MAZINGE HATARI SANA AMKABIDHI YESU SWALI LA MWINJILISTI WA KISABATO HUKU WAUMINI WAO WAPAGAWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 446

  • @abelialsen5383
    @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว +7

    Mazinge hata akitembea uchi kwa upande wa wenzetu utasikia Masha alla mashalaalla

    • @omyjaku8818
      @omyjaku8818 3 ปีที่แล้ว +3

      Na uchi hatembei mazinge uchi wanatembea makafiri t

    • @sleymohamed3825
      @sleymohamed3825 3 ปีที่แล้ว +1

      waislamu hawatembei uchi shekh

    • @adinanihashim7
      @adinanihashim7 3 ปีที่แล้ว

      Acha wivu

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 ปีที่แล้ว

      Wivu tu makafiri

    • @AliMohamed-ng5ps
      @AliMohamed-ng5ps 8 หลายเดือนก่อน

      Uisilamu unakataza maovu inaamurisha mema kidume mazinge awezitembea uchi pole

  • @zou7470
    @zou7470 3 ปีที่แล้ว +12

    Mazinge allah akupe umri murefu uweze kuitetea dini ya allah 👏👏👏

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah 💓💓💓💓 mazing mungu akuzidishie umri

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 3 ปีที่แล้ว +36

    Mazinge Allah ampe umri mrefu anajua kutete haki bila kuweka ubadilifu wa neno.

  • @amurisabiti7037
    @amurisabiti7037 3 ปีที่แล้ว +3

    Allahu akbaru rehma na Amani kwa wahadhiri wetu wa kiislam wote mwenyezi mungu awape mwisho mwema Insha'Allah

  • @SalumBabu-su9fm
    @SalumBabu-su9fm ปีที่แล้ว

    Mashallah ALLAH awape afya njema na umri mrefu mashehe wetu muendelee kutufundisha zaid

  • @cadhimberec1286
    @cadhimberec1286 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah tunazidi kujifunza Allah awalipe kher mashehe wetu

  • @abdirashidkusow9141
    @abdirashidkusow9141 3 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah! Mungu abariki ma shiekh wetu... ... Sisi waislamu tunayo masimba(ma shiekh)

  • @abokrarshamsan7963
    @abokrarshamsan7963 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah sheikh wa watu jamen kipenz cha waja, mungu awalinde masheik bila nyie hatungeeza kuiendelez Dini y haki.

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +6

    ماشاء الله تبارك الرحمن جزاك الله خيرا 🥰🥰🥰🇴🇲🇴🇲🇴🇲🌹👌

  • @omarsalim5389
    @omarsalim5389 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah wallahi nasi twazidi kujivunia uislamu wetu

    • @bidafumbuka855
      @bidafumbuka855 3 ปีที่แล้ว

      Walimu wenu wameshindwa kujibu swali?

  • @khadijabintmohammadbintmoh8026
    @khadijabintmohammadbintmoh8026 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezi mungu akupe umri ulomrefu sheikh mazinge

  • @RatifaHamisi-um1vq
    @RatifaHamisi-um1vq 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mwenyezimungu awajalie kheri ❤💞💞💞💞💞💞

  • @mansooronlinetv535
    @mansooronlinetv535 3 ปีที่แล้ว +21

    Allhamdulilah waislam tunapendeza saana

  • @rahimaan6481
    @rahimaan6481 3 ปีที่แล้ว +9

    Allah atuwekee mazinge bado tunakuhitaji

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah ALLAH BARIIK always my brother

  • @khalfanmudibo3356
    @khalfanmudibo3356 3 ปีที่แล้ว +3

    In Shaa Allah Allah akupe hapa nakesho malipo Adhwim

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi ปีที่แล้ว

    Maasha.Allha shehe mazinge Allha akulinde uzid kuelimisha wasio kuwa waislam

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mazinge Allah akupe umri mrefu

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 3 ปีที่แล้ว +4

    🤔Haya majadiliano ya KIDINI kupitia waumini tafauti ni elimu nzuri sana na demokrasia halisi. Nafurahi kuona mijadala inaenda vizuri na kwa amani kabisa. Hongera waumini wote mliohudhuria.

