FUNGUKA: Je, Dkt. Bashiru Ally amefunguka yapi baada ya kuteuliwa kumrithi Kinana CCM?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
  • Kufuatia uteuzi wa aliyekuwa mhadhiri kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dkt Bashiru Ally kuchukua mikoba ya Katibu Mkuu wa CCM kufuatia kujiuzulu kwa Abdulrahman Kinana, Tido Mhando amemtafuta Dkt Bashiru ili aweze kufunguka yale ambayo wananchi wasiyoyafahamu kuhusu yeye na siasa, yeye na CCM, yeye na Serikali na mengine mengi.
    Ungana na Tido Mhando ndani ya FUNGUKA kupata majibu ya maswali yako.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 50

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 3 ปีที่แล้ว +3

    Dk, Bashiru, wengi tunakukubali sana na tunakupenda sana. Asante kwa yale ulo fanya ktk Tanzania 🙏. Mungu azidi kukulinda.

    • @jordanclassic7849
      @jordanclassic7849 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata mimi nilivo sikia kashushwa iliniuma sana lakini mungu yupo

  • @kachingwe
    @kachingwe 3 ปีที่แล้ว +3

    Bashiru upo vizuri mnoooo!Heshima kwako kijanaaaa.

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 3 ปีที่แล้ว +1

    Tiddo Mhando hongera sana umeiva na kukomaa katika fani yako.

  • @tuntumemedia2046
    @tuntumemedia2046 5 ปีที่แล้ว +3

    Dr.Bashiru nakukubali sana kwa dhamira na uwezo wako Mkubwa katika medani za kisiasa hapa nchini Tanzania

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu pasaka hii tunakula na majonzi tinga tinga ametutoka mungu amrehemu

  • @eutychusthiongo1335
    @eutychusthiongo1335 3 ปีที่แล้ว +2

    I admire Dr Ally Bashiru Kakurwa.Anatosha amepiga mwingi.

  • @elpidiusemmanuel3871
    @elpidiusemmanuel3871 3 ปีที่แล้ว +4

    Nina huakika badae utakuja kuwa mkubwa sana katika mchi hii mtangulize mungu katika kazi zako dkt

  • @fitinaelias421
    @fitinaelias421 6 ปีที่แล้ว +1

    namkubali sana Tiddo Muhando

  • @omarjumanne4471
    @omarjumanne4471 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana dk weye ni kama mimi nakunga mkono safisha

  • @shindanopapaya2084
    @shindanopapaya2084 5 ปีที่แล้ว +1

    Daa shikamoo Dr Bashiru

  • @rashidchembax8383
    @rashidchembax8383 6 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana katibu wetu

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 3 ปีที่แล้ว

    Nakuombea dua bashiru uje kuwa rais🙏🙏

  • @zabroncharles3022
    @zabroncharles3022 6 ปีที่แล้ว

    Narrative

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 6 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana Bashir ally

  • @divajojo7830
    @divajojo7830 6 ปีที่แล้ว +1

    Dr Bashiru ni mtu makini sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +1

    Chapa kazi dr Bashir wewe kada wa chema cha mapinduzi

  • @mariuscyprian7561
    @mariuscyprian7561 6 ปีที่แล้ว +2

    Kweli huyu ni Dr. Wa siasa

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว

    Mwanaume anajimbukihakiri good

  • @emmanuelpeter9744
    @emmanuelpeter9744 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh.
    Politicians
    Bshiru, hiyo elimu yako Naona inakusaidia wewe NA family yako bro 😭😭😭😭
    Don't tell me kuwa Mnawekeza kwaajili ya Maarifa Kwa kujenga chuo cha kikomunist badala ya kuboresha shule ambazo Kwa sasa Ni majela ya watoto NA watoto NA wewe unafahamu kuwa Mwalimu hawezi fundisha watoto 60-100 Kwa Darasa NA kutegemea kuzaa wasomi.
    The only thing i know and am sure you know kuwa Watoto wenu ndiyo wataendekea kuwa viongozi wa hili Taifa bro maana mnawapeleka shule Za kuwafanya waelimike NA Baada ya hapo muwapee mbuni Za kututawala 😭😭😭😭😭
    Hongereni sanaaaaaaa Kwa kufanikisha Hilo NA Mungu wa mbinguni awabariki ninyi NA familia zenu.
    Hujawahi kuwa mkweli wa chochote maana ulishapatiwa chakula kitamu bro 😭😭😭😭
    Only truth will set us free and then we will be free indeed.🙏🙏🙏🙏✍✍✍✍✍
    Hongera Mzee wangu Tido muhando maana unaitendea haki sana career yako wakati wote.
    Natamani nipate kipindi NA wewe kihusuchomasuala ya Kijamii maana ndiyo field yangu for years now, ili tupate muda wa kujadili juu ya maisha ya nchi pamoja NA wakazi wake Kwa ujumla 🙏🙏✍

