Waliobaki huku nyumbani, wametoa sare tena 🤣🤣🤣. What a solid defending from Yannick and Job, what a beautiful sweep goalkeeping from Diarra, what a good approach from Nabi and the whole bench, what a midfielder is Sure boy!!. All of them are extremely in another level!!🙌🙌
Mimi maoni yangu naipongeza sanaa Azam tv dah!! Tungeona wapi maombo haya live bila chenga...Mungu awape nguvu na uwepo zaidi ili dunia nzima iitizame Azam tv.
Aksanti sana kwa Azam tv kwa kazi kubwa that you guys always do Congratulations kwa mabingwa wa soccer Tanzania Yanga Africans kwa ushindi mkubwa ugenini keep it up safari bado ndefu
Tusingewasema singer pambana safiiiiii sana wakuu saluted to Yanga AM a Simba fan but Congoleeeeeeeee yanga safiiiiii sana mmetuheshimisha kama simba wanavyofanya 🤝🤝👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ushauri kocha wetu mzuri sana anajuwa afanyayo tumpe ushirikiano ktk kushinda na kupoteza tusiwe wepesi wa kumkaripiya yeye viongozi na wachezaji mpira ni kushinda kushindwa na sare.tukubali yote kuna siku tutafrahisana siku kidogo na kuna siku tuudhike ila tusivuke mpaka ktk maneno
Leo narudia hii highlight tarehe 28/08/2024 Kama kumbukizi ya mwanzo wa kulisumbua soka la Afrika hii siku nilishangilia badae nikaanza kulia kesho yake ata sauti ya kuongea nilikua sina dah Nakupenda Yanga💛💛💚💚
Hii highlight yenu haijabeba uhalisia Ni kama inaonesha yanga ilikua imezidiwa na inaonesha vpande ambavyo yanga wanashambuliwa.. Yanga imecheza kwa ustad sana.. Na possesion was fantastik Bildingup from golkpr was nice.. lakn hamjataka kuonesha hvyo Its unfear
@@Zaburi-acha kuota ndoto za mchana makundi yenyew umeingia leo tangu 98 halafu upite direct hadi kubeba kikombe 😂😂😂 ww ulishawah fanya biashara mara moja tu ukawa kama Gsm? Jiongeze
Waliobaki huku nyumbani, wametoa sare tena 🤣🤣🤣. What a solid defending from Yannick and Job, what a beautiful sweep goalkeeping from Diarra, what a good approach from Nabi and the whole bench, what a midfielder is Sure boy!!. All of them are extremely in another level!!🙌🙌
Naishabikiya yanga toka Congo DRC. Asante mayele kwa pasi na Asante sana Azizi ki kwa bao.
مبروووك للشباب التنزاني فريق منظم جدا ويستحق أن يتوج بكأس الإتحاد الافريقي ،، تحياتي من السودان .
Insh allah sudan rafiki
Asanteee saaana
No 1 on Trending just wow🔰🔰🔰🔰💚💛💚💛
Leo tuko Fainale Babe😂💚🔰🖤
Mimi maoni yangu naipongeza sanaa Azam tv dah!! Tungeona wapi maombo haya live bila chenga...Mungu awape nguvu na uwepo zaidi ili dunia nzima iitizame Azam tv.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO congratulations. all and all thanks God you will be with us.
Yaan mmetueshimisha sanaaa💛💚💛💚 nawapenda kwa sababu mnapamban had mwisho
Aksanti sana kwa Azam tv kwa kazi kubwa that you guys always do Congratulations kwa mabingwa wa soccer Tanzania Yanga Africans kwa ushindi mkubwa ugenini keep it up safari bado ndefu
Hii ilikuwa ni safari yenye kusisimua kwetu Wananchi 💚💛 nani mwingine amerudi kuangalia hii Highlight Tarehe 8/06/2024 tujuane kwa like👇🏾
Tar 20 06 2024😂😂😂❤❤
The Club above all, imagine belong us, this is young Africans the people's Club
Swadakta
Bado tupo trending mpaka leoo!!!!!!!!
