LIFE WISDOM : KAMA HAUJUI UFANYE NINI, SIKILIZA HII - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 50

  • @grifencemwamtobe
    @grifencemwamtobe หลายเดือนก่อน +8

    Asanteh sana Dr.unatusaidia sana uzid kuongezewa maarifa zaid ili nasi tujifunze zaid,,,,

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน +2

      Ameen nashukuru sana

  • @saliingao2072
    @saliingao2072 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akulinde na Kila Jicho lenye HASAD na Ulimi wenye UOVI juu yko Daima JEMEDAR wangu
    Kujisisikiliza KIROHO imenifanya niwe IMARa ma mwenye FURAHA ya ndani ktk kila hatua na imenipotezea watu wengi wasio sahihi kwamgu.
    Hakika umesema kweli SHUKRA SANA.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน +2

      Amin Ahsante sana sana

  • @Betha-y6z
    @Betha-y6z หลายเดือนก่อน

    Mungu akubalikia Sana kwa kalama kipawa alivo weka ndani yako kuasidia watu balikiwa Sana,

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w หลายเดือนก่อน +3

    Kaka ubarikiwe sana❤

  • @claudjohn
    @claudjohn หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwa somo mwalimu wangu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน +2

      Nashukuru sana

  • @sadickhassan8764
    @sadickhassan8764 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akibariki kaka nami pia anibariki niwe msikivu mzuri na muelewa kwa kila fundisho unalotoa

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน

      Nashukuru sana

  • @yahayasaidi5394
    @yahayasaidi5394 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki kaka mm najifunza sana naomba kuilza eti meditation n sahihi kufanya ili kujua hatima ya maisha yetu

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa หลายเดือนก่อน +2

    Somo zuri Sana asante barikiwa

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 หลายเดือนก่อน +2

    Naam mwalimu👏👏

  • @JacklineEdwin-j2w
    @JacklineEdwin-j2w หลายเดือนก่อน

    Mungu akueke

  • @AbdulMakame-w5v
    @AbdulMakame-w5v 16 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kaka kwa ujumbe mzuri.

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 หลายเดือนก่อน

    Kaka Asante kufundisha Mungu akutunze

  • @Consolata.1
    @Consolata.1 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana, kiongozi.

  • @mariaslaa921
    @mariaslaa921 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana kaka.

  • @pialafrance7922
    @pialafrance7922 หลายเดือนก่อน

    Asante sana my mentor ❤❤❤

  • @michaelsafari
    @michaelsafari หลายเดือนก่อน

    Thank you Mr Joel ,kila wakati unani inspire

  • @AllyPeter-f8z
    @AllyPeter-f8z หลายเดือนก่อน +2

    asante sana

  • @SamiathMohammed-mb4jk
    @SamiathMohammed-mb4jk หลายเดือนก่อน +1

    Tunakupenda❤ kaka Joel Mwenyezimungu akubariki🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน

      Ameen ahsante sana

  • @HaniyaKisingo
    @HaniyaKisingo หลายเดือนก่อน

    Nimepata kitu kikubwa sana barikiwa 🎉❤

  • @jameshirima
    @jameshirima หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani sana DR

  • @MartinNelson-g7r
    @MartinNelson-g7r หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki brother joel

  • @neemalyimo9244
    @neemalyimo9244 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana kaka Joel God bless u❤

  • @twahasuleiman-lo9vl
    @twahasuleiman-lo9vl หลายเดือนก่อน +1

    Asanteh sana! Kaka... Umenigusa mpk kwenye veins. Kwasabab napitia shida na nitachukua... Maamuzi sahihi.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน

      Ameen Ameen

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j หลายเดือนก่อน +1

    Kaka joel God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @FredrickSeshahu
    @FredrickSeshahu 28 วันที่ผ่านมา

    Du!! Yaan ni kama unaona kinacho Kuta sir Joel Sabab mwenyewe najikuta nafikilia sana kwamba ya Nini niliamua kufanya mamzi ya kufanya kazi niliyo nayo

  • @StanslousMpangala
    @StanslousMpangala หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi Mungu akubariki

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 หลายเดือนก่อน

    Thanks coach

  • @LatifaAbbas-f3m
    @LatifaAbbas-f3m หลายเดือนก่อน +2

    Dr.joel nahitaji vitabu vya timiza malengo ,navipataje online

  • @graimignasy2662
    @graimignasy2662 หลายเดือนก่อน +2

    🙏🙏🙏

  • @carolimichael
    @carolimichael หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kujipa muda wa kuwa mwenyewe ili nifanye maamuzi mazuri.

  • @AgnesJohn-xn3jx
    @AgnesJohn-xn3jx หลายเดือนก่อน +4

    Dr nip geita natamani nikupigie simu nakupataje

    • @shanqawi_tv
      @shanqawi_tv หลายเดือนก่อน +3

      ukisha maliza kutamani utamuambi kama unataka kumpigia SIMU 😂😂

    • @Dromarisemsango
      @Dromarisemsango หลายเดือนก่อน +1

      ​@@shanqawi_tv😂😂😂

    • @jonijjoo
      @jonijjoo หลายเดือนก่อน

      Atakujibu tuu Dada na utampat wasikucheke kuwa mpole tuu

    • @tyronefunny
      @tyronefunny 9 วันที่ผ่านมา

      Angalia namba zimeorodheshwa apo kwenye Bio fanya upige

  • @Prime00477
    @Prime00477 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @Betha-y6z
    @Betha-y6z หลายเดือนก่อน

    Kwa haya niliyoyasikia nainuka kwa ujasili na kusonga mbele teena

  • @hadidjaissa9154
    @hadidjaissa9154 หลายเดือนก่อน +1

  • @bethachavu8040
    @bethachavu8040 29 วันที่ผ่านมา

    Utawezaje kumsaidia mtu anayeweka malengo lkn kutimiza malengo hayo hawez je, nini kinachofanya mtu anakuwa hivy na solution yake ni nn

  • @Mussamatala
    @Mussamatala หลายเดือนก่อน

    Brother nimekufatiria mara nyingi sana ila akuna siku yote uliyoongea umegusa moyo wangu ni leo yan najiona kama nipo chumba kimoja cha mshauri nasaha hiyo hali ndyo ninayopitia nafanya kaz nalipwa 145000 nataman kuacha nafsi inaniambia nitoke pale mana ndoto zangu sizion kwenda kutimia ila ninachokosa cha kujiamin ni nini naenda kufanya baada ya hapa japo kuwa ndoto zangu naona zinaenda kufifia😫😫😫😫😫😫

  • @AdrianoJohn-e3l
    @AdrianoJohn-e3l 19 วันที่ผ่านมา

    👀💪🪂

  • @AdrianoJohn-e3l
    @AdrianoJohn-e3l 19 วันที่ผ่านมา