Utacheka story za LEONARDO, alivyoanzisha msemo wa D mbili, kupata F hesabu, kufanya Hip Hop shuleni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @aansjacksonskutty
    @aansjacksonskutty 4 หลายเดือนก่อน +5

    #BigUp sana, Mh. Fredrick Bundala, aka#SkyWalker @skytanzania.
    Namkubali sana huyo mwehu (Leonardo), pamoja nawe, naye ameshajiunga miongoni mwa watch ninaotamani kukutana nao maishani mwangu.🙏
    Mungu afanye wepesi, amen.

  • @HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI
    @HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana matangazo ya Leonardo, very clever!! Hayaboi kutazama

  • @JastoLeleJnr
    @JastoLeleJnr 4 หลายเดือนก่อน +2

    interview imenyooka....jamaa yuko smart sana upstairs 🔥🔥🔥🔥

  • @mcgb5725
    @mcgb5725 4 หลายเดือนก่อน +8

    HESABU ziko nne Sky -,+,× na ÷
    Haya Mengine ndio chanzo cha F.
    Kazi nzuri Sky #SNS FOREVER

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 4 หลายเดือนก่อน +5

    ❤ nimependa kipindi .mimi shabiki wa Leonard

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 4 หลายเดือนก่อน +5

    Duhh vipaji kama vyote 👏👏👏👏👏

  • @Frakisports
    @Frakisports 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa mahojiano mazuri na video nzuri zinaOnekana kwenye TV hapo nyuma

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 4 หลายเดือนก่อน +2

    video iko very clear hd wako poa sana hongera sana leonary na sky kwa kipindi kizuri

  • @hustlersmart7917
    @hustlersmart7917 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah from zero to hero keep pushing Skywalker ❤❤

  • @edwardleonard5793
    @edwardleonard5793 4 หลายเดือนก่อน +4

    Bonge la interview. Sky na mgeni wako wote mmetutendea haki watazamaji . Kazi nzuri sana

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 4 หลายเดือนก่อน +1

    Weee huyu kaka ni kichwa elimu ya biashara kwa watoto na jinsi ya kutumia pesa Tanzania tutakuwa na mabillionea wengi mmno🥰🥰

  • @derickdboy2207
    @derickdboy2207 4 หลายเดือนก่อน +2

    Noma Sana

  • @ReyzDon
    @ReyzDon 4 หลายเดือนก่อน +29

    Ambao hatukupata F ya math tugonge like

    • @PendoPeter-rr4jk
      @PendoPeter-rr4jk 4 หลายเดือนก่อน

      🤣wote hao hamkupata f

  • @BabuGga-td3mg
    @BabuGga-td3mg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri, naona na ubora wa Studio unapanda viwango. #Sns

  • @KingoFarm1
    @KingoFarm1 4 หลายเดือนก่อน +12

    D mbili o' leval inamtoa mwanafunzi kwenye zero

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 หลายเดือนก่อน

    BIG UP🔥🔥🔥💯👑👑💪👊

  • @babel4862
    @babel4862 4 หลายเดือนก่อน +4

    The quality is damn

  • @AManCalledGodfrey
    @AManCalledGodfrey 3 หลายเดือนก่อน

    Eliasa , au tulikua tunamuita albedo, form six 2017 galaxy(galanos). Wagalatia wameelewa tyr.

  • @MohamediKishoma-ec1sj
    @MohamediKishoma-ec1sj 4 หลายเดือนก่อน +25

    nawakumbusha tu D ya advance inaanzia 50

    • @sultanrichardson5487
      @sultanrichardson5487 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 sahih, wakumbushe nadhan wanafikil labda ni 30 pia

    • @johbinm2b218
      @johbinm2b218 3 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha hawajui, 😂 D advance ni noma

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Leonard

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 4 หลายเดือนก่อน +2

    Leonardo ndie mrisi sahii wa clam vevo kwenye uchekeshaji anajua sana a.k.a kibumadeni🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Lastbornecadet
      @Lastbornecadet 4 หลายเดือนก่อน +2

      Lugha ya ushabiki iyo ,ila kihualisia clam hamfikii uyu jamaa kuchekesha

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@Lastbornecadet acha uchawa alafu kwenye uchekeshaji clam kashatoka uko

    • @GloryKihongosi
      @GloryKihongosi 3 หลายเดือนก่อน

      Yupo wapi sasa😂😂😂😂

  • @bakarimwanjano730
    @bakarimwanjano730 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kbs mm msingi niliielewa sana hesabu,
    Sekondari walimu wakawa wananikatisha tamaa kwenye mitihani yao sikupata hada D ila mtihani wa mwisho nimepata D

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 4 หลายเดือนก่อน +3

    Brother Sky huna tofauti na mimi kabisa kwenye hesabu.
    Mfanano wetu
    1. Kuwahi kutoka kwenye chumba cha mtihani wa mwisho kidato cha nne. Mi nkaandika jina tu nkafanya nyepesi ili isionekane nmemdharau aliyetunga. Ikabidi nitumie dakika kumi tu nkaenda kusoma kiswahili. Maana ndo mtihani uliofuata.
    Falsafa
    Niliamini nikipata 10 ni F nkipata 0 ni F hakukuwa na haja ya kupoteza muda.
    2. Kukuta herufi zimechanganyika na namba. Hiyo nlikuwa staki kabisa kuiona lakini ndo wanaita hisabati. Sijui ntamuambia nini mwanangu kumhamasisha apende hesabu hali ya kuwa baba ake alikuwa anapata Single digit 😂😂😂

    • @Gersah
      @Gersah 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mix number na heruf😂😂😂

  • @emtonboyofficial1134
    @emtonboyofficial1134 4 หลายเดือนก่อน +2

    Leo kama jamaa hana mood ivi

  • @Sostere98
    @Sostere98 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umenikumbusha teacher Elias alkua anakuja kufundisha pia shuleni kwetu Macechu

  • @AlbertKombe-u8b
    @AlbertKombe-u8b 4 หลายเดือนก่อน +5

    Big up sky 🎉

  • @YothamuMadinda
    @YothamuMadinda 4 หลายเดือนก่อน +8

    Naomba mnijuzee mnao fatilia GPS now
    Msemo upi una bamba
    D mbili
    Na
    Aaaah

    • @CharifaRachidi
      @CharifaRachidi 4 หลายเดือนก่อน +2

      Shenzii

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@CharifaRachidihata huu unatamba😅😅

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sky nimependa studio yko

  • @SuperkarimBenzema-o1h
    @SuperkarimBenzema-o1h 3 หลายเดือนก่อน

    Leo mbn mwil wko hauwendan na uvivu....by the way mm shabik yko from zenj

  • @MohamediKishoma-ec1sj
    @MohamediKishoma-ec1sj 4 หลายเดือนก่อน +5

    nawakumbusha tu D ya advance inaanzia 50% mpaka 59%

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 4 หลายเดือนก่อน

      Mbili D hawawezi kuelewa 😂

  • @joh__shite83
    @joh__shite83 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makofi kwa eliyasa.....HESABU ALIKUWA ANAFUNDISHAA NAN AU TEACHER DOTTO😅😅😅😅

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa atafika mbal ana adabu

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nilichugundua waliofeli math wengi wao wanatala zakuwasaidia kwenye maisha

  • @AliMwingwa
    @AliMwingwa 4 หลายเดือนก่อน +1

    We. Sky kama mimi nilichukua dakika kumi mtihani wa mase

  • @emmanuelburetah4579
    @emmanuelburetah4579 4 หลายเดือนก่อน +3

    Phy-D chem-D na pure math-F=Div-3 ya 15 hiyo ni failure, atleast DDE= Div-3 ya 13 huo ni ufaulu wa mwisho kwa adv kwenda uni

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 4 หลายเดือนก่อน +1

      itakuwa ilikuwa bahat yake

    • @kefrenbasondole8599
      @kefrenbasondole8599 4 หลายเดือนก่อน +2

      Weweeee form six ya 2017 ufaulu ulikua D mbili
      Na D anayoizungumzia ni 50-59
      Alifaulu vizuri tu

    • @mwankunjatyson
      @mwankunjatyson 4 หลายเดือนก่อน +1

      Haku feli bhn hata tuliomaliza 2020 kwa D mbili na F tumehitimu degree

    • @anojozeeTV
      @anojozeeTV 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hajafel ana şifa za kuchukua degree sababu ya D 2 Mimi nilipata D E E na nikakosa şifa hio 🥺

    • @emmanuelburetah4579
      @emmanuelburetah4579 4 หลายเดือนก่อน

      @@anojozeeTV kigezo Cha kujoin uni kwa tz 1. ni div-3 ya 13, 2. principal pass mbili kweny comb yaani D mbili, hivyo ukipat DEE una 13 lakini kigezo Cha pili ni principal pass hazijabalanc, minimum requirements kwa tz ni point 4, wewe hapo. Una point 3 kwa tz uni hazikupokei

  • @empafricatv
    @empafricatv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Quality Ya Picha nikali SANA

  • @agnessnkandi5229
    @agnessnkandi5229 4 หลายเดือนก่อน +1

    Iv kumbe 2016 ni zamani ee!!

