SAUTI YA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2023
  • Warumi 8:14
    Kwa maana wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu ni wana wa Mungu.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 160

  • @user-xk1vu6jd4l
    @user-xk1vu6jd4l 7 หลายเดือนก่อน

    Niwezeshe yesu nkaweze kuitii sauti ya roho mtakatifu ndani yangu.fungua masikio ya ndani baba.

  • @user-jk8yn3yw1e
    @user-jk8yn3yw1e หลายเดือนก่อน

    Ameeen
    MUNGU anisaidie kusikia roho mtakatifu

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana YESU nataka roho mtakatifu akae ndani yangu nimusikie akinifundisha

  • @sahaaflorence.gahaha4151
    @sahaaflorence.gahaha4151 26 วันที่ผ่านมา

    Amen. MUNGU ninguze tena naunijaze roho wako mtakatifu

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba uguse moyo wangu maana nachangamoto nyingi

  • @MiriamPatrick-mn1rs
    @MiriamPatrick-mn1rs 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atupe ufahamu kusikia sauti ya roho mtakatifu Amen

  • @juliajulia6772
    @juliajulia6772 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anisaindie kuskia sauti ya roho mtakatifu wa mungu amen.

  • @Diana-lf3nr
    @Diana-lf3nr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu kristo wa Nazareth

  • @phylisselebwa4716
    @phylisselebwa4716 ปีที่แล้ว

    Amen,,,roho mtakatifu niongoze nieze kusikia sauti ya Mungu maishani mwangu.

  • @MiriamPatrick-mn1rs
    @MiriamPatrick-mn1rs 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atupe ufahamu,kusikia sauti ya roho mtakatifu Amen

  • @fatmahamis3838
    @fatmahamis3838 ปีที่แล้ว +5

    Amen mungu nijaze imani ndani ya moyo wng

  • @LOVELEEWilberforcechacha-jb9ty
    @LOVELEEWilberforcechacha-jb9ty 2 หลายเดือนก่อน

    yesu nitie nguvu nitii saut ya roho mtakatifu pale anaposema nami amekuwa akisem nami lakin sitii😭😭😭

  • @user-hy5hw9bd7t
    @user-hy5hw9bd7t หลายเดือนก่อน

    Roho wa mungu akae ndani yangu na kuniongoza ameen ubarikiwe sana pastor

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 ปีที่แล้ว

    Asante roho mtakatifu naomba uniongoze e kukusikia

  • @upendolosiru5001
    @upendolosiru5001 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri mno nilikuwa na kiu sana ya kuyajua haya hakika Mungu ameona shauku yangu nimejifunza mambo ambayo nilikuwa siyajui kwa namna hii, Mungu akubariki sana

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu. Naomba uguse. Moyo wangu kupitia chànga moto ninazo zitumia baba

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu na mimi naomba kuchangia hii nina lakini yangu tupo nchi moja kikazi nikasema nimepata lafiki ni mtanzania mwenzangu akasema tushee kusaidiana kukopeshana pesa kusogezana kimaisha lakini tulicheza mchezo mala moja tu alipo Kuja kuniambia tuchunguze tena ilikuja roho nzito sana sauti ililudi ililudi tena na tena kuhusu tabia ni mkali pia hana nidham nikasema ngoja nimuingize kwenye kumjua Mungu yani huko ndio kabisa hakutaka kabisa badae akaja akasema nahitaji kuingia kwenye kanisa lenu kujitolea matoleo ya fungu la kumi nikasema sasa hapa ndio tunaweza kushilikiana kwenye ninacho hitaji tena ikiwezekana tushee biashara kabisa mladi tuanzishe Kuna vitu nilimuhadisia bwana huko nyuma sikutaka kuwa na wewe kwenye jumuiya ya pesa mpaka umemjua Mungu kwa sasa tunaweza fanya kwa sababu umesha kubali kumjua Mungu yani maneno aliyo niambia yaliishi moyoni mda wa wiki 2 na hata salam hatumi Ile sauti ikajilejea tena si nilikwambia hafai ona tabia zake kwa maana nyingine nitakuwa naumia kila siku kwasababu ya majibu yeka yasiyo na hekima niliumia mpaka leo tunaishia salam na nimekuwa nikimuomba Mungu anifanye nilitende kusudi lake na lisilo kusudi basi tusambalatishwe na tukasambalatishwa kweli mpaka leo yani ni ombi langu kwa Mungu kila siku

  • @user-ny4ds1lz7t
    @user-ny4ds1lz7t 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa MUNGU ubarikiwe

  • @jenithandyetabula3805
    @jenithandyetabula3805 11 หลายเดือนก่อน +2

    Eeee MUNGU naomba unisaidie kuisikia hii sauti ndani yangu na kuitambua zaidi na kuitii😢😢😢

