Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 223

  • @teresaatieno4132
    @teresaatieno4132 2 ปีที่แล้ว +5

    Watching from🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸...where are the likes of Mtoto Yohana🔥🔥🔥🔥

    • @AdelinHajayandi
      @AdelinHajayandi 8 หลายเดือนก่อน

      Muimbaji muzuri sana

  • @NicholasMuindi-pw3ws
    @NicholasMuindi-pw3ws ปีที่แล้ว +1

    Am frm Kenya truly talent is God given ,,yohana is powerful 💯

  • @قريسالنجيمي
    @قريسالنجيمي 3 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda bure mtumishi Johanna watching u from Saudia

  • @unnykariki8203
    @unnykariki8203 3 ปีที่แล้ว +2

    Yap makufuli alikuwa number one in Africa roho ya utu roho ya .Mungu beautiful song bblessed mtumishi

  • @moyosafibyjohnblessings1306
    @moyosafibyjohnblessings1306 3 ปีที่แล้ว +14

    Baraka tele juu ya maisha yako Yohana, from Kenya.

  • @IsackKuney-ii4ws
    @IsackKuney-ii4ws 8 หลายเดือนก่อน

    Dogo mungu akubariki sana umeimba sana ❤❤❤❤ from south Africa gong like

  • @jumadaniel-qo3qg
    @jumadaniel-qo3qg ปีที่แล้ว

    Yohana mungu akubariki Kwa nyimbo zako nzuri mungu akupe Maisha mazuri karibu kwetu burundi

  • @josuecito6827
    @josuecito6827 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe na Mungu mpendwa Yohana.mi mchungaji Josué Hyawe (RDC)

  • @njerikim4834
    @njerikim4834 3 ปีที่แล้ว +6

    One day I will visit Tanzania coz nimependa nyimbo zako am from Kenya

  • @nicotitus2987
    @nicotitus2987 3 ปีที่แล้ว +3

    Raisi wangu muone uyu mtoto mpe zawadi jamani hongera mwanangu barikiwa sana

  • @estherkithuku2656
    @estherkithuku2656 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa antony from kenya

  • @sharonchitayi4025
    @sharonchitayi4025 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda nyimbo zako sana.acha Mungu akubariki.

  • @mariumbecca2355
    @mariumbecca2355 4 ปีที่แล้ว +5

    Very good boy am listening from kenya

  • @eunifredmutua2426
    @eunifredmutua2426 2 ปีที่แล้ว

    Barakaa chungu mzima kwako wee mtoto yohana from kenya🇰🇪❤️🌹💓💯

  • @mutuawavinya5658
    @mutuawavinya5658 3 ปีที่แล้ว +5

    Wow hongera young boy, mangufuli the best leader
    We love you from Kenya

  • @florangilangwa2960
    @florangilangwa2960 3 ปีที่แล้ว

    Daaaa mungu aibariki kazi yako ya uimbaji unanikosha sana moyo wangu mdogo wangu

  • @PartsonSoko
    @PartsonSoko 8 หลายเดือนก่อน

    I soko ilike music verymuch. Ihope you will bring nice. Song go a head thankyou

  • @angelbeb1105
    @angelbeb1105 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki xn Yohana ,am from Kenya

  • @doleenikigosi2989
    @doleenikigosi2989 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto yohana uko vizuri mungu aenderee kukutumia katika huduma yako R I P baba etu mungu ampokee na ampumzishe mahala pema peponi amiin

  • @cynthiaroda8247
    @cynthiaroda8247 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda bure mtoto yohana pround of you keep it up

  • @upendojoseph469
    @upendojoseph469 4 ปีที่แล้ว +3

    Yohana Mungu akushike mkona na kukuongoza kila hatua,magufuli ndio Rais wa watanzania

  • @esthermoraa6648
    @esthermoraa6648 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana johana🙏🙏🙏🙏🙏you are such a great singer, talented, energetic 👏👏👏👏mtukuze mungu

  • @maryponga1097
    @maryponga1097 4 ปีที่แล้ว +4

    Talent yako kijana mungu azidi kuiinua kiwango hadi kiwango

  • @pendoelias4822
    @pendoelias4822 3 ปีที่แล้ว +1

    Yohana nakpenda bure Mungu aendelee kukupa viwango vingne Zaid na Zaid Barikiwa sana schoki kuangalia nyimbo zako zote