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 ปีที่แล้ว +2

    Natamani siku moja kufanyike kongamano huku Zanzibar na Mazinge pia awepo Mana huku pia wapo tena wakaidi mno

  • @mathiaspmashibe5696
    @mathiaspmashibe5696 3 ปีที่แล้ว +1

    Usipompokea Yesu Kama bwana na mwokozi wa maisha yako unajilisha upepo

  • @stormediaproductions2170
    @stormediaproductions2170 3 ปีที่แล้ว +8

    Mimi namuamini mungu mkuu, mungu wa ibrahimu, isaka na yakobo...

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว +4

      Mungu wa Ibrahim,isaka, yakobo na yesu

    • @mohamedomar6944
      @mohamedomar6944 3 ปีที่แล้ว +1

      Jinalake Allah(s.w)

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Eloi eloi (Allah Allah) why u leave me alone.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@maherzain615 hapo na yesu mir sina mbavu. Mwenzio anaona yesu ndiyo mungu mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 Hahahaha

  • @saadanswaleh2213
    @saadanswaleh2213 3 ปีที่แล้ว +5

    Mazinge kiboko mashllah Allah barik

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 3 ปีที่แล้ว +6

    Tunajua kwa nn wamekunyima mda wanakuogopa Allah akuongoze she Mazinge uzidi kutuletea wageni kwenye uislam

    • @zalhathasaid2060
      @zalhathasaid2060 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeeh

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว +1

      Ye mwenye nae badili kwnda moja kwa moja aleta mambo ya salamu

    • @moza6560
      @moza6560 3 ปีที่แล้ว +1

      Mazinge Allah amuweke masha allah

  • @rajabushaibu8239
    @rajabushaibu8239 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana waislam kwa helimu bora

  • @gracenoah9239
    @gracenoah9239 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaman me ni muislam nlie slim najiuliza nlikuwa nachelewa WAP kuijua din hii ya haki Mazinge nampenda buree M/Mungu amlipe kheri

    • @denismgalah9219
      @denismgalah9219 3 ปีที่แล้ว

      Umesilimu bila kujifunza

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 ปีที่แล้ว

      @@denismgalah9219 kuna mambo sio hata ya kujifunz ni kutumia akili yko vizur tu hususan ukristo

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 ปีที่แล้ว

      Hongera sana Dada uislamu ni raha sna

  • @mrishokalamba
    @mrishokalamba 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah awape umri mrefu masheikh zetu 😂👌

  • @fatumazuberi4755
    @fatumazuberi4755 3 ปีที่แล้ว +2

    Muhadhiri wetu mazinge mungu atakulinda navijana wako wote wahadhiri

  • @omarymnola1011
    @omarymnola1011 3 ปีที่แล้ว +4

    Maa shaa Allah
    Naomba mzirushe mada kamilii jamn

    • @agathageorge7664
      @agathageorge7664 3 ปีที่แล้ว

      Naomba mawasiliano ya mazinge jmn tafadhali

  • @andrewtupa3835
    @andrewtupa3835 3 ปีที่แล้ว

    Waislamu wafate sheria ya dini yao na wakiristo wafate sheria ya dini yao, hakuna haja ya kuongelea dini mbili kwa wakati mmoja, mnahalibu Imani

  • @samweliolengaya9942
    @samweliolengaya9942 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmekosa kazi za kufanya hamjaitwa kwa ajili ya hiyo kazi mmeitwa kuwahubiria watu wamjue Mungu acheni kujichanganya na kuwachanganya kondoo wenu

    • @yusuphmashallah3732
      @yusuphmashallah3732 3 ปีที่แล้ว

      We kondoo kwelii

    • @onesmoelias8509
      @onesmoelias8509 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ss kondoo wanatuchanganya

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 ปีที่แล้ว

      Sas nyie ndo kondoo mliopotea na nd tunatk tukurudishen hapa

  • @aliidrisahmad5797
    @aliidrisahmad5797 3 ปีที่แล้ว +8

    Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh

    • @hamissimba5970
      @hamissimba5970 ปีที่แล้ว

      Waleikum ssalam warakhamatullah wabarakatu

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว +9

    Jazaakumullahu khaira 🙏

  • @zubedakazumba9405
    @zubedakazumba9405 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallh mje na mwanzA mtoe elim

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge mashaallah uko vizuri

  • @samwelemanuel4994
    @samwelemanuel4994 3 ปีที่แล้ว

    waislamu mnajidanganya yesu ndiyo njia ya kweli na uzima mwanzo na mwisho ole
    Wako msioamini mtatupwa jehanamu maana Zina kuja siku mwana waadam atakapo kuja kila goti litapigwa

