USHUHUDA WA BINTI NA MAFUTA // USIAMINI KILA IMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 87

  • @JenifaPeter-nc8bs
    @JenifaPeter-nc8bs 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢eh MUNGU nisaidie, nitoe katk kila madhabahu iliyoniteka, kwa kujua au kutokujua🙏

  • @roseogundo9323
    @roseogundo9323 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba njaa ya maombi Mungu wangu

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 4 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri

  • @ElizabethJames-cr6cy
    @ElizabethJames-cr6cy 9 วันที่ผ่านมา

    Namshukru mungu amenipa maarifa ya kuyafkia haya madhabahu nilikuwa kwenye maombi sjui tu hili group nimelipataje nahc ni makusud ya mungu nabarikiwa na mafundisho sana

  • @VivianAnyangi
    @VivianAnyangi 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen amen amen ame❤

  • @edakalinga1104
    @edakalinga1104 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu tusaidie tujue kusoma Biblia ,Neno la Mungu linasema wanangu mnapotea kwa kukosa maarifa,hatuombi tunataka sana miujiza.Mungu tusaidie

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akukuweka kwegne madhabahu hii kwa baati mbaya mtumishi alijuwa alicho kitia ndani yako

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hayo mambo yapo tena sana, angekupaka tu unakuwa unalalwa uck bila ruhusa yako kila ck.Kuna dada alipakwa sasa mtumishi anamwingilia uck bila ruhusa yake na amehangaika sana mpaka kwa waganga atoke ajal ,mabalaa ,akategewa akitoroka kanisan anamkuta njian au kweny hiance anamwambia huwez nikimbia,aliombewa sana akatoka huko sasa yuko huru lkn kanisan haendi wala haamin tena kwenda kanisani. Hebu jamani muache kutangatanga tusome neno la Mungu ndo njia sahihi. Wew dada mshukur Mungu hujapaka mim aliyepakwa alinishuhudia live mume wako unamchukia unaolewa na uyo ibiliis .Nakemea kwa jina la Yesu roho chafu za ibilis amen

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  4 หลายเดือนก่อน +3

      Tujitahidi sana kulijua neno. Shetani anakuja na sura nyingi sana kipindi hiki.

  • @StephanoBatakunda
    @StephanoBatakunda 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @roseogundo9323
    @roseogundo9323 4 หลายเดือนก่อน

    Amon and Amen

  • @KALUNDAELIE
    @KALUNDAELIE 3 หลายเดือนก่อน

    Iyo NIKWELI KABISA ✍️

  • @SantaKatana-te9db
    @SantaKatana-te9db 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen ameeeen acha

  • @PaskaziaVidastus
    @PaskaziaVidastus 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni Mungu tu alimtetea tu tuzid kimsihi roho mtakatifu atusaidie kupapambanua hizo roho

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen acha nisikilize❤❤❤ dah Asante sana Mungu kwa kumuokowa hapa walla sio kwamba eti ni machale hapana ni roho mtakatifu aliemuokowa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @FlorenceIrakoze
    @FlorenceIrakoze 4 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu nakuomba uzindi ku nipa kiu na njaa ya kukuomba kila saa na siku zote za maisha yangu amen

  • @sophiaAmhimedi
    @sophiaAmhimedi 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nipe baraka zako, nipe uwezo wa kuzidi kusimama na imani hii,nipe ulinzi mimi na kizazi changu.amen

  • @RehemaNkota
    @RehemaNkota 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie imani yangu iongezeke

  • @JackFrank-bo9oj
    @JackFrank-bo9oj 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba unipe nguvu ya kusoma neno lako ilinijue kusudi la Mungu

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 4 หลายเดือนก่อน +3

    NAOMBA MUNGU USINIONDOWE KWA MADHABAU YA SIRI YABABILIA MUNGU USINIYOE NISIKIZE MAFUNDISHO YAMUNGU AMEN

  • @mareh18
    @mareh18 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie izi ni siku za mwisho!

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 4 หลายเดือนก่อน

    Nielekeze njia salama ya kuishi ,ni wewe kiongozi wangu mkuu sitaki adui mwingine kuingilia niepushe BABA nisihadaiwe

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 4 หลายเดือนก่อน

    Ni shida na MUNGU ATUSAIDIE SANA SS NA WATOTO

  • @Samuel_Yilakoze_Officia
    @Samuel_Yilakoze_Officia 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kumbukeni ya kwamba imeandikwa kwamba watakuja kwa jina langu lakini siyo, EE MUNGU TUSAIDIE WATOTO WAKO😭😭

  • @VeronicaMtesigwa
    @VeronicaMtesigwa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli Mungu Jina lako lizidi kubarikiwa sana, Asante sana mtumishi kwa kutupa chakula cha uzima, Mungu azidi kukubariki sana! Kuna mengi tunazidi kujifunza na kufunguliwa, umebeba kusudi la Mungu ndani yako! 🙏

  • @joankalegi
    @joankalegi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Amen,, Mungu pamoja na Roho mtakatifuu watuongose ili tupate usalama wa Roho zetu na ee baba tupe maarifa ya kimungu ya kutuvusha kwenye hatari ya giza🙏🙏🙏

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 4 หลายเดือนก่อน

    Eeee Mungu tusaidie tuweze kujua zaidi loho mtakatifu aenderee kuturinda

  • @plastidiacasmiry2234
    @plastidiacasmiry2234 4 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA

  • @BsyisengeBailo
    @BsyisengeBailo 4 หลายเดือนก่อน

    Namuomba mungu awenamimi popote nitakopoenda

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen

  • @rechaelnjeri3299
    @rechaelnjeri3299 4 หลายเดือนก่อน

    Dunia yaisha tukaeni miguuni pa Mungu

  • @AlpinusswitberthurbertiAvitus
    @AlpinusswitberthurbertiAvitus 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen.