  • @DeboraMleya-zv3en
    @DeboraMleya-zv3en ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @ernestaasanga8346
    @ernestaasanga8346 ปีที่แล้ว

    Amen nikweli kabisa mtumishi MUNGU huwa anazungumza na sisi lkn inaonekana tunapuuza MUNGU anisaidie Sana kwa hili🙏

  • @BabyConstble
    @BabyConstble 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi, MUNGU wa Mbinguni akutunze zaidi ili uweze kutusaidia

  • @Sarahbenie
    @Sarahbenie 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kusisimusha tena kwa sababu kuna ndoto niliipata mwezi iliyopita ,kuna mtu tulitaka kutumika fasi moja
    Mungu alikuwa Tayari alisha nizumuzia kama kuna mitego ya ugojwa fulani sasa kupitiya maisha mazito nilikuwa na jiswali niende ama nisiende , kwa sasa nasikiya maelekezo ya roho mtakatifu . Nasimama kwenye maonyo hayo . Asante

  • @fjfdkkydffjfdkkydffjj1656
    @fjfdkkydffjfdkkydffjj1656 ปีที่แล้ว +2

    Ameni mtumishi nko pamoja naww..naomba kuelewa sauti ya MUNGU ndani yangu

  • @naomiokuli-md8mk
    @naomiokuli-md8mk ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sawa

  • @user-ft3fg6qy6k
    @user-ft3fg6qy6k ปีที่แล้ว +1

    Ameen Asante Roho mtakatifu Kwa kunisaidia

  • @winifridabilali8120
    @winifridabilali8120 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman ,ahsante baba ,

  • @user-ux3bc6ch2h
    @user-ux3bc6ch2h 2 หลายเดือนก่อน

    Amen❤️ yesu wangu🙏

  • @simonkosmass4586
    @simonkosmass4586 ปีที่แล้ว +1

    asate Sana Kwa mafundisho

  • @sukachemtraders2602
    @sukachemtraders2602 11 หลายเดือนก่อน

    Amen blessings mtumishi wa Mungu

  • @LOVELEEWilberforcechacha-jb9ty
    @LOVELEEWilberforcechacha-jb9ty 2 หลายเดือนก่อน

    YESU NITIE NGUVU🧎🧎🧎

  • @user-qf1zj2qy8c
    @user-qf1zj2qy8c ปีที่แล้ว

    Amina mungu akutumie zaidinazaidi❤❤❤

  • @ahombilesanga2391
    @ahombilesanga2391 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mtumishi wengi tumepata hasara kubwa Kwa kutomsikiliza Roho Mtakatifu

  • @mordekaikiwango3600
    @mordekaikiwango3600 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeni Ameeeeeeni Ameeeeeeni
    🙏🙏🙏😭😭

  • @annabirya7360
    @annabirya7360 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen mtumishi,, nabarikiwa nakufahamu mengi Sana🙏, Anna kutoka kenya

  • @BethuelKipngetich
    @BethuelKipngetich หลายเดือนก่อน

    Amina amina mungu aniongose

  • @FlorenceNdakola
    @FlorenceNdakola ปีที่แล้ว

    ASante sana mtumishi,Mungu Ani wezeshe naku ni funza kila leo kupitiya roo mtakatifu

  • @everlinenafula
    @everlinenafula ปีที่แล้ว +3

    Asante sana mtumishi,Roho wa Bwana anisaidie kufahamu ujumbe wa MUNGU, barikiwa sana pastor

  • @user-hw1yg5lw3h
    @user-hw1yg5lw3h 11 หลายเดือนก่อน

    Amen nimepokea mtumishi

  • @AmmyKurunge
    @AmmyKurunge ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @fridayuda9577
    @fridayuda9577 ปีที่แล้ว +2

    Ameeni sana Mungu nijalie nguvu ya roho mtakatifu nipate kutii mapenzi yako

  • @aloycetimoth6679
    @aloycetimoth6679 ปีที่แล้ว +2

    Ameen balikiwa mtumish, Mungu aliye hai akupe kibali cha kusikia sauti ya roho mtakatifu

  • @maernov4257
    @maernov4257 ปีที่แล้ว +2

    Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU

  • @GraceChalamila-fq8vc
    @GraceChalamila-fq8vc 11 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏amina mutumishi usichoke kutuombea kwakweli

  • @EdigaMatela-fh2ee
    @EdigaMatela-fh2ee ปีที่แล้ว +3

    AMEEEEEN AMEEEEEN AMEEEEEN nabarikiwa Sana MTUMISHI WA MUNGU.

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 ปีที่แล้ว +2

    Amen asante yesu Kwa Haya mafundisho mazuri.naomba roho mtakatifu achilie roho wautambuzi ndani yangu,niweze kuzitambua Na kufahamu Sauti ilio YA kwake.

