MOZES MAGEMBE, AKOSOA VIKALI KUTUMIA VITU VYA UPAKO, AFAFANUA UPAKO NININI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @JosephEmmanuelMtengile
    @JosephEmmanuelMtengile 12 วันที่ผ่านมา +2

    Amen "BARIKIWA SANA PASTOR 🕊️🕊️🕊️

  • @EliyaBaran-n8z
    @EliyaBaran-n8z 12 วันที่ผ่านมา

    Amina past umesem kwely

  • @MeshackPallangyo-w4n
    @MeshackPallangyo-w4n 12 วันที่ผ่านมา +1

    I appreciate,Mungu akuongezee nguvu na miaka uhubir hii injili isyo ghoshiwa

  • @EdwardJohn-rc4rw
    @EdwardJohn-rc4rw 12 วันที่ผ่านมา

    Aminaa

  • @AnnaBituro
    @AnnaBituro 12 วันที่ผ่านมา

    Na ndìyo makusudi ya
    Yesu .kuwa tuwe wanafunzi wake.tufunguliwe kiroho na kimwili.❤

  • @AnnaBituro
    @AnnaBituro 12 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi wa
    Mungu tuko wote ninabarikiwa sana.fundisha uelewe .

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kabisaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉

  • @deborahmsuyah5345
    @deborahmsuyah5345 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amina mtumishi sema

  • @EliyaBaran-n8z
    @EliyaBaran-n8z 12 วันที่ผ่านมา

    Amin mch. Magemb umexem kwel by mch Eliya barani

  • @GERALDHAMBAGELE
    @GERALDHAMBAGELE 5 วันที่ผ่านมา

    Hapa ndiyo huwa nasikia ,
    Mungu akulinde i li uendelee kutufundisha yatupasayo kutenda

  • @AnnaBituro
    @AnnaBituro 12 วันที่ผ่านมา

    Amen sawa kabisa mtumishiiiiiiii!

  • @joshuamatagane
    @joshuamatagane 10 วันที่ผ่านมา

    KUMEKUCHA...

  • @AyubuSanga-h9b
    @AyubuSanga-h9b 13 วันที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @imokatv
    @imokatv 11 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mtumishi ni Wakumwombea sana ili Mungu amzidishie Malaika wa ulinzi, maana kwa mahubiri haya ni kuidharirisha kazi ya kuzimu, na kama anadharirisha kazi ya kuzimu matokeo yake ni kuunda bifu na shetani matokeo yake ni kuundiwa jeshi la mamilioni ya kuzimu ili yamfuate

  • @PatsonKyando-s4j
    @PatsonKyando-s4j 12 วันที่ผ่านมา

    Asome vizuri maandiko,Yohana 9:1-7

    • @TAFAKARITVNewlife
      @TAFAKARITVNewlife  12 วันที่ผ่านมา

      yanasemaje? kwa ufupi

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@TAFAKARITVNewlifehiyo sehemu inaelezea pale Yesu Kristo alipomponya kipofu kwa kutema mate chini akafanya tope, kisha akachukua na kumpaka machoni mwa yule kipofu, akamwambia hivi, nenda katika birika la Siloamu!!! Yule kipofu akafanya hivo, akanawa kisha akarudi huku anaona. Ni hivo.

  • @AminaKyungu
    @AminaKyungu 13 วันที่ผ่านมา

    Amina kubwa

  • @VeronicaMkunga
    @VeronicaMkunga 13 วันที่ผ่านมา

    Ameen,

  • @ThobiasYacob-b5r
    @ThobiasYacob-b5r 9 วันที่ผ่านมา

    Umenifunua kuna wapondekoste na wapendakote

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 13 วันที่ผ่านมา

    baba roho wa Mungu ameniambia ni kukumbeshe jambo ili ni kweli baba unachokitetea sasa yamezidi lakini roho wa Mungu ananiambia wapinga Kiristo sasa wanatumia mabilioni ya mapesa kwa kuwafungulia huduma eti ni wachungaji ama manabii kisha kufanya hayo yote unayo eleza. lakini baba sasa ni muda mazuri wa kuwafundisha watu njama za shetani anazotumia kuliangusha kanisa.

  • @ObadieMwalongo-j9y
    @ObadieMwalongo-j9y 13 วันที่ผ่านมา

    Umebaki pekeako baba wa imani