MAJIBU YETU KWA DR KHAMIS IMAAM {02} - لقد تخبطت يا دكتور خبط عشواء -Sheikh Abuu Abdil Haliym Akidu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @MujarabuMashallah
    @MujarabuMashallah 7 วันที่ผ่านมา

    Mashallah shehe tunakuelewa vizuri

  • @OmarAbdalla-ug5yg
    @OmarAbdalla-ug5yg 15 วันที่ผ่านมา

    Hayaaa abul fadhwli Bainisha Dr.ya alakh khamiis Imaam na baina ya Dr Islaam....bainisha duktuur zao

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 วันที่ผ่านมา

    Daawa imejaa majigambo na kujiona kila sheikh ni bora kuliko mwingine hii ni hatari kwa mustakabali wa dawaa

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 2 วันที่ผ่านมา

    Radd sio ugomv kwa kiswahili ni kukosoa, na kukosoana katika da'awa hii ni sehem katika dini.

  • @SalimSaidi-g3e
    @SalimSaidi-g3e 16 วันที่ผ่านมา

    Mcheni Allah

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 12 วันที่ผ่านมา

    Ni vichambo kwenda mbele

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 12 วันที่ผ่านมา

    Jai waacheni hawawahusu nyiny mmefanya nn

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 15 วันที่ผ่านมา

    Sasa hawa majadida wenyewe kwa wenyewe wanakulana kwisha habari yao

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 วันที่ผ่านมา

      ACHA UJAHILI MJINGA WEWE SISI MASALAFY SIO KAMA NYIE MAHIZBI NA MASUFI.... RADD NI KATIKA DINI NA ANARADIWA YOYOTE HATA KAMA NI SALAFY!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 14 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x akhy samahani huyu mzungumzaji ni sheikh wa kisalafy au?maana hata simfahamu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 วันที่ผ่านมา

      @@Hamis-ks1sy Wote hao ni masalafy! RADD ni katika dini wala hata usishangae...!!! Mbona hata Muhammad Mafuta zaman ashawahi kuraddiwa na Masalafy na Ruduud zipo utube! Hilo ni jambo la kawaida hata maulamaa Wanaradiana....!!!
      Sema hiki kitu wamekikosa Masufi na Mahizbi.... Ndo mana huwezi kuta Bachu anamradd Kishki, Yusuf Abdi wala Moh Bahero licha ya kwamba wana mafyongo mengi sana....!!! Msingi wa Al walaa wal baraa wameukosa!!!!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 วันที่ผ่านมา

      @@Hamis-ks1sy Ni Salafy mzuri tu from Morogoro! Kama umefatilia Radd dhidi ya kikundi cha JAI utagundua pia ni Radd ya Salafy kwa Salafy... Na hivyo ndivyo inavyotakikana! Radd anaradiwa yeyote hata kama ni Salafy mwenzako! Tatizo tunatafsiri radd kama ugomvi ndomana!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 วันที่ผ่านมา

      @@Hamis-ks1sy Sema hzo Ruduud sio za sasa hivi... ni za toka mwezi March 2024 kama sijasahau! Nahis ndo zimewekwa TH-cam sasa hivi!... But hakuna ugomvi wowote mkubwa unaoendelea.. Radd ni katika kuamrishana mema na kukatazana mabaya!

  • @OmarAbdalla-ug5yg
    @OmarAbdalla-ug5yg 15 วันที่ผ่านมา

    Hhhhhhhhhhha mnawatatiza wanafunzi wenuuuu hyaaaa kaasim mafuta wnafunzi wako aoooooo nyie hamupo kwa lengo la daaawa allah anawafitini sasa baina yenu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 วันที่ผ่านมา

      Nyie Wajinga acheni upumbavu... Yani Wanaradiana Maulamaa wao kwa wao sembuse sisi masalafy! Sisi sio kama nyie mahizbi,, Radd ni katika Dini na anaradiwa yeyote hata kama ni Salafy!

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 2 วันที่ผ่านมา

      Wanafunzi wa Qasim mafuta? Kuwa na adabu kijana Hawa n masheikh hakuna aliye soma kwa sheikh Qasim mafuta hapo.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 15 วันที่ผ่านมา

    Majadida kwisha habari yao
    Wana makundi teleeeeee
    Wenyewe kwa wenyewe wanakatana yani dahhhhh
    Allah kawatia adhabu hawa
    Kwa kuwadhulumu waislamu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 วันที่ผ่านมา

      MPUMBAVU KWELI WEWE.... RADD NI KATIKA DINI NA ANARADIWA YEYOTE HATA KAMA NI SALAFY!
      TATIZO LENU MAHIZBI HAMNA MSINGI WA AL WALAA WAL BARAA!!!