LUGHA 5 ZA MAPENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 54

  • @magrethzakaria7659
    @magrethzakaria7659 หลายเดือนก่อน +1

    Tunatumiana video,jumbe za mapenzi kabisa n mpenzi wangu..

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน

      @@magrethzakaria7659 ok vizuri

  • @janethesawala6842
    @janethesawala6842 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi mpaka leo bado tunatumiana nyimbo nzuri

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Wwooow😀🥰🥰

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Wooow😀👏

  • @JacklineMziba
    @JacklineMziba หลายเดือนก่อน +2

    Asant sana kak kwa elimu hii

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน

      @@JacklineMziba karibu sn mpendwa

  • @ReginaRichard-y2r
    @ReginaRichard-y2r 29 วันที่ผ่านมา +1

    Dahhh hakika unatuelimisha sana❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  วันที่ผ่านมา

      @@ReginaRichard-y2r heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.

  • @DaimeryMahenge
    @DaimeryMahenge 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiw kaka angu ❤❤❤😢😢

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 หลายเดือนก่อน

      @@DaimeryMahenge amina amina😊🙏

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana kaka yetu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน +1

      @@CarolyneMalala-o6x karibu sn dada😊

  • @LightnessMnyanga-uj4yx
    @LightnessMnyanga-uj4yx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka, yaan leo ndo nimejua lugha yangu ni ipi, na ya mume wangu ni ipi daaah, kweli najifunza Vingi sana,

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 หลายเดือนก่อน

      @@LightnessMnyanga-uj4yx good😀

  • @ZarinaMziray-gl2vl
    @ZarinaMziray-gl2vl 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekupenda bureeee we jamaa😅

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  วันที่ผ่านมา

      @@ZarinaMziray-gl2vl heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.

  • @JosephineJacob-zo8sq
    @JosephineJacob-zo8sq หลายเดือนก่อน +1

    Hizo Tano zote ni zangu kaka😂😂❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน

      @@JosephineJacob-zo8sq na yeye je😀

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ndiye kungwi pro max tunahitaji 👌

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Ahahaha🤣

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Ahahahaahah😂🤣🙌

  • @Nonobellaaaaa
    @Nonobellaaaaa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante saaana mwalimu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333

  • @amissandiho283
    @amissandiho283 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muda wangu niwakati niko pamoja naye tunaongeya nakunijali najisikiya upendo asante sana kwa ushauri wako

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Good sasa ni vyema nae akajua kuwa rugha yako ni muda ili apate kuiongea vizuri 😀

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Karibu

  • @ImDidah
    @ImDidah 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 หลายเดือนก่อน

      @@ImDidah hakika

  • @neemajeremiah9401
    @neemajeremiah9401 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani mimi nina lugha tatu kabisa😀😀😀

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Mwenzako anazijua😀

  • @ashasaidi-m1l
    @ashasaidi-m1l 5 หลายเดือนก่อน +1

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 หลายเดือนก่อน

      @@ashasaidi-m1l 🥰❤️

  • @mbekitv693
    @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน +6

    JE HII VIDEO IMEKUSAIDIA..?

    • @neemajumbe5802
      @neemajumbe5802 8 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤❤

    • @PrincessNechi
      @PrincessNechi 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mwalimu samahani naomba uniunge kwenye group tena maana nimebadilisha namba

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน +1

      @@PrincessNechi 🥰

    • @JohaynaKhamis-sv3yg
      @JohaynaKhamis-sv3yg 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyoo san

  • @MainaRiri
    @MainaRiri 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tunapenda Sana videos zako ila unatusahau Sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Nawasahau kivipi ndugu yangu😀?

    • @JohaynaKhamis-sv3yg
      @JohaynaKhamis-sv3yg 6 หลายเดือนก่อน +1

      So kweliii hujamfatilia ndug yang yupo vizur hajawah kutusahau

  • @Janetkamwangi
    @Janetkamwangi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Animal umutukumbuka

  • @ElvisIrakoze-pj8ym
    @ElvisIrakoze-pj8ym หลายเดือนก่อน +1

    Asante mim lugha yangu napenda mtu wa kunijali( care) lakin mpenzi wangu hanihudumii hata kidogo inaniuma sana mpaka nikahisi namkumbuka sana ex wang kwani ndiye aliyekuwa anajua kunibembeleza sana nifanyeje sasa?

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน +1

      @@ElvisIrakoze-pj8ym pole. Then jifunze mazingira mapya kulingana na wakati usiishi kwa mazoea. Yale unayohisi yanaweza kufanyika mshirikishe mwenzako na yale unayoona hayawezekani lakini hayana madhara basi kubali kubadilika wewe

    • @ElvisIrakoze-pj8ym
      @ElvisIrakoze-pj8ym หลายเดือนก่อน

      @@mbekitv693 nimependa ulivyo mwepesi kujibu swali langu nimeridhika na ushauri wako lakin Pia nimejifunza sana kupitia kwenye videos nyingine nilizoziangalia kupitia TH-cam channel Yako endelea kuokoa dunia ya mapenzi👏👏👏🔥🔥🔥

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naomba tu ushauri na mpenzi lakin kakata mawasiliano yani paka nimcheki Mimi afu pia yeye nikusema tu yuko busy ukimuliza hasemi nahata kakwabiii anafanya nini paka kinamfanya u busy..?

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @nakijwamoses1002
    @nakijwamoses1002 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kaka mimi wakwangu lugha yake nikugusana lakini anapenda pia sex sana lakini bado hatujaoana mm nifanyeje katika hilo kaka

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 หลายเดือนก่อน

      @@nakijwamoses1002 fanya malengo uliyojiwekea

  • @rainaaloyce594
    @rainaaloyce594 หลายเดือนก่อน +1

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน

      @@rainaaloyce594 🥰