Mungu akutie nguvu Jamal. Umemaliza story kwa ujumbe mujarabu. Upendo wa kweli uko ktk kutoa na si kupokea. Jitoe kupenda, upendo wako ndio utafanya upendwe. Mungu akubariki sana Jamal.
Mapenzi ya kweli hayahusiani na kitu, pesa au mali. Mapenzi ya kweli ni uvumilivu wa shida na raha za watu waliokubaliana kuishi pamoja maisha yote. Makubaliano hayo hayajali rangi, kabila, dini au jinsia. Kwa ufupi definition ya mapenzi ni ngumu zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Mfano mzuri wa mapenzi na aina yake unajulikana kisayansi duniani kote, ni kama ule wa bata mzinga “Gees” au ule wa penguins 🐧.
Am 17 but I start dating seen I was 12 and iam still together with the same girl and jamaal u r really inspiring me I appreciate you bro am from south Sudan and luv Ya'll
Mapenzi hayatabiliki yani dah nashindwa kuelewa lakin vyote ulivyosema ni kweli hasa kwenye suala kwamba mwanamke anaumia zaid ya mwanaume aisee Asante professor
Bongo Ndio Nchi Pekee Ukimtongoza Mwanamke Hapohapo Nywele Zinafumuka, Anaanza Kusikia Njaa, Kodi Yake Inaishia, Mama Ake Anaumwa, Luku Inaisha! Daah Kwa Khali Hii Mtabaki Na Utam Wenu Wallah
“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world.”...JAMAL APRIL ON TOP🍹🍾✊🏼🔥
Kutokana na realization yangu Upendo wa kweli hauna Mipaka huhitaji chochote kujieleleza ni Hali ya kukubali Ana na kitu au hali yoyote kwa namna ilivyo bila kujali lkn mpenzi inahusiana na hisia,
Nina mpenzi wangu ambaye mpaka sasa tuna miaka 6 lakini ananipenda sana na mpaka huwa najiuliza maswali mengi sana ni jambo gani haswa linalomfanya anipende mno mwishowe nikaja kugundua kwamba nilikuwa namuchia awe huru kudeka kwangu na pia nimekuja kugundua kuwa anaponiona huwa anajisikia furaha sana, apo ndipo nilipoamini kuwa mapenzi sio pesa tuu wala uchawi
Yesterday nilitaka kujiua kisa mpenz wangu😭😭just imagine the way nilikuwa namuamin akin kumbe nachezewa hisia 😭mm n kijana ninayependaa kupitilizaa weng wanasema n tatzo akin hapana thats is true love ndo ninavoamin akin ni kweli kitu ukikipendaa kweli n hard kukiachaa 😭😭😭thanks jamal go be blessed always we love you brother
Naelewa vile unajihisi ,, maana pia nimepitia hayo ,, nilikuwa na wakati mgumu Sana ,,nilichukua takribani miezi mitatu kumsahau ,nilililia ,usingiz sipati,yaani nashinda chumb ani ata kuoga nikaichukia🤣🤣🤣 mpaka sasa Nina vidonda vya tumbo vikivyosababishwa na mawazo ,, mpaka nilijua kufanya maombi ili Mungu anasahaulishe huyo mtu ,ukweli Mungu alisikia kilio changu ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimeshasahau ,, mwili ukarud vizuri,,
Wangapi tumechelewa kumfahamu Jamal kupitia The story book...but toka tumfahamu tumekuwa adicted na tumekuwa twafatilia story book pia tunangalia hadi post za zamani...!!!!??
