Madaraka Nyerere: Baba angekuwepo ningemuuliza maswali niliyonayo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2022
  • Mwitongo, Butiama mkoani Mara ndipo mahala alipozaliwa Hayati Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza na baba wa Taifa la Tanzania.
    Aprili 13 mwaka 1922 ndiyo mwaka ambao Rais huyu alizaliwa akiwa mtoto wa pili kati ya watoto watano wa Chifu wa Kabila la Wazanaki, yaani Chifu Nyerere Burito na Bi. Christina Mgaya Nyang'ombe.
    Oktoba 14 mwaka huu Tanzania inaadhimisha miaka 23 bila uwepo wa Mwalimu duniani, maisha yanaendelea, falsafa na maono yake yanaendelea kuishi ndiyo maana Mwananchi Digital imefunga safari hadi Mwitongo Butiama mkoani Mara, mahala alipozaliwa Nyerere ili kukufahamisha alikuwa nani kabla na baada ya kustaafu.

ความคิดเห็น • 3

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +2

    Mmenifrahisha sana wazee wangu

  • @BMGOnlineTV
    @BMGOnlineTV ปีที่แล้ว

    Package nzuri sana

  • @Brigadier819
    @Brigadier819 11 หลายเดือนก่อน

    Mgongo peter Kaitira