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah jazakallah kheir

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbar Mungu awazidishie yaliyo ya kher

  • @abdallahmzava1798
    @abdallahmzava1798 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe umri mlefu wenye mafanikio

    • @faustienealexi2268
      @faustienealexi2268 3 ปีที่แล้ว

      Mi najua hao sio hawo mapasta waliomba uo muhazara ila najua ni sehemu ya kupunguza nja ni dili ta watu hoa ju hakuna mwanadamu anayeweza kutangaza dini ya Mungu Mungu anajitangaza mwenyewe haitaji musaadada wa mwanadamu anajizihilisha mwenyewe tu hao wanasema kama wanafanya kazi yake aliwatuma lini waache kujipendekeza na uo upuuzi uko East africa tu acha izo bwana hakuna asiyemujuwa Mungu

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakamu ALLAH khaira mashekh wetu

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah ampee umri n afya

  • @eliabuedward8755
    @eliabuedward8755 3 ปีที่แล้ว

    Naimani madhumuni ya kuanzisha midaharo si dhana ya kuondoa uovu duniani au kueneza habari za uzima,upendo,amani n.k.Embu tujikite kuutangaza wokovu wa kweli watu wamjue Mungu wa kweli. Dini haitampeleka mtu mbinguni

  • @kikongajoel5172
    @kikongajoel5172 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni muokozi wa dunia ukiamua kumfata yesu nafsi yako utaiona

    • @fatumaabdallah1064
      @fatumaabdallah1064 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh pole sana

    • @kikongajoel5172
      @kikongajoel5172 3 ปีที่แล้ว

      @@fatumaabdallah1064 hakika maneno yangu utakuja kuya kumbuka Sana yes u ni muokozi wa ulimwengu

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 ปีที่แล้ว

    Jamani Waislamu hawapigi makofi. Makofi wanapiga waisio waislamu. Unapolipokea jambo la kukufurahisha usipige makofi. Sema Takbir.

  • @rinompemba5926
    @rinompemba5926 3 ปีที่แล้ว

    Mazinge utabaki kuwa mazinge tuu . In sha Allah . Allah zaidi kukuongoza vyema

  • @africayetutv339
    @africayetutv339 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge unajifanya unajua sana hamna lolote

    • @fatumaabdallah1064
      @fatumaabdallah1064 3 ปีที่แล้ว

      Ww ndoo ujui chochote kwenye dini mbona amjampa mdaa wake mume gongaa kegere

  • @martinchansamwinyi2508
    @martinchansamwinyi2508 3 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah!
    🌹🌹🌹🌹

  • @nicolashardy4785
    @nicolashardy4785 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu mazinge nakupenda Sana tena sana

  • @kelvincray2345
    @kelvincray2345 3 ปีที่แล้ว +1

    Angaikeni kumtafuta MUNGU na kumjuwa wala sio kubishana na kujifanya mnamjuwa saana MUNGU

  • @yahyakuchi7501
    @yahyakuchi7501 3 ปีที่แล้ว +10

    mazinge kwa dunia yaleo ww huna mfano unajuwa unajuwa kutangaza dini ya allah kwa kikamilifu

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge nakupenda

    • @jeanmuzaliwa4054
      @jeanmuzaliwa4054 3 ปีที่แล้ว

      kwanza dawa lauyo mazinge yupo kenya anaitwa mwalimu francis ndacha.

    • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
      @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhhh mazinge tiba ya makafiri msomi huyo hamumuwez

    • @arthurnuhu8570
      @arthurnuhu8570 3 ปีที่แล้ว

      @@jeanmuzaliwa4054 ngo ndacha hhhh uyo anajuwa tu kuweka birak 🤣🤣🤣🤣

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      @@arthurnuhu8570 Kiboko cha makafiri

    • @arthurnuhu8570
      @arthurnuhu8570 3 ปีที่แล้ว

      @@mamymdogomamy3670 hhhh niatar kwel

  • @pascasmathew424
    @pascasmathew424 3 ปีที่แล้ว +5

    Dini ni nni? Mbona hata shetani ana dini . Ishi kitakatifu ukizingatia Sheria za Mungu. sio dini itakayokupeleka mbinguni bali ni utakatifu.