Dah kipindii hiki kimenifurahisha na kimenibariki I’m praying that nipate mtu nitakayempenda sio atakenipenda kwa matamanio lakini kwa penzi la kweli Amina sio moyo kuchezea bakora dah leo umejua kunifundisha hormones za kumbato kweli kama anatafuna vibaya lol yani unavyohadithia kwa kituo raha Kaka Jamal siri ya upendo ipo kwa kutoa sio kupokea asante sana
I love yr storey of the meaning of the word calls. LOVE! LOVE IS A WORD OF HAVE HIGH VALUES IF FELLOWS KNOWS THE MEANING OF LOVE! IT IS NOT ONLY TO LOVE A PERSON OR THINGS THE WAY FOXES THINK IT HAS BIG MEANING N VALUES N RESPECT N CARES ALSO. CAN LOVE A PERSON BY HIS MONEY HIS POSITIONS EDUCATION HE IS HANDSOME OR BEAUTIFUL BUT THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE. LOVE IS FROM THE DEEP FAITHFUL HEART TO BE IN REAL TRUE LOVE NO MATTER THE PERSON IS! ITS NOT A JOCKS TODAY U LOVE TOMORROW U HATE THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE JUST A PERSON LOVE A PERSON ONLY FOR HIS/ HER BENEFITS N THATS IT. TRUE LOVE NEVER GOES AWAY NEVER DIE NEVER QUITE WILL REMAIN IN THE 2 DEEP HEARTS FOREVER N EVER
Absolutely I agree with you Prof.. Love is like drugs... Hurts the most when love someone who's not treating you back the same... Therefore love is just like a Coin 💔❤
Sijajua kama kunasiku ntaacha kuangalia the story Book Jamaal April , ur the creator my brother just God be with u and u will be the real and gorgeous professor .
Ukiona mtu analia kuhusu mapenzi usi mcheke jua mwenzio anachapwa viboko kwenye Moyo wake. Wangapi tumekutana na hili hiii .. LIKE & COMMENT L-O-V-E ♥️👈👉💔
Love is blind as they said That's why it gets contradicting while trying to understand everything about it Love is illusional if not imaginary (mapenzi ni kitu cha kufikirika tu) I am love ❤️💕
Hii video Kuna mtu mmoja kadislike et🤦🏽♂️... kweli so kila mtu atakukubali ..you gatta do your stuff while knowing kwenye asilimia 100%... asilimia 1% au 2.5% ndo watakukubali au kukusupport unachofanya....wengine 98% watakuvunja moyo but smile, pray and never give up...keep on proving them wrong... God has millions of reasons kukuweka hai hadi leo❤🌏One Love Family!!
Professor jamal unasimulia vizuri snaa kila anaetoa muda wake kwako kukusikiliza hakika hawezi mbumbumbu lazima ajifunze na kuelewa kila mfano na fumbo
Asante sana professor japo mimi nakupendea sauti yako tu mimi nina allergies na wanaume wenye sauti tamu za kumtoa nyoka pangano hususani hawa watangazaji ❤❤❤😘😘jamni msinofokee
Hello nimpata mtu mtanashat snaaa ana saut iyovutia sana kama ya Morgan mara nakuja Stuka kumbe alikuw kalewa ndo maana saut ikiwa mzto ya kuvutia 😂😂😂😂😂 I feel sorry
funzo apo ni upendo wa kweli ni kupenda sio kupendwa, kupendwa ni malipo ya kupenda. kama mkulima anayapenda maua ila hajui kama yampenda, so siri ni kupenda kwa dhati ww kama ww
Jamani tukimuacha shigongo akuna mtu mwengine wa kuushinda huu moto🔥professor Jamaal mustafa kama na ww unamkubal like ziwe chache
Ananias edgar father
Kutamani ni zaidi ya kupenda
Kweli Mustafa ni daktari wa mapenzi. Mi kweli wanawake tunaumia kwa KIPENDA bila kujari matokeo
Mungu akutie nguvu Jamal. Umemaliza story kwa ujumbe mujarabu. Upendo wa kweli uko ktk kutoa na si kupokea. Jitoe kupenda, upendo wako ndio utafanya upendwe. Mungu akubariki sana Jamal.
The way Jamal April anaongea ni very sensitive. You are real a professor brother. This video ukiielewa vizuri utajua kuna mengi tunakosea
Fact
Prof u a my class of everyday in my life once I grow up i wanna be like you
Mapenzi ya kweli hayahusiani na kitu, pesa au mali. Mapenzi ya kweli ni uvumilivu wa shida na raha za watu waliokubaliana kuishi pamoja maisha yote. Makubaliano hayo hayajali rangi, kabila, dini au jinsia. Kwa ufupi definition ya mapenzi ni ngumu zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Mfano mzuri wa mapenzi na aina yake unajulikana kisayansi duniani kote, ni kama ule wa bata mzinga “Gees” au ule wa penguins 🐧.
