Asante baba naendereya kukufwatiriya natamani kirasiku nisikiye mahumbiri yako kama inawezekana tunaomba kira siku tupate mahumbiri kutoka kwako Asante
Hakika MUNGU wetu ni mwaminifu wa haki . Niliwambia YESU alisema mtu akikung'anya vitu nyako mwajie Mungu anafukufungulia njia zaidi adi madui washangae
Kweli kabisa hakuna swala la akili kupungua kwa wazee Mimi nilimwona Babu yangu myaka 97 Lakini Hadi akili yake ilikuwa sawa. Tusikaririshwe mambo ya watu na mapokeo kutoka ugenini. Wazee ni tunu kwetu sisi vijana, Mimi nimejifunza Hilo kwenye maisha yangu. Kwahiyo vijana msiseme wazee wamepitwa na wakati, maana hakuna jipya Chini ya jua. Mzee wetu tunakuombea maisha marefu na Yesu akupe neema ya kukaa na kutembea katika upendo wako wa kwanza na Yesu anaporudi aikute Imani kwako na kwetu pia. Mungu awabariki
Baba Mchungaji, Sauti kwa Sisi wenyikufwatilia mtandaoni, Sauti iko Chini saana. Kwenye TV, sherti Volume ifike 100 njo funaweza kusikia kidogo. Fundi mitambo atusaidie kwa kukerebesha sound! Asante
Watoto wa MUNGU tunaomuunga mkono MCHUNGAJI wetu Maghembe weka like yako hapa na MUNGU AKUBARIKI
Kanisa linapatikana wapi
@@yusuphmbindo, Kanisa lipo Kinyerezi kituo cha kushukia ni mwembeni jilani na kituo cha mafuta ATN
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu matunda ya kazi ilioifanya miaka Mingi 🔥🔥🔥
Mbarikiwe wote mnao jitolea sadaka kwa mzee magembe
Shalom,Bwana Yesu Asifiwe mafundi mitambo sauti imekuwa shida sana tunaomba shughulikieni hili inakuwa shida kusikiliza,Mungu awabariki
Mawasiliano si mazuri,naomba Mungu awasaidie katika eneo hili is sisi wa mtandaoni tuweze kula kushiba neno kwa ukamilifu. PRAISE LORD❤🙏🙏
Asante baba naendereya kukufwatiriya natamani kirasiku nisikiye mahumbiri yako kama inawezekana tunaomba kira siku tupate mahumbiri kutoka kwako Asante
Jamani hiyo nyimbo iliyoimbwa apo mwishoni inaitwaje nataka niitafute maana ina nguvu ya Mungu sana
Muimbaji ni Jonh Lisu.... So tafuta kwenye nyimbo za Jonh Lisu
Hakika ibada ya leo Bwana Yesu ametuhudumia kwa kipekee, roho wa Mungu yupo anatenda kazi
Hakika MUNGU wetu ni mwaminifu wa haki .
Niliwambia YESU alisema mtu akikung'anya vitu nyako mwajie Mungu anafukufungulia njia zaidi adi madui washangae
Mungu akutunze sana aendelee kukutumia kwa utukufu wake
Ibarikiwe baba yangu mkono wa Bwana uko juu yako
Amen and Amen barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu
Ameni Mungu akuzidishe
Amen amen ,Bwana aendelee kukutanza baba ili tuvune mambo ya rohoni toka kwako
Balkiwa sana mtu wa Mungu Kwa huduma
Thank you, Jesus. Mbarikiwe kanisa la Bwana
Mungu ni mkuuuuuuu saanaaaaaaaaaaa 😭
Amina baba tunabalikiwa na neno adimu duniani kote
Yesu ni Bwana wa wote❤😂
Mtumishi wa BWANA sauti Iko chini sisi wakeleketwa wa injili tunaumia sana
Amen amen amen ubarikiwe baba amen 🇦🇺
Barikiwa mtumishi
Kweli kabisa hakuna swala la akili kupungua kwa wazee Mimi nilimwona Babu yangu myaka 97 Lakini Hadi akili yake ilikuwa sawa. Tusikaririshwe mambo ya watu na mapokeo kutoka ugenini. Wazee ni tunu kwetu sisi vijana, Mimi nimejifunza Hilo kwenye maisha yangu. Kwahiyo vijana msiseme wazee wamepitwa na wakati, maana hakuna jipya Chini ya jua. Mzee wetu tunakuombea maisha marefu na Yesu akupe neema ya kukaa na kutembea katika upendo wako wa kwanza na Yesu anaporudi aikute Imani kwako na kwetu pia. Mungu awabariki
Amina baba
Amina.powerful teaching man of God
Baba Mchungaji, Sauti kwa Sisi wenyikufwatilia mtandaoni, Sauti iko Chini saana.
Kwenye TV, sherti Volume ifike 100 njo funaweza kusikia kidogo.
Fundi mitambo atusaidie kwa kukerebesha sound!
Asante
Fundi mitambo anatukwaza
Sauti ni ya chini mno
Watumishi wa Mungu katika eneo la vyombo tunaomba mtusaidie Saudi inakatakata mno
Sauti imepotea alipoanza maelezo ju ya neno UPAKO
Mitambo kesheni sana. Tunafuata wengine kw makini.
Aminaaaa baba napokea upako kwa Jina la yesu kristo
Jamaniiii sauti jamaniii
Fundi mitambo Mungu akusaidie
@@dorcasdesignshegwando5813 Amen tuwaombee, kazi wanayoifanya ni kubwa kwakweli
Mubari kiwe sana Mugu akupe guvu
Mafundisho ya muhimu sana haya. Ila Media crew iboreshe hasa upande wa audio. Kuna muda Sauti inatoka njia moja tu au inakatika Kabisa.
1samwel 10:6 Kazi kuu ya upako
Jamani sauti
Mafundi mitambo. Muwe na maandalizi kabla ya ibada. Mjiombee kabla ya kuingia kanisani
Ibada jumapili inaanza sangapi
Badilisha fundi mitambo anatuondoa kwenye uwepo
Amen
Tuna Kufata baba
Watu wa mitambo sijui mnakwama wapi, kuna vitu tunavikosa, scratches nyingi sana
Wawooo bibi
Ameen
Tuna kufata baba apa U S A
Dubu mbili (2 wafalme 2:24
Barikiwa baba
Fundi mitambo afungiwe jiwe zito😅
Mzee wewe ni mojawapo ya lulu iliyobakia katika mwili wa Kristo. Naomba kujua, sisi watu wa Arusha tunapata je kitabu chako?
Nakipataje kitabu Cha DINI YA KWELI NI IPI?? Niko tanga
Sauti jaman
Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen