RAIS SAMIA AMSHANGAA MWEKEZAJI MCHINA AKICHAPA KISWAHILI SAFI | TUTACHAPA KAZI HAPA USIKU NA MCHANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mchina umejitahidi kuzungumza kiswahili. mashaallah.

  • @barakambasile2651
    @barakambasile2651 2 หลายเดือนก่อน +11

    Asante jpm kukitangaza klswahili

    • @Kim19onlinetv
      @Kim19onlinetv 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaha kiswahili lilijulikana kabla ya magufuli

    • @abdulrahmanally1412
      @abdulrahmanally1412 หลายเดือนก่อน

      Acha ufala, kiswahili kimezungumzwa before the deceased

    • @Mumewangu
      @Mumewangu หลายเดือนก่อน

      @@Kim19onlinetv huyo chizi magufuli kaingiaje apo

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx หลายเดือนก่อน

      Magufuli mwenyew kiswahili hajui anaongea kiswahili Cha kisukuma

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv หลายเดือนก่อน +2

    Me too I'm speaking Chinese ❤❤❤❤from 🇨🇳 kwa sasa ila nimezaliwa Tanzania 🇹🇿

    • @IssaAbushehe
      @IssaAbushehe หลายเดือนก่อน

      Good

    • @khamiskhamis9947
      @khamiskhamis9947 หลายเดือนก่อน

      Really???

    • @emanuermbata8745
      @emanuermbata8745 หลายเดือนก่อน

      Vizuri, ila kunanafasi ilikwepo bomba la mafuta walitaka m2 jama ww

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 2 หลายเดือนก่อน +6

    Safi Sana Mama Samia ooyeee 🙌

  • @ayoubbenta4499
    @ayoubbenta4499 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hi china,asante sana kwa kukuza ,kuendeleza,kusimamia na kuongea kiswahili hongera sana hongereni sana watu wa china’watanzania na east africa, na africa kwa ujumla tunawaomba tukikuze kiswahili

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera kwako Muwekezaji toka China

  • @mathiasmichael9915
    @mathiasmichael9915 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mama Samia Asante Sanaa DK. JP Magufuri

  • @shaban6644
    @shaban6644 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mchina Yuko Vizuri, Hongera Mama.

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yupo vizuri sana

  • @enosFrank-r8f
    @enosFrank-r8f 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sn dada

  • @meshacksabuni7541
    @meshacksabuni7541 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli wenzetu wako serious na mambo yao. Mbali na matamushi yake kuathiriwa kidogo na lugha ya kichina, sarufi yake iko vizuri.

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana,sasa nasi tujifunze kuwa Kiswahili kinapendwa ,China na Japani wanaongea luga zao lakini unasikia raha sana kusikia wageni kama hawa wakiongea ruga ❤❤❤❤

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz หลายเดือนก่อน

      Lugha na sio ruga au luga hapana ni lugha.

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera.. shunshaaaa

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana

  • @alexolelaba6118
    @alexolelaba6118 หลายเดือนก่อน +1

    Waoo congratulations

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 2 หลายเดือนก่อน +3

    Umejitahidi kwakweli 😅❤

  • @user-pj8cj7ps5b
    @user-pj8cj7ps5b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri mchina safi sana tuko pamoja

  • @Halphan-cw3de
    @Halphan-cw3de 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mchina anafurahisha na kiswahili chake😂

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu ss tukikosea kiswahili tunachekana

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mmh

  • @user-rs1bo1ic7j
    @user-rs1bo1ic7j หลายเดือนก่อน

    Tres bien madame ❤❤❤❤

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tizama wenzetu wanavopenda lugha yetu lkn ss tunakidharau kiswahili

    • @Mumewangu
      @Mumewangu หลายเดือนก่อน

      Ana jambo lake tu analitaka. Pia kwao ukienda utazungumza lugha gani

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukute kuna mtanzania hawezi kuisoma hata lugha yake. Ila natambuwa si wote wamepata bahati ya kupita primary school.

  • @HappnessYohanaRohongo
    @HappnessYohanaRohongo 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤🎉🎉

  • @dotolinos3750
    @dotolinos3750 2 หลายเดือนก่อน +2

    wanao msifia wote bumbavu zenu. Mrundi akiongea Kiswahili namuna hiyo mnamcheka.

  • @jacksonmbonea7411
    @jacksonmbonea7411 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana😢

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 หลายเดือนก่อน +3

    🇹🇿🇹🇿🌹👏

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tupende Watoto Wetu kuongea..Kiswahili lugha zingine ni Ziada tu..tusijivunie watoto wetu kuongea lugha za kigeni.

