkome
MASHALLAH SHEIKH RAMADHAN
yesu ni mwana wa mungu tena ninabi wamungu❤❤❤
Ndacha hoja zako zina nguvu Mungu azidi kukutmia
Kusilimu ni bure njoni msife makafir mumeona wap mungu akizaa watoto
Hapo Allah mizidishiyeni elimu za zati
Mashalah ustath
Ubalikiwe ndacha pamoja na hao wa isumali nao pia ni wana wa Ibrahim mungu awazidishie
Subhanallah huyu ndacha ananichangaza sana Kwa sema yesu ni mungu mara ni mungu ni baba ya yesu,,
Ndugu Ramadhan Kaguo una umahiri wa utashi na Hekima ya kielimu. Mungu Mkubwa.
Ndacha, nakuombea daima.
Hongereni walimu,nyie mmetulia kila mtu anampa mwenzie kujieleza,Sio kina Mazinge makele tu kama walevi,nyie ni big up kila mtu ameelewa kwa iman yake,Ndacha nakuelewa
Ramadhani napenda uko makini sana
Huyu kijana mungu amongoze ktk haki apate kuijuwa dini ya kislam
Mimi nataka ni silimu Kwa hoja
Mimi maranyingi hua na sema ndacha hoja za kikiristo haziendi isipokua ujisahaulishe maandiko mengine 18:32 hapa ndacha kajisahaulisha andiko la yohana 20:17...naenda kwa baba yangu naye ni baba yenu,kwa mungu wangu nae ni mungu wenu,na andiko la matayo 27:46 mungu wangu mungu wangu mbona unaniacha.Na mengine mengi.
HUU NI UPOTOSHAJI
Eti yesu kwenye bibilia ajasema mungu angu bali anasema baba yangu,mwalimu mzima anaongopa mchana kweupeeeeeee😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣✍️
Kazi nzuri watu waache kuichanganya na kumshirikisha Allah,au kumwekea Allah MSHRIKA,NA YOTE HAYO AMESHAYAKATAZA HADI KATIKA VITABU VYAO ,KWA HIVYO LENGO NI KUJIFUNZA NA KUJUA IMANI YAKO IKO SWAHIH AU LA....ALLAH AWALIPE KILA LA KHERI KWA KAZI YENU NZURI YA USHIRIKIANO KWA nia ya kuwaamsha wengi...
Amri kumi alizopewa Nabii Musa amri ya kwanza ilisema usimshirikishe M.Mungu na kitu kingine ,Mungu watatu anatoka wapi? Tuwafuwafuate vipi wakati nyinyi mnaenda kijume na maandiko yaliyoko ndani ya Bibilia na ,hamuwelewi maana ya mwana kabisaaaaa ,
@passerbyMan-ju8ky Tatizo ni swala la utambuzi tu.
Jiulize swali moja.
Kwanini Yesu hakusema naenda kwa Baba yetu au Naenda kwa Mungu wetu?
Bali alisema kwamba,
Naenda kwa Baba yangu ambae ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambae ni Mungu wenu - jiulieze na uelewe huo utofauti.
Vile vile,
Ni kweli yesu alisema Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha.
Lakini kwa kauli hiyo Yesu alikua anakamlisha ufunuo katika kitabu cha Zaburi 22:1
Zaburi 22:1 inasema kama yesu alichokisema - Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha?
@@brightzone.Ndivyo mnavyo ongopewa?hapo unataka kumfundusha yesu Cha kusema,maneno Yapo mengi mtuhuchagua neno Gani aseme, Sasa ulitaka aseme naenda kwa baba yetu nae ni baba yenu?😂
Mtu kusema huyu ni baba yangu na ni baba yako wewe,hii ni kauli ya kuonyesha msisitizo ,ama kusema huyu ni baba yetu hii nikauli ya kawaida,kibibilia mungu kuitwa baba amanishi amezaa ni baba kiulezi wa Imani
Na mzaliwa wa kwana ni mzaliwa wa kwanza kiimani,
Na mwana ni mwana kiimani
Na mwana wapekee
Ni mwana wa pekee kiimani.hapo ndipo mlipo feli wakristo,na ndio mana kibibilia ukimwamini mungu unafanyika kuwa mwanae yohan 1:12 hivi munasoma bibilia au munasomewa?poleni😊
@@PasserbyMan-ju8ky umesema vyema. Mungu kuitwa baba kibiblia.
Jinsi tulivyo sisi na alivyo Yesu kwa Mungu Baba ni tofauti.
Sisi ni wana wa Mungu kiimani.
Yesu ni mwana wa Mungu wa kuzaa.
Na ndio maana Yesu akasema naenda kwa Baba yangu ambaye ni baba yenu, Mungu wangu ambae ni Mungu wenu.
Na hiki ndio kitu tofauti na Uislamu.
Allah hawezi kuwa baba kwa namna yoyote ile. Kila muislamu anajua kwamba ni kufuru kumuita Allah Baba.
Niko hapa tujifunze.
Njoo tena tujadiliane ndugu.
Ndacha Mey God bless you
Kazi nzuri ndacha
Masha Allah Sheikh Ramadhani Kwa Mafundisho
Takbirr❤❤
Barikiwa ndacha Mungu awape nguvu na fikra nzuri yakumjua Yesu na babake Mungu
Kwa mujibu wa biblia wanaadamu wengine sio wana wa Mungu? Kama na wao ni wana wa Mungu, sasa kuna tofauti gani kati ya yeye na sisi katika suala la kuitwa mwana wa Mungu.
Mmmmh ati babake mungu
mchungaji ndacha , mungu akulinde na akupe maisha marefu ili utangaze habari njema duniani kwote na mataifa yote wajuwe ya kwamba yesu nibwana , na mokozi wa dunia
Yesu hajaumbwa mwana huoniutatu musioujuanyie wala hamuamini kwahilo .
Mch. Ndacha, .Kwa sababu Naona waeslam Awahelewi. kama mnahamini Mungu anaweza kila kitu kwanini mnahamini Awezi kuzaha, kwamahana kwamungu yote yanawezekana, Na mkikataha kwamba Mungu Awezi yahani mnamfananisha na mwanadamu kumbuka kwamba mungu sio mwanadamu, Naam nakuhambia Mungu ni mungu Akuna linalo shishindikana kwake.. Kama unahamini mungu Anaweza kwani ukataye awezi kuzahh. KWASABABU NAONA MCH. NDACHA AMEKUHELEWESHA AUHELEWI UFANYWE NINI SASA.😊
MUNGU NI MUUMBAJI SIO MZAZI ANAUMBA ATAKACHO KWA UWEZA WAKE UKISEMA MUNGU ANA ZAA HAYO NI MATUSI MAKUBWA MUNGU HANA JINSIA YA KIKE WALA YA KIUME.MUNGU HABEBI MIMBA. TAFAKARI
MASHA ALLAH 💚
God bless u ndacha.