Tatizo Stephen kabadirisha jina lake kabisa anaitwa Stephen Nyerere wakati hata kuigiza sauti kaacha Kwahyo anatumia jina la Nyerere kama mwanawe anajitaftia umaarufu
Nyerere Alianza kua Rais wa Tanganyika. Ilipoundwa TANZANIA HAPAKUA NA UCHAGUZ WA RIDHAA ZA WANANCHI KUA AWE YEYE RAIS WA TANZANIA. KWANI NANYI MUSIMNASISHE NA UTANGANYIKA....BADALA YAKE MNAMWITA WA TAIFA. KWANI WAZANZIBAR HATUKUA NA KIONGOZI WETU.!!!!
We madaraka acha mambo ya ajabu hayoo, kuna watu wanaitwa ezra mandela, isaya cheguevara, jima hitira, ndio making ya watu wengi maarufu duniani watu wanayatumia kwa sababu wamevutiwa na hao watu, hivyo jina hilo kapewa na watu kwasababu ya kumuiga nyerere; Aisee madaraka unataka kutuuzi wa tanzania; mwachee Steve atukumbushe hekima za mwalimu
Ni kweli bwana, hata mimi nilikuwa najiuliza na nashangaa kwamba kweli yule jamaa ni mtoto wa mwalimu. Maana yule bwana kimbelembele sana, hawezi kuwa mtoto wa mwalimu hawapo hivyo. Umefanya vema kuliweka wazi, akome kujipendekezapendekeza!
Wamegundua badala ya kumuenzi kwa matendo ya kizalendo na kupinga dhuluma, kile kihuni kinatumia jina la Nyerere kama chawa na kusapoti dhuluma. Uchawa na Nyerere wapi na wapi?
Kwanza alitakiwa kulipa fidia,au ashitakiwe kwa kutumia jina Hilo bila kibali au sauti ya mzazi wa mtu mwingine.Mbona wao wasanii ukitumia majina na nyimbo zao utadaiwa
Wanaosema kwani ni vibaya mtu kujiita Nyerere?? Jibu ni ndio kwsbb kama hoja ni kumuenzi mzee itabidi watanzania wote waitwe Nyerere,tuache majina yetu,si magufuli angekuw wa kwanza kujiita Nyerere,Kuna Watu wanauzalendo kw mwalimu kuliko Steve hatujawaona wakijiita Nyerere,kisha pia mwalimu Kuna Watu alikuwa role model wake lkn hakubadili jina la wazazi wake Nyerere kwa hoja ya kuenzi
Kweli atumie jina lake. Kuna watu wanatumia majina ya watu kujenga umuhimu wawo. Wengine hujitangaza kuwa Nyerere ni baba yawo wa ubatizo. Sio tatizo, łakini kwa nini kutumia jina la Nyerere? Je kama ni baba yake wa ubatizo iweje? Nyerere alikuwa sio mtu wa kupiga kifuwa. Hata watoto wake wako down to earth. Munaotumia jina lake kwa kujikuza acheni
MWALIM NYERERE SI BABA WATAIFA HAKUNA DHAMBI KWA MTU KUJIITA JINA LA BABA WATAIFA KAMA HAMTAKI KATAZENI MWALIM ASIITWE BABA WA TAIFA .KWAKUA WENYE KUJIITA HAWAKUSUDII UBAYA .TAFADHALI MWALIM NYERERE NI BABA WATAIFA NA INGE PENDEZA WATANZAIA WAJIITE KATIKA KOO ZAO ZIISHIE NA NYERERE
SAWA LAKINI MUANGALIE -PENGINE JINA ALIPEWA NA MASS - KUNA WACHEZAJI WENGI WA MPIRA HUWA WANAPEWA MAJINA NA WAPENZI AU WATANGAZAJI SASA MSIMUHUKUMU TUU KWAMBA AMEJIPA JINA YEYE STEVE ANGALIENI KWA MAKINI
Upo sahihi mkuu! Ila ckuwa wanajipa hayo majina ya watu maarufu hapana wanapewa na mashabiki zake kama niki name au jina mbadala la anayemwakilisha kwa sanaa
Wasanii wa SASA hivi wowote wanajiita majina ya watu wengine na wametenga majina ya wazazi wao sijui kwa nini huiga wasanii wa nje KITU ambacho so sawa. Sijui kuacha majina ya baba zao kunaeasaidia nini. Pumbavuu kabisa
Mimi sio mwanasheria, lakini naamini hakuna shida yoyote ya kutumia jina la Nyerere kwa sababu Tanzania kuna Nyerere wengi. Steve Nyerere anatumia hilo jina Kama jina la sanaa. Mwaka 2020 Steve Nyerere aligombea ubunge, je kwenye vyeti vyake,fomu zake ameandika jina la Nyerere kama jina lake rasmi?