  • @SiahMsenga
    @SiahMsenga 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwaneno nzuri sana

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 6 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @mosesmaganga1548
    @mosesmaganga1548 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atupatie nuru ya kusikia sauti yake🙏

  • @BrendaMutharimi
    @BrendaMutharimi ปีที่แล้ว +1

    Akh mtumishi Wa mungu Mimi ni mmoja kwa sabbu nilikua natumika sana nauburi mashule. Nilikua kiongozi wa Sunday school lkn nilipo pata job nikapanga kuenda job Nairobi Lkn nilipo lala nilisikia sauti ya kijana mmoja wa church yetu akaniambia umeambiwa usiache hao watoto nilipo muambie aniache niliumwa n mbwa kwa doto n hasubui nilirauka nikiwa nimeumwa kweli 🤔 na tangu niende hio job nimerundi nyuma sana kiunduma sasa mtumishi Wa mungu nirundi uko ama nifanye ajh😢

  • @ElizabethLizzysingano
    @ElizabethLizzysingano ปีที่แล้ว +2

    Hii sauti huwa inazungumza kwa upole sana na mara moja kikubwa tunapaswa kuwa na utulivu ndani mwetu❤

  • @GgggGg-md2sl
    @GgggGg-md2sl ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @user-rn4ky1oe9s
    @user-rn4ky1oe9s ปีที่แล้ว +1

    Pastor naomba kuunganishwa na madhabahu ya siri za BIBLIA ni mimi ANNA

  • @peninahchizi3629
    @peninahchizi3629 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏 mungu atupe ufahamu wa kutii sauti ya mungu

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 ปีที่แล้ว +1

    Ameen naomba Roho mutakatifu aniongoze kwa kila jambo eee Mungu wangu🙏🙏🙏🙏😭😭

  • @otianasanga9106
    @otianasanga9106 ปีที่แล้ว +1

    Roho mtakatifu karimu moyoni mwangu uwe kiongozi wa maisha yangu

  • @user-gi9hc4fh2n
    @user-gi9hc4fh2n 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🎉

  • @rizikijonathan-9872
    @rizikijonathan-9872 ปีที่แล้ว

    Ukipata, mbuzii,zina,kimbiaa,na,nimingi,tu,sanaa,Huwa,Ina, maana, gani, mchungaji

  • @user-lx3bw1uk3e
    @user-lx3bw1uk3e ปีที่แล้ว +3

    Roho mtakatifu karibu ndani yangu,🙏🙏

  • @nancyemmanuel1913
    @nancyemmanuel1913 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mungu azidi kukulinda Mtumishi Kwa mafundisho 🙏🙏🙏

  • @gloriamassawe6407
    @gloriamassawe6407 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi naomba Mungu anipe masikio ya ndani ni itii sauti ya roho mtakatifu

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen, Yesu nihurumie mwanao iliniitii sauti ya Roho mtakatifu

  • @user-lh7od6sk9w
    @user-lh7od6sk9w ปีที่แล้ว +3

    Amen mwenyezi mungu aniwezeshe kuisikia sauti ya roho mtakatifu

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 20 วันที่ผ่านมา

    Sophia ❤

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu kikubwa sana ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @linetsimiyu-zs3hg
    @linetsimiyu-zs3hg ปีที่แล้ว +1

    Naomba roho wa Mungu aniongoze kwa kila ninacho fanya,,,as ante mtumishi kwa hilo somo,,,barikiwa

  • @user-mo8zo5ge2i
    @user-mo8zo5ge2i ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi wangu asante sana umeniponya 😢😢 Mungu akubariki

  • @wisemelodytz589
    @wisemelodytz589 ปีที่แล้ว +1

    Hii kitu imetutesa wengi sana sababu tumetumiwa jumbe nyingi hasa ndotoni lakini tukiamka tunajisemea aah may be ni ndoto tuu tunapuuza Mungu tupe neema ya kuskiza na kutii sauti ako Amen🙏

  • @christinestemi1684
    @christinestemi1684 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba nipe ufahamu waneno kiroho mtakatifu nielewe zaidi

  • @speshoman833
    @speshoman833 ปีที่แล้ว

    AMEEN AMEEN mtumishi wamngu tusaidie baba mngu akulinde baba 🙏🙏

  • @prettyalecky6914
    @prettyalecky6914 ปีที่แล้ว +1

    Asante roho mtakatifu,, nakuomba ukae ndani yangu

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 ปีที่แล้ว +1

    Amina, Mungu aendelee kuisimamia madhabahu hii

  • @user-eb1hq8ty3f
    @user-eb1hq8ty3f ปีที่แล้ว +1

    Jaman wapendwa nisaidien mim napenda kuwa Karibu na Mung lakin nashindwa naomben musada