  • @denisedward2983
    @denisedward2983 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @assfmam9373
    @assfmam9373 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nipe guvu niweze kushida adui zangu wote wanae tesa family yangu yesu

  • @assfmam9373
    @assfmam9373 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe guvu na kibali yesu wangu niweze kushida adui zangu wanae nitafuta kwa mabaya yesu wangu tenda yesu

  • @Princesscareen-z1z
    @Princesscareen-z1z 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie maana Dunia imepotea

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu Tia yoho wako ndani yangu 🙏anielekeze katika njia kamilifu🙏

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte Yesu

  • @Marthamodest-l7q
    @Marthamodest-l7q 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu nisaidie

  • @JoanNekesa-ox8it
    @JoanNekesa-ox8it 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 Mungu niondole mandhara

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeen hivi vitu vipo hata Mimi Nina ushuhuda navyo na nimekutana navyo

  • @gwitaba6944
    @gwitaba6944 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu uturehemu

  • @FeliciteNiybitanga
    @FeliciteNiybitanga 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU wangu nisaidie gupigahatuwa

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie niweze kukujua zaidi na niweze kupata biblia yesu naomba unisaidie unipiganie vita yangu

  • @sarahsela8137
    @sarahsela8137 4 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏🙏🙏

  • @nancykerubo5242
    @nancykerubo5242 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen and Ameeeeen 🙏🙏🙏

  • @kayajaexpress8313
    @kayajaexpress8313 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wako azidi kuku jali akuna kinacho mshinda aliye juu

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 4 หลายเดือนก่อน

    mungu atusaidiye sana tupate kuelewa neno lake

  • @MerryMwailoka
    @MerryMwailoka 4 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu tawala maisha yang bila wewe SI kitu mbele zako

  • @Lovenessimon-zz8qg1jz6j
    @Lovenessimon-zz8qg1jz6j 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU wangu nisaidie

  • @NdindaJudy-fg1zc
    @NdindaJudy-fg1zc 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie tukuwe na Imani kubwa ya kujua neno lako

  • @IRENEMENGI
    @IRENEMENGI 4 หลายเดือนก่อน

    Mmh jamani nyie YESU nisaidie mimi mwanao

  • @adiliatharweikiza3885
    @adiliatharweikiza3885 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmh😢😢 Mungu atusaidie

  • @NeemaKomba-vn6sh
    @NeemaKomba-vn6sh 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeen mtumishi

  • @assfmam9373
    @assfmam9373 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidiye yesu wangu nakutamani sana bwana yesu kwa family yangu yesu

  • @stamilabel6176
    @stamilabel6176 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna watu wanahangaika sana kwenye kila kanisa na ukimwambia vitu hivi havipo sawa ni wabishi maana wameshatekwa kuwatoa ni ngumu

  • @reginaezekiel3251
    @reginaezekiel3251 4 หลายเดือนก่อน

    Duuh..! Mungu tusaidie

  • @irinenjombo3368
    @irinenjombo3368 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen, 👂👂

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @EvansMahatekisanya
    @EvansMahatekisanya 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen asante mchungaji

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 4 หลายเดือนก่อน

    😢Mungu tusaidie tukuabudu wewvkw roho n kweli inahuzunisha

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 4 หลายเดือนก่อน

    Emeen

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 4 หลายเดือนก่อน +1

    MM NAOMBA MUNGU ANIONGO ZE ANIJAZE NAROHO MTAKATIFU MM NAOMBA MTAKATIFU ANGIENDANIYANGU

  • @SantaKatana-te9db
    @SantaKatana-te9db 4 หลายเดือนก่อน

    🥲🥲🙏🙏🙏🧎🧎

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙏🙏

  • @Lovenessimon-zz8qg1jz6j
    @Lovenessimon-zz8qg1jz6j 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen 🙏

  • @MwajumaMwajuma-c8e
    @MwajumaMwajuma-c8e 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nisimame tena

    • @RehemaRahima
      @RehemaRahima 4 หลายเดือนก่อน

      Mngu ninipeufaham wanisipo pajua nipemachoya kiroho

    • @JULIANASHILIMA
      @JULIANASHILIMA 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu uyu jmn atusamehe tu

  • @assfmam9373
    @assfmam9373 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @RehemaRahima
    @RehemaRahima 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @estermusa-l4n
    @estermusa-l4n 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JaneSegesela
    @JaneSegesela 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @DaHasha
    @DaHasha 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @zitashio7920
    @zitashio7920 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @kaisammy5848
    @kaisammy5848 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AnnnaMwakatumbula
    @AnnnaMwakatumbula 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @assfmam9373
    @assfmam9373 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @yustermdegella-ex9ho
    @yustermdegella-ex9ho 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @SandraFatuma-r4y
    @SandraFatuma-r4y 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 4 หลายเดือนก่อน

    Amen