mashaAllh ustadh Bakoz kwa kweli umefikisha ujumbe kwa wahusika. Nimeangalia hii video mara nyingi sana. Asanteni sana kwa kazi nzuri Allah atawalipa hapa Duniani na malipo makubwa zaidi huko Akhera.
Mashaallah mashekhe wetu Mungu awahifadhi mashekhe wetu muna fungu kubwa kwa Mungu kuwa ongoza watu kama hao kuwaonyesha njiya ya sawa ya haki Alhmdulilahi Mungu awape afiya njema na umri mrefu inshaallah muzidi kulimisha watu kutoka kenya khadija said Nahdi mld
Ustadh bakozi umeongea ya kweli ndo maana hata kunawakrito walikuelewa na kutikisa kichwa kwamba umefundisha. Umenikumbusha almarhum Deedat. Allah akuongoze na akulinde na kila mitihani.
@@allymtungunyu2425 Ndio kama unaswali uliza ila Mimi nimeuliza sijajibiwa nimeuliza kwamba hii ya waislam kukamua maiti mavi hii nayo niyamitume na manabii??
Tune from kenya mashallah uyu bwana heko kwake asema yeye mwalimu afundisha ili watu waelewe sio kuhubiri tuu..wallai ata kama mwanafunzi bonzo majibu yote akupa...
😁Yaani hadi raha shekh ibrahim bakozi unatufundishavhadi tunakuwa na sura ya kutabasam allah akupe umri mrefu sheikh yakuilingania dini ya hakki ya uislamu 🙏
Thank you Sheikh Mazinge, other sheikhs, and the Christian clergy and ministers. These kinds of debates, or rather, discussions remove misconceptions. We are One Humanity under One God ( for aren't we all monotheists?) This is nopt about who is right or wrong. This is more about mature debates. We shall not hurl earth and stones on each other, for the one who hurls earth on the other, he himself sinks further down. Always maintain civility. God is the ONE going to judge us all. Let us be SINCERE, ask God to grant you the absolute TRUTH, not the truth that one is biased from the start to believe in. No bias, no favorism, no kabila, or dressings style, or color, or language one speaks. Once you remove those biases, see if you will not, for sure, a 100% surety with of course God Willing, be guided to the truth. I am a Muslim from Canada, and I love my Christian brothers and sisters. Peace be upon you all and peace be upon Jesus Christ and upon Muhammad, those sent by God the Creator. Ray, from Canada
Kakangu nikwambie usifuate dini gani yakwanza au ya pli. Tafuta nikipi kinakufaa kuinusuru Roho yake mble ya Mungu. Kipi chakuamini na kwa nini umeamua kuamini ulichoamua kuamini
mashaAllh ustadh Bakoz kwa kweli umefikisha ujumbe kwa wahusika. Nimeangalia hii video mara nyingi sana. Asanteni sana kwa kazi nzuri Allah atawalipa hapa Duniani na malipo makubwa zaidi huko Akhera.
Jazakallahu kheir ustadh bakozi.. Mungu akujalie wepesi ktka maisha yko
Ameen Allah ampe umri mrefu wakheri..
Mashaallah mashekhe wetu Mungu awahifadhi mashekhe wetu muna fungu kubwa kwa Mungu kuwa ongoza watu kama hao kuwaonyesha njiya ya sawa ya haki Alhmdulilahi Mungu awape afiya njema na umri mrefu inshaallah muzidi kulimisha watu kutoka kenya khadija said Nahdi mld
Shukrni sna sheikh,,,kwa kweli uislamu ndio dini ya manabii wote tuko pamja kutoka Kenya
Juma khamis mashalla
twaiyib (mashaallah
Uko vizuri Sheikh Na umekuwa Na makini unaeleza vizuri mwenye kufahamu atakubali bila shaka mwenye kupinga ni ujinga wakwe
Mashallah nawapongezeni wote mrioshiriki walimu wote wapande mbili nijambo jema kujadiliana kwa upendo na aman M/Mungu awabariki na atuongoze wote
Allah Akubarik Bakozi Akupe umri mreeeeeefu, Amiiin,
Mashaallah Allah akuzidishie ilmu zaidi nafurahi kakangu kusoma raha na uislam raha 🥰🥰🥰🥰👌👌👌👌trasfomer ya Allah hio 💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Ustadh bakozi umeongea ya kweli ndo maana hata kunawakrito walikuelewa na kutikisa kichwa kwamba umefundisha. Umenikumbusha almarhum Deedat. Allah akuongoze na akulinde na kila mitihani.
sahihi nimewaona wakristo wakitikisa kichwa ni ishara ya kuelewa
MashaAllah tabarakallah.great muhadharah.Allah awabariki yarabi
Jazakalahu kheir maashalah nice yani napenda vile una fafanua vizu tena kwa ujasiri kwa unacho kifundisha mungu akupe hekima zaidi
Mashallhaaa bakozi mungu akuzidishie elimu
Maa Shaa Allah, awalipe na awaongoze ktk kuuelimisha umma
Masha Allah tabarakallah
Mwenyezi Mungu awape umri mrefu tupate kuelimika
Hebu jiulize hii yakukamua maiti mavi tumboni hii NAyo niyamitume na manabii???
@@charlesjoseph2092 qur an unaijua na bibiria?
@@allymtungunyu2425 Ndio kama unaswali uliza ila Mimi nimeuliza sijajibiwa nimeuliza kwamba hii ya waislam kukamua maiti mavi hii nayo niyamitume na manabii??
@@charlesjoseph2092 mimi cna taaluma ya midahalo kaka
@@allymtungunyu2425 Lakini si wewe unaamini Uislam ndio ulikuwepo tangu awali?
Hata wale waislamu wasiojiamini kwenye uislamu wao umewagandisha hawatoki tena Allah Akubarik Bakozi na wenzio inshaallah
Tune from kenya mashallah uyu bwana heko kwake asema yeye mwalimu afundisha ili watu waelewe sio kuhubiri tuu..wallai ata kama mwanafunzi bonzo majibu yote akupa...
Sheikhewangu asantesans walinganie hao ndugu zetu walio ionahakiwaksipa mgongo walinganie iposiku jakiwataitambua tu
Masha Allah shukran jazeelan sheikh wetu
Amina ibrahim bakozi allha akulipe mema innshalla
Allah awape kila kheri mashekh wetu na hao wakristo allah awape kufahamu. Uislamu raha tupu na akhera ni peponi. Ameen
Wallah cjutii kuwa Muislam aisee
MashAllah.... mwenye alibahatika kua mwislamu basi
😁Yaani hadi raha shekh ibrahim bakozi unatufundishavhadi tunakuwa na sura ya kutabasam allah akupe umri mrefu sheikh yakuilingania dini ya hakki ya uislamu 🙏
MashaAllah Allah awalinde ma sheikh nyote na awalipe kheri Leo duniani na kesho akhera
Maashallah tabarakallah lnn Sha Allah mungu awaongoze waadhiri wetu alhamdhulillah kwa kua muislam
Nafurahi Sana hawa wanao soma Masha Allah 👏👏👏👏👏 kwakweli uislam raha ,❤❤❤
Alhamdulillah
Thank you Sheikh Mazinge, other sheikhs, and the Christian clergy and ministers. These kinds of debates, or rather, discussions remove misconceptions. We are One Humanity under One God ( for aren't we all monotheists?) This is nopt about who is right or wrong. This is more about mature debates. We shall not hurl earth and stones on each other, for the one who hurls earth on the other, he himself sinks further down. Always maintain civility. God is the ONE going to judge us all. Let us be SINCERE, ask God to grant you the absolute TRUTH, not the truth that one is biased from the start to believe in. No bias, no favorism, no kabila, or dressings style, or color, or language one speaks. Once you remove those biases, see if you will not, for sure, a 100% surety with of course God Willing, be guided to the truth. I am a Muslim from Canada, and I love my Christian brothers and sisters. Peace be upon you all and peace be upon Jesus Christ and upon Muhammad, those sent by God the Creator. Ray, from Canada
Mashalllah sheikh jazaka llahu khaira
Mashallah.wape vitu muheshimiiwa uwislam fini wa llah
Really I'm proud of my self and my diny. Ilove my self coz I'm muslim
Mwenyezi Mungu awape umri mrefu muishi miaka 800
Bacoz bacoz bacoz na mashekh wote mungu awahifadhi
Aamina
ALLAH AWAPE HIDAYA NA SISI WAISLAMU TUMUABUDU TUSIWE WAISLAMU MAJINA ... AAMEEN.
Mashallah hadi rahaa wallah nawependa kwa ajili y Allah 🇰🇪
Bi Aisha asalaam aleykum dada
Amiiin
Jazaka Allah khaira shekh
Sheikh umeingia kwa uzuri saana jazaakumullahu khaira 🙏
Wallah huu mdahalo ulikuwa wa kimataifa,
Allah awalipe kheri
Bakozi
Hapo jibu ni moja tu kwamba manabii wote walikua wanyenyekevu kwa maana kwamba waislamu kwaiyo imeisha hiyo
mashaAllah
Maashaallah kweli uislam ni dini ya haqqi
Allah awalipe kheri nyingi masheik
Alhamdulillah alhamdulillah alhamdulillah, kuwa muislam
Ku
Allah azidishe nguvu katika dinni ya hakki amin
Uislam raha sanaaaa🙏
I'm very happy to be muslim
Mashaallah mashaallah tabarakallah Allahu Akbar
Mashallah mungu atujalie kher akuzidishie umri
Takbir Allah Akbar...😊
Allah awalipe kila la khery Inshalah
Let vitu bakoziiiii
Wacristo macho NGOOOOOOOO
Mashaallah 💓 mashaallah 💓 mashaallah 💓❤️❤️❤️😍
Jazakallah khaira
Hii midahalo inatoa elimu kubwa sana🇹🇿
Kuna tofauti ya kuhubiri na kufundisha ...Hapa Tumefundishwa
jazakumullahu khaira wabaada khair jannatulnaim
Wakiristo vipofu sana masikini wako hasarani wamepotea vibaya sana
Mashallah Bakozi nipe number yako
Kichwa ichi hatari sana
Mazinge hata
Mazinge hawa ndo warisi wako
Tallent iyooo wakristo
Mashaallah jooni na uku jamani kwetu kigoma vijijini
Kigoma vijijin sehem gani
Maashallh
Bakozii tuweke juu waislam
Mashalla uwislamu ni dini ya kweli
Kadinari pengo ndie alie zuia mihadhara matokeo ya wasilam wliritadi sana
Shekh umefit na kama kunamtu hajaelewa, huyo atakua anashida ktk uelewa
Kristo ndiye DINI(NJIA)
Wakristo hawana hoja hata siku moja.
