🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • 🔴#LIVE​​​​​​​​​​: WAZAZI HAWATAKI ANIOE, KISA DINI ZETU NI TOFAUTI, NIFANYEJE? | HARD TALK..
    Dada Lillian, naomba unisaidie kutatua hiki kitendawili maana NIMECHANGANYIKIWA....
    "Nimependana na mtu dini tafauti na mimi.Tunataka kufunga ndoa lakini wazazi wanatukatalia sababu ya imani zetu..HII NI SAWA?"
    This is HARD TALK with Lillian Mwasha@lillianmwasha_
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 55

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 2 ปีที่แล้ว +2

    Lilian weka utulivu vizur unahoji watu wa viwango vya juu sana kwahiyo unahitaji utulivu katika kuelewa

  • @abelalpha441
    @abelalpha441 2 ปีที่แล้ว +16

    Ili mtu kuelewa hapa inahitaji kuweka kando ubinafsi na udini

  • @ericalexandre2166
    @ericalexandre2166 ปีที่แล้ว +2

    Hili Swali kwa Kifupi ni rahisi, mfano mimi siwezi kumlazimisha mtu abadilishe dini yake kwa ajili yangu ivyo ivyo pia sitaki kulazimishwa na mtu kubadilisha Imani yangu

  • @magangamathew9226
    @magangamathew9226 2 ปีที่แล้ว +2

    Daah shule ya nguvu hii mbalkiwe sana Dr na Lilian ni tunu za maalfa Mungu aendelee kuwatunza coz mnafungua fikra mgando

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera Doc 🙏🙏🙏🙏🙏nashukuran Mwansha kwa kipidi hichi 🙏

  • @rittaaziz4470
    @rittaaziz4470 ปีที่แล้ว

    YAANI LILIAN...THIS DR IS SUPER TEACHER. NIMEPATA KUELEWA IN THE DEEPEST. I LOOOVE THIS HARDTOK. I REAAAALLY HOPE WATU WAFUNGUKE KWA KISHINDOOO!! THRU THE HOLYSPIRIT WA MUNGU FROM DR.
    GOD BLESS U DR. KEEP PREACHING. MUNGU AKUPE MORE OF HIS WONDERFUL KNOWLEDE. AMEN.
    MUCH LV N BLESSINGS TO YOU.
    RITTA

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 2 ปีที่แล้ว +6

    This man his amazing thank you doc

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 2 ปีที่แล้ว +4

    Huu mtego umetutesa sana tunashindwa kuoa tunaoendana kutokana na dini

  • @namrylukenga343
    @namrylukenga343 2 ปีที่แล้ว +5

    Swali langu ni kuhus watoto sasa wakishazaliwa....inakuwaje kwa mzazi hususan mama ambaye ni mlezi anafanyaje..??

  • @momoyusufu3424
    @momoyusufu3424 2 ปีที่แล้ว +5

    N a Mnukuu Dr.""Kwamba utajua ukienda kumroga""🤣🤣🤣🤣🤣🤣.But Dr.yupo intelligent.

  • @immajuzo2440
    @immajuzo2440 2 ปีที่แล้ว +3

    Libarikiwe tumbo lililokuzaa

  • @bensonsalum6297
    @bensonsalum6297 10 หลายเดือนก่อน

    Madam Lilian yaan huwa napenda unapotengeneza mjadala wa maswali unavyoo uliza hakika unatusaidia sisi tulio wabishii kubadilika❤

  • @yuathmtenzi2114
    @yuathmtenzi2114 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani saana Dr. You're so blessed. Izo layer's ni zipi Dr plz?

  • @paulndosa2649
    @paulndosa2649 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Dr na Lily Kwa somo zuri. Hizo layers 7 Kwa wale watu wa Imani maana yake ni zile anga saba za kiimani.