Huyo ni msanii, jina hilo anatumia kisanaa. Mwaka 2020 aligombea ubunge iringa, sina uhakika kama kwenye fomu alijaza jina la Nyerere badala ya jina lake halisi. Ukiachana na huyo, Kuna mwingine anajita JK Comedian, naye asitumie hilo jina?@hashimmziray7416
Mbona na yeye kwa na njia yake ya kumuenzii🤔 ? Kwahiyo sauti Ni sawa ila Jina hapanaa ? Kwani limekatiwa hati miliki? Kama Aina gulani ya ubinafsiii😲 !mbona hiyo haikuanza leoo kwanini mnata kuhodhi jinaa? Kwani majina yakifanana Kuna shidaaa! Tunaelekea wapiiiii?
Kiuhalisia;Hivi yeye anajiita Nyerere au watu ndio humwita Nyerere kutokana nà kuigiza sauti ya Nyerere?.Jambo la MSINGI ni wanahabari kuwa makini kutoa maelezo yenye ufafanuzi wa kutosha wanapowasilisha habari au taarifa.
Karipua weng mno.mpaka wanaweka picha za watu bak.huku hata mama zao na babu zao wamekufa lakin hata siku moja hawawek picha zao.wajinga mno asante kaka watwachie baba yetu waweke baba zao.pia na ndugu zao umewapasha mno.
Watoto wa Nyerere shida mlikosa exposure, mbona watu wanajiita Lincoln, Clinton n.k , Nyerere ni jina brother hata wewe jina lako siyo kwamba ni la kwako peke yako kama unaona ni shida nenda mahakamani ..hapo umepotoka mkuu
Shida sio exposure. Hao wanayo exposure ya kutosha. Shida ni kwamba haitwi Steve Nyerere, anaitwa Steve Mengele! Hiyo ndo shida. Madaraka amesema ukweli, mengine ni propaganda zako za kipuuzi kidogo!
Huyo anajiita Steve Nyerere kwanza hana sauti ya Nyerere. Sauti yake nadhani anapiga konyagi sana. Mpumbavu yule. Anapoongea mbele za watu anajitutumua utadhani ana akili kumbe hana lolote
Leo ndio nyakyegi umezungumza jambo la karlı mtu Mjungu na mshenzi anapara umaarufu kwa kutumda jina la baba yako na kutengeneza fedha na wakati mwingine anasafiri kwa kujitangaza kama Steve Nyerere wakati Nyerere siyo baba yake.zuia mchezo huo wa kijinga kwanini asitimiz jina lake na lahana yake.tumewaona wengine hadi wanawakana baba zao mfano Diamond platinum alimkana baba yake hao ndio wasanii wa Tanzania. Ozomilye sana mkaruka
Safi sana! Hili jambo niliwahi kulisema. Na kuanzia hapo nikaanza kumuita Steven Mengele
Hongera Sana Mr.Madaraka Nyerere...
Umefanya vizuli baba kumlipua Steve analitumia jina la mzee wetu NYERERE vibaya
ubaya zaidi ni uchawa
Umefanya vizuri mtoto wa baba wa taifa. Ubarikiwe sana.
Nyerere wanae vichwa wote hasa Madaraka na yule mkuu wa mkoa
Safi sana , naunga mkono hoja, tena akome kabisaa.
Bora umesema kaka! POINT!
Lkn jaman si baba wa taifa, so kila mtu anaruhusiwa kutumia jina km kumuenzi! Shida iko wap
Shida jina jina hilo analitumia kwenye uchawa
Mimi naona Hamna tatizo
Tatizo Stephen kabadirisha jina lake kabisa anaitwa Stephen Nyerere wakati hata kuigiza sauti kaacha Kwahyo anatumia jina la Nyerere kama mwanawe anajitaftia umaarufu
VIDEO HII KAKA MADARAKA UMECHEKESHA KAMA LEGEND WETU MWL NYERERE MWENYEWE
Da Kaka una akili sana.Point hiyo.
Nyerere Alianza kua Rais wa Tanganyika.
