"Nilikutana na MTOTO wa IDD AMINI BUTIAMA, ni Mcheshi" -MADARAKA NYERERE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 4 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana mimi watoto wa nyerere nawakubali sana

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 5 ปีที่แล้ว +7

    Yeah.. Agree with you Baba. Nothing is better than peace✌✌

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 ปีที่แล้ว

    Like father like son congratulate Mr madaraka nyerere

  • @michaelkasogela370
    @michaelkasogela370 4 ปีที่แล้ว +3

    You think for ze future Madaraka

  • @selemanjulius2877
    @selemanjulius2877 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @gililwise
    @gililwise 5 ปีที่แล้ว +3

    Vizuri sana kaka hata watoto wa Iddamini walikuwa hawapendezwi na unyama aliokuwa anafanya baba yao.maandiko yanasema tusiache kuwakaribisha wageni.

    • @rashidkombo2491
      @rashidkombo2491 5 ปีที่แล้ว

      Unyama gani wewe

    • @gililwise
      @gililwise 5 ปีที่แล้ว +1

      @@rashidkombo2491mwanangu umesahau unyama alioufanya Idd amini kwa kuivamia Tanzania au ulikuwa bado mdogo?

    • @rashidkombo2491
      @rashidkombo2491 5 ปีที่แล้ว +2

      @@gililwise ni Propaganda tu zile

    • @gililwise
      @gililwise 5 ปีที่แล้ว

      @@rashidkombo2491 kweli kabisa

    • @zamabuu7707
      @zamabuu7707 5 ปีที่แล้ว +2

      Kusema ukweli Iddi Amini na Nyerere hakuwa maadui ila watu wa nje ndio waliokuwa na uadui dhidi ya Idi Amini, sasa waliwatumia watanzania lakini watanzania walikuwa magumu hawataki vita ndio maana zikatengezwa habari idi Amini anavamia kagera, ana kula nyama za watu na mengineyo sasa watanzania kusikia hivyo wakaona lazima wajihami na adui huyo.
      Kumbe wazungu walitaka wawe na control ya madini ya Tanzania na Uganda mambo ambayo idd Amini alikuwa hakubaliani nayo.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kwa kukutana na ndugu yako, sababu kubwa ya vita ile ni Iddi Amini kumuiba mama wa Taifa.

    • @kim45734
      @kim45734 5 ปีที่แล้ว +2

      Yan mtu akishiba maharage anaropoka tuu

    • @FBandBey
      @FBandBey 4 ปีที่แล้ว

      Mama wa Taifa lipi?

    • @cyrillaurian1584
      @cyrillaurian1584 4 ปีที่แล้ว +1

      @@FBandBey Kaka achana naye huyo.

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa mstaarabu sana

  • @christinawallasch1252
    @christinawallasch1252 5 ปีที่แล้ว +5

    Yaani watanzania tujifunze kusamehe yale mambo ya zamani jayawezi tena kutokea na mwenye makosa ni Iddi Amini sio watoto wake.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 11 หลายเดือนก่อน

    Vita vua kagera ilikuwa ni mchongo TU kwani ilikuwa afrika mashariki itawaliwe na Dini moja niseme TU mwenye akili ajue nw mzee marehemu ndio ivyo anatakiwa St, Nyerere huo ndio ukweli

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 4 ปีที่แล้ว

    Pia ayo ni mambo ya siasa uwezi juwa nani yupo sawa

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 ปีที่แล้ว

    Mbona watoto wa Mel Nyerere wanaonekana ni watulivu na wanaakili Sana,lkn hawaibuliwi ?

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 2 ปีที่แล้ว +1

      Familia za Viongozi wengi wa Afrika waliokuwa waadilifu huambulia sifa za maneno matupu. Ndiyo maana viongozi wengi afrika miaka hii wakipata madaraka wanaangalia maslahi yao kwanza na familia zao wanahisi wajao baada yao hawatawajali. Hongera Rais Samia kwa uteuzi wa Makongoro Nyerere, ilimradi isiwe ni mbinu ya kumtoa Ujumbe wa Kamati Kuu ya CCM .Maana tunasikia ana msimamo sana kwenye Vikao.

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 ปีที่แล้ว

    Mbona uyu ndo clever than makongoro

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว

    Mnazingua

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +1

    Wame fanana na babake

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 ปีที่แล้ว

    Idd Amin hakuwa Kama inavyohubiriwa haya maswala yamegubikwa na udini na propaganda za ajabu ajabu

  • @shaibujuma2884
    @shaibujuma2884 3 ปีที่แล้ว

    Kg

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 4 ปีที่แล้ว +1

    Madaraka yupo sawa anatabia za Kiislamu

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji rudi shule

  • @jaffaryhassany9832
    @jaffaryhassany9832 5 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂dah watoto wa maadui 😂😂ila nyerere angekuwepo angemwambia mwanae asisubutu kuwa rafik na jaffary manake nyoka azai kenge ata siku moja 😂😂

    • @salminamiri7001
      @salminamiri7001 5 ปีที่แล้ว +3

      Mbona unawapenda wazungu hali ya kuwa waliwanyanyasa mababu zetu na wengine kuwanyonga? Tujifunze....

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaha

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 4 ปีที่แล้ว

      Sio kweli Nyerere Hana mawazo kama yako Kwan Jaffary anakosa gani! ?

  • @komelepeter7595
    @komelepeter7595 5 ปีที่แล้ว +1

    Good