Kabisa amour 👌👌👌👌👌
Ni kweli
Yeah that ic true but in world that doses not work 🥺🥺🥺
Kweli kbs jmn.
😂😂subiri ivoivo upate uyo mtu labda nje ya dunia
Jamani ningeweza kulike Kama Mara million hivi basi......Kama umerudia hii story, pls salute professor
Km umepanga kurudia kuskiliza kila siku gonga like twende sawa. Jamaa anajua sn Allah may bless u . And thx for lesson
Kweli
Kweli
Yani mpka nielewe😂
SIRI YA UPENDO WA KWELI IPO KWENYE KUTOA NA SIO KUPOKEA... JAMAL UNABIDI UTAFUTIWE SEHEM NA SERIKALI UKAISHI MWENYEW SABU UNA AKILI SANA
Hyu kweli professor
Kweli kbs yaan jamaa najifunza ving sn kutoka kwake
I've like this,good prof
Hhhhhh
Anasoma vyanzo vingi vya taarifa hakuna mtu anazaliwa na uprofesional
Jamal i believe you have been following your content you're a
Real professor
Am 17 but I start dating seen I was 12 and iam still together with the same girl and jamaal u r really inspiring me I appreciate you bro am from south Sudan and luv Ya'll
Kweliii Jamal wew Ni Professor big up sanaaa gonga like kma unmkbaliiii🔥🔥🔥♥️
Kumbuka kun mtigwa Pia 😅
Mapenzi hayatabiliki yani dah nashindwa kuelewa lakin vyote ulivyosema ni kweli hasa kwenye suala kwamba mwanamke anaumia zaid ya mwanaume aisee Asante professor
Hii
jamaa fundi sana najifunza vitu vingi kupitia yeye
Bongo Ndio Nchi Pekee Ukimtongoza Mwanamke Hapohapo Nywele Zinafumuka, Anaanza Kusikia Njaa, Kodi Yake Inaishia, Mama Ake Anaumwa, Luku Inaisha! Daah Kwa Khali Hii Mtabaki Na Utam Wenu Wallah
Hujui Kenya wewe??
😁😁😁😁😁😁😁😁
Sisi ndo tz Africa
@@andrewkibeliveradio kenya utaskia UTANIBAIYA KITU
Hahahaaaaaa nakufa mm jaman mbavu zang we kakaa
Big thanks the story book watching from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬swahili speaking Ugandan and big fun of wasafi die hard wasafi fun
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. th-cam.com/video/aK8PRn7O44s/w-d-xo.html
Anyone from Kenya listening to this amazing guy,like
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. th-cam.com/video/aK8PRn7O44s/w-d-xo.html
Mimi hapa Dear
“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world.”...JAMAL APRIL ON TOP🍹🍾✊🏼🔥
Kutokana na realization yangu Upendo wa kweli hauna Mipaka huhitaji chochote kujieleleza ni Hali ya kukubali Ana na kitu au hali yoyote kwa namna ilivyo bila kujali lkn mpenzi inahusiana na hisia,
Asante Sana. Pia kwa ufafanuzi wa vitu ninavyoendelea kusikiliza ktk simulizi hizi
Daa Asante sana kwaku nifungulia vitu vingi sana ambavyo sikua nina vijua kuusu mapenzi Asante sana mungu aku bariki 🙏🏿
professor jamal 👏onger unajua sana kuchambua mambo mpk untamn kulizia mara kazaa zaidi ujawai niangusha sk zote
Kam ww nimwana wcb usiache ku like
Kam ww nimwana wcb usiache ku like
Jamal April umetujuza siri nzito kwenye maisha yetu (love) Be blessed Jamal. hahahah hapo siwezi bishana nawe
Nina mpenzi wangu ambaye mpaka sasa tuna miaka 6 lakini ananipenda sana na mpaka huwa najiuliza maswali mengi sana ni jambo gani haswa linalomfanya anipende mno mwishowe nikaja kugundua kwamba nilikuwa namuchia awe huru kudeka kwangu na pia nimekuja kugundua kuwa anaponiona huwa anajisikia furaha sana, apo ndipo nilipoamini kuwa mapenzi sio pesa tuu wala uchawi
mwambie akuoe sasa sio mnafanya zinaa
Pend sn wewe umeongea ukweli pig up
@@abdarahamaniabubakari4036 MWAMBIE HUYO
Poles sana 😑😑😑
@@faridaxx5471 pole ya nn