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 ปีที่แล้ว +4

    Dini ni kitu muhimu sana kwasababu unaweza kuow au kuolewa na mtu na akakupoteza kwaajili unampenda

  • @silverman6930
    @silverman6930 2 ปีที่แล้ว +4

    Intellectual material 🇬🇧

  • @muhammadkiyanga3499
    @muhammadkiyanga3499 2 ปีที่แล้ว +3

    this is hard talk

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 2 ปีที่แล้ว +1

    Lilian ameshindwa kuelewa tofauti ya dini ya kiafrica na uchawi

  • @user-mg9yn3yt2c
    @user-mg9yn3yt2c 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana dada,napenda sana vipindi vyako vinatugusa

  • @janesemngindo4878
    @janesemngindo4878 2 ปีที่แล้ว

    Dr vipindi vyako vinanijenga SANA. Ahsante SANA Lilian

  • @subirabororo8433
    @subirabororo8433 ปีที่แล้ว

    I love u lilly nimebarikiwa SANA yn elimu hii nzitooooo mnoooo u made my day 🌼❤️

  • @mussakasela1937
    @mussakasela1937 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr 👏👏👏

  • @pearl3696
    @pearl3696 2 ปีที่แล้ว +1

    Omg! Lilian come down!

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 ปีที่แล้ว +2

    Interview ina akili Nyingiiii sanaa hiii.🙌

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 ปีที่แล้ว

    Wow somo zur sana

  • @mwashirichard5889
    @mwashirichard5889 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm nachangamoto Hiyo mm msabato mwanaume mlomani hpo inakuwaje

  • @hedaruone1779
    @hedaruone1779 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba yako ya simu nataka kuja kanisani kwako

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 2 ปีที่แล้ว +1

    👌

  • @jambianieyetu889
    @jambianieyetu889 2 ปีที่แล้ว +1

    Ww up dini na mwezio

  • @gracesam7061
    @gracesam7061 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi nina swali na je mkioana mkipata mtoto au watoto wtakua upande gani

  • @sundaymushi9640
    @sundaymushi9640 3 หลายเดือนก่อน

    😀😀😀😀Hii lecture ya bure kabisa 😅😅😅

  • @user-zx9te2hu5e
    @user-zx9te2hu5e 9 หลายเดือนก่อน

    Dk nakuombea Kila siku

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 2 ปีที่แล้ว

    Asee nimeelewa hili somo mno

  • @barakaephraimu7503
    @barakaephraimu7503 2 ปีที่แล้ว

    Kumwelewa huyu Dr unaitaj akili iliyotulia

  • @salehemayunga971
    @salehemayunga971 2 ปีที่แล้ว +5

    Wewe kama ni Muislam hupaswi kuolewa na huyo mpaka asilim ila kama wewe ni mkristo silim uolewe na haupaswi kuingia dini yoyote nje ya uislamu hilo hapana

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 ปีที่แล้ว +2

      Wameeka mbele duniani na kumsahau Mungu mpaka hawajali kizazi kitakachopatikana kitakuaje???

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 ปีที่แล้ว +2

      Kama Mungu angekuwa na Makamo basi angekuwa mzazi, kama humsikilizi mzazi kwa yale yasiyokinyume na Mungu basi Mungu hana shida na ibada yako. Mtii Mungu, Wazazi na Wenyewe mamlaka juu yako (Serikali) hapo utauona Ufalme wa Mungu.

    • @salehemayunga971
      @salehemayunga971 2 ปีที่แล้ว

      Mtii mwenyezimungu mtii mtume na wenye mamlaka miongoni mwenu sasa hapo unatakiwa ukasome mamlaka inayozungumzwa hapo ni ile inayo mtii Allah na Mtume wake

    • @justineemanuel127
      @justineemanuel127 2 ปีที่แล้ว +3

      Mungu hana dini isipokua kuwa msaada chanya kwa wengine unaweza kua na dini na ukawa mkatili unaweza usiwe na dini ukawa mwema vile vile.. Dini ni jia tu za kumrudia Mungua zilizowekwa na wanadamu.

    • @salehemayunga971
      @salehemayunga971 2 ปีที่แล้ว

      @@justineemanuel127 maneno unayoyasema unarudia yale ya wazee wenu walipopotea kuufuata ukweli nao ndiyo DINI HII YA KIISLAM ndipo wakaanza utetezi kama huo wako na mpaka leo hamjapata ukweli wa hayo mliyojishikiza nayo cha msingi tafakari vizuri utapata jibu sahihi

  • @tibambinga1303
    @tibambinga1303 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna elimu bora duniani kama kitabu cha Quran.msomi yoyote akiongea unajua tuu, tena kwa haraka kwanba huyu anapotosha ukweli.nyie munaojiita ma Dr, professor muislam aliyesoma siyo level yenu hata kama ukamuona anayumba ukweli anaujua.