Maisha malefu kivipi huyo ni mtu atakufa tuu kama kutakiana maisha malefu ingekua dawa basi moses kulola tungekuanae😢😢 Ila apige kazi kwa utukufu wa MUNGU
Mtumishi Mungu akubariki sana wanasena ni haki za binadamu ongea baba na watu wasikie anayesema njoio kwenye uisilamu, hujabahatika kuwaona waumini wenu wanatembea na nguo kwenye mabegi. Wakivuka kwa wazazi wanabadilisha, tumwombe tuu Mungu rehema hakuna wakusalimika, usiangalie madhehebu.
Aibu kwa mwili wa kristo aibu kwa wachungaji wanaokusanya sadaka ila kukemea dhambi hawataki...ili sadaka zisipungue...aibu tuuuu ndo unakuta free style sijui nini...free what
MUNGU akubariki Sana na kukulinda mtumishi wa MUNGU
Safi sana hiyo ndiyo kazi ya viongozi wadini
Mzee mungu akupe maisha marefu Tena uihubiri injili ya kweli
Abarkiweee
Asante baba😂😂
Huyu ndiye mchungaji anayetaka utakatifu na huyu hatadaiwa kondooo maaana ashawaambia kazi kwetu kubadilika namuomba Mungu huyu mtumishi aishi maisha marefu
Maisha malefu kivipi huyo ni mtu atakufa tuu kama kutakiana maisha malefu ingekua dawa basi moses kulola tungekuanae😢😢
Ila apige kazi kwa utukufu wa MUNGU
ameni ameni ameni
Amen Sana mchunguji
Mtumishi Mungu akubariki sana wanasena ni haki za binadamu ongea baba na watu wasikie anayesema njoio kwenye uisilamu, hujabahatika kuwaona waumini
wenu wanatembea na nguo kwenye mabegi. Wakivuka kwa wazazi wanabadilisha, tumwombe tuu Mungu rehema hakuna wakusalimika, usiangalie madhehebu.
Asante sana Mtumishi wa Mungu, Hakika Wewe ni Mjoli wa Mungu, Mungu aendelee kukutunza na Kukutumia zaidi.
Mafasi ni ya muimu sana yanaonyesha utugufu wa Mtu alivyo. Barikiwa pst.
Ubarikiwe baba kwa injili ya kweli sema tupone
Hata mm nasema barikiwa mchungaji Mungu akupe heri
Huyu Mchungaji Mungu ampe maisha marefu
Mungu akupe maisha marefu sana uendelee kuturutubisha kiroho❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
AMEN BABA MCHUNGAJI.NAKUPENDASANA UWE JASRI NA MOYO WA USHUJAA .KILA NGUO INA MAHALI PAKE.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu hii njo neno ya kweli lazima watu waende mbimguni
Wewe ni mutumishi wa mungu kbs choma mashetani
Barikiwa
Amina mtumishi, nakuelewa sanaa.
Amen nimekuelewa pastor
Ubarikiwe sana wachache watakuelewa sio wachungaji waoga nao wanayapenda hayo
Amen Mungu aendelee kukupa mafuta Asanteni sana Mungu Asifiwe
Amina
Hongera Baba mwenyezi MUNGU akubariki.
Ameen mchungaji..Mungu akubariki sana
Napenda sana mahubiri yako mchungaji,niko kenya 🇰🇪 nabarikiwe mungu azidi kukupa ufunuo wa kuhubiri neno la MUNGU
Ubarikiwe sana rafiki kutoka huko kenya
Mungu akubariki
Mungu baba tusaidie kujua kweli yako, barikiwa mtumishi wa Mungu
Be blessed Pastor Magembe.
Ubarikiwe baba
Mzee magembe huko unapotezamuda njoo kwenye uislam
Kwani uislam nayo nidini
Ubarikiwe sana mchungaji, injili safi hiyo
Mungu akubari baba❤
Kweli kbs baba Mungu turehemu
Kweri kabisa Amina
Safi mzeee
Amina sana
Atari barikiwa mchungaji
Good job baba
Ameen 🙏 Ameen
ONGERA SANA MCHUNGAJI UO UKWERI MAANA ARUSI ZA SASAIV NI AIBU SANA
MAHUBIRI ADIMU SANA HAYA KWA WACHUNGAJI WA LEO
Sema baba
Mungu atukuzwe siku zote
Amina
Hata bungeni kuna sheria....
Kweli kabisa eti ss tunaenda mbele za Mungu na nguo za ajabu ; kweli!!!
Kweli
Ameeeeen Baba
MUNGU alisaidie sana kanisa la nyakati hizi
Amen man God:
Aminaa
Uchi wamtu ni kutokuwa na maneno ya mungu ndani Yako kuvaa masempele ni mtindo wa kidigital
Mungu akukumbuke
Na ndio maana hata ndowa wanashindwa kuzimudu
unasema ukweli makanisa ya Leo wachungaji hawakemii
Sauti ya mtu aliaye nyikani
Nimekuelewa mchungaji wambie
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kanisa
Hii ndo injili inayoponya
Tatizo wachungaji wengine nimalaya ndio maana hawakemei
Kweili
Mzee Magembe biblia😂 inaingoea kuhusu siku za mwisho.Ni maandiko yanatimia. Pili hubiri mavazi na hao wanaofutia mavazi wakemee.
Mzeeee
Aibu kwa mwili wa kristo aibu kwa wachungaji wanaokusanya sadaka ila kukemea dhambi hawataki...ili sadaka zisipungue...aibu tuuuu ndo unakuta free style sijui nini...free what
Msukuma kapewa rungu
Kwani kuwa mchungaji ni lazima uongee KWA kukwaluza sauti?😂😂😂😂😂😂
Hahaaa ukiongea kwenye kundi la watu wengi lazima ukwaruze tuu.
Moses Kulola tulimmisi sasa tunae huyu
Hhhhh
Namkbal sn huyo mchungaji
Kweli
Amina
🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
Aminaa
MUNGU alisaidie sana kanisa la nyakati hizi