Yesterday nilitaka kujiua kisa mpenz wangu😭😭just imagine the way nilikuwa namuamin akin kumbe nachezewa hisia 😭mm n kijana ninayependaa kupitilizaa weng wanasema n tatzo akin hapana thats is true love ndo ninavoamin akin ni kweli kitu ukikipendaa kweli n hard kukiachaa 😭😭😭thanks jamal go be blessed always we love you brother
Oops😢
Sorry my dear😳😘
Pole😭😭
Naelewa vile unajihisi ,, maana pia nimepitia hayo ,, nilikuwa na wakati mgumu Sana ,,nilichukua takribani miezi mitatu kumsahau ,nilililia ,usingiz sipati,yaani nashinda chumb ani ata kuoga nikaichukia🤣🤣🤣 mpaka sasa Nina vidonda vya tumbo vikivyosababishwa na mawazo ,, mpaka nilijua kufanya maombi ili Mungu anasahaulishe huyo mtu ,ukweli Mungu alisikia kilio changu ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimeshasahau ,, mwili ukarud vizuri,,
Utakufa siku si zako wacha upumbavu, jifunze kumuacha aende
Poleeeee my
Mashallah upo vizur sana profesa Jamal
Thanks prof. Nilijua nilipo ila nilishindwa kujithibitisha lakini alhamdullah umenisaidia kupata uthibitisho, jazakallah al heyra
napenda( kula) samaki ,mzee hakumuelewa dogo hii ni tofaut na ( napenda samaki)!!!! ndo mana kuna love & like 🤕🤕 ni maon yangu 2
Dogo kakosea kujibu
Angesema kwasababu ni mboga
Angesema anapenda kula samaki
This Jamal Guy is well versed with facts! And the presentation is top-notch. Blessings from 254
Now tunaenjoy tz tunawatu muhim now kina Jamal mustapha,jpm,Joel nanauka,Amos mwjonge etc kama unakubali falsafa za nyumbani gonga lyk
Ujanitaja nashangaa
Don't for get to subscribe Trop tv
Sio watu Muhimu sema wanafalsafa Wazuri.
Ukiwazungumzia watu Muhimu hapa nchini hapo labda utamuacha Uncle Magu tu Wengine woteeee, Fyekelea Mbali..!!
@@edwardsamson7951 unaleta siasa
@@goodlucktemu3149 Hahahaha, hamna Kaka sio Siasa ili mtu
We mtu ni shida tulikua tunakosa vingi nakuombea maisha marefu ili uzidi kutuelimisha Ahsante LE PROFESSOR
Professor leo umetukomesha na kutuumbua wanaume,tukiona tyu first time tumependa
Jamal your literature review and how you relate to the reality is seriously very unique!!! Congratulations!!
Yes
His IQ and EQ is dope
Hio n poaa
I second that
Wangapi tumechelewa kumfahamu Jamal kupitia The story book...but toka tumfahamu tumekuwa adicted na tumekuwa twafatilia story book pia tunangalia hadi post za zamani...!!!!??
th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
True
Kweli kabisa ni Professor huyu
Dah kipindii hiki kimenifurahisha na kimenibariki I’m praying that nipate mtu nitakayempenda sio atakenipenda kwa matamanio lakini kwa penzi la kweli Amina sio moyo kuchezea bakora dah leo umejua kunifundisha hormones za kumbato kweli kama anatafuna vibaya lol yani unavyohadithia kwa kituo raha Kaka Jamal siri ya upendo ipo kwa kutoa sio kupokea asante sana
Tupooooo
Im kevenjackson i levo your story book thenk end really really get this love
The story book gongaaa like twende sawaaa💥💥💥
Lijamaa hata halisomi mahali limemeza tu nakuanza kusimulia big up professor.🙌🙌🙌
kwa nilivyoelewa ulichomaanisha apo mwisho, upendo wa kweli ni "kupenda" na sio kupendwa, kwan kupendwa ni malipo ya kupenda. tanx jamal
Thank you prof jamal mungu akuongezee maarifa ili nasi tuzidi kupata kile ambacho mungu amekujuza ahsante 👍👍👍
U love someone ambye hajali wala haoni kaa unampenda afu ukipata mwingne ndo anaanza kujikuta anakupenda LOVE bhn dah
A farmer get peace of mind and pleasure when he or she sees her/his garden grows beautiful , the same to love .