  • @bishopwilsonwanjalamwanawa9725
    @bishopwilsonwanjalamwanawa9725 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hii ni kipawa cha mwenyezi mungu kwa yohana ubarikiwe mwanangu mupendwa enda mbele mwenyezi mungu akulinde kwa kila Jambo

  • @agnessmtawa8489
    @agnessmtawa8489 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubark Sana yohana Antony, penda San nyimbo zako

  • @samuelmwangi2643
    @samuelmwangi2643 3 ปีที่แล้ว +5

    Ur such a talented man...Big up watching from Kenya

  • @lesenohinpacomeolivier4052
    @lesenohinpacomeolivier4052 11 หลายเดือนก่อน

    Je suis ivoirien je très touché en écoutant tes morceaux

  • @JumaJuma-l6b
    @JumaJuma-l6b 3 หลายเดือนก่อน

    jaman yahana mungu akubarik kipaji Chako kiendeleee

  • @TohnmusMusyokiMusic
    @TohnmusMusyokiMusic 3 ปีที่แล้ว

    Really inspirational brother yohana,,,may God see you through unapozidi kuichipuza talanta yako,,

  • @memoryngambi3758
    @memoryngambi3758 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi big up.

  • @lesedisibanda2402
    @lesedisibanda2402 3 ปีที่แล้ว +6

    From Zimbabwe I can't understand your language son but I love your voice 💟

    • @biblianijibu
      @biblianijibu 3 ปีที่แล้ว +2

      He means let's congratulate President Magufuli

    • @eunifredmutua2426
      @eunifredmutua2426 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed mtoto yohana kea wimbo wako mzuri 👍

  • @matildawandera8727
    @matildawandera8727 3 ปีที่แล้ว +2

    Ilove the song listening from kenya

  • @dorismulungo7274
    @dorismulungo7274 3 ปีที่แล้ว

    Yohana, mungu akubariki kwa nyimbo zako mzuri,nami ningependa nikue kama wewe.

  • @janesidi8443
    @janesidi8443 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mtoto yohana, rais mzuri magufuli continue rest in peace🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲

  • @kaykay4629
    @kaykay4629 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mwanangu

  • @debabamukwanga7417
    @debabamukwanga7417 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli mtoto yohana baba Mungu azidi kumulinda na hazidi na huduma ya wimbaji

  • @eldahmoraa1172
    @eldahmoraa1172 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu na maisha marefu mtoto Yohana.

  • @Marthamwaipaja-n8e
    @Marthamwaipaja-n8e 5 หลายเดือนก่อน

    We love you 😍 ❤️ from Kenya 🇰🇪

  • @jacklinegeorge6489
    @jacklinegeorge6489 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana Yohana...napenda nyimbo zako sana 😘

  • @mercymunini4337
    @mercymunini4337 4 ปีที่แล้ว +11

    Love from Kenya

  • @mariumbecca2355
    @mariumbecca2355 4 ปีที่แล้ว +5

    I love it listening from kenya

  • @VivianMoraa-s6l
    @VivianMoraa-s6l 4 หลายเดือนก่อน

    Aki Mungu akukumbuke mtoto Yohana❤❤❤

  • @jemomwaniki
    @jemomwaniki 3 ปีที่แล้ว +1

    @yohana much love from kenya 🇰🇪

  • @magdalenekoki7281
    @magdalenekoki7281 2 ปีที่แล้ว +1

    Kenya twakupenda Sana mungu na aendelee kukubariki

  • @ramasirro770
    @ramasirro770 4 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda Sana Yohana hiyo miguu Kama unatumia umeme hahaaa Michael Jackson like...