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 2 หลายเดือนก่อน +3

    Halafu baadhi ya watanzania hawapendi kiswahili! Bila sababu ya msingi mzungumzaji anachanganya kiswahili na lugha ya kiingereza hasa wachambuzi wa habari kwa dhana kwamba kwa kufanya "ulimbukeni" huo wataonekana wameelimika sana! Kwa bahati mbaya mpaka viongozi wetu wakuu nao ni mchanganyo wa lugha. Majuzi kati nimemsikia kiongozi mmoja wa enzi hizo akisema "kiongozi wako wa juu akikosea basi wewe wa chini haraka sana unamkava" akimaanisha neno la kiingereza "cover" Nikachoka kabisa! Watanzania tuipe thamani lugha yetu ya kiswahili. Wahenga wamesema kipende chako na mdharau kwao ni mtumwa!

    • @LiisaMaisha-is1hi
      @LiisaMaisha-is1hi 2 หลายเดือนก่อน

      Umesema ukweli inanikera mtu akichanganya kingereza na kiswahili.tuvunie lugha yetu inayotuanganisha watanzania wote.

    • @BJMKANGALA1
      @BJMKANGALA1 2 หลายเดือนก่อน

      @@LiisaMaisha-is1hi asante Mkuu tusaidiane kupaza sauti kupigania lugha yetu ya kiswahili itumike kiufasaha kama kiunganishi cha Taifa. Mimi na wewe na yule tukiungana tunaweza kuwabadilisha tabia hawa "matapeli" wa lugha!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน

      ​@BJMKANGALA1 Ni kweli lakini na hao wanaojiita Wataalam wa Kiswahili wanatuharibia lugha hii mfano" Komputa" kuita kidadavuzi mpakato. Kwangu mimi bora hao wanaochanganya na Kiingereza. Kiswahili kwao ni pwani hasa Zanzibar.Kila mtu kutaka eti awe mtaalam wa Kiswahili wanakiharibu sana.

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safisana mchina

  • @Mumewangu
    @Mumewangu หลายเดือนก่อน +1

    Kachina ana kasura kazuri sana hasa kajicho chake

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂haya sasa

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน +2

    We don't need chains lnvestor in Tanzania why chains are selfish want to seal everything in Africa not even giving Africa technology to lnvested at list Africa benefits even machine of creat spoon or stick of clean teeth chains can't creat here in Africa chaina want to hold every single thing in Africa disappointed our africa leader asepty such move tunaimia sana ktk mataifa yetu ya kiafrica mpaka nchiti za kiberiti machine itoke china viberiti vitoke china miti yetu wenyewe aibu toileti papar machine china Sasa hii ni aibu kwa mataifa yetu ya kiafrica jee lini Wana sayansi wetu watskwenda kuongeza ujuzi wao ktk nchi zilizoendelea waje kuwa Creator ktk mataifa yetu ya kiafrica km vile lran

  • @smstore5535
    @smstore5535 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂❤

  • @Mumewangu
    @Mumewangu หลายเดือนก่อน

    Tanzania yote wanaozungumza kiswahili ni asilimia 45 tu. Lugha ilobakia niza makabila. Sasa kwa nini tusizungumze kishwahi sote

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tusipende sifa sana

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 หลายเดือนก่อน

    Tumpe ubarozi wa kiswahili pale Ubungo kwenye kituo Cha uwekezaji

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 หลายเดือนก่อน

    Awa wawekezaji wote wamejua wakija hapa Tanzania wakiongea kiswahili tuu mnawapa kipaumbele kwahiyo wanakuja na propaganda za kiswahili Ili msaini nikataba Yao 😂😂😂😂😂

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 หลายเดือนก่อน

    Mnashanga kiswahili wanakuja tuu kutuibia ao

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂,😂😂😂😂

  • @user-rt3jo1ij3s
    @user-rt3jo1ij3s หลายเดือนก่อน

    Vp huyo mchina kaolewa

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂ndio ameolewa anamtoto mmoja tena wakiume mimi namfahamu nipo huku 🇨🇳

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe anasoma

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน

      Na wewe tukikuandikia Kichina utasoma?

    • @baloz8974
      @baloz8974 2 หลายเดือนก่อน

      Akili zako haziko sawa ,kila hotuba ya kikao baina ya wawekezaji na serikali lazima iandikwe

    • @allymnyenye8109
      @allymnyenye8109 2 หลายเดือนก่อน

      Achana na kenge huyo​@@hajihassan5433

  • @jjjhhb4300
    @jjjhhb4300 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂

  • @suleimanikirassahassan9711
    @suleimanikirassahassan9711 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiswahili gani wakati ameandikiwa anasoma

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน +5

      Na wewe tukikuandikia kwa Kichina utaweza kutusomea? Usiwe mgumu kutoa pongezi!

    • @baloz8974
      @baloz8974 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@hajihassan5433 swali zuri

    • @baloz8974
      @baloz8974 2 หลายเดือนก่อน

      Hotuba zote watu huandikiwa ijulikane ni nini agenda ya kikao. Sasa wawashwa wapi .?

    • @isaacvtv547
      @isaacvtv547 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi wakikuandika ki china usome kama yeye utaweza?

    • @kidatokassim7616
      @kidatokassim7616 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ukiandikiwa kichina utaweza 😂😂

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh