Urafiki mzuri sana huu na ni ngumu mnooo leo kumpata rafiki wa kweli. Kwa moyo wake mkunjufu @fredvunjabei malipo yake ni kufanikiwa kushinda hata mwenzake alivyofanikiwa. Big-up sana kwao.
WORD🥊🔥🔥🔥.. Hawa walishibana na kuamiana sana(same goals).. sasa ulimwengu wa matapelii huu shea na mtu hujamjua vzur afu jilipue kama fred uone utakavyoipa kaz serikal kumtafuta.
Mm nilimpa Mshikaji Milioni 2 Tangu Mwezi Wa 9 Mwaka Jana Azungushe Kwenye Biashara Yke Mpk Sàiv Ni Miezi 9 Nimemfuata Tugawane Hiyo Faida Amenipa Laki 2 Wallah Huku Duniani Cjui Kuna Watu Wana Mattzo Gani #Big Up Vunja Bei &Frank 🤝
Uje umualike siku moja kwenye Kile kipindi chetu cha watu alivyopitia magumu kufanikiwa nimekisahau jina atatupa madini sanahuyo kijana freid vunja bei
Urafiki mzuri sana huu na ni ngumu mnooo leo kumpata rafiki wa kweli. Kwa moyo wake mkunjufu @fredvunjabei malipo yake ni kufanikiwa kushinda hata mwenzake alivyofanikiwa. Big-up sana kwao.
Nimependa sana story hii this is what people should be and learn big up kuleta story hii 🙏
WORD🥊🔥🔥🔥..
Hawa walishibana na kuamiana sana(same goals).. sasa ulimwengu wa matapelii huu shea na mtu hujamjua vzur afu jilipue kama fred uone utakavyoipa kaz serikal kumtafuta.
hhhh dah kwel
Maisha Ni Mwendo Wa Kupambana tu 💪🔥💥💯
Waoo amazing huo ndio urafiki 🤝👌🏿❤🇨🇭🇹🇿
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
dah hii story ni kama ya kwangu alhamdulillahy watu kama hawa mungu ndio anawaleta kwa sababu ya mafanikio yako ❤
Daah!! Hii story imenikosha sana
Big up sana kwa urafiki bora bt kwa sasa wengi wao sio waamifu inaboa sana
Daah ukipata rafiki mwaminifu kwenye kitu chako aisee uyo rafiki anapaswa awe zaidi ya ndugu na aheshimiwe sana
🙏🙏🙏 very inspiring l ev learn something
Cjawai pata rafiki wa ivyo MashaaAllah hongera kuwao
th-cam.com/video/iXCeq21q4wc/w-d-xo.html
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Mim
Mm nilimpa Mshikaji Milioni 2 Tangu Mwezi Wa 9 Mwaka Jana Azungushe Kwenye Biashara Yke Mpk Sàiv Ni Miezi 9 Nimemfuata Tugawane Hiyo Faida Amenipa Laki 2 Wallah Huku Duniani Cjui Kuna Watu Wana Mattzo Gani #Big Up Vunja Bei &Frank 🤝
Yaan huyo Kakaake Whozu Frank nampenda sana kwa kweli 🥰🥰🥰
Ujue nilikuwa namwangalia mara mbili nilijua wozu ila jiná nasikia Frank basi mi ndo nilichoka hapo afadhali sasa nimeelewa
@@OmanOman-hr6cb wanafanana km njiti za viberiti
Mungu aendele kuwa true love na friendship 💖 Ameen
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Dah bonge la love ili big up kwa fred
Marafiki wa ivyo mumebaki nyinyi tu
Daaah noma kweliiii
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Hongereni sana
Veema sana Fredy na unakaribia kua BigBos Africa maana unaakili sana Mkuu Bg up.
❤ vizury sana
Real friend it's hard to find it
th-cam.com/video/iXCeq21q4wc/w-d-xo.html
True say , now days people are full of hate.