    • @samwelimasumbuko1829
      @samwelimasumbuko1829 3 ปีที่แล้ว

      Daa mtoto yohana ubalikiwe sana mungu akutie nguvu uwe endelevu

  • @nancynyachama3760
    @nancynyachama3760 3 ปีที่แล้ว

    God bless you kazi yake nzuri🇰🇪🇰🇪👏👏

  • @claude2225
    @claude2225 2 ปีที่แล้ว

    Mimi niko congo nampenda mtoto antonu na nyimbo zake

  • @evegift
    @evegift ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana yohana❤❤

  • @HellenAchieng-i6e
    @HellenAchieng-i6e 11 หลายเดือนก่อน

    This song made some countries jealous may God protect u and grant u many years

  • @hmadalqrini7234
    @hmadalqrini7234 3 ปีที่แล้ว +1

    I like the song, still watching at saudia

  • @veronicalaiser8394
    @veronicalaiser8394 4 ปีที่แล้ว

    Very talented. Atafutiwe nafasi aimbe mbele ya JPM hasa wakati. huu wa kampeni. Mungu aendelee kumbariki.

  • @marymutie3320
    @marymutie3320 3 ปีที่แล้ว +2

    Servant of God you boy keep it up may God bless you

  • @TriphoseNiyera-k9b
    @TriphoseNiyera-k9b 10 หลายเดือนก่อน

    Nagupenda nutoto yohani sharite burundi❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @naomikisamwa9414
    @naomikisamwa9414 2 ปีที่แล้ว +2

    From kenya I'm really in love with your talent

  • @suzigonza3471
    @suzigonza3471 4 ปีที่แล้ว

    Doo nakukubali aiseeeee unatia raha ungekuwa karibu nikupe ata buku lovee you to much

  • @marylumumba2123
    @marylumumba2123 3 ปีที่แล้ว +2

    Good boy, this reflect your future

  • @delisthomas2005
    @delisthomas2005 3 ปีที่แล้ว +1

    Hyu mtumishi mngu amsaidie

  • @melaniazacharia3357
    @melaniazacharia3357 3 ปีที่แล้ว

    Amen hadi nimetokwa na machozi
    Mungu azidi kukubariki sana my young Yohana

    • @irenekamathi4312
      @irenekamathi4312 3 ปีที่แล้ว

      Akh kenya kama Mimi natamani sana angekua rahisi wetu

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mt yohna mung akuinue mwanangu juu snaaaaaaaaaa

  • @lennahmueni1466
    @lennahmueni1466 3 ปีที่แล้ว +1

    Am just blessed by this young evangelist

  • @kakusharo6046
    @kakusharo6046 3 ปีที่แล้ว

    May the lard uplifted u little boy 🙏🙏🙏from Kenya we love boy

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 3 ปีที่แล้ว +3

    Yohana is so powerful he sing and dance 💯

    • @faithzolar8695
      @faithzolar8695 2 ปีที่แล้ว

      I love his dance so much he's really blessed boy and chosen by God

  • @felixmasawanga6008
    @felixmasawanga6008 4 ปีที่แล้ว

    Dodo anaweza mungu anakutumia barikiwa

  • @gichambatimatinde3507
    @gichambatimatinde3507 3 ปีที่แล้ว +4

    God bless you young man, from Kenya we love you too much

  • @ennakitindijekela4883
    @ennakitindijekela4883 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze mtoto mzr uendelee kukua ukimpendeza Mungu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi Kukutunza mtoto mzuli Yohana

  • @periskisiangani1111
    @periskisiangani1111 3 ปีที่แล้ว +8

    Aki ni kweli Kenya tulimtamani. 🤭🤭, Wacha Mungu amlaze pahali pema.😥😥

  • @queenjayztz8615
    @queenjayztz8615 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah amekuwa jmn Mungu ni mwema ❤️❤️❤️❤️

  • @betuelbajuta4086
    @betuelbajuta4086 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko juu San ubarikiwe

  • @eucabethgeorge5075
    @eucabethgeorge5075 2 ปีที่แล้ว

    Baraka tele kwako Yojana Mungu akutie ngufu

  • @pendoagapiti1166
    @pendoagapiti1166 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana yohana mtakatifu endeleya kusonga mbele zaidi

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupnda mungu akukumbuke.siku ya mwisho

  • @irenesteve3329
    @irenesteve3329 3 ปีที่แล้ว +3

    2019 nakumbuka ukiimba uku Kenya Nrb BS na ukanibariki sana

  • @matildawandera8727
    @matildawandera8727 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed more keep it up