hatariiiiii.. tia like🤪🤪
Much love from Mombasa... excellent narrative voice Jamal.
Kama unamkubali profesa Jamal like hapa tafadhali 🔥🔥
KISS NI DAWA YA NZURI SANA: VITAMIN A KUAMUSHA HISIA ZA MAPENZI
th-cam.com/video/gFL6t7mvnck/w-d-xo.html
KISS NI DAWA YA NZURI SANA: VITAMIN A KUAMUSHA HISIA ZA MAPENZI
th-cam.com/video/gFL6t7mvnck/w-d-xo.html
GOJENI NIMALIZEKUAGARIA NDO NICOMET
Broo unajuwa sana
0
I love yr storey of the meaning of the word calls. LOVE! LOVE IS A WORD OF HAVE HIGH VALUES IF FELLOWS KNOWS THE MEANING OF LOVE! IT IS NOT ONLY TO LOVE A PERSON OR THINGS THE WAY FOXES THINK IT HAS BIG MEANING N VALUES N RESPECT N CARES ALSO. CAN LOVE A PERSON BY HIS MONEY HIS POSITIONS EDUCATION HE IS HANDSOME OR BEAUTIFUL BUT THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE. LOVE IS FROM THE DEEP FAITHFUL HEART TO BE IN REAL TRUE LOVE NO MATTER THE PERSON IS! ITS NOT A JOCKS TODAY U LOVE TOMORROW U HATE THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE JUST A PERSON LOVE A PERSON ONLY FOR HIS/ HER BENEFITS N THATS IT. TRUE LOVE NEVER GOES AWAY NEVER DIE NEVER QUITE WILL REMAIN IN THE 2 DEEP HEARTS FOREVER N EVER
Nimekua wa kwanza wadau naomba like zenu za kutosha
th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Alafu unazipeka wap?
Mnataka like ili iwajee kwanmnalipwaaaagaa
@@polycarpmicky4151 we
UPENDO Ni ujasiri unaokupa moyo wa kuweza kuwa nae bila kujali nini kipo kwa umpendae
Duh! 🔥🔥🔥🙌
Kweri we ni zaidi ya professor
WCB you bring a big art revolution in tanzanian media,thanks mr prof jamal
Absolutely I agree with you Prof.. Love is like drugs... Hurts the most when love someone who's not treating you back the same... Therefore love is just like a Coin 💔❤
Plus que cool mon professeur, vraiment tu nous a beaucoup aidé continue ainsi mon professeur que Dieu vous bénisse Mr Jamal Moustapha🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 🇹🇿🇹🇿
He is always the best
Yan hii mijitu inayoomba like inakirega hatar yan kaaah mara ooooh leo wa kwanza shuwaniiiii kabisa
My best show in wasafi tv big up jamal April wasafi tumewashaaaa
Kama umeiona na unaikubalALL AMERICAN mzee spencer james like hapa
Thanks to jamal you have answered my question of many years God bless you for ever and give you an entenal life 🙏 ❤ ♥ 💙 💕
Kama ulishawahi kuumizwa gonga like hapa!!!
Acha kabisa
Haipoozi
Nimepigwa kitu kizito😢
hizi like hizi
Sikiliza wimbo safi unaitwa yesu nakupenda. Ingia TH-cam kwa jina Evarest SIWINGWA , ni wimbo mpya na mzuri sana
Tuliorudia kuskiliza hii simulizi zaid ya mara moja tujuane hapa chini
Mimi hii cjui Mara ngapii naangalia
Sijajua kama kunasiku ntaacha kuangalia the story Book Jamaal April , ur the creator my brother just God be with u and u will be the real and gorgeous professor .