Mashallah, uyo Rafiki wa kizazi Sana, good friend 😘
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
"Am so inspired"
Good adire
Maa shaa Allah jamani
Man sha allah 🥰 🙏
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
So inspiring 🤔
th-cam.com/video/iXCeq21q4wc/w-d-xo.html
Sio story tu ya urafiki bali uhaminifu pia, watu wengi sio wahaminifu siku hizi, uongo, wivu na tamaa ndo maana wengi hawaendelei kimaisha.
Big boss fred
Vunja bei, hatariiii sana 🔥🔥🔥🔥
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Safi sana uwo ndio urafiki nzuri
Hata nyinyi mnaoandika hapo sio waaminifu baazi yanu pia😂😂😂😂
Mashaallah
Uwo ndio urafiki wa kweli ndio maana mzee wa sukuma ndani anasema kama unaona rafiki wako aeleweki unampiga chini
Hhhhh
Mimi kuna m2 tumepiga mishe ya laki nne kakimbia nayo mazima
Duh pole 😅😅
Maisha yana changa moto sana
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
True friend never die
Rafik wa hivyo sshv hamn nakam yupo namuhitaj pia
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Mimi apa
@@asiangasa2372 bas sawa tupo pamj kweny shida naraha
Dah we ni mkinga muhuni Sana 🙏
Siruki tangazo... SnS 4life.
Ningu kupata rafiki wakudumu kwahii duni au kupata marafikikamahawo niwachachesana ongera kwao mungu aimarishe urafikiwao
Daaa yaan ni km simulizi ya fulan ya kupoteza muda ili uende ,lkn km uko makini kuna kitu unaweza uka gain km una future.
👏👏👏safi sana
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
waooh!! 🥰
rafiki kama huyo ni ngumu kumpata
Sijui kwa nini nimehisi machozi yanataka kunitoka wallah kuna marafiki waloshibana nina marafiki wenfi lakini sina wanamna hiyo
Salute
Safi sana,fred
Uje umualike siku moja kwenye Kile kipindi chetu cha watu alivyopitia magumu kufanikiwa nimekisahau jina atatupa madini sanahuyo kijana freid vunja bei
Big up
Marufuku kukata tamaa
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Hamisa anachelewa wapi mume mzur kabisa .
Nic bro
Nawapemd munafanya maongez mazuri munavongea
th-cam.com/video/iXCeq21q4wc/w-d-xo.html
Nakbl
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Nice
nikubali apo
Salut kaa mkubwa marafiki wengine ukifanikiwa wanakusnichi
Hawa jamaa wako vizuri kiroho!
Uhmm MM BDO cjamupata rafiki wakweli
Huu ndo urafiki wa kweli
Huyo alienae mbona kama whozu?
Kaka ake whozu
Namie nilitaka kusema ivoivo
@NYEGERE ONLINE hahahaha ahsante
wakwanza leo sns mleteni hapa tusikilize na tunamtaka rayvanny hapa na lavalava
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Mimi akuna rafiki
😭😭😭😭😭😭😭
Mimi ninie ila siku nitakuja kuhadithie
Kuna marafiki jamani utadhani ni ndugu yako wa tumbo moja
🙌🙌
🔥🔥🔥🔥
I need new friends 😭
Not only new friends , but friend with visions that can bring you something positive in your life.
I'm Here
@@tanzaniaupdate4700 good idea, warmly welcome
@@ericklaura7511Okay Thanks
WANAFUNZI BORA KITAIFA WANASOMA HIVI..Na wewe jaribu hizi mbinu th-cam.com/video/9iFjOXV3gR8/w-d-xo.html
Maa shaa Allah uaminifu pia umechangia
th-cam.com/video/ED12L2suXt8/w-d-xo.html
Kila kitu ni uaminifu
Kaka ake Whozu ni Frank au Freddy.!?
Frank
@@SimuliziNaSauti Asante
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
Mwingine anataka udondoke alafu anyanyuke
Mbn Sf
th-cam.com/video/iXCeq21q4wc/w-d-xo.html
@@trendingnews3475 poo a
Hongera sana