🎉
Waislam takbiiiir
ALLAHU AKBAR
Mashallah
Wallahi Raha mmevamia kanisa nammmewafunza wakae kiislam sioni minsket naziona njemba zimecool kiislam zaidi yaani penda mimi
Hahaaa,baabaaaa!
Ma shaa Allah
Ma shaa Allah
Ma shaa Allah
Nakupenda skekh kwa ajili ya Allah wallahi mko sawa kabisa namuomba Allah awahifadhi yaa rabb
Hawasomi Ila wanasomewa 2 Wala hawauliziiiii ,,,,ni ndiooo Kira kitu ndio
Weka full
Nawape ushauli mkiona kanisa limenyakaliwa musikubari kuekewa microchip maana kutakuwa na mateso lakini mwenye kuvumilia ndie atakae okoka
Mashaallah
Huyu shekhe anaehubili ni nani selemani mazinge au Allah amhifadhi
Bakozi
@@tajirikajembe1270 ok
Hii midahalo naomba iekwe full na isiwe vipande vipande maana mtu unapata tabu kuunganisha vipande
Wenzetu wanajua haki ilipo ila ubishi tu kibri
Mashaallah
Yesu anawapenda
Allah akujaaliye uone ukweli InshaaAllah
@@ramadhanomar5152 hata Mimi nakuombea Yesu akuonyeshe njia sahihi Yesu anakupenda
@@gracecypilian6557 wacha ushabiki dada soma maandiko uyaelewe Kisha ufanye uamuzi
@@ramadhanomar5152 kama Kuna shabiki hapa Basi niwewe maana wewe ndie unanijibu wakati sijakuuliza
@@ramadhanomar5152 Usha fanya uwamuzi wako bila ushauli wangu Basi nawewe huna haki ya kunishauli kaka
Nyiebwa makafiri mbona mnakata vipande vipande
Alhamdulillah
Mim nachoka na yesu na kuona hana adabu pale alimuita mama yake mzaz mwanamke,
😂😂😂😂
Antokiya ambayo ilikuwaIku ikiitwa Antioch ilikuwa Chini ya ufalme wa Roman Empire Constantinople Lakini sasa ni Turkey
Mwanza nunawakalibisha sana sana saaaaaana
Asielewahapo hatoelewa
Kuluthum ally
K8
Ukweli ni kwambaa..yesu ndie njia si Muhamed...Muhammad alitokomea wapii?
Tatizo maandiko yanapingana na maneno yako
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojali
Bakozi kanena kweli biblia inafundisha vingine na wachungaji wanafundisha vingine
Yule sheikh Yahaya mpeuyo yukowapi mbona haonekani
Kashatangulia mbele yahaki uyo
Innalillahi wainailayhi rajjiun , yahya mpe alishatangulia mbele zahaki ALLAH AMREHEMU
Kasha kufa
🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
U islaamu raha
mh! bishaneni tu Ila tukutane paradiso.
😄😄😄😄😄 wait and see
😂😂😂utaenda mwenyewe
@@yahyasalum5634 Yesu anawapenda
@@khadijeyjumar6794 Yesu anawapenda
Km paradiso ya baba Ako mutakutana,lkn km ya mwenyezimungu mtasahau
Vit hivi tulivimis san
Munatupa tabu hatuju ipiyakwaza wala yapili tunakubeni mlofanya records kwahisani zenu muzipage ikiwa mnataka nasitupatefaida .
Kakangu nikwambie usifuate dini gani yakwanza au ya pli. Tafuta nikipi kinakufaa kuinusuru Roho yake mble ya Mungu. Kipi chakuamini na kwa nini umeamua kuamini ulichoamua kuamini
anakusdia clip huyu
A
Wekeni daki30 za mazinge
Ass.alaikum. nawaomba muurushe mjadala wote musiukate kate
Kwasababu tunapata shida kujua ipi ya mwanzo na ya mwisho
Angalia kwa u tube vizuri kaka utaupata full muhadhara InshaaAllah