Being true is not the thing, the thing is being helpful to the person you love even if your broke
Sure
Ukiona mtu analia kuhusu mapenzi usi mcheke jua mwenzio anachapwa viboko kwenye Moyo wake.
Wangapi tumekutana na hili hiii ..
LIKE & COMMENT
L-O-V-E ♥️👈👉💔
Kwel kabisa
Yanatutesa sana jmn
@@faridakhalifa3636 pole Mamii...kaza moyo.Mwenyezi Mungu Kuna mtu kakuwekea .
alie2 then anyamaze
Kweli kabisa ,upendo ni sumu
Simply amazing! A very powerful message blessed up brother
U are the best Professor...Allah akutangulie always
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. th-cam.com/video/aK8PRn7O44s/w-d-xo.html
I have learned something new TODAY thanks professor
th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Learned=learnt√
@@yusuphkawaga6420 please nifundishe kizungu
Asante you have answered most of my questions about love now am comitted💯
Naitaka hii video ntaipataje
Jaman me nimechelew san kuisikia hii na kila anataji like nimetoa za kutosh na mm anagalau hata like 20 tu jamaa anajua sana
Unataka uzipeleke wapi izo like
Love is blind as they said
That's why it gets contradicting while trying to understand everything about it
Love is illusional if not imaginary (mapenzi ni kitu cha kufikirika tu)
I am love ❤️💕
Wcb mumeleta mapinduzi makubwa hapa tz siombi like ila kama muelewa utalike tu
th-cam.com/video/IBGsETed3bU/w-d-xo.html
umeomb kijanja😁
Thanks again Jamal
Ukopowa
Mpakaapo ushaomba😅😅😅
Your conclusion is very philosophical, yet, very understandable😘. Bless you!
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. th-cam.com/video/aK8PRn7O44s/w-d-xo.html
Ghai.....siamini mapenzi yana uzito kwli.....salute u broh kw kazi yko
Proffeser bwana..... mapenzi yangu kwa the story book yananitesa........hadi natamani ingekua inaruka mara 3 kwa wiki 💗💗💗💗
Umetisha @julia Ayieta
Mitindo Tanzania wewe pia umetisha 😊😊
Dah kwely kabisa
Samson Babalao kabisa
Eva/Hawa ndo alileta shida hapa duniani
Hahaha eti lile jamaa la hamida km umesikia gonga like twende sawa
Hii video Kuna mtu mmoja kadislike et🤦🏽♂️... kweli so kila mtu atakukubali ..you gatta do your stuff while knowing kwenye asilimia 100%... asilimia 1% au 2.5% ndo watakukubali au kukusupport unachofanya....wengine 98% watakuvunja moyo but smile, pray and never give up...keep on proving them wrong... God has millions of reasons kukuweka hai hadi leo❤🌏One Love Family!!
Hypocrites still exist bro👌😢
E
Maybe ali thumb down kibahati mbaya tuseme hivo...au screen ya simu inashida
Pengine hajui hyo alama inamaanisha nn jamani 😂
Asante sana my brother from another mother
Wasafi mmeleta kitu kizuri Sana apa bongo Ila Mimi siombi like lkn ukipenda gusa like chini apo
I agree with you my brother from another country..true love is in the art of giving.
Still listening it in 2021... kama umesha hachika,twende pamoja 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Ni nzuri Saana,i like it,its so beautiful👫👫👍👍🍎🍎💟💟
Big up bro Jamal Mustafa unafanya kazi nzuri xana tunaipenda
Professor jamal unasimulia vizuri snaa kila anaetoa muda wake kwako kukusikiliza hakika hawezi mbumbumbu lazima ajifunze na kuelewa kila mfano na fumbo
Sitapenda maisha yangu yote kwa nilivyoumia inatosha acha nibaki mwenyewe tu 😢😢😢😢😢😢😢
Pole Sana
@@fatumamaliam1754 fatuma
Profess Jamaal. Daaaaaah. Kaka. Shikamooooooo. Umenifunguaaa. Sana. Leo. Asanteeeeee. Kaka Jamaal. Nimekuelewaa. Sanaaaa
I'm in love with this guy 🥰🥰🥰❤❤but tazizo hajuwi kama tuko kwenye mahusiono😥😥😥😥 like kwa nihaba ya Jamal🥰🥰❤
Pole
@@viktamade nisha poa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante sana professor japo mimi nakupendea sauti yako tu mimi nina allergies na wanaume wenye sauti tamu za kumtoa nyoka pangano hususani hawa watangazaji ❤❤❤😘😘jamni msinofokee
😂😂😂😂😂 don’t worry 😉 ni maoni yako !!!!!!!