Ilipoundwa TANZANIA HAPAKUA NA UCHAGUZ WA RIDHAA ZA WANANCHI KUA AWE YEYE RAIS WA TANZANIA.
KWANI NANYI MUSIMNASISHE NA UTANGANYIKA....BADALA YAKE MNAMWITA WA TAIFA.
KWANI WAZANZIBAR HATUKUA NA KIONGOZI WETU.!!!!
Mimi bnafsi nilikuwa najuaga ni mtoto wa mwalm nyerere
Kwa hiyo ni dharau kubwa sana kumuiita Baba wa Taifa wakati watu wana Baba zao pia
We madaraka acha mambo ya ajabu hayoo, kuna watu wanaitwa ezra mandela, isaya cheguevara, jima hitira, ndio making ya watu wengi maarufu duniani watu wanayatumia kwa sababu wamevutiwa na hao watu, hivyo jina hilo kapewa na watu kwasababu ya kumuiga nyerere; Aisee madaraka unataka kutuuzi wa tanzania; mwachee Steve atukumbushe hekima za mwalimu
Safi sana mwishoni anashusha presha kistaili yake 😂😂😂
Kwanza uyo Steve mpenda sifa achane na ilo jina alaka sana mimi kama mimi nitamfungulia kesi mbwa uyo kwani ana baba mkataeni araka
Komaa mzee afte Hilo jina astake sifa anakomaa kumbe hata sio jina lake😂😂
Tena anawadhalilisha sana, aisee kwa tabia zake za ukuwadi,hana sifa hata kidogo ya kuwa mfano wa Nyerere
Anakuwaga na mdomo sana, Sasa ajibu sasa, 😅😅😅😅
Ni kweli bwana, hata mimi nilikuwa najiuliza na nashangaa kwamba kweli yule jamaa ni mtoto wa mwalimu. Maana yule bwana kimbelembele sana, hawezi kuwa mtoto wa mwalimu hawapo hivyo. Umefanya vema kuliweka wazi, akome kujipendekezapendekeza!
Nakukubali
Haiendelei Kuna somo zuri mbele
Mnajua watu sijui mkoje , kwani mtu akiitwa yesu yeye ni yesu ,laa
Kuna mchaga mmoja nilikutana naye masaki anaitwa yesu yaani nikichoka daha
Alisema
Wamegundua badala ya kumuenzi kwa matendo ya kizalendo na kupinga dhuluma, kile kihuni kinatumia jina la Nyerere kama chawa na kusapoti dhuluma. Uchawa na Nyerere wapi na wapi?
Kwanza alitakiwa kulipa fidia,au ashitakiwe kwa kutumia jina Hilo bila kibali au sauti ya mzazi wa mtu mwingine.Mbona wao wasanii ukitumia majina na nyimbo zao utadaiwa
Wanaosema kwani ni vibaya mtu kujiita Nyerere?? Jibu ni ndio kwsbb kama hoja ni kumuenzi mzee itabidi watanzania wote waitwe Nyerere,tuache majina yetu,si magufuli angekuw wa kwanza kujiita Nyerere,Kuna Watu wanauzalendo kw mwalimu kuliko Steve hatujawaona wakijiita Nyerere,kisha pia mwalimu Kuna Watu alikuwa role model wake lkn hakubadili jina la wazazi wake Nyerere kwa hoja ya kuenzi
Afadhari kama mumeliona kama family maana Kuna kijana kimoja cha hivyo sana kipumbavu kina tutia aibu sana kwenye sanaa
sasa kosa lake lipi stiv
Hakujiitq AMEITWÀ NA JAMII ELÈWA HIVYO
Akili ipo likizo
kiukweli anajiita ivo lakini chakushangaza kanajitaidi kawe kama nyelele lakini kanachafua
"Nyelele" tena aisee? Duh. We vipi?😢
ha ha ha
Piga chini hilo chawa. Lambogamboga
Kweli atumie jina lake. Kuna watu wanatumia majina ya watu kujenga umuhimu wawo. Wengine hujitangaza kuwa Nyerere ni baba yawo wa ubatizo. Sio tatizo, łakini kwa nini kutumia jina la Nyerere? Je kama ni baba yake wa ubatizo iweje? Nyerere alikuwa sio mtu wa kupiga kifuwa. Hata watoto wake wako down to earth. Munaotumia jina lake kwa kujikuza acheni
Aenzi mzazi wake kwa kweli awaach na mzazi wenu
Kwani kuitwa nyerere ni dhambi?
