YERICKO NYERERE ON MLIMANIDOTCOM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • "NINACHOKISEMA NA KUKIANDIKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII HUWA NINA UHAKIKA NACHO SASA KAMA UNAHISI SIPO SAHIHI NIPELEKE MAHAKAMANI LAKINI HAKIKISHA UNA USHAHIDI WA KUTOSHA"Yericko Nyerere said on mlimani dot com interview

ความคิดเห็น • 15

  • @bethazoempambo3492
    @bethazoempambo3492 6 ปีที่แล้ว +2

    NAMPENDA YERIKO JAMANI.
    huyu kaka ni mzuri sana HASA KILE KITABU CHAKE CHA UJASUSI NAKITAFUTA MAANA SIO KWA AKILI HII

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 4 ปีที่แล้ว

    Yericko anaabudu Mizimu ila ni Kijana Smart sana. Atakutana na YESU Kristo atabadilika na kuwa kiumbe kipya.

  • @MrSoftBrains
    @MrSoftBrains 6 ปีที่แล้ว

    Hapo la kujiona kuwa wewe ni Mungu, ujepotoka. Yericko hapo umelishwa sumu na tafasri mbovu ya neno la Mungu. Na mtu yeyote anajiweka hadhi moja na Mungu, ninamhurumia( Umeharibiwa na Marxism)

    • @255LK
      @255LK 5 ปีที่แล้ว

      Mazara Edward anaongea kwa majigambo na anadharau sana

  • @bonabonala7685
    @bonabonala7685 6 ปีที่แล้ว +1

    Yeriko kichwa sana big up yeriko

  • @charlesbarongo2778
    @charlesbarongo2778 ปีที่แล้ว

    Hii ya kuwa na Biblia ya Africa kama sio ya Tanzania ina mashiko.

  • @barick
    @barick 6 ปีที่แล้ว +1

    yeriko nakukubari sana

  • @fideliskimati4619
    @fideliskimati4619 5 ปีที่แล้ว

    Big brain

  • @justinecleophas6299
    @justinecleophas6299 6 ปีที่แล้ว

    gala tu uyoooo mitandao y kijam ilianza sn njee kipnd cha 1997 cyo 92

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 6 ปีที่แล้ว

    Duh...huyu jamaa kiboko. Nimependa kauli zake na msimamo wake.

  • @agustinoyutha8333
    @agustinoyutha8333 6 ปีที่แล้ว

    Kungekuwa na vijana kama 10 Tanzania kama yeriko tungesonga mbele

  • @TheBalindo
    @TheBalindo 6 ปีที่แล้ว +2

    1992 alikuwa akitumia mtandao wa kijamii upi huko Urusi. Alikuwa na umri gani mwaka huo? Au hiyo nayo ni propaganda

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 5 ปีที่แล้ว

    Hamna lolote akwende zako nchi inawatu zaidi ya milion 53.kuna vichwa vna akili kuliko huyu.dogo.asijnadi.

  • @abuujuma3006
    @abuujuma3006 6 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa tapely tu hana chochote amekaa sana kijiweni