    • @shabaninuhu3616
      @shabaninuhu3616 3 ปีที่แล้ว

      Duh

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      Hizo sheria za Mungu utazijuaje bila dini

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      Innahillahih wainnalillah rajhun

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +1

    الله اكبر الله اكبر الله اكبر

  • @mrgeorgeisdory5277
    @mrgeorgeisdory5277 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hawagitaji wanao leta mizozo kuhusu Dini
    Mungu anahitaji wanao fuata maadili yake wenye himani ya matendo mema..... Kingine nawasaidia tuuu Dini ni Himani
    Acheni hivi vitu vinaleta uhasama fundisheni watu kumcha Mungu

    • @allymtungunyu2425
      @allymtungunyu2425 3 ปีที่แล้ว

      Mrgeorge ni kweli wafundishe watu kumcha mungu. Lakini tatizo hawamchi mungu ipasavyo anavyotaka mungu

    • @faustinemussa6842
      @faustinemussa6842 3 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa hao viongozi wanaoleta hiyo.mijadara hawatumii hakiri kwasababu ki2 dini nimani xx kunahajagani yakuleta ushindani wadini , Naunazani nani ambae anaushahidi kuwa dini anayoiamini ndio dini sahihi kwamaana watu wote tumekuta maandishi hatumjui kwasura mu2 alioyandika kunahaja gani yakuweka asilimia.zote. kikubwa kwamtazamo wangu naona huo niupumbavu ambao viongozi wamekosa kazi zakufanya nakuandaa mjadara wakijinga ambao hawajui utareta fitina..!!!

    • @allymtungunyu2425
      @allymtungunyu2425 3 ปีที่แล้ว

      @@faustinemussa6842 umezingua inamaana wewe kumbe hujui km dini yako ya haki au sio ya haki?

    • @faustinemussa6842
      @faustinemussa6842 3 ปีที่แล้ว

      @@allymtungunyu2425 Dini yahaki ipo moyoni mwako2 sio mrango unaoingilia kwenda kwenyeibada ndo uamini et ndio dini sahihi, hadi ujisahau nakuzarau imani yam2 mwingine anayoiamini. ila niwakumbushe2 kuwa huo ubishani wadini hautatupeleka popote zaidi yakutupotezea muda nakutuletea uhasama. Ahasante!

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      @@faustinemussa6842 Hivi wajuwa makafiri wa gp wame slimu kupitia hii miadhara??? Mwenyezi mungu ametuambia tukatazaneni maovu tuamrishianeni mema haya jee ukabaki nayo kwenye moyo wako ndio utakaa ufefwata maneno ya Allah???

  • @AshaMohamed-cy3oh
    @AshaMohamed-cy3oh 8 หลายเดือนก่อน

    Mazinge upo sahihi Sana wafundishe makafiri hao

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi najiulizaga sana lkn huwa sipati jibu! Kwani haiwezekani kufanya kazi ya Mwenyezi Mungu ya kuwahubiria au na kuwaongoa watu pasipo kuingilia dini na kukashifu dini nyingine tena watu wanashangilia baada ya kuutafuta Uso wa Mwenyezi Mungu!!!?

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

      Sasa MTU anahubirije bila kuambiwa Dini flani ni uongo ,Watu wanabudu moto masanamu na mizimu na Dini zingine za kutengenzwa ,kwaiyo ili uhubiri lazima useme ukweli

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

      IPI Dini yaki IPI ya uongo

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว

      hapo wameitana na kualikana kirafiki kujadili neno la Mwenyezi Mungu . Tambua waisilamu hawakuvamia kanisani bali wamealikwa , na ingekua hawataki wasingewaalika

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

      Kujadiliana na kuambina haki ni IPI IFATWE!!@Muhogo mchungu

    • @kibatofinest8840
      @kibatofinest8840 3 ปีที่แล้ว

      Fakiih so tuseme dini ya kikristo ni ya uongo????

  • @mustaphahemedy9447
    @mustaphahemedy9447 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akbr

  • @SamLamek-wk5ft
    @SamLamek-wk5ft ปีที่แล้ว

    Nice

  • @labanjoseph9307
    @labanjoseph9307 3 ปีที่แล้ว +3

    Mizinge mbona sababu nyingi ona sasa kilicho kukuta....hata swali haujajibu. Haujawatendea haki hauja tutendea haki

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 ปีที่แล้ว

      ww moga sana kuna mtu anamuweza huyo hapo tatizo hujasoma ungesoma ungejua kama suali si la elimu nq halina maana ya yy aliouliza

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 3 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mazinge chenga mbona kapotezana ahahahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 hajajibu swali kabisa jmn uwiii

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 3 ปีที่แล้ว

      Hawezi kujibu hilo afu waumini wa kiislam wanashangilia bila kujuwa dini ya masanamu niyao kulingana na ibada zao wanazo fanya kule Makkah.