@@momadbad9102 🤣🤣🤣🤣sasa mbona wanicheka nifanyie connection bac walau nimpate hata mtiga kama professor imeshindikana
Yaaap usijali I will work on it kwan kuna vigezo vingine zaid ya saut?🤣🤣🤣
@@momadbad9102 🤣🤣🤣🤣hakuna vigezo vingine mie sauti tu lkn pia mtanashati
Hello nimpata mtu mtanashat snaaa ana saut iyovutia sana kama ya Morgan mara nakuja Stuka kumbe alikuw kalewa ndo maana saut ikiwa mzto ya kuvutia 😂😂😂😂😂 I feel sorry
Nani kaekewa funzo la bustani hapo jamani??? Likes za jamal jamani
funzo apo ni upendo wa kweli ni kupenda sio kupendwa, kupendwa ni malipo ya kupenda. kama mkulima anayapenda maua ila hajui kama yampenda, so siri ni kupenda kwa dhati ww kama ww
Impossible love story kam unakupali. Like hapa
Ata sijui
@@mselemamsomba6561 i
Hi prof.. watching from Kenya, and we love you so much
Tanzania ndo nchi pekee ambayo ukitaka kuanzisha mahusihano lazima uwe na Mtaji
🤣🤣🤣🤣
Gucci J 🤣🤣🤣🤣
@@juliaayieta2578 C mnapenda hela tuu
@@juliaayieta2578 C mnapenda hela tuu
@@najmaalbajun4686 C mnapenda hela tuu
Professor wewe kweli ni hatari sana nmejifunza ki2 kupitia hii story thanks 🙏🙏
Uko vizuri prof.. Mefurahi sana kujua saikolojia hii 😍😍
Nzuri san mwanangu nakubali sana harakati Jamal fanya bc 2wewote umo ndan kweny harakat napenda San hasa zile zakutishaaa
Guys have your notice that this man he some how look like Alikiba🤔🤔🤔
Exactly
True
True
Nononononono nooooooo like mbosoo
I thought I was the only one who noticed
Professor Jamal upo juu. Hongera yako.
MaProfessor wenzangu like apa San kusuport professor mwenzet Jamal
❤❤❤i think its cool i love every bit of this
Kwani mbegu Bora duniani niupendo mbegu hiyo kuipata nishida sana
mapenzi sio kuvutia kimtu kwa tamaa ya kimwili....hayo ya kweli kasema jamal
Tunao pata raha baada ya kusoma comment tujuane kwa like
Acha kukagua comments ze2
Ngongingo ww👌😏
@@atladiehardfan4210 acha atazame tu hahah
Nakwambia
@@gloriaako6377 😂😂🔥😳
Umefurah mwnyw
Professional,,naomba utueleze pineal gland na umuhimu wake.
Hujaa furaha moyn kila mitambon unapokuwepo profesa.. We unaupekee usiochosha kusikilza
Nashukuru prof ushamalizamazungumuzoMunguakuongezee ujuzi...
Kutokana na hii makala nimegundua kweli nina mapenzi ya dhati asilimia 98.0%. thanks Lord kwa moyo ulio nipatia wa upendo wa dhati🤣🤣🤣🤗
Punguza hizo ni zaidi ya drugs addictions
Wachaaa weweee
Sikuizi niliacha kupenda maana niliona itakuja nicost sikumoja....afadhali upende kutafuta hela kuliko mtu
Professional Jamal I really like what you do na naomba uje na story ya hudini tafadhali thank you #@amanisadick12
You talk what it's true in our daily life
Nimealewa ssa mbona mtu akitenduws roho inaumakwe nimealewa❤❤❤