Alieedit hii highlight bila shaka ni KOLO moja mjinga, Amekata best momens zote, anatakiwa afukuzwe kazi hafai kua hapo,Kolooo
YANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeee DAIMA MBELE NYUMA MWIKO CONGRATULATIONS MY TEAM💚💛💚💛💚💛
It was simply fantastic 🥰
Alie rudi kuiangalia hii mechi baada ya yanga# kumfumga Malumo# tujuane😂
Hahahaaaa
Co kumfunga marumo tu, baada ya YANGA kuingia fainali, maana Safar ilianzia hap na club African alitipa baraka zoooote
Waarabu kwakweri fujo.wanajuwa
😂😂😂
😂😂😂
Tusingewasema singer pambana safiiiiii sana wakuu saluted to Yanga AM a Simba fan but Congoleeeeeeeee yanga safiiiiii sana mmetuheshimisha kama simba wanavyofanya 🤝🤝👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yanga .. I love how you beat the tunisian team 😂they always cry for penalties SMH
We support you .. Hilal fan
Moja Kati ya mechi kubwa sana ambayo yanga wali wahi kuicheza napenda kuitazama kila wiki
Ushauri kocha wetu mzuri sana anajuwa afanyayo tumpe ushirikiano ktk kushinda na kupoteza tusiwe wepesi wa kumkaripiya yeye viongozi na wachezaji mpira ni kushinda kushindwa na sare.tukubali yote kuna siku tutafrahisana siku kidogo na kuna siku tuudhike ila tusivuke mpaka ktk maneno
llllllllolllllolllllllolllooool
Kweli sema hawa shabiki mihemko wa Bongo ni ngumu
We mnafki cjuzi ulisema hafai
Kabisa sema watu wengi hawawezi
Umenifurahisha sana. Unajua sana ukweli
No 1 on trending 💚💛
Yanga hongera kwa kuvunja mwiko wa kuingia hatua ya makundi well done job
Yanga wamoto sana mamaee 🙌🏼🔥
Ukisema mayelee, Unamalizia Aziz kii, Yanga ALHAMDULILLAH.
Leo narudia hii highlight tarehe 28/08/2024 Kama kumbukizi ya mwanzo wa kulisumbua soka la Afrika hii siku nilishangilia badae nikaanza kulia kesho yake ata sauti ya kuongea nilikua sina dah Nakupenda Yanga💛💛💚💚
Nipo mim pia
Show me the way! Ni vyema sana. Kazi iendelee!!!!!!!!!
Daaa leo yanga mmeupiga mwingi sanaaaaaaaaaa
Cjui kwa nn natoka machozi💚💚💚💚💛💛💪💪
Ni furahaaa
Hongera sana Yanga, you made it
Sure Boy
True definition of Football 👍👍👍👍✅
Sure boy
True definition of football
Number 2 on trending 🙌🙌🖤💛💚
Nabi aligoma kupata aibu mbele ya mke na wtt wake 💚💛💚💛
Mke na wanae Nabi kwani ni WA Tunisia 😂😂😂😂
@@bintik2311 Sasa wewe hujui
🤣🤣🤣
This is what we want yanga nmependa sana
Hii highlight yenu haijabeba uhalisia
Ni kama inaonesha yanga ilikua imezidiwa na inaonesha vpande ambavyo yanga wanashambuliwa..
Yanga imecheza kwa ustad sana..
Na possesion was fantastik
Bildingup from golkpr was nice.. lakn hamjataka kuonesha hvyo
Its unfear
sure it's unfair, na elie upload hii video itakua ndo walewale wa roho za kukunja
Hakika umeandika ukweli mana walichokionyesha ni kwamba mwanzo mwisho yanga anashambuliwa yani nieri wasingeli upload iyo video
@samwel kumbe na wewe umeliona hilo.
It's really unfair !!!
@@mickylifetimes itakua ni KOLO LA AZAM NDIO AME UPLOAD
Ila goli limeoneshwa.
Ufaransa waliwazidi Senegal ki mpira world cup 2002 lakini sen.walishinda😆😆
Kama umeloop goli la azizi kiii gonga like twende sawa
Vivaaaa Young Africans.....
Tuumefuzu kibabe saaaana hadi raha
Mpira mwingi na ushindii juu
Ila highligts yao wameonyesha yanga wamezidiwa
Wananchiiiiii 💚💛🏆🏅💪👏🔥💯✈️ Unyama mwingiiiiii saaana Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥
Hongera sana wananchi, bora tumewasema, ila sure boy fundi
Wala miogo wenzangu like zihusike hapa
Tupooo jamani
Tupoooo 👍🏿👍🏿
Mamaako anaekula muhogo mmoja je n yeye ni mwezetu
Shukran sana yanga kiujumla viongozi na wachezaji mmetuheshimisha mola katusikiya dua zetu mana wengi walitukatiyq tamaa yanga mbele nyuma mwiko.