    • @ismamansour2620
      @ismamansour2620 3 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasaofficial1629 Hiyo aya yakusema Waislamu tujadili na watu wa dini zilizo tangulia haipo kwenye Qur'an tukufu, aya hiyo inasomeka kama hivi
      ( ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُم بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ )
      النحل (125) An-Nahl
      Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka.

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasaofficial1629 hivi kati ya msikitini na kanisani wapi unakuta masanamu ?

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 3 ปีที่แล้ว

      @@mhogomchungu7168 makha mbona kunamasanamu au hamjui😂😂😂

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasaofficial1629Ni vizuri sana kama ungeanza kutambuwa anae stahili kuabudiwa ndipo ukarukia makka

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 3 ปีที่แล้ว +2

    Allahamdullih kweli kabisa waisilam watu wenye akili na hekma kwa kujibu mtu

  • @dimosoalfani21
    @dimosoalfani21 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona ikowazi kuwa wiisilam ndiyo dini yakweli nayamwezi mungu

    • @kelvinmakala5338
      @kelvinmakala5338 3 ปีที่แล้ว

      Hata Jina la Mungu unaandika kwa heruf ndogo, mnafuata upepo tu

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 ปีที่แล้ว

      @@kelvinmakala5338 😂😂 pumbuani huyu

  • @stormediaproductions2170
    @stormediaproductions2170 3 ปีที่แล้ว

    Allah ni mungu wa Muhammad na wafuasi wake majini

    • @rauhiyaswalehe285
      @rauhiyaswalehe285 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe kafiri ni mpumbavu kweli

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว +1

      katika biblia ya kiarabu Allah ni jina la Mwenyezi Mungu Mtukufu, sasa utasema wakiristo wote wanaotumia jina la Allah Mtukufu kuwa wanakosea ?

    • @stormediaproductions2170
      @stormediaproductions2170 3 ปีที่แล้ว

      @@mhogomchungu7168Allah wa biblia ya kiarabu na Allah wa Quran ndo mmoja?...nijibu halafu nikujibu swali lako...

    • @stormediaproductions2170
      @stormediaproductions2170 3 ปีที่แล้ว

      @@mhogomchungu7168 nilimaanisha Allah wa Muhammad nabii wa waislamu...maana hilo jina ni la kiarabu na ndo maana hata waarabu waikristo wanatumia but they are not the same daima..

    • @stormediaproductions2170
      @stormediaproductions2170 3 ปีที่แล้ว

      @@rauhiyaswalehe285 mpumbavu ni wewe unayedanganywa na huyo mpuuzi mazinge....kwa janja isiyo na dira....unawezaje kumuamini nabii ambaye hakuijua kesho yake..? Ila yesu pekee alisema yeye ni njia ya kweli na uzima huwezi kuuona ufalme wa mbingu pasipo yeye....na alikuwepo yupo na atakuwepo...haya huyo Muhammad yu wapi....?
      Namuamini ambaye siku ya mwisho atarudi duniani...kuchukua walio wake namuamini mungu huyo..., SO KUA NA ADABU MIMI SIO MPUMBAVU...

  • @bensonlangat640
    @bensonlangat640 3 ปีที่แล้ว +2

    Yesu leo kaonyesha waislamu mahala pa sala ni kanisani,

    • @nyatya199
      @nyatya199 3 ปีที่แล้ว

      Bali tumewaonyesha kuwa uislamu ni dini rahisi saana ibada popote mda wakuwa ni pasafi

    • @bensonlangat640
      @bensonlangat640 3 ปีที่แล้ว

      @@nyatya199 Okay Kanisani ni pa safi.na shukuru kwa hiyo.

    • @nyatya199
      @nyatya199 3 ปีที่แล้ว

      @@bensonlangat640 mpaka pakaswaliwa hapo ni pasaf pangekuwa na masanamu basi wasingeswali happy palikuwa safi kabisa hamna uchafu

    • @bensonlangat640
      @bensonlangat640 3 ปีที่แล้ว

      @@nyatya199 hapo unakuja vizuri.naamini kama kungekua na Mwezi na nyota hawangeingia.ndio maana kawacha mahali penye nyota na Mwezi.kaitwa Kanisani.

