I Use to watch this Man "Kingwendu" during my childhood times, Indeed He is Great Comedian And Role Model to Many Keep Going Kingwendu, Watching From +254(Kenya)
Wow his a gentle man,ataki mtoto wa inje asiitwe malaya,I love that part👌,may GOD continue to bless you with your beautiful wife and kids😍💖more love from🇰🇪🇰🇪
Baada ya mahojiano tuna htaji kuona huo mjengo wa kwnye kava,,,Maana mmezid wandish kupamba ujinga ,,yy kalidhika na har yke ninyi Mna m edi mjengo ,,so poa , pamoja sana ngwendulile
Kumbukeni wako kazini hiii nikazi kazi ....ndo mana ikaitwa kazi ya kuigiza.....waigiza Kila kituu hata kufa wanaigizaa ...mm naona tuheshiminituu kaz ya mtuu...
Kingwendu hapo nimekuelewa sanaa nikupambana kama mwanaumee. Nimekupa big up
Vraiment kingwendu mon homologue mois aussi je suis Rashidi simbi de la RDC
Kama ulimuon kingwendu kajiramba mdomo kabla yakuongeya gonga like😂😂. Frm zanzbr
I Use to watch this Man "Kingwendu" during my childhood times, Indeed He is Great Comedian And Role Model to Many Keep Going Kingwendu,
Watching From +254(Kenya)
Kingwendu Weye ni mkali kabisa, Nakupenda Saaaaaana , #Ricky Wemba Paila Paila, kalemie RDCONGO
Mimi namkubali sana mzee kingwendu
So calm, composed and knowledgeable. Great man
Kingwendu uko sawa sana nakupa big up.
Mzee kingwendu amekuwa fun wangu sana nilipokuwa mdogo..nilikuwa natoroka shule nakimbilia banda la video kuitazama filamu
Yaani nkimcheki uyu jamaa najisikia kucheka kwa kweli yaani huyu jamaa kuigiza ndo kipawa chake kabisaaa big up sana Kingwendu
Ahsante karibu pemba kwa wasanii wadogo
Hongera kingwend kwa kazi nzur mungu akupe mguvu kila inapoiywa leo
Ahsante sna we toto mziwanda
The good comedian
Mngu akupe maisha marefu mzee wangu❤❤❤❤
Mmh
Kingwendu mzee wa raha duniani.
😂
Kishtobe🤣🤣 Mungu akulinde msanii mbabe sana,congrats Kingwendu for your good job.
Safii mzee
Mwanangu mziwanda nakupenda kwa kuchimbuwa vya kale shukran sana kazi iendelee.
Hakikingwenduanacekecha
Kingwendu tunamkubali sasa kwanin uweke nyumba isiyoyake?
Hongera
Kama umesikia mtaaa wa matombo gonga like
Mtombo
Inaonekana watu wa mtaa huo wanapiga bakora za uhakika?
Mtaa wa mtombanino
Yes kingwendu I appreciate u for what u a doing
Kingwendu una kitambi saiz aisee
Hongera una kwako. Kwako ni kwako
I really like this man kingwendu he is a greate comedian
Ni mwigizaji,mzuri
Wow his a gentle man,ataki mtoto wa inje asiitwe malaya,I love that part👌,may GOD continue to bless you with your beautiful wife and kids😍💖more love from🇰🇪🇰🇪
Comedian halisi, kingwendu ulizaliwa msanii halisi,Mungu akujaalie maisha marefu kamanda .
Kigwendu Unamaliza shule mie ndio mwaka nilio zaliwa🥰😍
Haya mhenga mwenzangu
@@enockmadati7822 😁😁😁😁😁
Big up Kingwendu
Penda sana mzee Wangu
Kingwendu uko juu Mungu na akulinde
Kingwendu mungu akubariki
I like the way you give yo clients time without interapting, so professional
Bigup gal💪
Well
Aa tuna toka mbali hongera kingwendu
mm nakumbuka tukio lako kingwendu ulimpiga teke la mdomoni yule mshikaji aliyemsaidia mkeo kumrudisha nyumbani pale kigogo
Baada ya mahojiano tuna htaji kuona huo mjengo wa kwnye kava,,,Maana mmezid wandish kupamba ujinga ,,yy kalidhika na har yke ninyi Mna m edi mjengo ,,so poa , pamoja sana ngwendulile
Kingewendu my favourite EA comedian
Napenda Sana uigizaji wako kingwendu,usanii wako mzuri Sana,wewe na majuto I'll leave to remember you,
❤❤❤ . 👇 *BONYEZA*
th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html
Love you so much mtangazaji unajua sana wewe moto
Mzee wangu nakukubali kinoma
We love you so much from drc/Kinshasa
Long live Kingwendu...my all time comedy hero
Unajua mzee baba !
Nimemuelewa kingwendu ninaomba sapot mimi naigiza
Kingwendu uko vizuri hasa. Asante sana kwa usanii wako.
Tunawapenda sana mbengo tv
Kingwedu made my childhood alive mehn😂 shout out from +254
❤❤❤ . 👇 *BONYEZA*
th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html
Shalikani
Rafiki yangu mkubwa baba nakuenzi
Namupenda Sana kingwendu
I like the guy humble funny person.
Kingwendu mtubwetuuu onger kwa kaz zako
My lovly comedian
Kingwendulile noma
Kweli kingwendu anapigaga show kijijin tunamuonaga live
Kingwendu is the speshar designer comedian in tz thanks for the big future🤣🤣🤣🤣🤣😝😝😝🤪
Following from Kenya
Great sana
Machiz nyie mnaweka mapicha ya nyumba mzuri kwenye kava kumbe ni tofaut ualisia
Washenz
Big respect
Noma kingwendu
Kingwendu hongera sana !
❤❤❤ . 👇 *BONYEZA*
th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html
n Kipaji hasaaa
Haa nainjoy kisikia akiimba
Nampendag tu mziwanda
Kingwendu💪
Kazi jema kingwendu
Safi san
Love him ❤
Ukosawa mzee kingwendu
Grande senhor Comediante
we ngwendulile huwa utabaki kuwa msani namba moja
Noma sana
Siku kingwedu akichana nywele mje mnistue😁😁
Good comedian
Awesome
Ako sawa huyu bwana
Aisee
kingwendu hana nyumba nzuri hivyo nyumba yake iko kwakisauti bondenii
Mabebe nam ongera kweli.nacheka bureee raha dunian
Leo nimefrahi Sana aisee
Umesikia hiyo, wanamichukulia
Kigwendu kigwendulile mzee wa mipesa henu henu😂😂
🤣🤣🤣
Kazi nzuli
mashallah
Mzee wa raha duniani🤣🤣🤣🙌kingwendu umenilumbusha o-level eti raha duniani 🤣🤣🤣🤣
Huu ni upumbavu Sana! Mnaweka majumba ya kifahari kumbe nyumba ni za kawaida tu! Sasa cjui mnamdanganya nani
Wajingaa saana wanawekaa
Ndio ujinga wa sie Wabongo, ni wachache sana wakweli.
@@goodluckyleonardkipigapasi3948 Si wabongo pekee ..hata kenya ujinga ni huo huo
Kumbukeni wako kazini hiii nikazi kazi ....ndo mana ikaitwa kazi ya kuigiza.....waigiza Kila kituu hata kufa wanaigizaa ...mm naona tuheshiminituu kaz ya mtuu...
Kingwendu imba tena tusikie
Amazing +254
Kingwendu uko poa huna makuu
HATARI
Mimi nikuamini sanaaaa
Nice
Mapepe
Waah
Wapi Hilo jumba mbona mazingara hivihivi tu .
Hii sauti tofauti sana
Mbona maisha halis hatuoni,au ni story za za zamanii
Mwambie kingwendulile anyone ndevu
Hapo Kingwendu ndo umemfikisha sasa kwa mademu haaaa,harafu Mziwanda kwa kweli nampenda kwa uongeaji wake hadi raha.
❤❤❤ . 👇 *BONYEZA*
th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html
Jamani siku nyingi Mimi nilikuwa nazaliwa wakati kigwendu anamaliza shule