safari yetu na confidence yetu kwwnye soka la afrika ilianzia hapa
Merci beaucoup bon voyage.Daima mbele Nyuma mwiko
Daima mbele nyuma mwiko congrats kwa yanga Africa
Watching Nabi past games for my beloved Chiefs ❤
Waarabu wana roho mbaya sana 😥Mtume Muhhammad SAW hakuwa na sifa ya kuwa roho mbaya
Wako wp walisema tunapgw goli 7 km kipanga...naon goli Saba imewageukia wao kizungu yaan 7 kizungu inakuw 1 😅😅😅😅yanga tam😘 ...yanga wenzang gonga like hapa
💛💚💛💚💛💚💪💪💪
🙏🙏🙏🙏🙏
Wamelala
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ÀNM
Asanten watan hapo tumepata heshima huko tunaogopw safisan majeshi yet kwa kutu let's hshm
YANGA mbele congratulations 🌹🥰💛💚💛💚
Muomba mungu achok 🙏🏻🙏🏻
Swadakta
Ongereni sana wachezaji wa yanga Africans 🙏 mungu awabaliki sana jumla na kocha wa yanga Africans bwana awe NANYI by Daniel mussa gangaga
Nilivyomuona tu mwamba kageuza jezi bac nikajua tu leo waarabu wataita maji mma mma…. na kwl waliita MMAAA 😂
Yanga daima mbele, nyuma mwiko 😍😍😍😍
Hii mechi sure boy alikuwa wamoto sana
Mojaa ktk ya mechi iliyonilizaa Sanaa😭😭👈kwa furahaa na machungu
Well-done yanga
Yanga walicheza vizuri aki
Nikiwa kama mfatiliaje kwann mmeanzia dk ya 12 au ...au....au hii mechi ntairudia mpka na mpka ..💚💛💛💛
😂😂😂😂😂
Mipango ya Mungu ni sahihi kuliko ya wanadamu,Makolo mliyoyataka hayakuwa
Aliyerudia hii mechi Leo tujuane
This is yanga,I love yanga
Beautiful 🇹🇿🇹🇿✔✔💯.
Turning point ❤
yangaaaaa mbele nyuma mwiko daaaa uku Tanzania Kuna kocha watoto wamechana jins ya kocha noma sana
Aziz kiiiiiiiiiiiii Yanga tamu bana but Yanga ange kua serious toka mwanzo ange kua club bingwa
Kweli
Yanga wapo vizuri
Hili kombe yanga anaweza kubeba akiendelea kuwa serious
Nikumbushe tu kuna mazembe huku, pyramid na wengine 😄😄yani club bingwa kwa moto na shirikisho nako kwa moto👌👌
@@hildajoel5 berkane huyo ulimuweka wewe acha kukariri
@@hildajoel5 in fact Yanga anabeba ubingwa huo
@@hildajoel5 mazembe kwako mana Toka Simba iumbwe hajwhi mfunga mazmbe😂
@@Zaburi-acha kuota ndoto za mchana makundi yenyew umeingia leo tangu 98 halafu upite direct hadi kubeba kikombe 😂😂😂 ww ulishawah fanya biashara mara moja tu ukawa kama Gsm? Jiongeze
sure boy kaupiga mwingi sana...
Yaani kama xavi jamaa anajua hadi anaboa
Kwa kweli kazi haikuwa rahisi
Refa huyu yuko vizur sana hana presha
Aliewadanganya Club africain kuva jezi za makolo ndie kafanya kosa. Sababu wananchi wakionaga tu red and white lazma wampige mtu kama ngoma🤣
Me nimerudi Tena leo tar 28/02/2024 baada ya kumfunga belouizdad
Hongera yanga hongera Tanzania yanga mko juu sure boy amefanya mengi soka limechezwa waarabu hoi
Muombeni msamaha Azizi kiii na profesa Nabi
Kweli wametukanwa sana yani hadi aibu
Hongera sana yanga africa umeiwakilisha vema Tanzania
Pongezi kwa wachezaji wote wa yangaaa god bless us players sasaivi tumeweka heshima
leo nimerudia tena kuichek hii mech
Sikuamini nilikuwa,na presha mungu ni mwema
Anyone in 2024
Wapi like za kibwana aliokoa mipira mingi ya hatari
Yani mungu hatusaidie mahan kunawatu hawatutakii mema sisi yanga
Haswaa makolo
Kilicho waponza waraabu jezi nyekundu kama Manchester ndio maana wamefungwa
moja kati ya mechi yangu bora kwenye kizazi chetu
hongera sana chama langu yanga kwa ushindi wenu hapo Jana ila babu kaju kaupiga mwingi sana pia wachezaji wrote walijutuma ipasavyo
Highlights mmefeli sana wazeeee
2024🎉
02 on trending so far
Hongereni sana watani Yanga,, mumeendeleza kuiwakilisha tz vyema
Uko vizuri wewe kimchezo!!!
Tutamfunga mamelodi in nsha Allah
Tuliovumilia kuipa moyo timu yetu yujuane
a battle 🔥
2023 tuko nayo
James lapulga jr nimerudi hapa kuiangalia tena hii mechii😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hii mechi sichoki kuangalia
Mashabiki wa makolo njoon niwagaie afutatu mkanywe supu
Walosema yanga itapigwa kama kipangaa waje niwape aftatu wakanywe supu washushiee maumivu😂😂
12/06/2024💛💚🙏
km tuko nyumbani 😂🤣😂🤣💚🔰💚
Hongereni kwa kujaribu!
Oyooo
Diaraaaaaaaaaa 🙌
Tending nomber 1
Despite being simba fan but what happened 00:48 hili jambo mnaweza lipeleka malalamiko this direct external distraction sijapenda