    • @nyatya199
      @nyatya199 3 ปีที่แล้ว

      @@bensonlangat640 inaonekana hujui maana ya sanamu

  • @sifamanyori
    @sifamanyori 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu arikuwa mupangani wanyubani kwa mama yake muzazizi munahangahikabure

  • @yusufujalui4454
    @yusufujalui4454 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @faustinemussa6842
    @faustinemussa6842 3 ปีที่แล้ว

    Asallaam aleiko!! naombeni niwakumbushe Tusikae tukijifurahisha kusikia maneneno ambayo siku yatihama hautahukumiwa kwadini uliosali au ww ulikuwa mutu marufu sana wauvishani katika dini, Tukumbuke ile siku yatihama utahukumiwa kwamatendo yako ulioyatenda wakati wauhaiwako .

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 3 ปีที่แล้ว +3

    Sioni afya ya mjadala huu ktk kuitafuta pepo ....kwa nn kila mmoja wetu asibaki na imani yake ?

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      Ww una Imani gn bila ya kumfundishwa na mashekh wp utafamu

    • @kibatofinest8840
      @kibatofinest8840 3 ปีที่แล้ว

      Mamy mdogo hasa kwa kubishana kutasaidia nini

  • @emmanuelwiva7103
    @emmanuelwiva7103 3 ปีที่แล้ว

    habari ya kiroho haimo ndani yenu enyi umma uliyopotoshwa,,,,,,,,,,,,,, kristo yesu ni adui yenu, mnampinga YESU dini yenu ni ya mpinga kristo JABARI.

  • @liwageboys4734
    @liwageboys4734 3 ปีที่แล้ว

    Waubir allh awazidishie daima

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaaAllah MashaaAllah

  • @frankalphayo1294
    @frankalphayo1294 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyekiti ww ndo umemuangusha Mazinge walau hata angesema hakuelewa swali sasa limerudiwa,na Mazinge kazamisha jahazi

    • @yohanaleopoldleopold2572
      @yohanaleopoldleopold2572 3 ปีที่แล้ว

      Acheni uchochez nyie

    • @allymtungunyu2425
      @allymtungunyu2425 3 ปีที่แล้ว

      @@yohanaleopoldleopold2572 uchochozi gani ndugu wakati hao wamekubaliana wenyewe wakae wazungumze na wala hawagombani

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 3 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge kama unauheshimu uislamu basi usikashfu UKRISTO maana unayemkashfu naye anakashfu UISLAMU, sasa sijui unajenga au unabomoa

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      Mashekh waongea na kujibu kupitia kwenye Quran wala sio kama nyinyi mnao okota vitabu vya story books

    • @kibatofinest8840
      @kibatofinest8840 3 ปีที่แล้ว

      Una uhakika gani mamy mdogo kuwa wakristo wanaokota vistory book????Mamy ishi maisha ya kumpendeza Mungu kusema kuwa wakristo wanaokota vistory book ni kukashifu dini ya kikristo na ni kama unajiona righteous mbele ya wakristo

  • @daud8785
    @daud8785 3 ปีที่แล้ว

    Ni vizuri mkaweka debate mwanzo hadi mwisho .

  • @livefans5914
    @livefans5914 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah
    Mashaallah
    Mashaallah

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว

      Ukifuatilia muhadhara ya Kenya ,halafu ulinganishe n Tanzania,Tanzania hamna kitu,kabisA,tunajitahidi, Kwa wahaziri WA tz ni watu wa mtaani ,makao makuu Yao sijui yako wapi,,,na jee michango itachangishwa mpaka siku ya kiama,au vip,natafuta mtu anieleweshe

  • @hassanidha3744
    @hassanidha3744 3 ปีที่แล้ว

    AA tu uplodie full clip

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @isharabella212
    @isharabella212 3 ปีที่แล้ว

    Dini ya kweli isiyosanamu. Ni Mashahidi wa Yehova

  • @shakilanyani1840
    @shakilanyani1840 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah Akbar,,,

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว +2

    Ustadh Mazinge usitusahau kutupa mrejesho wa safari yako ya Burundi au hukubahatika kwenda?