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Sky Ur story ya kuktka exam room mapema n mm mtupu

  • @Excellent1Michael
    @Excellent1Michael 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa ambao hawajafika advance, D inaanzia 50. (50-59) 😅 Wengi wanadhani ni kama D ya o level ile ya 20 😂😂. Sio mchezo kupata 50 ya physics, au maths advance

  • @feresianlugera-it8vh
    @feresianlugera-it8vh 4 หลายเดือนก่อน

    Eti wakilala wanaota Kingereza 😂
    Ila picha kali sana congratulation SNS🎉🎉

  • @richardmoses5891
    @richardmoses5891 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tuna joint the doti D mbilii

  • @NyantoryMarwa
    @NyantoryMarwa 2 หลายเดือนก่อน

    Nisaidieni maana ya d mbili

  • @jaluumtanke
    @jaluumtanke 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapa Brother Fredrick Sky Walker ,nikueleweaje ,wewe ulihojiwa na Hares Kapiga kwenye chanel yako mwenyewe ukasema ulihitimu form 6 ndo ukarudi kutangaza Radio Victoria Musoma ,inakuaje Leo haujui vigezo vya ufalu huko Advance ? au ulikua unatudanganya mashabiki na Hares Kapiga aliekua ana kuhoji ?

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aaah kudadek huyu jamaa km mzungu

  • @adolfmathew9698
    @adolfmathew9698 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mathematics sio somo ni Vita. sasa mimi sipendi vita.

  • @dahero160
    @dahero160 4 หลายเดือนก่อน +1

    Galanos sec gonga like zenu

  • @shabanibussara8454
    @shabanibussara8454 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ringo

  • @AdernahNgasah
    @AdernahNgasah 4 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @shoshifataki5825
    @shoshifataki5825 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc
    @NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc 4 หลายเดือนก่อน +3

    Yani 😂😂😂huo leonardo bn anambo

  • @dvjmiloow2955
    @dvjmiloow2955 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Etii camp lazo 😅

  • @kadito-music
    @kadito-music 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani (D) mbili maana yake si ni Dude Dufu ama😂

    • @humphreyfungo7669
      @humphreyfungo7669 4 หลายเดือนก่อน

      Dude dufu ndio nini na wewe?

  • @ipyanasimon9565
    @ipyanasimon9565 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bila D mbili hauwezi elewa hapo wakizungumzia x na y

  • @allanyusto
    @allanyusto 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo uzuri wa kwenda skul

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 4 หลายเดือนก่อน +1

    Leonardo umeanza kanenepa broo😅😅

  • @elgringogringo5238
    @elgringogringo5238 3 หลายเดือนก่อน

    Mi kazane D inamanisha diploma mbili😂😂

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe kupata D Ya esabu nilifaulu😂

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 4 หลายเดือนก่อน

      Sio esabu ni hesabu

    • @GloryKihongosi
      @GloryKihongosi 3 หลายเดือนก่อน

      Kashafeli😂😂😂😂😂😂

  • @bahatiaamani9320
    @bahatiaamani9320 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂Tatanishi uchonganishi😂😂

  • @seamlesshunt3869
    @seamlesshunt3869 4 หลายเดือนก่อน

    Sky bonge la company

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu Algebra calculator

  • @paulsajik
    @paulsajik 3 หลายเดือนก่อน

    Hawawez kuelewa kma, hawana, D2😅

  • @BonifaceLukoo-gv9yu
    @BonifaceLukoo-gv9yu 3 หลายเดือนก่อน

    We unaehoji unaongea san, mpe nafasi huyo tumsikie!

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน +1

    mi nilikuwa wa 1 shule

    • @LoveAron
      @LoveAron 4 หลายเดือนก่อน

      Muongo 😂😂😂

  • @HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI
    @HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI 3 หลายเดือนก่อน

    Sio kila anayefail hajui, mara nyingine ni hawajatoa tu pale ambapo wewe unapajua

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 4 หลายเดือนก่อน +1

    D mbili ni four ya 33 fail

  • @manjosetembo
    @manjosetembo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kusoma galanosi si mchezo