  • @kiptoogideon2020
    @kiptoogideon2020 2 ปีที่แล้ว

    Uyu nae kaimba kama rose muhando wa kwanza go go young boy🇰🇪🇰🇪

  • @stephenbarasa347
    @stephenbarasa347 4 ปีที่แล้ว +10

    Watoto ni baraka...wacha Mungu amtumie kama anavyopenda

  • @matildawandera8727
    @matildawandera8727 3 ปีที่แล้ว

    Thanks that's wonderful be blessed mtoto yohana

  • @winfredmbithuka106
    @winfredmbithuka106 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song be blessed yohana

  • @nancynyachama5058
    @nancynyachama5058 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow congratulations yohana God bless

  • @mariafilomenagomes7023
    @mariafilomenagomes7023 2 ปีที่แล้ว +1

    Good bless you 🙏👏👏👏

  • @olivieryeftakashengula4347
    @olivieryeftakashengula4347 2 ปีที่แล้ว +1

    À santé sana mungu ukulinde

  • @fridahgekonge8789
    @fridahgekonge8789 ปีที่แล้ว +1

    Wow 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde yohana uzidi kumtumikia yeye na kumsifu Mungu

  • @stellastella3165
    @stellastella3165 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nakunda sanaaaaaa

  • @enjoyussuf9799
    @enjoyussuf9799 2 ปีที่แล้ว

    Kwekwel amefanya kazi kwel maguful yohan ubarikiwe

  • @sr.damarismukua2511
    @sr.damarismukua2511 2 ปีที่แล้ว +1

    Wooooi little boy God bless you

  • @wadyanali900
    @wadyanali900 3 ปีที่แล้ว

    Amen Yohana waja Mungu akutumie kutupea ujumbe kweli wakenya twaitaji magufuli tumechoka na ufishadi

  • @chidimachee5497
    @chidimachee5497 4 ปีที่แล้ว +2

    Wooow...ningependa kijana uyoo akuje Kenya

    • @evelynebwire7684
      @evelynebwire7684 4 ปีที่แล้ว

      Mualikeni time ya likizo

    • @oscarkibassa8875
      @oscarkibassa8875 3 ปีที่แล้ว

      Ango mungu akubariki Sana Mana nyimbo zako zurisana

    • @oscarkibassa8875
      @oscarkibassa8875 3 ปีที่แล้ว

      Yani wedogo noma kuiba unajuwa kucheza ndo uspime noma mungu akurinde by Oscar au baba arreni buza napenda nyimbo zako nazifatiria Sana kaza mwendo tuko pamoja katk maombi

  • @MatungwaBwoma-vn3rf
    @MatungwaBwoma-vn3rf 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mungu akubariki mtoto tungekuwa kama Ulaya

  • @ruthndunge8285
    @ruthndunge8285 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako,ni za kitaifa Nazinafariji Dana👍

  • @shellykayobia6811
    @shellykayobia6811 4 ปีที่แล้ว +4

    Very talented 🔥🔥🔥✔

  • @aminasudai4056
    @aminasudai4056 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe na bwana

  • @lucynjeri1889
    @lucynjeri1889 5 หลายเดือนก่อน

    Hekoooo from kenya 🇰🇪

  • @ehstermuhoho2704
    @ehstermuhoho2704 3 ปีที่แล้ว +2

    Wao amazing

  • @isabelmuacavanda2362
    @isabelmuacavanda2362 3 ปีที่แล้ว +2

    Glória aleluia a Deus amém

  • @happykupaza9292
    @happykupaza9292 3 ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe sana

  • @Lucy-wv7vt
    @Lucy-wv7vt 2 ปีที่แล้ว

    May God continue to bless you every day

  • @marieakili3005
    @marieakili3005 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Goog ❤

  • @josephkaranja1423
    @josephkaranja1423 4 ปีที่แล้ว +4

    Wakenya twatamani Rais Makufuli twakutamani angarao uwe rais wetu siku moja...twaumia kwa ufisadi...

    • @carenseni2528
      @carenseni2528 3 ปีที่แล้ว

      Jmn poleni sana mungu nimwema atasikia kirio Chenu ata mm nawaombea sana🙏🙏🙏🙏

    • @carenseni2528
      @carenseni2528 3 ปีที่แล้ว

      Joseph karaja sawa