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaa.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      Hujambo portigues wangu

    • @jotafungo4622
      @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 namshukuru Allah waukae sijui huko?

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jotafungo4622 huku salama alhamdulilah❤❤❤❤

  • @mustafamasaibu9645
    @mustafamasaibu9645 3 ปีที่แล้ว +1

    Uislaam ni dini ya haqqi.

  • @mashallahroook7637
    @mashallahroook7637 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @peterntandu1919
    @peterntandu1919 3 ปีที่แล้ว +3

    Uhatari wa mazinge uko wapi?

  • @oscarpatrick3820
    @oscarpatrick3820 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna ukristo kabla ya Yesu Kristo, ukristo ulianza baada ya Yesu Kristo

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 ปีที่แล้ว

      Baada ya Kufa ndo ulipoanzishwa Ukristo

  • @josephlmalima450
    @josephlmalima450 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh mazinge ulitaka kuwaumbua ndani ya kitabu cha cheche za uasi , mapasta Wa kisabato wameogopa kukpsa mlo

    • @maghenonesmus7769
      @maghenonesmus7769 3 ปีที่แล้ว

      Mazinge wasabato wanafundisha vizuri yaani ,fanya maamuzi ingia sabato, umeambiwa ukweli mazinge kwa hoja

    • @maghenonesmus7769
      @maghenonesmus7769 3 ปีที่แล้ว

      Kijana mdogo kamfundisha mazinge mpaka akaelewa

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      @@maghenonesmus7769 Bendera utafwata upepo mpaka lini ww utaenda chomwa tubia ufwate haki kafiri hawezi salimika na moto wa jahanam

  • @kingarthur4634
    @kingarthur4634 3 ปีที่แล้ว +1

    It's hard to imagine how the strapping the word of God in front of People like this ( This man he call himself Mazinge is a corn Artist ) his training to impose himself to the Muslim community that is right and Christian their wrong I think the coverment the should not allow this kind of habit to happen coz some people the will take in a wrong way n, someone will get hurt here... Trust me am telling u,

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว +2

    Sh mazinge nooma

  • @athumanialy9085
    @athumanialy9085 3 ปีที่แล้ว

    Daa. Vijana wamekua sana

  • @ramadhanidaudihaji2174
    @ramadhanidaudihaji2174 3 ปีที่แล้ว

    Makafiri wakaidi Kama mmshipa wa ngirii,dini yakweli na ya haki ni islam ☝️🤲

    • @tumainimfinanga8750
      @tumainimfinanga8750 3 ปีที่แล้ว

      Aisee.

    • @kibatofinest8840
      @kibatofinest8840 3 ปีที่แล้ว

      Oe ramadhani kabisaa yaonekana kiasi chako cha kufikiria ni kidogo sana utasemaje ivo ndugu sidhani kama kwa Qur'an kuna mahali imeandikwa eti wakristo ni makafiri

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge porojo

  • @wizzboycachannelpascalezek8714
    @wizzboycachannelpascalezek8714 3 ปีที่แล้ว

    Kazi mnayo

  • @stormediaproductions2170
    @stormediaproductions2170 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu shekhee ni mpumbavu ...maana anahusisha dini na lugha...halafu kitu kingine Imani ni suala kubwa sana kwani hakuna atayekiri kwamba mungu wake ni muongo...!!!

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu kama babako

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu ni ww unae kula nguruwe na mavi kanisani

  • @aminasalum5864
    @aminasalum5864 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah.

  • @mohamedimafuluka6414
    @mohamedimafuluka6414 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah

  • @officialyohanamalisa1873
    @officialyohanamalisa1873 3 ปีที่แล้ว +1

    Ninyi jadilianeni tu, ila mtambue Quruani inanena kwa Habari ya Kristo Yesu, kuwa mkombozi wa Ulimwengu, na Hakuna aendaye peponi pasipo kumkiri yeye. Naye amesema. Wajainuladhina tabauka, faukaladhina kafaru. Ole wenu

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 3 ปีที่แล้ว

    Waislamu mmeshindwa,,,, DINI ZILIZO TANGULIA🤣🤣🤣ZAMANI UISLAMU HAUKUWEPO

  • @francismutiga7093
    @francismutiga7093 3 ปีที่แล้ว

    Uyo mjamaa amekwepa swali adharani🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge kashindwa kujibu swali

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akbar