Shame msanii Steve Nyerere! Mwizi wa Jina!Je,Pesa unayoipata kwa kutumia jina la Nyerere unaigawia familia ya Nyerere?
Mwizi anatakiwa arejeshe hizo pesa alopata kwa kutumia jina la Mwalimu Nyerere
MWALIM NYERERE SI BABA WATAIFA HAKUNA DHAMBI KWA MTU KUJIITA JINA LA BABA WATAIFA KAMA HAMTAKI KATAZENI MWALIM ASIITWE BABA WA TAIFA .KWAKUA WENYE KUJIITA HAWAKUSUDII UBAYA .TAFADHALI MWALIM NYERERE NI BABA WATAIFA NA INGE PENDEZA WATANZAIA WAJIITE KATIKA KOO ZAO ZIISHIE NA NYERERE
SAWA LAKINI MUANGALIE -PENGINE JINA ALIPEWA NA MASS - KUNA WACHEZAJI WENGI WA MPIRA HUWA WANAPEWA MAJINA NA WAPENZI AU WATANGAZAJI SASA MSIMUHUKUMU TUU KWAMBA AMEJIPA JINA YEYE STEVE ANGALIENI KWA MAKINI
Familia hii wote wanyenyekeVu na wacheshi
Upo sahihi mkuu! Ila ckuwa wanajipa hayo majina ya watu maarufu hapana wanapewa na mashabiki zake kama niki name au jina mbadala la anayemwakilisha kwa sanaa
Wasanii wa SASA hivi wowote wanajiita majina ya watu wengine na wametenga majina ya wazazi wao sijui kwa nini huiga wasanii wa nje KITU ambacho so sawa.
Sijui kuacha majina ya baba zao kunaeasaidia nini.
Pumbavuu kabisa
Me nilidhanigi ni mtoto wa Mwl, wa njee, sasa hata babake hamjui tena, haya bwana stv nyerere mkumbuke babako sasa achana na majiba ya watu
Mkataeni huyo kwanza anawachafua kwa uchawa chawa wake
Icho Mzee nikipumbavu sana kimeacha familia yake kinakimbilia familia ya mwalimu
Huyu madaraka naona upeo wake ni mdogo
Hao watu wako wengi sana ambao bado watumwa wa akili
Mimi sio mwanasheria, lakini naamini hakuna shida yoyote ya kutumia jina la Nyerere kwa sababu Tanzania kuna Nyerere wengi. Steve Nyerere anatumia hilo jina Kama jina la sanaa. Mwaka 2020 Steve Nyerere aligombea ubunge, je kwenye vyeti vyake,fomu zake ameandika jina la Nyerere kama jina lake rasmi?
Wewe elewa anachoongea
Hujaelewa kitu hapa
kashauri aenzi wazazi wake ni sawa wewe usijiite Bulugu Lubuga ujiite Bulugu Magufuli au Bulugu Suluhu Hassan!!
Huyo ni msanii, jina hilo anatumia kisanaa. Mwaka 2020 aligombea ubunge iringa, sina uhakika kama kwenye fomu alijaza jina la Nyerere badala ya jina lake halisi. Ukiachana na huyo, Kuna mwingine anajita JK Comedian, naye asitumie hilo jina?@hashimmziray7416
Yaani Steve kabadirisha jina kabisa na Kuna Watu wengine wanajua nàye ni mtoto wa Nyerere ! Elewa kaka ! @@emmanueliman7408
Nilichogundua kwa uyu madaraka ni karoho mbaya ktk nafsi yake
Mlaji wa michango ya mazishi ya wasanii, mlevi mkubwa bado pia ni mwizi wa majina ya watu eeh!
Mbona na yeye kwa na njia yake ya kumuenzii🤔 ? Kwahiyo sauti Ni sawa ila Jina hapanaa ? Kwani limekatiwa hati miliki? Kama Aina gulani ya ubinafsiii😲 !mbona hiyo haikuanza leoo kwanini mnata kuhodhi jinaa? Kwani majina yakifanana Kuna shidaaa! Tunaelekea wapiiiii?
Anayeigiza sauti yako achukue na jina lako? Kwani Steve Mengele aliombwa kuigiza sauti ya Nyerere?
Mie nilichoona , sio sawa. Sintetei huyu STEVE , lkn mngeweza kumuita pembeni na kuzungumza nae . Ni mawazo yangu tuu lkn
Jiamini, binadamu anayo mawazo Daima unahofu nakuogopa nani na nini?
Kiuhalisia;Hivi yeye anajiita Nyerere au watu ndio humwita Nyerere kutokana nà kuigiza sauti ya Nyerere?.Jambo la MSINGI ni wanahabari kuwa makini kutoa maelezo yenye ufafanuzi wa kutosha wanapowasilisha habari au taarifa.
Mzee mbinafsi
Bora umesema ili awe na kiasi familia ya mwalimu inaheshimiwa ndani na nje nje ya nchi watu wa janjajanja wakome
Jamani angeogopa nn Sasa? TV hizi ...
Mwambieni Steve Nyerere aache kutumia jina lile Familia ya Nyerere imemkana.
Hilo ni jinga liacheni tu
Sahihi
Nikweli achie hilo jina anadhalisha ukoo was Nyerere
Safi
Full stop kutumia jina la nyelele
Amekuwa maarufu kwa jina lisilo lake.
Ukweli mtupu
Bila Woga? Kamwambia ukweli
Karipua weng mno.mpaka wanaweka picha za watu bak.huku hata mama zao na babu zao wamekufa lakin hata siku moja hawawek picha zao.wajinga mno asante kaka watwachie baba yetu waweke baba zao.pia na ndugu zao umewapasha mno.
Umekosa ya kuongea kaka, kwanza ushamba mwingine mlio nao watoto wa Nyerere ni kujua kwamba mnatakiwa kuwa wana siasa
Nawe wivu umeona wapi watoto wa Nyerere na heka heka sio masikini kiivyo jombaa sio machawa kama wewe
@@davidkawesa3594Raia wengi tunawapenda na watoto wa Mwl. Wanajiheshimu, Sio dhambi wao kua wanasiasa
Hawa jamaa hawakua mafisadi banaa
Nadhani huyo chawa taarifa imemfikia vilivyo
Watu hawamkubali kabisa huyo jamaa anajiita stive Nyerere anaboa sanaaaaa
Bora angekuwa na adabu
😂😂😂😂
Kumbe anaitwa Mengele mpuuzi kachukua jina la baba wa Taifa kupatia umaarufu aibu
iyo sauti inatakiwe ipaziwe sauti kati ya wasanii wanao boa yeye ndiyo wakwanza kuboa
Watoto wa Nyerere shida mlikosa exposure, mbona watu wanajiita Lincoln, Clinton n.k , Nyerere ni jina brother hata wewe jina lako siyo kwamba ni la kwako peke yako kama unaona ni shida nenda mahakamani ..hapo umepotoka mkuu
Shida sio exposure. Hao wanayo exposure ya kutosha. Shida ni kwamba haitwi Steve Nyerere, anaitwa Steve Mengele! Hiyo ndo shida. Madaraka amesema ukweli, mengine ni propaganda zako za kipuuzi kidogo!
Nadhani una kichwa kigumu you don’t think outside the box you are thinking straight 😂
@@justcruisedout side the box?
Huyo anajiita Steve Nyerere kwanza hana sauti ya Nyerere. Sauti yake nadhani anapiga konyagi sana. Mpumbavu yule. Anapoongea mbele za watu anajitutumua utadhani ana akili kumbe hana lolote
Kwani Nyerere ni baba yako peke yako huo ni ushamba, kwanza inawezekana ni mtoto wake kweli alipomlala mama yake kwani ulikuwepo
Anaitwa Steve Mengele siyo Steve Nyerere! Kwani wewe Nyerere ni baba yako? Upuuzi mtupu!
Nyerere alikuwa mkweli kwa taifa zima na sio chawa au mpambe wa watu fulani. Maadili yake hayaendani na matendo ya baba wa taifa.
Nyerere ni jina kama jina lingine
Acha wivu
Siyo wivu. Ndo ukweli huo!
Leo ndio nyakyegi umezungumza jambo la karlı mtu Mjungu na mshenzi anapara umaarufu kwa kutumda jina la baba yako na kutengeneza fedha na wakati mwingine anasafiri kwa kujitangaza kama Steve Nyerere wakati Nyerere siyo baba yake.zuia mchezo huo wa kijinga kwanini asitimiz jina lake na lahana yake.tumewaona wengine hadi wanawakana baba zao mfano Diamond platinum alimkana baba yake hao ndio wasanii wa Tanzania. Ozomilye sana mkaruka
Mbona yy analitumia hadharani waache uchawa wa kijinga