    • @bonifacewanyonyi3555
      @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akupe neema inatosha

    • @bonifacewanyonyi3555
      @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว

      Yani acha nikwampie hauko wewe pekeako tunagagana kila siku tutoke hii thampi huyu MTU was mtu was mungu anatusaitia sana shetani hakuachi virahisi ukianguka amka itana kwa yesu atakusatia pathulumayo hakuitana Mara moja alitana Mara nyingi ndio yesu akamsikia itana tu

    • @RahmaNuru-tt1kw
      @RahmaNuru-tt1kw ปีที่แล้ว

      @@bonifacewanyonyi3555 Amen

  • @bdbdjbdjddjbdbdnkdjdbd104
    @bdbdjbdjddjbdbdnkdjdbd104 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua roho takatifu anaponionya abba

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 ปีที่แล้ว +1

    Roho mtakatifu Asante kwa mafundisho haya kwa kwly siku zote ulikua unazungumza

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 ปีที่แล้ว +2

    Amen and Amen

  • @user-op2fd8bd1b
    @user-op2fd8bd1b ปีที่แล้ว

    Amen Roho mutakatifu uniongoze maishani Mwangu 🙏

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo zuri, KRISTO YESU atukuzwe

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mutumishi wa Mungu asante sana kwa mafunzo mazuri ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏

  • @florencekwekwe1993
    @florencekwekwe1993 ปีที่แล้ว +4

    AMEN 🙏 Mungu atupe ufahamu wa kusikia sauti ya roho mtakatifu na kuitii

    • @jailosjboy954
      @jailosjboy954 ปีที่แล้ว

      Ameeen 🙏🙏🤲🤲🧎

  • @staciemwangi6933
    @staciemwangi6933 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mchungaji nimejifunza kitu katika somo la leo

  • @sophias3334
    @sophias3334 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu nataka nisikie saut ya roho mtakatifu ili niyatende mapenz yako mungu wangu

  • @ndayizeyefredina-ni8uf
    @ndayizeyefredina-ni8uf ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi waMungu

  • @CresenciaEmmanuel-vd6qi
    @CresenciaEmmanuel-vd6qi ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen nmebarikiwa sana na ili somo

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen 🙏 ahsante yesu kristo kwakunikutanisha na madhabahu hii 🙏🙏 nabarikiwa sana Mtumishi wa mungu barikiwa

  • @EmmyKapessa
    @EmmyKapessa ปีที่แล้ว

    Ameni😊

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi tumekuelewa

  • @magdalenacharles8833
    @magdalenacharles8833 ปีที่แล้ว +1

    AmenBarikiwa mtumishi wa Mungu

  • @GgggGg-md2sl
    @GgggGg-md2sl ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen Mungu atutagulae ameeen

  • @leahluhwavi7850
    @leahluhwavi7850 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mtumishi Kwa Sono nzuri🙏🙏

  • @juliuswambua5168
    @juliuswambua5168 ปีที่แล้ว +1

    Amen, Amen and Amen asante Sana mtumishi keep up.

  • @jofreyjohn6360
    @jofreyjohn6360 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi Mtumishi wa Mungu nakuelewa sana🙏

  • @ElizabethLizzysingano
    @ElizabethLizzysingano ปีที่แล้ว +1

    Ilitokea mtu kunitukana mpka wazazi bila sababu ya msingi nilijaribu kumsamehe nikaangalia mema ya nyuma lakini nisikaa sauti ndani yangu nimsamehe lakini sipaswi kuwa nae karibu tena... asanteee sna narudia kufanya maamuzi ❤

  • @user-rn4ky1oe9s
    @user-rn4ky1oe9s ปีที่แล้ว +1

    MUNGU atusaidie tusikie sauti ya roho mtakatifu atufungue tuelewe

  • @user-mo8zo5ge2i
    @user-mo8zo5ge2i ปีที่แล้ว +1

    Naomba Mungu nikirudi Tanzanian nitafika mazabahu ya siri za Bibilia ❤blessings 🙌 🙏 dear

  • @RahmaNuru-tt1kw
    @RahmaNuru-tt1kw ปีที่แล้ว +1

    Daaaa huyo mwalimu ni Francis langula asante nataman pia kupata vitabu vyake sana mpka niliweza kujua kusudi langu kupitia mafundisho yake 🙏

  • @kiraemanueli1997
    @kiraemanueli1997 ปีที่แล้ว +1

    YESU unanipenda sana

  • @cathypeter
    @cathypeter ปีที่แล้ว +1

    Shalom mtumishi

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว +1

    Amen MTU was mungu

  • @kvoca8248
    @kvoca8248 ปีที่แล้ว

    Mung niongoze nijue nani ataendana nam ktk shughul zangu