  • @yusuphmruma1232
    @yusuphmruma1232 3 ปีที่แล้ว +2

    tumia dola kubaki kwenye dola kweli mwesho wa dhamb ni aibu

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 3 ปีที่แล้ว

      Vipi leo tar 27,July,2021 ni miezi 3 tu toka ucomment kumtukana Dr Bashiru... Endelea kutukana NURU kwa maana bado upo GIZANI...siku ukiamka utakuta mwanao analambwa nyuma na hao uwasifiao!

    • @sokoinekagali9759
      @sokoinekagali9759 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ulipenda kulitumikia taifa kwa uzalendo hata uso wako unaonesha dhahiri

  • @mjige9088
    @mjige9088 3 ปีที่แล้ว

    Msajili wa majumba itarudi tena

  • @jechasuleiman5532
    @jechasuleiman5532 3 ปีที่แล้ว

    B

  • @hojajmagingila1099
    @hojajmagingila1099 5 ปีที่แล้ว

    " Nyenzo kubwa ya kufanya jambo jema na lakimapinduzi ni MAARIFA". Dr Bashiru.

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 ปีที่แล้ว +1

    We ndio ulitakiwa uchukue kijiti

    • @bibianamallya9640
      @bibianamallya9640 3 ปีที่แล้ว

      Mvumilivu hula mbivu usikate tamaa Bashir kesho yako ni nzuri kuliko kuliko leo kila jambo linolotokea mungu anasababu nalo nakutakia mafanikio mema Mungu akutunze

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 3 ปีที่แล้ว

    Bashiru na mpole pole nyie wazarendo

  • @mjige9088
    @mjige9088 3 ปีที่แล้ว

    Tutarudi kwa u komonisti inavyoelekea mungu wangu

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว

      Ndiyo ilikuwa akili yao hao wapumbavu wakomunisti wenyewe wamefeli wao wangeweza

    • @omaryswalehe2863
      @omaryswalehe2863 3 ปีที่แล้ว

      Leo China Korea kaskazini na nchi nxingi na hata urusi hazina na maghala ya nuclear wanaxofqnya nato kumgaya wakomunisti noma Sana haya jamaa nawakubali katika mifumo yao huwa wanapenda kula na maskini wajamaa noma Sana salute

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 3 ปีที่แล้ว

    Tumia dola kubaki madarakani sasa!

  • @redmondmulilo4852
    @redmondmulilo4852 5 ปีที่แล้ว +1

    Bashuli unatuzbitishia kwamba ukweli nahaki vinapatikana kwenye vyama viwili ambavyo ni chadema na cafu

  • @charlesgasper2243
    @charlesgasper2243 3 ปีที่แล้ว

    Muvumilivu hula mbivu. nyie. Tunawategemea kutuvusha hapa tulipo. Maana wewe nimutaaluma wasiasa yenyewe tisaiidie huko bungeni

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 3 ปีที่แล้ว

    Sasahivi kwishaaa

    • @benmbughi8426
      @benmbughi8426 3 ปีที่แล้ว +1

      Hajaisha Akili hata cku1,na usifikr ana low IQ Kama yako!!! Huyo n super man,usijidanganye

    • @mlandasymon1980
      @mlandasymon1980 3 ปีที่แล้ว

      @@benmbughi8426 Uyu jamaa anajitambua sana, anaona mbali sana, wish atafika mbali, namuona anakwenda kuwa waziri wawizara flan nyeti, ubunge wala sio tatzo japo watu wametafsir vby huo uteuz, nijambo lamuda tu wataelewa baadae, pambana bashiru, ila simamia maneno namsimamo wako usisahau kunahukum baada yakifo ( ukitenda mema utalipwa mema)

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 ปีที่แล้ว

    Kwani hasa Siasa ni nini? .

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว

      Usijali maishanni yaleyale duniani tunapita tuu majaribu ni mengi Ila ukimwomba mungu atakulinda

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว

      Endelea kusimamia ukweli Kaka Bashir lakini km wewe ni CCM hwakina halima mdee ma group lake wako bungeni km akina Nani na wameletwa na chama kipi Kaka ?